SHILOLE AKIRI "NITAOLEWA HATA NDOA 30, KWANI KUNA UBAYA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @ReynaMrema-qy3fw
    @ReynaMrema-qy3fw 3 місяці тому +1

    Nakupenda sana shishi kiukweli wewe kwangu ni zaidi ya mwalimu. Alooo najifunza mnoioo❤️❤️❤️❤️❤️✍🏻✍🏻✍🏻🙌🏻🙌🏻

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 3 місяці тому +6

    😂😂😂 Ila Shishi kuna vipengele huwa unanifanya nicheke😂😂

  • @tataLil-i3v
    @tataLil-i3v 3 місяці тому +1

    Nakubaliii kwenye music ❤shishi trump,shishi baby! Mchawi Hela a! Tubless na Ngoma moja 2024

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 місяці тому +12

    Shishi baby uwa hana maingizo 😂mashallah ❤kijituma upandilishe maisha uliyo toka

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 3 місяці тому +3

    Hongera shishi Mungu aendelee kukuinua

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 місяці тому +10

    Ni kweli vijana wengi wavivu kulala kuangalia Nexlifix
    Yaani tena kaa nao mbali shishi wasikuone hapo ulifanya kazi hii muhimu wanaume na wanawake ubarikiwe wote

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 3 місяці тому +22

    Inasikitisha kweli mwanamke anamka saa kumi anaji taarisha na mapambano ya siku hile anataarisha watoto, kwa mavazi, vyakula, kila unacho kijua wewe, mume kalala hapo hapo ana ngoja umuamshe tena si mara moja mara tatu ina boa sana...

    • @NasraSaidi-dq7fh
      @NasraSaidi-dq7fh 3 місяці тому +2

      Mimi sikuamshi nakuacha hapo sikuulizi kitu utajiongeza

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 3 місяці тому

      Lkn si alimridhia yeye pia alijuwa mume hana kazi kwa nini alimkubali pia mwanamke akiwa na mali inafaa kumwiinuwa mume

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 3 місяці тому

      Kabisa yaani umeongea point na huyu wa 2 anaonesha shishi anataka wanaume wasokuwa na kitu awaache hawadhalilishe si vizuri lakini​@@mohammadoman8963

  • @davidkisinini8855
    @davidkisinini8855 3 місяці тому +1

    Very nice interview.

  • @TediFwoma
    @TediFwoma 3 місяці тому +1

    Nakupenda mpaka naumwa

  • @Amina-ig3jw
    @Amina-ig3jw 2 місяці тому

    Tukuue is typing 😂😂😂 but dada shish uko sahihi❤❤❤

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 3 місяці тому +1

    💯💯👆Nimekuelwa saana. Wapo wengi hao majumbani

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 3 місяці тому +2

    Kwahyo mwanamke ahudumiwe na kaz aendelee kufanya Sasa mwanamke hela zake zinaenda wap.masingo Maza wataxidi kujazana mtaan afu masela hawaowi😂😂

  • @shanifambaraka-v6y
    @shanifambaraka-v6y 2 місяці тому

    ❤❤❤

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 3 місяці тому +2

    DADAANGU HIYO SIO NZURI SI UNAWATOTO NDOA NYINGI SIO VYEMA KIDINI SIJAJUA ULIKO

  • @PaulinaSengasu
    @PaulinaSengasu 3 місяці тому +1

    Kweli wauliwe 😂😂😂😂😂😂😂

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂shishi❤❤❤

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 3 місяці тому

    Kwer kabisaa ❤❤

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 місяці тому

    ❤❤❤love u❤❤ wewe dada.unapambana.nakupenda ❤❤❤ mapenz bila pesa Nonses kwa kweli❤❤❤Nakutaman.sana❤❤❤❤❤

  • @LoiceGalugalu
    @LoiceGalugalu 3 місяці тому

    Nakukupenda tajiri huna baya

  • @SAFINESSCHEZUE
    @SAFINESSCHEZUE 3 місяці тому

    6:30

  • @johnbugumba9054
    @johnbugumba9054 3 місяці тому +2

    Wanawake hawaeleweki siku zote, kwani kabra hajaingia nae kwenye mahusiano hakuliona hilo? Kinachotokea ni kuwa na yeye ni malaya tu hawezi kutulia na mwanaume mmoja ndiyo maana yupo na huyu mara huyu na hao tuofahamu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому

