Enzi za uimbaji wangu, huu wimbo haungekosa kwenye orodha nikiongoza sifa. Najua Ndugu Cosmas Chidumule anafurahia guitar mle ndani. God bless and keep increasing you watumishi!
Hii ya mwaka jana, nilibarikiwa kuwa live, yaani it was fire 🔥, hapakutosha (kanisani) kweli uwepo wa Mungu ulikuwa mkubwa kiasi cha feeling za kuona Mbingu imefunguka haswa. Mbarikiwe sana KKKT Kijitonyama.
@@UinjilistiKijito All the way from Zimbabwe, I am looking for the original song you did way back - Yekelekele Zambe wa Moyo ... i cannot find it anywhere? Asante sana
KIJITO NYAMA KIBOKO YAO❤
The bass guitar is giving me goose bumps
#zambie wamoyo 🙌❤❤❤👏
goosebumps allover me , this people carry grace
Nimebarikiwa na wimbo huu! Amen
Happy to hear you live
Nitakuwepo kwa ajiri ya hii kwaya hapo kawe
🙏kijito✅
Extravaganza
This song makes me miss Tz so much! What fond memories, Tz is a great place
Hii ni kwaya kubwa sana
Kyekyo tata sabula tugende 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸💪💪💪💪💪💪💪✍️✍️✍️✍️✍️✍️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Omuganda jooli😂😂😂😂
Enzi za uimbaji wangu, huu wimbo haungekosa kwenye orodha nikiongoza sifa.
Najua Ndugu Cosmas Chidumule anafurahia guitar mle ndani. God bless and keep increasing you watumishi!
Sifa na utukufu tumrudishie yeye alie Juu🙏🙏
Mpo vzr
Nyimbo kama hizi hallelujah
I can't get tired watching this...
Yaaaaass 🙏🥰🥰🥰
Sijuii at nisem nin nawapenda mno kijito nyamaa mim nimekumbuk mbaliii mlikuw wapii kway yangu 3ora mda wowte namim niliimba kidog naupako wenu I love so much😘 By Flavian Middle byee
Waooh!!kwa Yesu raha sana.
Lakini Mimi nayishulu Sana kwaya winjlisiti kijjo nyama kwasababu imenipa mimi kumujuwa Mungu through this choir
💃💃💃be blessed all 🙏🙏🙏
Aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🤗
The music is good but can not be downloaded , why ?
Luaye luaye
Mungu azidi kuwatunza, kuwabariki na kuwainua huduma yenu ni njema sana.
Amen 🙏 Thank you Lord Thank you Jesus Thank you Choir
Aminaa tarehe 14-11-2020 sio ya kukosa hii Mungu awabariki sana KKKT kijitonyama uinjiristi🙏🙏🙏🙏🙏
Daaah kwa Yesu ni raha tupu. Baraka kwenu Kijitonyama
@@ibahatikassinge2780 sorry mpndwa ni wapi na sangap tafadhali naomba kujua
Mungu ni wanted sana
Naombeni muweke ulbam ya audio ile ya zamani twakalibia kanaani..
Cant wait for this weekend 14.11.2020 season II
Sorry dear ,SHALOM
NAOMBA KUJUA LILE TAMSHA LA KUSIFU LITAKALOFANYIKA KAWE,
JE UTAKUA UNfahamu n lini
Msaada plz
@@tigerchristmas5491 ni kesho 14.11.2020
@@tigerchristmas5491 Tamasha ni Jumamosi 14 November 2020 kuanzia saa Sita mchana. Karibu sana.
Hii ya mwaka jana, nilibarikiwa kuwa live, yaani it was fire 🔥, hapakutosha (kanisani) kweli uwepo wa Mungu ulikuwa mkubwa kiasi cha feeling za kuona Mbingu imefunguka haswa. Mbarikiwe sana KKKT Kijitonyama.
love yo songs bro may God bless u more
Such a blessing song🙏🙏🙏
A nice one. Amen.
Living song
Kutoka kigali tunawaheshimu kama wazazi wainjili Mungu awatie nguvu zaidi.
I am keenly listening to the rhythm guitar
That rhythm has the mind of its own, it is there hiding in plain sight! You must really know what you are looking for. Enjoy the music
@@UinjilistiKijito may God bless your ministry,thank you
@@UinjilistiKijito All the way from Zimbabwe, I am looking for the original song you did way back - Yekelekele Zambe wa Moyo ... i cannot find it anywhere? Asante sana
Kama mm yaani huyu jamaa wa rhythm ni balaa
Am blessed ❤️💖
Mmeshajipatia Muumini wamilele KKKT Kijitonyama
Emmanuel - Mungu pamoja nasi.
Karibu sana
Am so blessed so much God to bless you all Tz
What a blessing choir
Mungu awainue zaidi na zaidi. Mwanibariki Sana ❤️
Kumbe wewe ndio muanzilishi wa ekele kele
Shalom wapendwa , samahn
MWENYE KUJUA LILE TAMASHA LA KUSIFU LITAKOLOFANYIKA
Tanganyika peakers mwezi huu
TAFADHALI NAOMBA KUJUA SKU NA SAA ,
Jumamosi hii na saa 6
Tamasha ni Jumamosi 14 November 2020 kuanzia saa Sita mchana. Karibu sana.
@@UinjilistiKijito asante sana
@@evancebartlomeo2506 ubarikiwe san
Hallelluijah kwa Yesu kuzuri jamani.Tuko hapa Dallas Texas..U.S.A. tunawaangalia tunawapata vizuri sana.
Am blessed🙏🙏
Tunawapenda sana ,,Mimi ndiye huyu mzee anaeimba solo