DKT MAGUFULI AFICHUA ALICHO AMBIWA NA MAALIM SEIF KABLA YA KIFO KUHUSU ZNZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 128

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 роки тому +18

    Maalim Alidhulumiwa sana maskini ila hakuweka kinyongo alikuwa ni mtu wa pekee na lengo lake ni kwa sababu alikuwa anataka Maendeleo na amani ya Zanzibar 😘😘

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 роки тому +32

    Seif ni kiongozi mwenyee imani sana nä hofu ya mungu
    Allah amsamehe madhambi yake ameen

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 3 роки тому +36

    Siku zote mazuri ya mtu huonekana baada ya kufa!
    But Maalim was really good man! Tumepoteza hazina! Ila ALLAh ameihitaji hazina yake!
    Innalilah waina ilaihi rajiuun

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 3 роки тому +31

    Ishi ulaumiwe
    Kufa usifiwe

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому +1

      Umejuwaje khadija

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому

      Karibu saudia Arabia

    • @khadijaa815
      @khadijaa815 3 роки тому

      Shukran na ww karibu oman

    • @kidjhdf7568
      @kidjhdf7568 3 роки тому

      Asante +966537824849

    • @mohammedjumakhamis8151
      @mohammedjumakhamis8151 3 роки тому

      Siku zote thaman ya ktu huonekanwa baada ya kuondoka. Asante umeongea maneno mazur mashaallah

  • @queenmamy7970
    @queenmamy7970 3 роки тому +15

    Mnajua umuhim wa maji kisima,kimekauka

  • @fatmajuma9835
    @fatmajuma9835 3 роки тому +12

    Kutoka 1995-2020 mnadhulumu lkn inshallah kesho mbele ya haki kitaeleweka.

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 роки тому +1

      Maalim ameshasamehe

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 3 роки тому

      @@zakiahaji1683 nchi c ya Maalim hii, yy amesamehe madhila na udhalilishaji aliwofanyiwa yy km yy

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому

      Dua ndo kitu muhimu uko aliko lawama hazita msaidia

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      Tena hatuwasamehe walijue hilo

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      @@abdulmohd6880 swadakta hatuwasamehe wanajiona wamefika dunia

  • @fatmamashallahdadadidahama9824
    @fatmamashallahdadadidahama9824 3 роки тому +9

    Simba, jembe, jemedari la taifa n nchi nzima ameondoka, n huzuni kubwa sana kwetu

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr 3 роки тому +5

    Moja Moja Moja katekeleza Alhamdulillah watu wote wameenda mazikoni
    Allah Akbar
    Allah Akbar
    Allah Akbar

  • @alimakame4207
    @alimakame4207 3 роки тому +11

    Haki zake zote Mlizo mdhulumu mtaenda kumlipa mbele ya haki. Yy ameshatangulia na sisi tupo nyuma yake. Hakipotei chochote mbele ya Allah

    • @hamadnassor3864
      @hamadnassor3864 3 роки тому +1

      Ali makame umeongea haki tupu haki haipotei kwakweli watamlipa Akhera in shaa Allah

    • @mulhatkassim4397
      @mulhatkassim4397 3 роки тому

      Hii cku namuomba Allah nipate nishuhudie cku ya hukum

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 3 роки тому

      @@mulhatkassim4397 unafikiri ni rahisi kuangalia hukumu ya may wakati yako hujayajua siku ya hukumu ni siku nzito sana mpaka kufikia kukimbiana baba atamkimbia mwanawe na mtoto atamkimbia mzee wake halafu ww unataka uone hukumu ya mwenzio tumuombe Allah atupe mwisho mwema tu

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому

      Je unauhakika kama yy haja mkosema Allah vp kama maneno unayoyasema apo ikawa ndo chanzo cha kuazibiwa uko aliko acha ayo mambo Mungu mwenye anatosha cha msingi tumuombee dua tu asaiv ndo chakula chake pengine uko aliko anajuta kwnn alijiingiza kwenye siasa na asiingie kwenye

    • @hawahamad9628
      @hawahamad9628 3 роки тому

      Yani we kaka nimekuelewa sana inauma sana.