    Pesa zenu uwa ni zenu uwo ni uwongo mno.kuacha kazi ni sawa

  • @saidaramadhan2099
    @saidaramadhan2099 3 місяці тому

    😂😂😂🎉🎉

  • @Atb300
    @Atb300 3 місяці тому

    Kabla ujaolewa ulikua ujui mwanaume wko wa aina gani 😂😂😂 foolish

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 3 місяці тому

    Utaolewa hata kwa ndoa 30 kwa Sheria ipi na kwa Dini gani mzinifu wewe mbwa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 місяці тому

    Hakika asie fanya kaz aende akapambane naujinga wake uchebe alikuw mme ww tuy ndo ulishidwa kufata masharti ya din angekuokoa kesho akhera

    • @FloraJoseph-xd2kw
      @FloraJoseph-xd2kw 3 місяці тому

      Shishi fungua shishi food mwanza

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 місяці тому

      @@FloraJoseph-xd2kw sehem gan huko mwanza jaman nina milion 6 natafuta pakuweka hiyo sehem hebu nambie

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf 3 місяці тому +16

    Pambana Shishi! Umeongea point.. Bless you❤

    • @azeezaya8510
      @azeezaya8510 3 місяці тому

      MashaaAllah MashaaAllah nakupenda shish

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 місяці тому +4

    Wewe naona una akili sana,mwanaume ndio akuache
    kitandani afanye kazi ila kama mwanamke ndio kajaliwa zaidi
    sawa na mwanaume naye atafute kadiri ya uwezo❤

  • @SurprisedAstroStation-bb3nn
    @SurprisedAstroStation-bb3nn 3 місяці тому +1

    🤣🤣 wanaume tafteni hela mjue tu mwanaume akiwa na hela ni rahisi sana kuishi na mwanamke ambae Hana hata mia lkn sio mwanamke kuishi na mwanaume ambae Hana hela hawezi tuwape maua Yao wanaume jmniii wanaviti vyao pepon 😂🤣🤣

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 3 місяці тому +11

    Utakufa wanaume nao wana bad spirit Kuna shida dunia hii acha kuruka ruka tulia Mungu hawezi kukupa kila kitu be careful

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 3 місяці тому +3

      Hata na wanawake ukiwabadilisha tofauti tofauti Wana bad spirit na kujiongezea mikosi kwahyo sasaiv sio wanaume au wanawake wote hawaeleweki ni kutokana na maisha ya sasaiv na malezi ya mtu binafsi

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 3 місяці тому

      ​@@philemonmagesa5548iyo tatizo ipo pande zote

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 3 місяці тому +8

    Olewa tu dada utampata wakuzikana nae tu kuliko kuzini sio ishu

  • @rehemaqueen8646
    @rehemaqueen8646 2 місяці тому +2

    Daah umefanya kitu kizuri sana shishi allah akujaalie ulipopunguza

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 3 місяці тому +2

    Yaani miwanaume ikiona mtu anapesa, haimpi, chochote hata zawadi, na ukweli ni kwamba tunahitaji pesa hata kama tunazo😊

    • @bahathmuro7145
      @bahathmuro7145 3 місяці тому

      Yaaan tunazitaka sana hata kama ni buku si ya kupewa jamani

  • @habibajumahabiba6730
    @habibajumahabiba6730 3 місяці тому +20

    Nimependa shishi kaongea ukweli wanaume wanapenda mtelemko sana ❤

    • @iamobadia3295
      @iamobadia3295 3 місяці тому +1

      Kwani yeye alipenda nini kwa yule mwanaume!!!

  • @marthaigogo18
    @marthaigogo18 3 місяці тому +35

    Tunatakiwa kuacha alama kwenye maisha ya watu📌

  • @ChidyMfululu
    @ChidyMfululu 2 місяці тому

    Anapenda vijana akiwachoka anakashifu sasa vijana wataish nae kama mshangaz.tu

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 2 місяці тому +1

    Hapo kumsadia mungu atakulipa

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 місяці тому +4

    Kwani toka mwanzo hukumuona? Sema umeshamchoka😂

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 3 місяці тому +3

    Ila vido akaamua arudie silent ocean 😂😂cyo silence osen😢😅😅nakupenda sana dada shishi❤❤❤🎉🎉🎉

    • @faithkaganda-k3s
      @faithkaganda-k3s 3 місяці тому +2

      Au unasemaje suzy😂au unasemaje suzana🤷‍♀️🤣🤣🤣🙌🙌❤❤❤🎉🎉🎉

  • @taitadollnicky273
    @taitadollnicky273 3 місяці тому +2

    Mwanzoni ujanani alikua yuonekana Hana mwelekeo wa maisha...ila mashallah 😊

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 3 місяці тому +2

    Mwanamke kuachwa zaidi ya mara 3,
    Basi kwako ni DOA
    na ujue ww mwanaume mwanamke huyo HAKUFAI,

