TUNDU LISSU, MAALIM SEIF SHIKAMOOOO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 роки тому +2

    Wewe Mhe Tundu Lisu ni tochi ya Taifa la Tanzania tutazidi kukuenzi wewe si tu mwanasheria mtetezi bali ni binaaadam wa miujiza ambaye Mwenyezimu kakupa ulizi wake. Mwenyezimungu azidi kukupa kila lenye heri na wewe na akuondoshee kila lenye shari na wewe Amen 🤲🤲🤲

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 роки тому +3

    Lisu, kuna mambo mengi nimekuwa nikiyafaham kupitia speech za lisu, asante sn

  • @zakayoezekiel7500
    @zakayoezekiel7500 4 роки тому +8

    Watu wa ccm akili zao zipo chini sana sasa kama hamumtaki lisu na wala hamumpendi kwanini mnamfuatilia kwenye maongezi yake acheni ushamba na ulimbukeni akili zenu zikoje kwanini msifanye yenu magufuli kasema kila mtu ajinadi awezavyo mnataka mini si mkae kuwafuatilia viongozi wenu washamba nyie

  • @abelzablon5977
    @abelzablon5977 4 роки тому +4

    Mungu wa mbinguni atukuzwe duani na mbingu kwa kukupa afya tele

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 роки тому +2

    Salam zangu kutoka USA marekani ni mefurahi sana my.brothe lissu

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 роки тому +1

      Apo chake chake ndio ulipo marekani huwezi kwenda wewe subiri karafuu uchume

  • @helenibe9339
    @helenibe9339 4 роки тому +3

    maalim Seif shikamoo baba kwa uvumilivu wako na kwa kushikilia Amani ya nchi yetu

  • @isimailimwawa2328
    @isimailimwawa2328 4 роки тому +6

    Watanzania ote tumchague uyu mwamba imara ,CCM kwa huyu jamaa mtaisoma namba

  • @hamisrashidi6922
    @hamisrashidi6922 4 роки тому +1

    Naona ccm munaumia sana

  • @nardleonard5967
    @nardleonard5967 4 роки тому +2

    An mzeee lisu w utaongea sana lakn jua sisi atuwez kukupa nchiii ata kama ukifanya nni an trust we cant do so because ulivyo kuwa nje ulituvua nguo na hakuna rahisi mwenye sifa hyoo toka hii dunia ianzee alaf leo unarudiii unataka kuraa,hivi watanzania unatuonaje asee kama hatuna akili hvii, jua tunakumbuka yotee ulio fanya uku uliko kuwaa na sisi tumekupa kisogoo.MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEE🤕

  • @OmarOmar-tf6ph
    @OmarOmar-tf6ph 4 роки тому +6

    Ukitaka kumjua kama tundulisu anaenda kinyume na magufuli skia hapa magufuli alisema musinichagulie shikamoo naleo anamwambia maalim shikamoo siasa bwana huyu jamaa nitundu kweli halikai maji maana anaujua maana ya upinzani vilivyo haswaaa

  • @farhiyathani4810
    @farhiyathani4810 4 роки тому +1

    Maalim sefu shikamoo baba

  • @gockoomzawa3389
    @gockoomzawa3389 4 роки тому +4

    Watu kama JPM ndio wachache acha kutuzuga tundu lisu

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 4 роки тому

    Mpake mafuta kwa mgongo wa chupa
    Si nyie mlikuwa mnatukanana
    Leo unajikomba kisa update urais
    Huna nyimbo mzee

  • @danielmali1568
    @danielmali1568 4 роки тому

    Wana ccm wanatangaza amani wameficha mapanga acha kutufanya maboyoyo

  • @kassidpandu9806
    @kassidpandu9806 4 роки тому +5

    Ccm hatutaki shikaamoo wee mpe shikamoo shauri yenu

    • @buluush9741
      @buluush9741 4 роки тому

      Mutakufa nachuki zenu mbwa nyie😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 роки тому