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому +3

    Mashaallah mashaallah mashaallah mwenyezi mungu atazidi kutuhifadhi waja wake

  • @alimakame4207
    @alimakame4207 3 роки тому +8

    Mlirejea uchaguzi kwa sababu alishinda yy kwenye uchaguzi na mkakataa kumpa haki yake . Yaliopo mbele ndio bora zaidi

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому

      Ww angekosa kuchaguliwa na M/Mungu ndo ingekua kesi lkn binaadam so chochote kwake chamsingi muombee dua ayo maneno mnayosena hamuez jua kiasi gani yanamuumiza na kujuta kutaka uongozi

    • @alimakame4207
      @alimakame4207 3 роки тому +1

      @@ashasalmin144 Soma historia ya dini yako Utafaham. Kuchagua kiongozi tokea kupindi cha Mtume (s.a. w) ilikuwepo. Wanaadamu wanachagua ni kiongozi gani ana maslahi wanamchagua. Hata kipondi cha Mtume Muhammad kura zilikuwa zinapigwa kwa mambo tofauti

    • @alimakame4207
      @alimakame4207 3 роки тому +1

      @@ashasalmin144 Kwahio ww kwa fikra zake vile kuwa anachaguliwa na wananchi walio wengi kwamba awaongoze halafu hapewi haki yake kwamba imepotea bure? Hakuna chochote kile kinachopotea mbele ya Allah

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому

      Izo kelele munazo piga hazimsaidii uko aliko cha msingi dua tu asaiv kama kweli kiongoz wako unampenda bac Muuombee dua tu lkn kama angeliweza kutoka uko aliko yy mwenyewe angewasihi niombeeni dua mm msiniseme kwa siasa

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 3 роки тому +1

    Tutoleen mashekh wetu tafadhali

  • @mulhazinzibar6912
    @mulhazinzibar6912 3 роки тому +14

    Leyohii kwasababu hayupo tena kilakitu mutaelezeya mbona hamukutenda haki kwenye uchaguzi SASA BC itabakistorituu unamsifumtu hayupo faidahaipohapo msifu MTU kablahajafumbamacho ajuwemwenyewe kwasasa Baba umechelewakidogo

    • @rizikiabdalla3308
      @rizikiabdalla3308 3 роки тому +1

      Alimsifu kabla haja kama unakumbukumbu nzuri maalim alikutana na magu chato na akamsifia sana na pichaa Zipo

    • @khadijamajojo7123
      @khadijamajojo7123 3 роки тому +1

      Mungu amesema semeni mema ya maiti wetu na sio kama hakujua kua hana mabaya ivyoo misisahau dini mkakumbuka ya dunia tu

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 3 роки тому

      @@khadijamajojo7123 nishakuelewa mamy lkn ujue kuwa mema ya maalim yameyafunika mabaya yake(Allah amjaalie qauli thabit )Amin

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 роки тому +7

    Mume mzulumu ndio leo mnatowa wasifu wake

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 3 роки тому +3

    NDIO MAANA NASEMA MSIBA UMETUGUSA WENYE AKILI

  • @bibazanzibariyyah5043
    @bibazanzibariyyah5043 3 роки тому +3

    Mbona hukusema tokea yupo hai ungemsifia yupo hai angepata faraja
    Alhamdulillah umemjua maalim Allah amrehemu

