Rais Samia Azungumzia Tukio la Mauaji ya Ali Kibao, Awajibu Mabalozi, Atoa Onyo Kali
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Akizungumza leo Septemba 17,2024, katika maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi, Rais Samia Suluhu ameonya juu ya watu wanaotaka kuleta machafuko nchini.
Leo Septemba 17Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Tanzania yangu tunafikia hatua ya kutekana kwenye mabasi Tena mchana kweupe na mabunduki najiuliza taharuki iliyotokea Kwa abria siyo sawa
Kwa hotuba hii mbele naona giza, watekaji watapata nguvu kubwa sana.
Tutaona mengi Mwaka huu
Mmejimilikisha majukumu ya Mungu mnaamua nani aishi nani afe hata kwa kuteka na kuuwa!
Mungu simama uokoe Taifa letu la Tanzania!
Ukiskiliza kw undani hii hutba kuna kimwanya flani wanapewa wale wasiojulikana..
Kabisaaa… 23/9 inawahusu sana Hakuna kurudi nyuma… atashangaa na vijembe vyake 😏
Mungu anaweza kufanya muujiza kwa nchi ya Tanzania.
Tukumbke Kaini alipomuua Abeli, Mwenyezi Mungu alidhihirisha ukuu wake.
Ole wao wanaomwaga damu za watanzania
Hakika ole wao.
Mungu wetu yu mkubwa kuliko wote na mipango yake ni mikibwa kuliko yote
Mmmmmmm Tanzania imeenda hiyo bcz of you madame
Tz kwanza, Mungu bariki viongozi wetu, amani na umoja ameen.
Wankuja kama polisi wanakuchukua kama polisi..... Huyo apo sasa..😂😂😂😂Mhuuu, kali P. Imekaa vibaya!!!
Duuuuuh mama anaongea Kwa mafumbo hahahha nch kapewa mwanamke inaendshwa kikike kike tupu
Hivi Mungu yuko wapi Mpaka tunafikia hapa? Ee Mungu wetu shuka ujidhihirishe kwetu
Fukuza chain yote ya viongozi wa vyombo vya usalama ndio tutakuelewa
acha kufundisha watu kazi
kwanza nicheke😂
😂😂😂😂😂😂😂😂Tanzania yangu @@chandechande9642
Kafukuze wewe kwanza wazazi watoto wako nyumbani kwako ndio uje huku 😂😂
Kwani we ndio raisi....hapangiwi kazi ye anapanga kazi..mjomba
Waache wajifanyao wao wanauwezo. Wa kuutoa uhai Wa MTU mwingne Mungu atawalipa tu kisasi
Kulinganisha tukio la Trump na kibao, ni kutudanganya wananchi. Watu wanaongea kwenye basi wanajitambulisha kama polisi halafu wewe unalinganisha na kosa kosa za Trump.
Hata Mimi nashangaa Sana kauli hizi za mkuu wa Nchi! Mungu tu ndiyo msaada kwa Watanganyika/Watanzania! Mmmmhhh huyu ni zaidi ya waliyomtangulia!
Wanasisitiza Amani lakini wao ndiyo wavunja Amani wa Kwanza!
Si uatagute wewe
@@NuruJuma-zv3yzumeelewa swali lakin au unajibu tu
Hama nchi kupembe wewe
@@salehesalehe2967 Ndugu, ahame aende wapi?
Mambo ya kutekwa na kuuliwa upinzan tu??? Nchi ipi huyu raisi jaman khaaa😂😂😂
Siyo kila anayetekwa ni upinzani fuatilia Brother, Rais hapo kuna mambo ameyaweka sawa.
Kama kiongozi hawezi kuona tatizo basi tatizo linyewe ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria, Aliyepo juu ya serikali zote ni Mungu, Tunamkabidhi Mungu afanye njia. Mtetezi wetu ni Mungu.
Wanao Fanya ayo maovu ni viongozi wa upinzani.
Hiyo Ngoma inatoka MAGOGONI, ndo maana kashindwa kufanya chochote. Magufuli alishawahi kusema, WATANZANIA SIO WAJINGA.
AMINA, MUNGU ATUSIMAMIE !
