Kijitonyama Uinjilisti Choir | Hakuna Mwanaume Kama Yesu | Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 393

  • @jesuscousin2706
    @jesuscousin2706 11 місяців тому +93

    2024 still listening, inanikumbusha back on those days nikiwa young 2008, like kama bado unaiskiliza

    • @queenie3677
      @queenie3677 9 місяців тому +6

      Mimi niliucheza sana miaka hiyo kila harusi mnaucheza😂😂

    • @BossMoshi-by5if
      @BossMoshi-by5if 9 місяців тому +1

      unapokua ndani ya Mungu wakati wako ukipita ni kifo wanaomuabudu Mungu haw
      apitwi na wakati

    • @kibasamohamedi8029
      @kibasamohamedi8029 7 місяців тому +2

      Ghafla mejikuta kutafuta huu wimbo! Niligombana na wapangaji kisa sauti

    • @SuperladynaaNgowi
      @SuperladynaaNgowi 7 місяців тому +1

      Mi adi sasa bado naisikiliza

    • @theemperor8229
      @theemperor8229 4 місяці тому +1

      ​@@kibasamohamedi8029😅 kipindi ya zile Kanda kubwa VHS. Mimi nilikuwa nausikia Toka nafkiri 2004

  • @elishafredy3891
    @elishafredy3891 3 місяці тому +33

    Huu wimbo ni mzuri sana kama nawewe unaangalia mwaka 24 gonga like

  • @ceaserhinyanga3406
    @ceaserhinyanga3406 Рік тому +53

    Grew up listening to this song in our home because mum loved it so much.. it gives me teary eyes. God bless you abundantly ❤️. 09/04/2023 someone to like my comment so I can come back to this beautiful song.. 🥹

  • @onesmomanase
    @onesmomanase Місяць тому +10

    2024 November tujuane hapa like Ngoma Kali sanaa

  • @sambubrian5826
    @sambubrian5826 8 місяців тому +48

    Essence of Worship cover brought me here.Kweli hakuna mwanaume kama Yesu

  • @stellagodfrey2229
    @stellagodfrey2229 4 роки тому +86

    Wimbo unanikosha sana roho yangu kama nawew unaangalia mwaka 2020 gonga like tujuane

  • @milientshiresi8699
    @milientshiresi8699 Рік тому +11

    There shall be none like Him. I am here in 2023

  • @frankkweka1811
    @frankkweka1811 Рік тому +6

    kumbuka hii
    "alizaliwa kwa tabu yeye,kwa sababu walitaka kumuangamiza, hawakujua kua yeye ni MUNGU walidhani ni mtu wa kawaida"

  • @janethmakangila3912
    @janethmakangila3912 4 роки тому +32

    Hao jamaa wanapiga gitaa mbaka gita zenyewe zinashangaa! Mungu awabariki sana. 2020 bado nabarikiwa na hii nyimbo. Mungu awape maitaji ya mioyo yenu

  • @miriamumbwilo164
    @miriamumbwilo164 Рік тому +9

    2023 still powerful.....ila wapiga vyombo Hawa sijui walienda wap aiseee. Mungu awabariki

  • @kennyjr2554
    @kennyjr2554 9 місяців тому +11

    I am here in April 2024. It's still my favourite. ❤

  • @sarahkimambo5324
    @sarahkimambo5324 Рік тому +3

    Jamani Tanzania tumebarikiwa sanaa tuache dhambi kukataa ndoa za jinsia moja tufanye kazi ya Mungu

  • @mayungantugwa6092
    @mayungantugwa6092 4 роки тому +39

    Hii nyimbo ukiisikiliza utadhani imetoka Jana, Dah mungu in mwema sana

  • @princesslema7477
    @princesslema7477 Рік тому +10

    The Holy Spiritual was in control of the making of this song …ever since I was in primary school up to now married with 2 blessed children 🥰…only Jesus Christ was,is and forever more…Bado cjapata a song to compare with this🏅🏆🥇

  • @LightnessSakuye
    @LightnessSakuye Рік тому +3

    humu duniani nimepita sijaona Mwanaume kama Yesu hakika MUNGU Baba ahimidiwe milele wimbo unaujumbe mzuri mno,💯

  • @mercyabuko8710
    @mercyabuko8710 6 років тому +41

    Kweli hakuna, na wala hatawai kuwepo kama huyu Yesu. Na Jina lake likapewe sifa na utukufu...May God bless you people.. Can't get enough of your songs.