      @@buluush9741 kaka anachofanya magufuli kila mtu anakiona hata wazungu wamekoma nae na korona, leo tanzania ni zaidi ya ulaya, ni mpumbavu gani hawezi kumpa kura kama si ndondocha

    • @buluush9741
      @buluush9741 4 роки тому

      Kazungumzia ukomavu wa siasa na kufunguwa pamoja navitisho kufanyiwa kwa mwana siasa basi kwa tanzania hii hakuna kama maalim sef sharif hamad mukubal mukatae yeye hakugusia mamb yamaendeleo hapo
      #SOMAKICHWACHAHABARI_KABLAKUINGIANDANIYAMADA

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 роки тому

      @@buluush9741 tamaa tu ya madaraka

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 роки тому +3

    Utaisoma number October😁😁😁😂😂🤣🤣

    • @benefaxadkarugila8798
      @benefaxadkarugila8798 4 роки тому

      Chamtema kuni watakionaaaa!wacha waisome namba eheeee!ccm mbele kwa mbele

  • @nyangwanyangwa5527
    @nyangwanyangwa5527 4 роки тому

    Good

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 4 роки тому +2

    Hiyo ni opinion yako tundu Lissu . Watu wanawekwa dentition kila nchi duniani. Wacha kamba.

  • @jumanneibazu9086
    @jumanneibazu9086 4 роки тому +3

    Tunanata tukushushe mpaka ukamuombe heri mweshiwa raisi Wetu kipenzi wawatanzania John pombe magufuli anayeitetemesha dunia nalazima tukunyoshe pumbavu zako shoga Lisu

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 4 роки тому +2

    Limetimia la Jembe Magufuli,kuwa shikamoo hiyoo 😂😂😂😂

  • @agustinobanga7861
    @agustinobanga7861 4 роки тому +1

    Ivi kwann asitangaze Sera zake kila Mara kulalamikia Ccm

  • @gogoidy2183
    @gogoidy2183 4 роки тому +3

    Tunataka aongelee uzalendo sio utumbo kamahuo

  • @athumankigomba427
    @athumankigomba427 4 роки тому +1

    Katumwa ajekupandikiza chuki na mashetani watanzania kuweni making Sana'a huyo lissu Anaabudu shetani Tanzania mungu muemakini nae

    • @pandungozi1072
      @pandungozi1072 4 роки тому

      Una mavi kwenye brain usingesema hayoo

    • @mshindimshindi9120
      @mshindimshindi9120 4 роки тому

      Shetani weye unayeshabikia dhambi ya mauaji... Tundu Lisu hajawahi kufanya baya Nchi hii... Ametoa yaliyo moyoni mwake na mtizamo wake kama msomi. Nyie mnaotaka kumwabudu mtu hata akitoa maoni ya hovyo..

  • @abelzablon5977
    @abelzablon5977 4 роки тому

    Tupatanisheni kama taifa vyama visitutenge

  • @helenibe9339
    @helenibe9339 4 роки тому +1

    Amani italetwa na haki Magufuli akijaribu kufanya vitendo vya kihuni km alivyofanya kwy uchag wa serikali za mitaa vya kuengua wagombea wa upinzani asilimia 99 kihuni basi mapambano ni lazima kutafuta haki hii ni lazima aambiwe wazi ili asithubutu hakuna nguvu za dola zilizowahi shinda nguvu ya umma duniani mifano iko wazi Burkina faso, misri, Libya, Tunisia, Sudan

  • @athumankigomba427
    @athumankigomba427 4 роки тому +2

    Mani asiejua kama wewe kibaraka tu Wliokutuma kumbuka Tanzania c nchi ya mchezo

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 4 роки тому +3

    TISS acheni kucomment mambo ambayo hayawahusu naona mmejaa humu

  • @mabubambassa2333
    @mabubambassa2333 4 роки тому +2

    Acha uongo, danganya wanafiki wenzio. Mpumbaze maalim na hao act wenzake ili uwatumie kama mtaji wa kufikia malengo yako muongo mkubwa na mnafiki wewe.