Kama trump kapigwa risaa ya kuawa mara mbili lkn nchi Iko kwenye uchunguzi marekani nako ni tatizo 😂😂😂
Trump kapigwa risasi ya skio. Na juzi kakoswa koswa na serekali imesema inachunguzaa jee hawajui tatizo? Ujumbe umetumwa na umefika jikaribishe ratibu uonee Alie tekwa na kuawa it's clear alikua mwanajeshi mstaafu na mkufunzi na mratibu wa vijana alifunza nn na kuratibu nn jibu unalo mwana kulitafuta mwana kulipata serekali Ina mkono mrefu na haiko tiari kuchafua amanni ya nchi anzisha watamalizaa
Acha tuendelee kuishi kwa vitisho japo watu wanatekwa na kuuwawa 😢
Tanzania kila siku uchunguzi??? Lin mlifanya uchunguz ukakubalika au mkaja na majibu mazur
WEWE RAISI ULISEMA HADHARANI KUWA CHAWA WAKO WATASHUGHULIKA NA WATANZANIA WANAOKUKOSOA😢😢😢😢 DAMU IKO MIKONONI MWAKO WEWE NA TULIA MAANA MLIWAPA UHURU KUUA
Kwenye hili mimi nishauri tuwe na kiasi katika matamshi yetu. Biblia inasema "...tumetegwa na maneno yetu.."!
Kwa bahati mbaya sana, watuhumiwa ndo wanachunguza!
Mbona lakini kimya wamekaat😂😂
Mama Samia piga kazi
Intelijensia ambayo inajua mambo ya kwenye mikutano ya wapinzani ila haiwezi kuwabaini watekaji na wauwaji...Useless
Useless , umbeya wa siasa anajua. Lakini watekaji hajui mpaka kamati.
Mwanzo ulisema ni drama ....na leo unasema ati "unashangaa kwa nini Kifo cha Kibao peke yake ndiyo watu watoe hisia zao wakati kuna wengi wamekufa !!??" .......na sisi tunakushangaa ww uliyesema hizo zote ni drama sasa wapi hao waliokufa, wakati mwanzo ulisema ni drama !!??
MALAYA TU HUYU SAMIA NAHISI BADO HAAMINI KAMA NCHI INAENDA KUFANYA MABADILIKO
Si aibu aibu ni kwako usiejielewa
Mama nimkuelwa sna sasa mwenye masikio kasikia me nipo pale nimekaa nasbr nione wajichanganye kama awajaita muma. Hamani ya nchi uwa hailibiwi kilaisi hvo hii ni nchi cyo kijiji
0+0= 0 brain
Mambo ya huyu mzee aliyetekwa kwenye basi yanatukumbusha mambo ya ditopile na dereva wa daladala...alisema mwanaharakati mmoja pale mahakama kuu ..ditopile alipoachiwa huru ..mwanaharakati alipoona mambo hayatendewi haki alihojiwa na mwandishi wa hbr akasema mwenye haki ya kweli isiyochangamana na chochote ni ..M/Mungu peke ..
ilitugusa watz tulio wengi ..kweli Mungu alitowa judgment ya haki zidi ya ditopile watu wote tuliishuhudia..Mungu hana sifa ya kumdhulumu mtu... na tumuombe sn Mungu atujaalie mwisho mwema binadamu ukiwa na roho mbaya mwisho wako unakuwa mbaya mno ...
❤
Kwani kifo cha mtu mmoja hakiwezi kuwa na nguvu ya kuhibua hisia za watu!!! Huyu raisi hatari sana!!
Tukimtanguliza Mungu,ushetani wa kuuwana hautakuwepo.
Kama rais kiongozi wajuu anasimama na kutoa hotuba hii🥺🥺we are not safe
Dah mwanamke ni mwanamke tu 😢😢 watekajii oyeeeeee, tanganyika nchi yangu eeee
Haloo
Tujenge nchi yetu kwa umoja nchi yetu Ina uhuru hatuhitaji uhuru mwingine zaidi ya huu tulionao.Hatuandamni na hatuko tayari kupoteza Amani ya nchi yetu
Toa tamuko kali kama amiri mkuu wa jeshi lataifa ili kama kuna kikos kinakuharibia ukisambaratishe mapema
Huna ishu ww mama mbona wabakaji had leo hawajafungwa?
