Haijalishi haya mahubiri yalikuwa ya lini, kweli neno la mungu halina expiry. Pastor Asante sana kwa mahubiri pamoja na mafunzo jinsi tunavyofaa kuishi. you always inspire me and honestly you have changed me completely. God bless you so much, get more strength to stand strong in this ministry.
MUNGU awabariki sana sana Mahubiri TV kwa kurusha Mafundisho haya kilasiku... Hakika hii nayo ni neema kubwa sana! KRISTO akutunze sana Pastor David... 🙏
😂😂nimecheka eti shetani anakuchanganya unasahau PM na AM kwa ku set alarm ya maombi😂😂anyways nimeishia kubarikiwa kama kawaida na mahubiri yako,be blessed pastor mmbaga🙏...na asante sana kwa kutuombea hadi sisi tunao kufwatilia kwa mitandao.AMEN🙏
Haijalishi haya mahubiri yalikuwa ya lini, kweli neno la mungu halina expiry. Pastor Asante sana kwa mahubiri pamoja na mafunzo jinsi tunavyofaa kuishi. you always inspire me and honestly you have changed me completely. God bless you so much, get more strength to stand strong in this ministry.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Nakuelewa sana Pastor Mungu akubariki
MUNGU awabariki sana sana Mahubiri TV kwa kurusha Mafundisho haya kilasiku...
Hakika hii nayo ni neema kubwa sana!
KRISTO akutunze sana Pastor David... 🙏
Amen amen
😂😂nimecheka eti shetani anakuchanganya unasahau PM na AM kwa ku set alarm ya maombi😂😂anyways nimeishia kubarikiwa kama kawaida na mahubiri yako,be blessed pastor mmbaga🙏...na asante sana kwa kutuombea hadi sisi tunao kufwatilia kwa mitandao.AMEN🙏
🙏🙏🙏🙏🇹🇿
😂😂😂😂😂
Asante kwa mafundisho mazuri nahisi kuwa releaved. Mungu akubariki ningependa uje katika kanisa langu hapa Kamung'ei church Eldoret _Kenya .
Amen amen umeniamsha ubarikiwe.
Glory be to almighty God, I'm blessed my thi massage..
barikiwa sana mtu wa Mungu
Thank you pastor for your lesson
Mungu aendelee kukutumia Pastor
Jina la Bwana libarikiwe
God bless you pastor David I am blessed with this lesson🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖❤️💗
Bwana yesu asifiwe icho kitabu cha pambano kuu nakipataje namaanisha nakipata wapi
Injiri itawale pote ulimwenguni na bwana atubariki sote na tukaokolewe wore amina
To God be the glory 🙏🙏🙏
Amen
AMEN
Ila ukisali anytime ni bora… Tb Joshua alinifundisha siku moja Alisema usimwandae shetanikwa kuweka ratiba za Maombi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙈🙈🙈
Ubarikiwe Pr. Mmbaga. TUMAINI JIPYA TV kutoka Arusha tuko pamoja nawe kuna muda tunarusha mahubiri yako kupitia chanel yetu.
Amina mtumishi