    • @sagutihussein3697
      @sagutihussein3697 4 роки тому +1

      Polen sn ccm
      Mlitaka kumuua mungu hajapenda
      Kazi mnayo

    • @pandungozi1072
      @pandungozi1072 4 роки тому

      wewe una usaha kicwani huna akili mwenye akili hawezi kusema hayo

    • @abubakaryomary3985
      @abubakaryomary3985 4 роки тому

      @@sagutihussein3697 kazi wanayo ccm wataisoma namba

  • @kibonaamenye6878
    @kibonaamenye6878 4 роки тому +1

    JPM2020 alikataa kilasiku kutoa shikamo

  • @bigmuu4943
    @bigmuu4943 4 роки тому +2

    hem lete sera tukuelewe bwana unaongea utumbo tupu

  • @ernestmagunus3788
    @ernestmagunus3788 4 роки тому +1

    Mwendelezo wake unapatika Maana matangazo yali katwa gafla sijui tatizo nini

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 4 роки тому

      Wanakata kwa sababu hawapendi kuambiwa ukweli..wakiona Magufuli anasemwa vibaya tu wanazingua.

  • @jumanneibazu9086
    @jumanneibazu9086 4 роки тому +3

    Hivi wewe bwege Lisu kwaakili yako ukilala usku naakili zako zakilisasilisa unafikilia Kuwa utakuja Kuwa rais hakiyamungu Kama ulichukua Hera kwahao mabeberu hakiyanani watakuinamsmisha tena ss hatukutaki magufuli anatosha 2040

    • @justinekashiriririka8690
      @justinekashiriririka8690 4 роки тому

      Kanye ukalale dogo huna lolote ikiwezekane kakojoe kabisa huna swaga

    • @ernestmagunus3788
      @ernestmagunus3788 4 роки тому

      mbona unalia sasa

    • @aliboss2736
      @aliboss2736 4 роки тому

      Ukiwa na akili ya kondoo uwezi muelewa lissu kwa ww n kondoo tu

    • @nuruontv6541
      @nuruontv6541 4 роки тому

      Mwaga sera.Duh hata Kijiji huwezi kiongoza.Wakalia kutafuta huruma tu na hitoria za uongo zilizojaa unafiki mtupu.

    • @reggeamusic704
      @reggeamusic704 4 роки тому

      Jifunze kuandika vizuri

  • @benefaxadkarugila8798
    @benefaxadkarugila8798 4 роки тому +2

    Kuwekwa kizuizin ni sifa?huyu bwana kumbe lisasi bado ziko akilini, watanzania hatudanganyiki, wambie watanzania utawafanyia nn na siyo kutueleza historia za watu!

    • @salehali2380
      @salehali2380 4 роки тому

      Wewe kumbe ni mwehu. Hawa watu sisi tunawaheshimu na tuawwaenzi kwa mchango wao.
      Weka heshima sana na wazee wa watu.

    • @ernestmagunus3788
      @ernestmagunus3788 4 роки тому +1

      unamjua huyo jamaa lakini?

  • @barnabasisirael367
    @barnabasisirael367 4 роки тому +1

    Tindulisu ng'ang'nia kombe hii nimeipenda angalia na wewe
    ua-cam.com/video/6jv1lf0VRl0/v-deo.html