Siasa kwenye Uhai wa mtu huo ni Uhalifu kama uhalifu mwingine
Viongezi kufanya kazi kwa kuangalia matumbo yao, nimatokeo ya udharimu, ukandamizaji na uvunjifu wa amani🙏
saf sana mama allah akulipe
Huna Baraka za kuongoza nchi
Baraka unatoa wewe
Wewe mwenye Baraka tuongoze basi
Asante Mama kwa hotuba hii kwa Watanzania wote. “Inagusa. “ Tunaomba Mwenyezi Mungu nchi yetu iendelee kuwa na amani na utulivu”. Kazi iendelee🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amani ni tunda la Haki.Je,Wananchi wanapata Haki zao?
Usitudanganye
Sio kila watuhumiwa kuwa wana Hatia, pia hata wao wana haki ya kujua tatizo lilianza vipi, ili kulinganisha na kujua ukweli
Usitutishe
The President is here.
Nyie mmemuona Ali kibao tu limewauma sana je na walewengine walotekwa mbona hamlizungumzii kwakuwa wanyonge huuni ubaguzi lakini mungu yupo kama tudin tudan tutaona mwisho wenu mtafika wapi muogopeni mungu
WAGALATIA MMEJULIKANA NYIE MNA UDINI SANA SI BURE WACHUNGAJI WENU WANAMIBURUZA 😢😢😢😢😢
Kamata watu unalaani nini kwani huna nini.
Tatizo viongozi wa nchi hii wanaona wao ndo wana haki na kujua kusema wengine wao hawataki kusemwa
🙏🙏
Mliofiwa na ndungu yetu aliyetekwa ndani ya basi akaenda kuuwawa na watu waliojifanya police...hapa hakuna lolote linaloendelea hapo ...Mwenyewe judgment ya haki ni M/Mungu pekee ... mikiona subra imewashinda ...someni kurujuwani tu ....
Hamna Rais Hapo, kwahy mwisho wa haya mambo ni lini ? make raia usalama Haupo, huyu mama Yao anaweza asiwe mzuri pia, hao watu wasio julikana ni kina Nan? Na kwanini watekwe zaidi watu wa mlengo wa kushoto mbona hatusikii utekaj wa Wana ccm, very weak speech madam president 😢😢😢😢
Mama Tanzania inakupenda sana na sisi wa Tanzania tunakuamini
NIMESIKIA NCHI imetulia? 😮😢
Kwendraaaaa
Polisi anamchunguza polisi
Kauli ya uchunguzi inafanyika sio ngeni masikioni mwa watanzania tundu lisu tangu apigwe risasi Dodoma mpaka leo uchunguzi bado unaendelea ,pia hiyo interejensia ni kwa vyama vinapofanya vikao ila watu wanatekwa interejensia haipo pia kuna kauli ya viongozi baadhi ya ccm . kwahiyo kama kuna nchi zinaua nasisi tuwaige wao
Sisi watz niwapole sanaa ila Mungu atatupigania
😂😂😂Kwa hali hii kuna kuna kazi sana inchi hii kuwa na uhuru wa kwel na demokrasia
Viongozi muokopeni Mungu unakili Kuna Sheria za Nchi hivi kuiba kura kwenyewe Sheria inaruhusu ila anaye dai haki ni mvunjifu wa Amani ila serikali yenyewe ikivunja Sheria ni okey Yupo hakimu wa Haki ambaye siku Moja Kila Mmoja atajibu ima Kwa mema au Kwa mabaya. Wote tujitafakali.
Watanzania kinachoongelewa na samia hakitasaidia chochote. Samia hanaoongea hapo ili kujitetea tu kwa mabaya yanayofanywa na serikari yake anayo iongoza
Mama watu ulowapa dhamana waachie ngazi kuonyesha uwajibikaji hii cyo sawa wanakuchinganisha ww na wananchi
Hakika
Duuuu jamani unasema kufa kupo tu kwahio tuendele kutekwa na kuwawa
Usanii wa rais wenu
madaraka nomaaaa
Kweli
You are all okay. Tanzania is under protection of God and only God!
Pole mama Allah atajaalia salama na amani na Allah ajaalie yasitokee Tena mambo hayo.
