RAIS SAMIA AKIHUTUBIA, Aeleza MAZITO Kuhusu MAALIM SEIF Katika KUMBUKUMBU YAKE...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • RAIS SAMIA AKIHUTUBIA, Aeleza MAZITO Kuhusu MAALIM SEIF Katika KUMBUKUMBU YAKE...
    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 05 ameshiriki katika kongamano la kumuenzi aliyekuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Maalim Seif.
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 24

  • @1carbon676
    @1carbon676 2 роки тому +5

    Mama Samiya mimi nakupenda sana sana na kama ulivyo sema kuwa umewekwa kwa kudra za Allah ni ya kweli kabisa uko hapo kwa ajili Allah basi tupiganiye haki zetu za wazanzibar Allah atakulinda na atakuifadhi na madui kwa kila kona na leo unasifu Maalim na wewe kesho ujekuongewa kwa wema kwa kuwateteya wazanzibar

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 2 роки тому +1

      kaka hawa viongozi wetu upande wa ccm kutoka Zanzibar ,huwa wanaujua ukweli na wanataman sana kuitetea Zanzibar....lkn mfumo ulioshibishwa roho chafu ,unawassumbua kwa iyo wanabaki kusifia huo mfumo tu unaotukandamiza Raia

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 роки тому +8

    Nimeamini kufa usifiwe alipokuwa hai hujawahi kuzungumza ivo mlikuwa mnamlaani kujitolea kupigania zanzibar mungu atamlipa kwa wema aliyo yafanya leo hii ndo mnaona umuhimu wake

  • @binkhamis-x9e
    @binkhamis-x9e 8 місяців тому +1

    Yes

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 2 роки тому +1

    Good

  • @noelmzunya1476
    @noelmzunya1476 2 роки тому +2

    Sifa zote mnazompa Maalim Seif,Enzi za uhai wake simnge mtangaza urais,matokeo mkasema hamuwezi kuwapa nchi mahizibolah

  • @mohdkhamis3857
    @mohdkhamis3857 2 роки тому +3

    Maalim seif was so talented

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 8 місяців тому +1

    Maisha bila ya unafik hayaendi kabisa
    Ama kweli ishi uzomewe na kufa usifiwe

  • @muhammadmassoud491
    @muhammadmassoud491 2 роки тому +3

    Maalim amekua mprndwa kwakua hatunae tena.

  • @kombomakame7547
    @kombomakame7547 Рік тому +1

    Kizuri hakidumu mutaongea t

  • @mussashamis3301
    @mussashamis3301 6 місяців тому +1

    Mama anajua na anahisiya ndan ya moyo

  • @johnassey8544
    @johnassey8544 2 роки тому +2

    Mama yangu nakuombe embu mwache huru Baba yetu mbowe

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Mama ameshawaamsha zanzbr inaliwa na bhr mntk awafafanulie?

  • @yassiralkindy2970
    @yassiralkindy2970 2 роки тому +3

    Kufa usifiwe

  • @alinadee8207
    @alinadee8207 2 роки тому +1

    I am still watching this and get headache with these people how agressive they were at his living

  • @salumtalib1621
    @salumtalib1621 2 роки тому +1

    Maneno haya mazuri jee yataendelezwa na ccm kwani wawo ndio change cha migogoro yte ni wawo ccm jee leo maalimu ameshaondoka kazi kwenu ccm

  • @sadraaly3410
    @sadraaly3410 9 місяців тому +1

    Kwani kuna korona hizo mask au nyuso zenu tu zinajiskia aibu kumsifia mtu mlomchukia? Mtu mlomdhulum?

  • @binally3247
    @binally3247 2 роки тому +1

    Mbona mda huu leo ijumaa ivo

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 роки тому

    Ingekuwa inakaa kichogoni mambo yakiharibika inakuja usoni, yalaitan, maalim ameenda na GNU tumarudi pale pale tunaishi na SMZ, wapinzani wapo na SUK,

  • @khubeybjandal7435
    @khubeybjandal7435 2 роки тому

    Makafiri hupendana wao kwa wao