MCHAMBUZI DOMINICK SALAMBA ATOBOA SIRI BALEKE AMESAJILIWA YANGA LEO/DUBE KUTAMBULISHWA USIKU HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • #alikamwe #azizki #hersisaid #msuva #yangaleo #yangasc #live_ #mayele #yanga #yangatv
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 27

  • @Stevmwamba2090
    @Stevmwamba2090 3 дні тому +9

    Profesa la mpira mzee wa maokoto salamba mkuu nakuamin mkuu huna baya

  • @cesaryaudax6647
    @cesaryaudax6647 3 дні тому +5

    Nahisi tutaumia tena msimu huu

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 3 дні тому +3

    Salamba uwape ushauri simba hawaeleweki

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 3 дні тому +2

    Tema fact ndugu achana na haters

  • @JacksonMelakiti-gn5mf
    @JacksonMelakiti-gn5mf 3 дні тому +1

    Upon Sawa salamba

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 2 дні тому

    Huna unafiki bro

  • @MaiggeJulius
    @MaiggeJulius 3 дні тому +1

    Tunaiombea simba mabaya

  • @user-sb2oj6pl5f
    @user-sb2oj6pl5f 3 дні тому

    Hata kama Simba haiko vizuri lakini si kwa gem za Yanga/Simba.

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 дні тому

    I don’t care😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Aloooo umetisha sana

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 3 дні тому +1

    Kwani headline ya habar yenu ikaendana na story ya ndani, watu hawawez kuisikiza mpaka mdanganye watu? Kichwa cha habar ni "viazi" ndani kuna magimbi. Acheni uhuni headline ifanane na story iliyomo ndani

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 3 дні тому

    🎉Jamaa wewe ni mchambuzi bora kabisa aiseeeh
    😮Huyu Ni Dewij ana utaalamu gani wa kujua wachezaji bora, yeye ndiye kocha?
    Yanga kocha anashiriki kwenye usajili
    Mtaaona matokeo au tofauti yake

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 дні тому

    Wapi alipomzungumzia baleke sasa hapo? Maviiii

  • @elirahammwiri6519
    @elirahammwiri6519 3 дні тому

    Tabu Ile Ile!

  • @AnneyElias
    @AnneyElias 3 дні тому

    Hamjui kitu

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 3 дні тому

    Mpenja ataendelea kutamba maana hana maloloso km hayo

  • @Dopa5115
    @Dopa5115 3 дні тому

    Mbona mnashtua jamani waacheni wakat wao wa furaha huu ila ligi ikianza lawama kwa mangungu

  • @AyubuMsindo
    @AyubuMsindo 3 дні тому

    Hawana HeLa w anachukuwa wazee

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 3 дні тому

    salamba wewe unujuwa mpira

  • @johncharles2256
    @johncharles2256 3 дні тому

    Ww simba nimbwa tu anaeixhi mitaan

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 дні тому

    kwani Gamondi si karibu Timu yote ksajili Nani?

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 3 дні тому

    🎉Jamaa wewe ni mchambuzi bora kabisa aiseeeh
    😮Huyu Ni Dewij ana utaalamu gani wa kujua wachezaji bora, yeye ndiye kocha?
    Yanga kocha anashiriki kwenye usajili
    Mtaaona matokeo au tofauti yake

  • @johncharles2256
    @johncharles2256 3 дні тому

    Ww simba nimbwa tu anaeixhi mitaan