SASA HAO CHADEMA,NDO WANASILAHA NZITONZITO,ZA KIVITA WANAZO TUMIA KUTEKEA WATU,HAPA BADO KICHWA KINANIUMA KILA NIKIWAZA
Kama maraisi mnawasiliana mimi sioni haja ya kuwa na mabolozi
Maana yake unawaambia watekaji waendeleee kuwateka watu na kuwaua
Tumuogopeni aliye tuumba jamani,mbona yanayo fanyika si yakiubinadam
Kweli siasa mpaka kwenye maisha ya watu duuu
Hana kitu
makofi hata cjui ni yanin??😢
Hauko sahihi we mkuu wa nchi
Ajabu kesi ya nyani kupelekwa kwa jaji tumbili
Msg send and delivery wale wanao dhani huyu ni mama wajue ni amiri jeshi mkuu maanake ni Commander in chief fanya fujo uonee
Hapa hata sielewi , ila mhe, Rais Hana makosa tatizo ni watendaji wake
Usikosolewe
Hii hotuba au mipasho nani alifanya watu waende wakaishi nje ya nchi kama kweli mama unayoyasema unauchungu nayo chukua hatua kwa viongozi wa vyombo vya dola
We mama usitufanye hatuna akili mauaji mengine ni tofauti na mauaji yanayofanywa na watuwako wa usalama wa raia na mali zao
Mbina hamkamati watu hao
Mpaka leo hawajapatikana hao wauaji? mbona mengine mnachunguza haraka
It is a big statement of a state woman.
R4 sio sababu ya utovu wa nidhamu. Kurukutabu wakumbuke sheria zipo amani na utulivu tutalinda kwa gharama zozote. Anaye nyamaza kimya sio ujinga.
Taarfa za wanaofnya vikao mnajua lkn wanaotua hamjui wanafanya nn
kinacholalamikiwa mama, siyo kifo cha mtu fulani, bali serekali yako kuuwa wananchi wasio na hatia!
Hamna kitu hapo
Kumbe mama mweupe
Pesa haisemi uongo Kodi zetu😂😂
@@RamadhaniKitala-gx6wc 😂😂😂😂
Wewe ndiye muhusika wa mauaji mama gani huna huruma acha shobo ujumbe wako hauna mashiko
......... mmmmhuuuu.....!!!
Mkitaka hayo na mengine mengi mabaya yapungue au kama Si kuisha kasa viongozi nchi Haina Dini hivyo msiape kwa kushika vitabu vya Dini ila apeni kwa damu zenu wenyewe waitwe wazee wachanganye mambo weka na damu Yako then kula kiapo, hakika nawaambia hutosikia ufisadi,wizi Wala watu kutekwa
Yaaani Samia hotuba yake haijawagusa watekaji bali wanao tekwa ndo wameshambuliwa
Kama kuna itelejensia mbona watu wanauwawa ovyo au ni itelejensia kwa chadema
Hapana rais unachosema mm nakataa. Mauaji syo hayo tu ya all kibao kila kona nchii hii pana mauaji. Angalia jana dodoma
Hakuna Rais hapa hiyo interagency mbona Haijakuambia hao wanaoteka watoto,albino na watu kutekwa na kuuwawa wahusika ni kina nani sasa? Kipi interagency walitakiwa kuanza nacho kati ya kudhibiti hilo genge la la waharifu na hao unaosema wanapanga kuandamana ikiwa nia yao walishaiweka wazi ni kuionyesha gavoo kuwa watu hawakubaliani na uharifu unaoendelea; eti uchunguzi unaendelea haya twambieni walompiga risasi Lisu wamefungwa gereza gani?? Nonsense.
🙄🙄🙄
Swala la mauaji na utekaji ni janga la kitaifa lisiwekwe katika taswira za kisiasa!!
kweli❤
Swala la kuzungumzia hizo taarifa za kuwatoa jera na kuwarudisha nchini, ko lengo lenu wanyamaze kukemea upuuzi wenu huo?
.....
Kwenu wapi mama??
😮😮😮😮
Mama nchi imekulemea na ccm yako, hata skuelew hata kidogo ccm yako ndo mauaji makubwa