Kuna vitu vinaweza kukosa ladha katika maisha ya mtu Chakula, vinywaji n.k. ila si kwa Jina la Yesu Kristo. Ikitokea ujue umekufa. Uinjiristi Kijitonyama ni hatareee👌👌 sana, mnafanya mpaka kuzimu wanataka kuhama🤗🤗
Wimbo Ni Mzuri Sana, Hongereni Sana Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama, Lakini Katika Wanafunzi Wa Yesu Hapakuwa na Mtu Aliyeitwa MARKO Wala LUKA, Naomba Tujitajihidi Sana Kusoma Bibilia Tunapokuwa Tunatunga Nyimbo Maana Itatusaidia Kupeleka Ujumbe Unaoendana Na Maandiko (Scripture Reference). Mungu Awabariki Sana..
I dont mean to be so off topic but does any of you know of a trick to get back into an instagram account? I stupidly forgot my password. I love any assistance you can offer me
Kama unaangalia leo tarehe 31 mwez wa 12 2024 hii nyimbo gonga like namfuraia sana vipaji vya nchi yetu
Jameni wimbo mzuri sana, Yesu pokea sifa kwa kuwa hakuna mwanaume kama Wewe Mfalme wetu
Jamana kama unabarikiwaga na hii kwaya nipe like yako apa
May God bless this choir nawapenda sana hii kwya nymbo ina maneno mazur sana😊😊❤
Who is here after the cover by essence of worship??? Much love from Kenya 🇰🇪 ❤️
Very well done. I used to listen to this song when I was living in Dar Es Salaam Tanzania. Inanipamba mpaka sasa
Weweeeeeee hakika hakuna mwanaume kama Yesu....
Kuna vitu vinaweza kukosa ladha katika maisha ya mtu Chakula, vinywaji n.k. ila si kwa Jina la Yesu Kristo. Ikitokea ujue umekufa. Uinjiristi Kijitonyama ni hatareee👌👌 sana, mnafanya mpaka kuzimu wanataka kuhama🤗🤗
Madam Oliver Benson mwenyewe huyooo! Barikiweni mno. Nyimbo za kitambo mno
Wimbo mzuri sana m'barikiwe sana
Wimbo huu unabariki sana
Jina lake mwokozi Yesu ni kiboko ya shetani walah🙏
Yaaaani nawapenda sana Kijitonyama uinjikisti...Hakuna mwanaume kama YESU...nimekumbushwa mbali sana.
Nawaombea hawa waione mbingu, kuimba ni kipawa utoa Mungu, wokovu ni neema
Nice one
Oliver Benson, sauti ya dhahabu
Now i understand tempo is essential in music
Wimbo Ni Mzuri Sana,
Hongereni Sana Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama,
Lakini Katika Wanafunzi Wa Yesu Hapakuwa na Mtu Aliyeitwa MARKO Wala LUKA,
Naomba Tujitajihidi Sana Kusoma Bibilia Tunapokuwa Tunatunga Nyimbo Maana Itatusaidia Kupeleka Ujumbe Unaoendana Na Maandiko (Scripture Reference).
Mungu Awabariki Sana..
uko sahihi mtumishi lakini wote hao ni watumishi walioitwa na MUNGU Kuifanya kazi yake hata mimi na wewe tumeitwa kuifanya kazi yake MUNGU
The best of Kijitonyama Choir
Mbarikiwe sana hauchuji huu wimbo milele....hakuna kama YESU hakika
Hakaika hakuna Mwanaume kama YESU.🙏🙏
Hakuna kwel hakuna aliye mfalme Kama Yesu
Lelelelelelele akuna.wakufanana naye .
Hakika
Amen
Mbarikiwe sana sana Kijitonyama Uinjilisti Choir...#youneverdisappoint!
Amen 😘
I like this song
❤❤
i am very blessed wth this song
I dont mean to be so off topic but does any of you know of a trick to get back into an instagram account?
I stupidly forgot my password. I love any assistance you can offer me
@Musa King instablaster :)
Point kwa yesu kila kitu shwari haijalishi shetani anatusagia meno
Amen barikiwa sana watumishi wa Mungu
Samahani lakin kuuliza hv kwanini nyie knyama kila siku masolo kwenye choir ni wale wale hawabadiliki?je ni kwamba hakuna wengine wenye sauti?
Safi
😂😂hio kamati ya guitars, drums na piano kwanza watengwe waimbaji nao wametisha sana
Amina, Mungu awabariki Sana kijitonyama choir.
Hi
Kwel hakuna
2024
Hakika, Hakuna Mwanaume kama Yesu 😊