  • @kassembotz1421
    @kassembotz1421 4 роки тому

    Na Edward Lowasa je???😆😆😆😆

  • @makoyemadale8438
    @makoyemadale8438 4 роки тому +1

    Huna jipya bwege wewe kama umetumwa kuja kutuvuruga utasubili sana

  • @najimmohamed783
    @najimmohamed783 4 роки тому +1

    Hamna lolote apo

    • @pandungozi1072
      @pandungozi1072 4 роки тому

      toa wewe ulonalo corona wewe

    • @najimmohamed783
      @najimmohamed783 4 роки тому

      @@pandungozi1072 wafuasi wajinga n kama wew huna hoja umekalia kuandika upumbavu corona ni nn sasa ndo ujue wew na kiongoz wako vichwa maji😂😂

    • @pandungozi1072
      @pandungozi1072 4 роки тому

      kichwani mwako mna mavi huwezi ukajielewa

  • @benefaxadkarugila8798
    @benefaxadkarugila8798 4 роки тому +1

    Nmeamin huyu bwana anapaswa kwenda kuchunguzwa akili yake, kama watu wamegeuka kuwa taasisi, sijuh tunaelekea wapi, kumbe ndiyo maana kawaongoza wenzake kubadili wimbo Taifa la Tanzania kuwa wa Chama chake, nawasih watanzania wenzangu kuwa makini na huyu bwana, kwanza alisema anatembea na risasi mgongoni ambazo ziliwashinda wazungu wake kuzitoa, kwahiyo tunadanganywa mchana kweupe kuchagua kiongozi mgonjwa wa mwili na akili, Aliselema piga kazi sisi tuachie huyu anayejihita mtetezi wa waongo,huyu mgonjwa hawezi kuwa mtetezi wa wanynge, mwache mzee atatukuta kwenye uwanja wa siasa,tutamuuliza wimbo kama aliutunga baba yake!

    • @rosetreffert6727
      @rosetreffert6727 4 роки тому

      Kichaaa tu

    • @husseinmillinga1920
      @husseinmillinga1920 4 роки тому

      Utakufa kwaroho mbaya yako

    • @benefaxadkarugila8798
      @benefaxadkarugila8798 4 роки тому

      @@rosetreffert6727 omeona ee!

    • @nuruontv6541
      @nuruontv6541 4 роки тому

      Kweli inabidi utoe shikamoo maana una akili za kitoto.

    • @dailymotivation6484
      @dailymotivation6484 4 роки тому +1

      Nawashangaa sana mtu kutoa tathimini na mawazo ya fikra zake alafu mkaanza kutoa matusi mapungufu uliyonayo wew vile ambavyo umeyaficha yako nakushangaa kutoa matusi kwa mtu anayetoa ya kwake adharani ukitafta wagonjwa wa akili wenda na ww ni mmoja wapo watanzania tuwe walendo kuilinda amani ya Nchi yetu sio matusi kweny comment

  • @shabanhassan4272
    @shabanhassan4272 4 роки тому

    Dah!!
    Hamadi rashidi kawekwa kiziwizini.
    Juma duni haji kawekwa kiziwizini
    Lakini jiulize kawekwa kwa ajili ya masilahi ya wananchi au maslahi yake??
    Aliiba taarifa ya Mzee Jumbe iliyokuwa ikihitaji serikali tatu na akaipeleka kwa nyerere.
    Je hapo alikuwa anapigania watu au alikuwa anakipigania ccm??
    Ukitaka kudanganya basi tafuta njia sahihi ya kufanya hivyo.

  • @thewayreuter2432
    @thewayreuter2432 4 роки тому

    Hahahaha...unatumiwa na wazungu
    Distablize and bring disunity in TZ
    Hahahaha...we love our neo Ethiopia in this coronazation new colonization formula.. hahahaha

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 роки тому

    Bule kabisaa

    • @Bam268
      @Bam268 4 роки тому

      Papaya wee kweli papaya kasome kiswahili kwanza inainekana wee ni mburundi hio sio bule ni BURE

    • @aganolamotoeliya2027
      @aganolamotoeliya2027 4 роки тому

      @@Bam268 ni kingereza kaandika.

  • @fredyndomba53
    @fredyndomba53 4 роки тому

    Dd