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +2

    Dunia ni mapito na starehe za muda. Vyeo, umaarufu, mali nk tutawacha hapahapa duniani.
    Tumtangulize Mungu kivitendo tusiishie ktk matamko vinywani na viapo lakini tunabariki na kuruhusu yamchukizayo kwa kutowa leseni na kutoza kodi ya mapato ktk maasi; ulevi/pombe, sigara/tumbaku, kutembea uchi/mashindano ya urembo, Miziki, riba, kamali nk !!!!
    Hivi tunamdhihaki Mungu?!!!!
    Tumesahau maangamizi walopata Umma zilizotangulia?!!!
    Tusijidanganye/tusidanganywe kwa kwa kauli za "MABADILIKO US TABIA NCHI...". Haya majanga na mabalaa ni kutokana na uovu/maasi tuyafanyayo duniani. Tunaenda Misikitini na Makanisani kwa unafiki (riha/sifa) tupate kuonekana ni waumini kumbe moyoni tunajuwa kuwa
    tunamtumikia shetani !
    Yatupasa tubadilike tuwache mazowea. Mungu wa kweli hataniwi, kumdhihaki Mungu ni kujiangamiza wenyewe.
    Tumesaha yalomfika Firauni/Farao na watu wake, tumesahau ya Sofoma na Gomola/Kaumu Ruti?!
    Tusipobadilika/tusipomtaja Mungu na kumtegemea (kumuabudu) kivitendo tutegemee kupata mitihan zaidi ya Covid-19 na nzige.
    Si tunaona mvua zinazonyesha ni za maangamizi na mabalaa, likitoka jua balaa..! Hivi hatujiulizi tu?! Sasa huko Makanisani na Misikitini tunaenda kumuabudu Mungu gani?!!
    Tusijidanganye eti " Serikali haina dini...!" Hivyo Serikali ruhsa kuidhinisha haramu !
    Wamepita mitume na manabii (waukweli) mbalimbali ili watuonye tusiangamie duniani na Akhera.
    Vijana/wanawake wanatembea uchi, wanaume wanasuka nywele, kamali, zinaa, maasi yamejaa tena hadharani afu mnasoma dua la kufungua Bunge kwa kumtaja Mungu, hivi ni Mungu gani mnae mtaja ktk dua na viapo?!
    Tubadilike tuwache mazowea, msitoboe Jahazi tutazama sote.

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 3 роки тому +3

    Mimi namshukuru mh magufuli kwa ukweli na uhakika alioutaja bila ya kuficha.. Na dalili ya kutosha kwamba Dr sheni na wenzake walikuwa watu wabaya Kupita mpaka lakini allah atawapa malipo Yao hapa hapa duniani. Shukran magufuli kwa kutoa siri kama hio

  • @muliksuleiman1633
    @muliksuleiman1633 3 роки тому +7

    Wale ccm wa zamani do walikuwa wagombanishaji Znz Na tz na wenyenzi mungu at awajaalie waondoshwe 1mmoja mafisadi wakubwa mara mmpemba mara muarabu wakikuona na ragi hata kama umechanganyaa na mchaga wewe kama mwepe kazi hupewi kipande hupati wafukuzweeee ccm wakongwe woteee eeee looooo zaooo

  • @kessirashidymikidady8905
    @kessirashidymikidady8905 3 роки тому

    Mungu ampe heri mwalim seif

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 3 роки тому

    Mumemdhulumu since 1995 wanga wakubwa saiv nyoko nyoko

  • @wahidakadrow8468
    @wahidakadrow8468 3 роки тому +1

    Mutamkumbuka sana Kwa wema wake. Ole wako magufuli

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 3 роки тому +1

    Lazima usite kwa uhasid wako unaroho mbaya sn na ccm wenzio waone vile mumefurah kufa kwakwe tuyajuze 2 mate hayatemewi juu pia njia ni 1 tutaondoka 1 baada ya 1

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 3 роки тому +4

    Tulimuamin na tulitaman awe rais lkn awamu tano aligombea hamkumpa maskin leo ndo mnajua kama alikuwa na nia safi na ni mkarim Allah msamehe na mlaze pema peponi..

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 роки тому +1

      Wamemnyima urais kama anavonyimwa raila Kenya toka ana nguvu zake mpaka amezeeka siasa hizi

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому

      Akipata urais uko aliko unamtosha kuliko wa hapa

  • @yasminjuma663
    @yasminjuma663 3 роки тому +4

    Hao waliokukatalia kuonana na maalim. . Na Sasa tunawaona

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому +4

    Mtu akifa ndio mnaleta maneno mazur sio

  • @jumaaomary4949
    @jumaaomary4949 3 роки тому +1

    Mzee bora unyamaze tu sisi hatukuelewi kabisa

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 3 роки тому +2

    Kufa asifiwe lkn iposiku tutajua ukweli wallah mtakufa vibudu au maiti zenu kutokuonena milele mmetuuwa sana Zanzibar kisa madaraka wallah allah ndio ngaoyetu haya fanyeni mkoa sasa Zanzibar muchukuwe nguvu zetu mimalizie njia ya tren dar allah tuthihirishie mnafki week hii au mwezi huu