  • @irakozeshakiru1131
    @irakozeshakiru1131 3 місяці тому +9

    Nagupenda sana Dada shishi ❤❤❤ from Burundi 🇧🇮🇧🇮

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 місяці тому +2

    Shilole mie mara yangu ya mwanzo kukusikiliza hodari sana umeelezea vizuri mungu akubariki. Tungependa uje ututembelee canada pia shilole, natamani hata mie nifungue restaurant au saloon lakini niko mbali

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 2 місяці тому

    Shilole ulichomfanyia Ringo ni kikubwa mno🙏Baraka ikufate

  • @rashidikhassim8125
    @rashidikhassim8125 3 місяці тому +1

    Unajua binadamu tuna akili gani wewe furaha yako mpaka utuchangishe ili iweje wakati kuna uwezekano wa kufanya jambo Kwa uwezo wako

  • @iamobadia3295
    @iamobadia3295 3 місяці тому +2

    Mimi najiuliza kama uyo mwanaume alikuwa ajiwezi yeye shishi alifuata nini kwa uyo mwanaume😮

  • @OliverKassim
    @OliverKassim 3 місяці тому +1

    My RÔLE MODEL jamani ...., Nakupenda saaana jmm

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 3 місяці тому +1

    Shishi tupe ajira bc jamn

  • @ireneshayo413
    @ireneshayo413 3 місяці тому +1

    Chuma hicho kinahitaji UTULIVU TU.!! We huigopi😂😂

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 3 місяці тому +1

    Shishi Ni Mtu Wa Mana Kweli Mungu Akubariki Kwa Moyo Wako Huo

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 2 місяці тому

    Ukokuolewa nakuachika ukwosio kupambana ni kujizalilisha tatizo nimoja masikini akipata--------

  • @MassoudSalim
    @MassoudSalim 3 місяці тому +1

    Shilo wewe wabake tu wakumiminie kojo olewa tu uuuuuuuuwi bado zamu yangu.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 3 місяці тому

    Olewa hta namia ,usiburie nawatoto wako kuolewa nawanaume kma waliokuoa ww.Unadhani kuwa najina kubwa pesa ndio sifa yakumvulia Kila mwanaume nguo.Utajikuta umeshazeeka kwabeba Kila kibenteni Wanakukubalia kwakuwa unavijisenti

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 місяці тому

    Hicho ni kiburi cha maisha tu ila fikiria baada ya kufa unakwenda wapi? Huo mwili wako utachunguliwa na wanaume wangapi? Huo ni ujinga tu

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 3 місяці тому

    Ameongea vizuri si kwa ubaya...tena nimependa kipengele cha wote mume na mke kupambania kombe,hiyo nimeipenda sana....kukomaa

  • @VashtyBurge
    @VashtyBurge Місяць тому

    Watu wako commitment na kami zao😂😂😂

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 3 місяці тому +1

    Hilo litakuwa shimo au mtaro? Utalipa kodi ya manispaa?

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 місяці тому

    Hivi Shishi unajua ulijulikana sana baada kuonekana ktk Tamaa mbaya ya 20% ?

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 3 місяці тому +6

    Uyu dada ana moyo waupendo sana ndio mana haanguki watu msiwe namikono mifupi kusaidia❤❤

  • @ConfusedLighthouse-so9mc
    @ConfusedLighthouse-so9mc 3 місяці тому +5

    Nakupendea shishi unavyoishi

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 2 місяці тому

    Mbunifu sana kwenye biashara yako

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 3 місяці тому

    Kuolewa ndoa nyingi pia ni mikosi, huyu anapenda kula viharage hawezi kaa kwenye ndoa

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 3 місяці тому +2

    huwa napenda kicheko cha shishi, pambana dada yangu

  • @stamilihalifa2763
    @stamilihalifa2763 3 місяці тому +1

    Mbona uja fikisha ujumbe wa bwana mangulue kutaka kumuowa

  • @catherinesembeka1417
    @catherinesembeka1417 3 місяці тому +2

    Kweli dada Ake kikubwa furaha ya moyo.👌🌹🌹🌹♥️♥️♥️💯💯

  • @bossmolellsisiya4101
    @bossmolellsisiya4101 3 місяці тому

    MIMI BINAFSI NSMKUBALI SANA HUYU DADA NI MPAMBANAJI SANA ALAFU NAMPENDA ANAVYO JIAMINI YAANI HUYU NI IRON LADY NAMPENDA SANA HUYU MDADA JAMANI NI MPAMBANAJI ANAE JIAMINI