  • @patrickjulius4539
    @patrickjulius4539 7 років тому +33

    nyimbo nzuri Sana kwakweli kijitonyama yà kipindi icho ilikua atar Sana

  • @veronicasimchindo8842
    @veronicasimchindo8842 2 роки тому +7

    Nakumbuka kipindi mdgo izi nyimbo zilikuwa zinapigwa sana kwetu msimu wa christmas 🥰

    • @GenovevarKavikule-it2wc
      @GenovevarKavikule-it2wc 7 місяців тому

      Yaan kama kwetu wakati nakua kila siku lazima wimbo huu upigwe enzi hizo zinatumika redio za kanda

  • @veronicamathias3799
    @veronicamathias3799 3 роки тому +13

    Kuna nyimbo hazijawahi kuchuja jamani dah...God bless u abundantly 🙏🙏

  • @gilongalevsoni5272
    @gilongalevsoni5272 4 роки тому +40

    2020 gonga apa nani mwngne..

    • @erickernest5169
      @erickernest5169 4 роки тому +3

      Hakuna kapisa mbarikiwe mungu azidi kuwainua.

  • @jennifermwakibete864
    @jennifermwakibete864 6 років тому +25

    dah! jamani kuna mda unasikiliza nyimbo mpaka unalia uwiiiì sina lakusema asanteni wanakijitonyama mbarikiwe👏💝💗💖💞

    • @loitolaisser3040
      @loitolaisser3040 5 років тому

      Jennifer Mwakibete daaaah we acha tyuu zamani kuliwa kuna nyimbo na hizi nyimbo ukisikiliza unaweza sema unamdhurumu Mungu

    • @cassyaugust4585
      @cassyaugust4585 4 роки тому

      @@loitolaisser3040 duh hata mimi roho imeniuma Ni kama walimtukuza Mungu vizuri sana ila thamani yao haionekani

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 років тому +67

    Who's still watching this song in 2018 through 2020 never expired I am here first God bless you group I am still blessing by this beautiful song

  • @victormoshi001
    @victormoshi001 6 років тому +21

    Huu wimbo unanikumbusha ubarikio wangu 2005 Moshi tuliicheza sanaa ..daah unànibarikiri sanaa ....!

  • @devotamwambola8303
    @devotamwambola8303 2 місяці тому

    Huu wimbo unaishi enzi za ukwata

  • @glorydivah
    @glorydivah 7 місяців тому +2

    it's MAY 2024, I still listen to this song, remember back to 2003 niliimba hiyo part ya ALIZALIWA KWA TABU 🤣🤣 my father slap me and ask me who told you ALIZALIWA coz we used to know watoto wanaletwa na ndege/helicopter 🤣🤣

  • @davismjema
    @davismjema Рік тому +11

    This song never gets old.
    The arrangement is on point.
    The vocals aaah on point, everything is on point.
    God bless you Kijito.

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 5 років тому +26

    Huu wimbo mimi mpaka leo naukubali. Ninashauri waurudie upya kwenye upande wa uvaaji yaani sale na kucheza wacheze upya kisasa zaidi ila wimbo usirudiwe chochote ubaki hivyo hivyo. Dada anaimba balaa sauti kama ya kimobitel aliyeimba wimbo wa mgumba part 2 enzi za mchinga sound. Wapiga vyombo nao dah!mbarikiwe sana watumishi.

    • @winfridagama2042
      @winfridagama2042 4 роки тому

      Jamani wewe Tedy waziri yupi mtoto wa Daniela Gama.???

    • @wilfredelimeleki4543
      @wilfredelimeleki4543 4 роки тому +2

      wakiurudia utakuwa mbaya.Hivi hivi ndio mzuri.Mungu aliachilia utukufu wake kwa namna hii,wakijiongeza kivingne hizo n akili zao na unaweza usiwe mzuri tena

    • @eliyaernest6327
      @eliyaernest6327 4 роки тому +1

      Hayo mavazi ya kiroho kabisa ila ya wanaume ndo ya kiroho zaidi

    • @frankkinyaiya.8217
      @frankkinyaiya.8217 9 місяців тому +1

      Original ni original tu... Ukirudiw utapoteza uhalisia wa mwanzo

  • @theophilusaburi1570
    @theophilusaburi1570 8 місяців тому +9

    2024 still powerful❤‍🔥

  • @remtymsangi6365
    @remtymsangi6365 3 роки тому +3

    Napendaga Sana hizi nyimbo za wakristo,Tena nyingine zinanitoaga machozi kwa hisia ingawa mm Ni mwislamu Ila nashindwa kuelewa pale wanapomwita Yesu Mungu,daah

