Huyu baba anaimba hapo ni wa muda mrefu toka nikiwa nasoma nikiwa mudogo sasa nazeeka namuona yeye bado yupo vilevile wapendwa nyie kumtumikia Mungu ni kuzur et! Huzeek
Njoo uone Bwana amefanya,tunaposema anabariki tunamaanisha sana sisi sote ni kazi ya mikono yake,tabasamu mnaloona leo ni ishara ya upendo wake❤❤❤ Nakupenda sana Daddy
John 1:46 46 “Nazareth! Can anything good come from there?” Nathanael asked. “COME AND SEE,” said Philip. Yohana 1:46 46 Nathanaeli akajibu, “Je, inawezekana kitu cho chote chema kikatoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo ukajionee mwenyewe.🔥
Hakika kazi yako ni njema sana my brother modest MUNGU azidi kukupa maisha marefu hapa duniani maadui zako wakawe baraka kwako vita vikawe ushindi kwako hakika unakipawa kikubwa mbele za MUNGU wapo wengine wanakuchukulia wa kawaida ila kwa MUNGU wewe sio wa kawaida kabisa
Somone efyo ba Lesa bacita 👏👏👏 indeed come and see what the Lord has done 🙏🙏🙏 much love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Im leaving this comment here. I will come to testify and dance to God through this song 🙌
Huyu baba anaimba hapo ni wa muda mrefu toka nikiwa nasoma nikiwa mudogo sasa nazeeka namuona yeye bado yupo vilevile wapendwa nyie kumtumikia Mungu ni kuzur et! Huzeek
Alikuwa mnene
Lakini mwili wake upo vzr yupo strong bado.
Nabarikiwa na nyimbo hii pia nabarikiwa na mavazi ya heshima mliyovaa mnapomsifu Mungu, bwana Yesu awabariki....!!
@@imanisanga-sm2hmukimtumikia Mungu unapata Bonus
Njoo uone Bwana amefanya,tunaposema anabariki tunamaanisha sana sisi sote ni kazi ya mikono yake,tabasamu mnaloona leo ni ishara ya upendo wake❤❤❤ Nakupenda sana Daddy
Tunaposema Anabariki tunamaanisha Sana sisi wenyewe ni kazi ya mikono yake tabasamu unaliona Leo ni ishara ya maisha yasiyo na majuto 🙏🎉🎉🎉
Huu wimbo ni mkali sana mbarikiwe sana wana kijitonyama. Mambo makuu kweli Bwana ametenda maishani mwetu.
Zambia Zambia all the way❤❤❤❤❤
John 1:46
46 “Nazareth! Can anything good come from there?” Nathanael asked. “COME AND SEE,” said Philip.
Yohana 1:46
46 Nathanaeli akajibu, “Je, inawezekana kitu cho chote chema kikatoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo ukajionee mwenyewe.🔥
Mungu awabariki Jeshi la Kijito Kazi yenu ni njema sana wapendwa hakika baraka za Yesu Kristo zisiwapungukie kila iitwapo leo wapendwa wangu.🥰😍🥰🥰🥰
Wimbo wangu Bora Siku zote! Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu❤️🙏
Ameeen! Kumsifu Bwana ni Kwa wanyofu wa mioyo,haijalishi upo KTK mazingira gani❤❤
More Grace all the way from Zambia
truly He has done grate things not even thanks only is enough.......Thank you Jesus.💯🙏
The sound engineer understood the assignment....enjoying from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Hakika kazi yako ni njema sana my brother modest MUNGU azidi kukupa maisha marefu hapa duniani maadui zako wakawe baraka kwako vita vikawe ushindi kwako hakika unakipawa kikubwa mbele za MUNGU wapo wengine wanakuchukulia wa kawaida ila kwa MUNGU wewe sio wa kawaida kabisa
Ivi huwa ni ya kanisa lipi apo kijitonyama?
Kkkt kijitonyama
Mungu awabariki Kwa kurekodi this song, nilikua naipenda but sikua na uwezo wa kuwa nayo, Mungu wa sifa zangu usinyamaze 🙏
Ameeeen Mnaishi Kwenye moyo wangu sijawahi kuchoka nyimbo zenu.
My favourite choir organised and blessed people l like and enjoy all of their songs God bless them
Kijito ni Kijito tu... Woooooow 🔥🔥
Miaka yoteeeee
Mko bora kila kukuchapo 🎉
Naomba Mungu awabariki, TUNAPOSEMA ANABARIKI TUNAMAANISHA SANA SISI WENYEWE NI KAZI YA MIKONO YAKE MUNGU ❤❤❤
Hicho kipande hadi raha naomba MUNGU WA SIFA ZETU USINYAMAZE
MAY GOD BLESS US
Asanteni kwa baraka ya wimbo mzuri mbarikiwee ✊🏿✊🏿✊🏿🇹🇿🇹🇿
Mungu ametenda🙏Asanteni Kijito
Kwaya yangu familia yangu uinjilist Kijitonyama. Kazi yenu ni kubwa mbinguni na duniani
Mungu wa sifa zangu usinyamaze
Wekeni huu wimbo Google tuu download, nimeuona kwa chanel ya joy gospel nikaupenda❤
Kijitonyama Mungu akubariki kupitia nyimbo hii
Huyu baba kijitonyama and anaimba na anabariki watu sana.
❤❤❤Ayiiiii. Fire ,Fire,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbarikiwe na yesu aliye hai
Sifa na utukufu arudishwe Mungu wa mbinguni🙌
Ewooo am blessed, so powerful 💪 mungu wa sifa zangu usinyamaze
Mungu awape ujuzi zaid
Mungu awabariki na awatunze
🔥🔥🔥Mungu awabariki mnoo kazi nzuri sana
Mungu Mwenyezi Awabariki watumishi Wake.
Amen watumishi wa bwana
Woow what a song.. marvelous come en see what the Lord has done ooh❤
Mubarikiwe sanaa
Nyie Nyie ! Njoni mwone🎉
Incredible kijitonyama
The waiting is over am happy am happy am happy
Mungu aendelee kuwabariki
Mbarikiwe knyama
Amina🎉🎉🎉
Amen❤❤❤❤❤❤
Asante kijito mnanibariki mnooo
Njoo uone Miriam Alute
Nicee Song 🎵 🙏🙏
Great music.
Barikiwa
Estamos aquí para ver lo que Dios ha hecho
Si ,Dios Ha Hecho más que pensamos
AMEN 🙌🙌🙏
HALLELUJAH
good song 🎵
🔥🔥🔥🔥
Wow❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊
💃💃💃💃💃💃
Amen
Ayiiiiiii
Sacsaphone nomaaaaaa
Ile Kijitonyama is back
Come and see
❤❤❤❤
Sifa kw bwn
8:23 8:25 8:27 ❤😂🎉😢😮😅😊
The waiting is over am happy am happy am happy
Amen❤❤❤❤❤