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq 3 місяці тому

    Wakti huna hela ulikuwa unasema mme,wangu je kama ni yota,yake inaitembeleq,agalia usije ukayumba

  • @mwasitigervas2624
    @mwasitigervas2624 3 місяці тому +1

    Kwani shilole uliitenbelea china yote manayangu😂

  • @yunhonct5971
    @yunhonct5971 2 місяці тому

    Ongera sana mwanamke mwenza
    Maisha sio ku kaa tu , kushugulika pia., ❤❤❤

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 3 місяці тому

    Interview ya shilole haichoshi majibu yake yapo on free stress

  • @Shehasweet-hy6xn
    @Shehasweet-hy6xn 3 місяці тому

    Nand kampa hela mumewe wamefungua biashara..mbona wewe usifanye hivyo

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 місяці тому

    Mtangazaji huna kazi sasa unataka kujuwa nini bei ya 👜 handbang.???

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 місяці тому +2

    Auna BAYA shishy baby enjoy dear

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 3 місяці тому +9

    Shilole naomba nikuoe❤❤❤❤❤

  • @LovenessJames-r9l
    @LovenessJames-r9l 3 місяці тому

    Ndo utuonyeshe kwa nguvu iyo macho ma3 yako aya tushaona😂

  • @catherinecharlz2814
    @catherinecharlz2814 2 місяці тому

    Shishi food iko maeneo gan?

  • @tatually1366
    @tatually1366 3 місяці тому

    🎉 Asalam Alyekum waramahatualha wabarakatuh hongera mwenyezi mungu 🌹 Tunakuomba utujaalie

  • @saidaramadhan2099
    @saidaramadhan2099 3 місяці тому +1

    😂😂😂🎉🎉

  • @BibieMakame
    @BibieMakame 3 місяці тому +6

    Nakupenda shilole

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 3 місяці тому +2

    kwan hukujua kama hajui kutafuta pesa

  • @Damaskimario
    @Damaskimario 3 місяці тому +1

    Wewe ni jasiri pambana mama❤❤❤❤❤❤❤

  • @fridaernestmkedege900
    @fridaernestmkedege900 3 місяці тому +4

    Wapo very committed na kazi yao.. na si wapo very commitment

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 3 місяці тому +4

    Dada shishi emb nisaport laki mbili tuu jaman nikafanye biashara flani ivi nimeiplan

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 3 місяці тому

    Watu wako committed na kazi zao...sio commitment dadangu😅

  • @madammbago9787
    @madammbago9787 3 місяці тому

    Umekuwa mdada umepndz ubonge ulikuzeesha

  • @HarunYussufAyoub
    @HarunYussufAyoub 3 місяці тому

    Shishi tupe ajira basi mdada na sisi utuinue ndugu zako. one love sister

  • @juniorndambalilo66
    @juniorndambalilo66 3 місяці тому

    Wewe dada acha umalaya...tulia ktk ndoa,pesa isikuletee ujeuri wa kutokudumu ktk ndoa

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 місяці тому

    Nyege zilivyoisha ndio unaona mwanaume analala 😂

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 3 місяці тому +1

    Shilole eti sio kuleta mauwa tu😂😂

  • @Zuwenasalum2788
    @Zuwenasalum2788 3 місяці тому

    Berkin Hermès. 4000usd waaaouh

  • @TheresiaMrema
    @TheresiaMrema 3 місяці тому

    Olewo tu dada...Kwani kuna shido😂

  • @mvmezerosamira3960
    @mvmezerosamira3960 3 місяці тому

    Shilole mpambanaji tatoka mbali na apo anafika mbali

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 3 місяці тому

    😂😂ila hili litoto la Igunga bana!!!nalipenda tu

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 3 місяці тому

    Mwana mke mzuri lakini tabia mhh huyu demu umalaya uko ndani ya damu kwahiyo wanaume tuwe makini nae tafauti na hiyo atawamemenda saaana mamaaaaeeeee zake

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 місяці тому

    Shishi usiende tena juu yakuongeza shepu,feki.tunataka mpango wa shishi chakula tu.

  • @rochiusromward8495
    @rochiusromward8495 3 місяці тому +1

    Silent oseni enyewe inasemaje

  • @AhmedHamza-e4j
    @AhmedHamza-e4j 3 місяці тому +1

    Hiyo itakuwa ni nyama au ni gerej kila gari yaingia

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 місяці тому

    Huyu Mwanamke anajiheshim sana na mzuri.

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 3 місяці тому

    Ku-consider ku-provide 😅😅😅😅shishi umeua

  • @NATOnlinetv
    @NATOnlinetv 3 місяці тому

    Usiowe mwanamke aliye kuzidi kipato jamani