    • @loitolaisser3040
      @loitolaisser3040 3 роки тому

      Nyimbo nzuri sana hiz hadi raha🙌🏿

    • @RojasMtali
      @RojasMtali 3 місяці тому

      Kalibu Raha pekee unapatikana kwa YESU hasa YESU wa kkkt

  • @zakariangote361
    @zakariangote361 2 роки тому +4

    Kijitonyama uinjilisti🙌🙌

  • @innocentkitundu6637
    @innocentkitundu6637 4 роки тому +11

    Master J aliutendea haki sana huu Wimbo! Big up sana kwake, kwa wapiga vyombo na kwa waimbaji wote wa Wimbo huu!!

  • @justusjustin1741
    @justusjustin1741 2 роки тому +3

    It is gitar for me wow.....2022 who else is also listening to this masterpiece

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +2

    Yesu ni mfalme wa wafalme. Yesu ni Mungu. Yesu ni uzima wa milele. Jmn tumtafute kwa bidii sana huyu Yesu jmn hadi machozi sasa yanitoka. Anasema yeye anitafutaye hatakwenda gizani kwamwe bali atakuwa na nuru ya uzima. Heb soma vizuri Yohana8:12. Bwana Yesu nakupenda, niokoe na dhambi za ulimwengu huu, ili niwe na nuru ya uzima wa milele. Amen.

  • @elifazmpozayo2930
    @elifazmpozayo2930 3 роки тому +5

    Kitambo sana, huwa sichoki kuiskiliza hii nyimbo mungu awabariki watumishi wa mungu🙏

  • @michaelmuthuri7471
    @michaelmuthuri7471 Рік тому +5

    Bwana Yesu awabariki sana, wimbo mtamu sana.

  • @RojasMtali
    @RojasMtali 3 місяці тому +1

    Mungu wabaliki watumishi hawa🎉🎉🎉🎉

  • @EmmanuelLameck-s2i
    @EmmanuelLameck-s2i 5 місяців тому +1

    2024 ukisikia nyimbo za injili ndo hizi Sasa 🙏

  • @VeronicaBango
    @VeronicaBango Місяць тому

    Hongera sana waimbaji wote kwa wimbo huu mzuri sana, ambao utadumu karne zote , na ni kweli hakuna kama Yesu, mbarikiwe sana,

  • @joycechami7307
    @joycechami7307 2 роки тому +1

    Yan ni Hakuna kabisaa milele. Imeishaa iyoo

  • @GenovevarKavikule-it2wc
    @GenovevarKavikule-it2wc 7 місяців тому +2

    Hadi leo bado inanibariki sana may 2024 -haiwez kuchuja hii nyimbo milele

  • @MexonJojo
    @MexonJojo 4 місяці тому

    kweli hakuna mwanaume kama Yesu i love this song since i was young

  • @young_brother27
    @young_brother27 5 місяців тому

    Leo nimeamka asubuhi nimejikuta nauimba tu huu wimbo japo sikumbuki ni wa nani maana enzi hizo nilikuwa nausikilizaga tu kwenye redio za mbao jumapili ❤
    Asante Mungu nimeupata na nilisach tu "hakuna kweli hakuna"

  • @georgemkolongo2391
    @georgemkolongo2391 6 років тому +4

    Hakika huu Wimbo nmekua nayo nafikir nitakufa nao piaaaaa ..... Walikua smart sanaaaaa

  • @happynesskibona6658
    @happynesskibona6658 7 років тому +12

    Hii wimbo mnanikumbusha Aunty Tusajo alivyo funga ndoa mkanda wake wa Arusi ulikuwa unaimba wimbo huu naye alikuwa analia ukiimbwa Mbarikiwe sana

    • @erickkiiza8954
      @erickkiiza8954 3 роки тому

      Nami nakumbuka Harusi ya mdogo wangu Elibariki na Pendo

  • @barnabashirima7293
    @barnabashirima7293 4 роки тому +2

    Hakuna Kama Yesu ataujisifu vp yy ndie mshind wetu#gonga like weeeee 2020 upendo tu

