HATA SIMBA WALITAKIWA KUWAJULISHA COAST KWA BARUA KUWA WAMESHINDWA KUINGIZA PESA KWA SABABU HUSIKA NA WAOMBE MUDA MWIGINE WA KULIPA.HAYO YOTE SIMBA HAIKUFANYA
Simba haisajili bali wanafanya sagura sagura kwenye mtumba timu haiwezi sajili wachezaji 12 ambao hata hawaeleweki wengine timu walizotoka msimu mzima mchezaji kacheza mechi 2 sasa sijui itakuwaje kocha mwenyewe mwanafunzi waliomleta msimu ujao tutatembea na helmenti maana watatupiga kwaajili ya makasiriko yao😂😂
Upo sawa kaka uchambuz makin
Upo sawa bro Simba Kaz Bado 1:41
Uko vizuri, unaongea mpira sio ushabiki.
Sam msema kweli pamoja sana kaka 🎉🎉
Nakuelewa sana mzee
Hilo neno
Upo sawa bro Simba Kaz Bado
❤❤❤❤❤❤❤❤❤mchambux Bora kabisa
Unajua kuchambua
HATA SIMBA WALITAKIWA KUWAJULISHA COAST KWA BARUA KUWA WAMESHINDWA KUINGIZA PESA KWA SABABU HUSIKA NA WAOMBE MUDA MWIGINE WA KULIPA.HAYO YOTE SIMBA HAIKUFANYA
Simba haisajili bali wanafanya sagura sagura kwenye mtumba timu haiwezi sajili wachezaji 12 ambao hata hawaeleweki wengine timu walizotoka msimu mzima mchezaji kacheza mechi 2 sasa sijui itakuwaje kocha mwenyewe mwanafunzi waliomleta msimu ujao tutatembea na helmenti maana watatupiga kwaajili ya makasiriko yao😂😂
Unajitahidi upo kimpira zaidi sio kishabiki
Shukran Sam Simba 🎉🎉🎉
Ni kweli bro
Toka uko we ulsha Amia yanga Ayo maneno yako ivazi sawa
Yaani ninyi, hamna kizuri Kwa Simba.
Sam wewe ndio shabiki wa Simba unaejitambua na wewe ni shabiki unaesema ukweli na unaitetea Simba na unaipenda
acheni ukuma huo nani asiyejua kuwa huyu ni kuma mwenzeni
Wewe ni mchambuzi shabiki wa kwanza Simba kusema ukweli. Hali halisi ndiyo hiyo. Simba haiwezi kufanya maajabu msimu wa kwanza
Wachezaji wa buku buku kibao 😂😂😂😂
Sibma
Sibma
Hamia yanga bc kama unaona yanga yinafanya vizuri. Kwann unaisemea vibaya Kila siku
😂😂😂 Wew unajuw pes kwel
Nitajie kocha gani Simba au yanga alisajili na mchezaji akawa Bora? Tuawapumzishe bas viongozi ata kwa mdaa
Zahera.
Alituletea
1. Tshishimbi
2. Makambo
3. Feisal
4. Job
5. Kibwana
Toka uko
Huyu mjinga tu avae jezi ya yanga . Atapigwa siku moja atajuta. Mchome na huyu Jamaa Kila siku nikukandia Simba.
Kanye uko
Huyu anabwabwaja tuu hajui haa analoongea
Hili bwabwa la utopolo limevalishwa tuu jezi za simba na kupewa maneno
BOKO YUPO JKT TANZANIA
Kenge wewe hujuwi chochote wewe ni utopolo
wewe na Mchome ni sawa sawa hujui kuizungumzia simba
Mpumbavu wewe na Gamoni kachukuwa ubingwa lakini wachezaji hajaleta yeye
Upo sawa bro Simba Kaz Bado