Ubarikiwe sana pastor,napenda sana kuisikia hiyo story ya watu wa kubwa wa kale manake nilikua najiuliza hayo mawe yamepandaje juu ya mengine,yaani najiuliza sana sana,somo limenibariki leo
Nliposikia kuwa ajira mlizo nazo ndio utumwa wenu, nmejikuta nakimbilia ku comment, kumbe na wenzangu wamecoment hapahapa. Na mm nasema, "Fanya kazi usitegemee ajira"
Bwana yesu asifiwe pastor nimekutafuta sana naomba unisaidie
Ulweli mimi huku nataka kutoka kabisa ughaibuni niende nifanye maisha yangu juu ninapokea mshahara ila maitaji ni mingi sana
Amen huu mwaka nmekataa kuajiliwa kbx
Mungu atukuzwe kwa mafundisho mazuri haya
Ubarikiwe sana pastor,napenda sana kuisikia hiyo story ya watu wa kubwa wa kale manake nilikua najiuliza hayo mawe yamepandaje juu ya mengine,yaani najiuliza sana sana,somo limenibariki leo
Habar Pr. Samahani naomba uniombee pamoja na familia yangu
Amen
Ameen naamin tutabadilika
Asante kwa kunifungua macho
Huu mwaka nakataa kuajiriwa nakataaaaaa
Kabisa ata mimi nimekatqq
Nliposikia kuwa ajira mlizo nazo ndio utumwa wenu, nmejikuta nakimbilia ku comment, kumbe na wenzangu wamecoment hapahapa.
Na mm nasema, "Fanya kazi usitegemee ajira"
Ameen Ameen
AMEN
😂kuchoka na kuchokeana
Vitabu navipataje niko Kenya navihitaji jamani
Nakusikia mtumishi kabisa
Hakuna
Unapoombea watu wako pastor naomba unitamuke kw maombi