  • @timothymwendaofficial1538
    @timothymwendaofficial1538 7 місяців тому +1

    Courtesy of essence of worship cover,,,big up kijitonyama,,,tuning from kenya

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 3 місяці тому

    Tuliwekewaga kwny kumbi zavideo kabla ya movie ❤❤❤❤old is Gold

  • @godwinvaleriankimario3825
    @godwinvaleriankimario3825 6 років тому +5

    ninapata faraja sana ninapokuwa nasikiliza wimbo huu amina

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Рік тому +2

    Kila nikisikiliza huu wimbo lazima nilie😭😭😭😭

  • @yoelsiima2370
    @yoelsiima2370 10 місяців тому +2

    2024 and we are still blessed with this song ❤

  • @yaeljustine7142
    @yaeljustine7142 2 роки тому +9

    25/08/2022 still listen to this wonderful and powerful song🙏🙏

  • @jngweji8920
    @jngweji8920 2 роки тому +11

    Growing up to this was the best thing ever. Thanks to my beautiful sister Gertrude who used to bring me some video tapes of these songs together with Rose Muhando from her trips to Tanzania 🇹🇿

  • @emmanuelkameme4091
    @emmanuelkameme4091 7 років тому +27

    Jesus is alive for sure

  • @evelynepama3827
    @evelynepama3827 3 роки тому +1

    Jamani mimi kwa hapa bado sijaupata uliovunja hii rekodi,Mungu azidi kuwabariki watumishi wa uinjilsti maana tunamuona Mungu kupitia uinjilisti wenu.

  • @wachakashopping579
    @wachakashopping579 8 місяців тому

    This songs has blessed me a lot na nasema tena hakuna mwanaume kama Yesu , essence of worship cover brought me here and the song filled me with holy spirit

  • @rechomlay5420
    @rechomlay5420 3 роки тому +3

    Wimbo mziri sana .kweli hakuna aliye kama yesu

  • @camilajohn3801
    @camilajohn3801 4 роки тому +3

    Hakikaa hakunaa Kama YESU mbarikiwe sanaaaa

  • @blessedtumaini8454
    @blessedtumaini8454 3 роки тому +1

    Bwana Yesu Kristo hakuna aliye kama wewe pokea sifa utukufu na shetani hakika umenitendea makuu. Mungu Baba asante kunipa Yesu Kristo.

  • @lovenesssanga4687
    @lovenesssanga4687 7 років тому +8

    ubarikiwe Dada Oliver

  • @unclep7476
    @unclep7476 3 місяці тому

    Wenye tumetoka tiktok karibuni saaana❤❤❤

  • @ajimusa7351
    @ajimusa7351 7 років тому +5

    mbarikiw n mung awape nguv zaid nawapenda pendo hap kutok Kenya ruthalani makup

  • @bahatkisam8367
    @bahatkisam8367 8 місяців тому +1

    Essence of worship
    Wamefanya nije hukuu

  • @noel7312
    @noel7312 2 роки тому +3

    Tujuane tunaosikiliza wimbo huu mwishoni mwa 2022

  • @Bonieking
    @Bonieking 3 роки тому +17

    What a blessed song! 2021 I cruise through victoriously cos This Man Jesus got be Big Time!

  • @nimrodmponzi2431
    @nimrodmponzi2431 Рік тому +1

    Nipo home nabarikiwa sana na hii nyimbo2023

  • @vonniesamsonie3453
    @vonniesamsonie3453 4 роки тому +3

    Hakuna aliye mwanaume Kama Yesu kweli Hakuna,, Amen

  • @robertelnest1229
    @robertelnest1229 4 роки тому +2

    UA-cam wako juu wametusaidia kutunza mambo meng sana

  • @CTCNAVY
    @CTCNAVY 6 місяців тому

    2024 Stiil hav POWER you guys are AMAIZING

  • @LucyWillson-xo1ly
    @LucyWillson-xo1ly 5 місяців тому

    Huu mwimbo unanibariki 2024

  • @jimmychengs1338
    @jimmychengs1338 Рік тому +2

    you will never find many Guitar 🎸 specialist like these guys.. asanteeee

  • @joyayitso8176
    @joyayitso8176 8 місяців тому +1

    Thanks to essence of worship...am here😇

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 6 місяців тому +1

    AMINA AHSANTE BWANA YESU 🙏🙏🙏🙏

  • @florencezawadi9723
    @florencezawadi9723 2 роки тому

    Jina la Yesu lipewe sifs. Kwani yeye pekeyake snayeweza kuponya maisha ya binadsmu