  • @dotomohammed6662
    @dotomohammed6662 3 роки тому +1

    Alijua fika ndiomana akajirudi hakutamka makuu yadhambi rip maalim sf

  • @ahmadozil2220
    @ahmadozil2220 3 роки тому

    Mumeshindwa kumtumia wakati wote wa uhai wake Leo hii Ndio munamsifia wakati mumeshachelewa mwenyezi keshamchukua kiumbe wake. NA mpaka dunia itaisha hamtopata tena mtu muhimu kama maalim. Mungu ailaze mahala pema ROHO ya shujaa wetu na awape nuru ya kabri wale wote walotutangulia. Nasi tuko nyuma YAO.

  • @saidmassoud2020
    @saidmassoud2020 3 роки тому

    Mungu ndio maana aliweka kiama kila kitu kitafichuka

  • @MaryamMaryam-hd7es
    @MaryamMaryam-hd7es 3 роки тому

    Allah atamlipa mazur maalim wetu na hki yke haipotei ya dhulma

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 роки тому +2

    Reekbisheni screen yenu. Yanakuja maneno ya ajabu ajabu

  • @MaryamMaryam-hd7es
    @MaryamMaryam-hd7es 3 роки тому

    Kweli ukishakufa ndo yanaonekana mazur yko ila sw Allah ndo anaejua yote

  • @binmbarouk7246
    @binmbarouk7246 3 роки тому

    Baada ya kufa allh amlaze pema peponi kipenzi chetu

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 3 роки тому +1

    Ww ndiofisadi ulotufisidi IlaAllah anakungoja

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 3 роки тому

      Wacha hizo tofauti zilisha malizika wakati wameunga serekali hii mpya na Rais Hussein Mwinyi

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому

      Ww kama ulicho kisema huna uhakika nacho vp Mungu hakungoji ama baada ya kumuombea dua mwezetu ww unasema tu huji kama anaweza kuhukumiwa kwa icho ulicho kisema

  • @khamissiali2231
    @khamissiali2231 3 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    SWALI: je nani ataziba pengo ? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @ashasalmin144
      @ashasalmin144 3 роки тому +1

      Mungu anayosha kuziba pengo ukisema ivo itakua unamkosea alie kuumba

    • @hawahamad9628
      @hawahamad9628 3 роки тому

      Hayupo wakuliziba pengo lake

    • @khamissiali2231
      @khamissiali2231 3 роки тому

      @@hawahamad9628 uvumilivu unahitajika katika kipindia hiki

    • @hawahamad9628
      @hawahamad9628 3 роки тому

      Khamis Aliy hakika uvumilivu unahitajika mimi nazid kumuomba Allah atupe subra tuzid kustahmili.

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 3 роки тому

    Huna hata aibu vyote mtuwwatu alivyokuwa nyeyekefu mtiifu leo hayupo ndio unajifanya myinge

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 роки тому

    Unajua Leo kwa sababu hayupo tena

  • @mundhiraliy1307
    @mundhiraliy1307 3 роки тому +1

    Anaongea ujinga 2 mdhulumati mkubwa 😡

  • @sweetmeena5970
    @sweetmeena5970 3 роки тому

    Huyu mzee alienda mazishini kweli mana sikumuona

  • @dreamleague-uq2gx
    @dreamleague-uq2gx 3 роки тому +4

    😢😢😢 I swear siwez kujizuia kulia

    • @samzali8554
      @samzali8554 3 роки тому

      pole utakufuru mwisho

    • @dreamleague-uq2gx
      @dreamleague-uq2gx 3 роки тому

      🙏

    • @khamissiali2231
      @khamissiali2231 3 роки тому +1

      Stop please and calm down 😭, yaani kila wakizi kuyasimulia Yale aliyokuwa akiafanya kipindia Cha uhai wake ndio naishiwa nguvu kabiasa Hakika Simba ameondoka
      SWALI: je nani ataziba pengo? 😭😭😭😭

