VIDEO:Sifa za DIAMOND kwenye harusi ya dada yake na vituko vya RAYVANNY vitakuacha hoi,tazama hapa.
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Please subscribe now on Our UA-cam channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz
Kumbukeni Kuna watu hata ule mlo moja kwa siku ni shida ila ninyi mnachezea pesa !!! IshaaAllah Allah anajua cha kuwafanya
Diamond no 1 in Africa.
Simbaa ukimaliza hpo naomba unipe na mimi angalau mtaji tu asante
❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥 nimependa iyo. Simba Baba laoooo 😍
Hongera sana esma
Mi nina shida ya elfu 10 kuna mtu anatunza milioni mia 5 dah kweli hakuna maisha magumu tofauti ni kiwango @naywamitego
That is good
WCB NLM Chuiii x simnaaaaa😢😢😢
Inaitwaa jeuri ya pesaaaaa
Jamani Mimi nisaidieni mtajiwamiogo
Daaah nataman nije hapo kwenye harusi nipandishe Jini la mpesa mpesa, nazichukua hizo naongeza mtaji wa matunda 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu mm nimicheka mpka basi wallah
@@fatushabdi2786 hahahah usicheke udugu 😁😁
@@rosekihanga2615 wafrahishaa hahhah ndio mana nikacheka haha
Diamond kweli darlin nduguyo kweli
Pesa sabuni ya roho inasafisha kila haina ya uchafu aiseee duuuuh
Kasolo Corona🥶
Safi sana Mond
Niseme2 Masha Allah
Waaa
Pesa ndonn pesa nimajani ya kisamvu yaliyo changanywa na matembele pamoja na bilinganya
Jeuri ya pesa
Simba fr everybody
Duuuuu na mm naja kuoa usafini
Simba kila aina ya pesa anayo 🙌🙌🙌🙌🙌
Threee "D" D tatu untouchable
Daa
Hi
Kweli mwenye nacho huongeezewa
True
Kwel denie
Eti basi
Wanashindana Kwa pesa
Kwa dai izo pesa ni ndogo sana hila wamejitaid na wao upande wa mume
Vannyboy mjanja tu,nakupenda bure
Simbaaaaa
Msizwa mkishindana na huyo Mbuzi Atawafilisi
Mambo ya fedha
Wcb 4 lyf ha2naga dogo nch yakwe2 👌👊
Wapy queen darling
Vanyboy nimekubal pgo zake
882k subscriber's wanakaribia 1M
DA roh inauma sisi ata kula kwenyew kwashida
Siukafanye kazi
Mwenye pesa sio mwenzako
Yn vani jinga sn 😁😁😁😁
Nahisi hawa ni watani wameoana aki 😁😁😁😂😂😂😂😂
inaitwa jeuri ya peesa
I believe our brother in law is rich man
i guess Im quite randomly asking but does anyone know a good website to watch newly released tv shows online?
@Garrett Mateo flixportal =)
@Khalid Frank Thank you, I signed up and it seems like a nice service =) I really appreciate it!!
@Garrett Mateo you are welcome xD
Daaaah yaani wewe mondy hata kama ungekuwa na dada zako kumi kwastaili hiyo wanaume wangewagombania ili tuu wawe karibu yako
Zote mix pesa zote yupo nazo 😁
Van boy kauwa
Msizwa usitufokeee
Bi harusi hajala mbona miayo mingi au ndio kuchoka?
Mondi naomba mtaji wajemen
Kwakwel diamondi ww hatar
Mwenye huongezewa kwel m2 mahal ya milion n xhida kuitoa maixha xo pouw
😂😂🤣🤣🤣🤣@reyvan
Tuwekee yale inster
Duu watu wanashida kutoa pesa huku kwetu uswazi tunashidana maneno😂😂
Ulaya corona toa hela
Wasanii waliotizamwa zaidi mwezi july UA-cam 👉ua-cam.com/video/8mGEoRXon-o/v-deo.html
Mbona hawaja endana
Fanyeni ujinga ila usisahu kusali
Oi kamand wetu tuwekee mahujiano ya boss wa barlare na salam sk
Nataka mke kutoka usafini
Juwa jinsi ya kuongeza wateja wapya katika biashara yako, Bofya link hapa chini ili uone video ua-cam.com/video/_hW3PoVb6Qg/v-deo.html
Baba lao huyo,,,,,,,, Mondi naseeb mwenyewe
BOBO leo kabaki mdomo wazi kashangaa hivi mond nimtu wakawaida au ni jini😁😁 wasizwa walikua namdomo sana ila simba kawanyoosha ..naamini awata rudia tena siku nyingine.😂😂.
Waaa