  • @thagondale9041
    @thagondale9041 Рік тому

    Nakumbuka 2004 tulienda Irente Orphanage centre (Lushoto) This song was a Jam by then 🔥 kabisa .. basi ikapigwa pale tukacheza show ... Nikapewa pesa nawasharika bhana

  • @lizzahsam4928
    @lizzahsam4928 Рік тому +1

    2023 bado nabarikiwa Na Huu wimbo ❤❤❤❤

  • @Officiallee-y5f
    @Officiallee-y5f 2 місяці тому

    Hadi sasa bado naskiliza kazi nzuri sana hii

  • @YustaOsward
    @YustaOsward 5 місяців тому

    Mimi nausikiliza hapa muda huu

  • @belindahluyo2094
    @belindahluyo2094 6 місяців тому

    Essence of Worship has made me search for this song. God bless you Kijitonyama Choir.

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 роки тому

    Nyimbo hiz Mungu awabarki sana

  • @lucygodwin7590
    @lucygodwin7590 2 роки тому

    Mkesha wa kuingia mwaka mpya wa 2023 nausikiliza

  • @alwangashem9330
    @alwangashem9330 Рік тому +1

    Kweli hakuna mwanaume kama Yesu.

  • @stevenjohn7816
    @stevenjohn7816 6 років тому +5

    mbarikiwe sana kwa huduma nzuri,huu wimbo sijui ni mwaka gani lakini kipindi nakua nausikia hadi sasa

  • @bonifacejohanes895
    @bonifacejohanes895 2 роки тому +5

    one of the best songs, the solo team did justice to this beatiful song.

  • @mariammjelwa377
    @mariammjelwa377 4 роки тому

    Da Oliva enzi hzo ulikuwa miss

  • @michaelibrahim8201
    @michaelibrahim8201 6 років тому +2

    Nzurii sana hii nyimbo na inanikumbushaa mbali sana

  • @mamitosam
    @mamitosam 7 місяців тому

    This song jamn🙌🙌🙌hii nyimbo huwa inanibariki jamn ni nzuriii🔥🔥🔥🙌🙌🙌❤️❤️🙏🙏🙏

  • @tijtvlive5233
    @tijtvlive5233 7 років тому +22

    hakuna mwanaume kama yesu

  • @jambo_safari
    @jambo_safari 6 місяців тому

    ❤Thank you these are the golden songs congregation sings and see ourselves lifted to heaven ❤

  • @aminamsimbe5806
    @aminamsimbe5806 3 роки тому

    Huu wimbo hauchuji hongera

  • @AdamKikalao-h4y
    @AdamKikalao-h4y 2 місяці тому

    Dah hakika tunatoka mbali.......❤

  • @careencharlescharles9749
    @careencharlescharles9749 5 років тому +3

    hakuna kabisa

  • @stevencharles4597
    @stevencharles4597 6 років тому +5

    Bwana ni mwema siku zote.

  • @mwinyihamisidee5813
    @mwinyihamisidee5813 Рік тому

    December 2023❤ and this song never get old still one of the best swahil best gospel song ever produced in this country🤲…. Future generation take care of this one😽

  • @hurumakonga8181
    @hurumakonga8181 6 років тому +3

    kwa kweli sijaona mwanaume Kama Yesu

  • @egnokinunda4539
    @egnokinunda4539 2 роки тому +2

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼2009 mikalanga sc

  • @witnessmbilinyi7076
    @witnessmbilinyi7076 3 роки тому

    Kwenye maharusi

  • @AllanoKing
    @AllanoKing 6 років тому +11

    This song makes me hv teary eyes..i love this super Jesus

  • @priscarpatrick2875
    @priscarpatrick2875 5 років тому +9

    Oooh my wedding song I can't wait

    • @stellamoye3513
      @stellamoye3513 3 роки тому

      Bado ujaoolewa tu tuje tucheze🌚🌚

  • @hosanamakere9165
    @hosanamakere9165 2 роки тому +1

    2022 still watching
    Hakuna aliye mwanaume kama Yesu

  • @Rockyline7386
    @Rockyline7386 Рік тому +1

    You are an Inspiration because you allowed yourselves to be used by God. God bless you sooooo.. much.