    • @mukrimkhamis8514
      @mukrimkhamis8514 3 роки тому +1

      So peke yako...huu ni msiba wetu sote...tujikaze

  • @salimbakarisalim7216
    @salimbakarisalim7216 3 роки тому

    Ipray for Africa Biografia continente there can think about there future guida and there Historia of the Universe that Is Lost true and security and Commes around Global International and feier of what Is Testmon Natio

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 3 роки тому

    Too late... Ata angekua Tundulisu leo hii angesifiwa kua alikua mnyenyekevu mpenda amani shujaa 😂😂😂 hii bongo Dar es salaam.

  • @AliAli-qf3to
    @AliAli-qf3to 3 роки тому

    😢

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 3 роки тому

    Makufuli musituchanganye mlipenda kiongozi wetu awe Kama yahaya hata makaazi msiyajue nazalim mulio mfanyia ila jambo la kheri hakupata nafasi yakutoa kkwakua wazanzibar tunapenda Zaid kuliko mtu yoyote Zanzibar nindi mlicho igopa tu siwatu wazuri nyinyi hata kidogo

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 роки тому

    Hapo alipo kuja kuonana ma wewe mara ya kwanza unaongea nae na ukamjuwa mtu gani ulifanza mini

    • @hiimbinaimmuslim3041
      @hiimbinaimmuslim3041 3 роки тому

      Ulifanza nini kwenye uchaguzi huu siuliamrisha masii tena na watu wakafa juwa tu muogope mungu maneno yako na vitendo vyako tafaut mnafik mungu anakuona na kwake utarejea ujuwe muogope mungu

  • @mbarakaiddi8209
    @mbarakaiddi8209 3 роки тому +2

    Wewe huna chembe hata kidogo cha imani ya maalim seifu unangelikuwa na hata theluthi ya imani yake basi tungeishi kwa raha sana maana wewe umejiongoza wewe halafu uongo wa kujenga nchi ukatoa utu makodi yamekuwa mengi mno kiasi kwamba hatumui wanyonge

  • @habibuhabibuzahoromakamezahoro
    @habibuhabibuzahoromakamezahoro 3 роки тому

    Dah tutamkumhuka kwa mengi sana

  • @eddyfather3742
    @eddyfather3742 3 роки тому

    Cmkubl huyu

  • @fatmamgeni3866
    @fatmamgeni3866 3 роки тому

    Kufa usifiwe

  • @suleimanmohamed4367
    @suleimanmohamed4367 3 роки тому

    Duh

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 3 роки тому

    Never listen to people views they are always worst and jealous rubbish

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 роки тому

    MuuAji wA hAki
    HuKo chATo ndiPo uliPomTenGeneZea maZiGiLA yA kummALizA .
    HaKunA asiEjuA hiLo
    MunGu AnaKuonA MbWa mwiTu wewE. NaWe yaTaKukuTA tu .

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 роки тому

      Usijibebeshe majukum

    • @suleyhb10hb74
      @suleyhb10hb74 3 роки тому

      Muache aseme kikicho moyon unamzuwia km nanu hatuna lman nao hao c watu wa zuri

  • @الزنجباريالسعدي
    @الزنجباريالسعدي 3 роки тому

    yule ndio kiongozi shupavu mwenye busar

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 3 роки тому +1

    Ndio maalim anawadai viongozi wote wa ngazi za juu wa tanzania hsa wale watawala kwa kumnyima haki yake kuanzia 95 hadi 2020 aliyehusika na wizi kumyima haki yake maalim ataenda kuadhibiwa siku ya hisabu mana hakuna tena cha kumlipa kule

    • @ramilialiy3725
      @ramilialiy3725 3 роки тому

      Hatuwasamehe tena kwa dhulma hiyo watatulipa ln shallakh

    • @maryamsaid9249
      @maryamsaid9249 3 роки тому +1

      Hayo asingeweza kuyasema mwenyewe akiwa hai. Ama kweli neema ya kitu haijulikani mpaka ikutoke