Angelitoa clip hii inayo onyesha nyumba Mpya na ya kisasa aliyomjengea Mama yake ningesema hongera kijana. Lakini kunambia ana magari matatu, hayo hayanishtui kwa sababu hata awe na magari 100 Kama mzazi bado anakaa kwenye ya udongo hilo haliingii akili.
Mnampa mi Kiki mikubwa mnoo alafu bado mapema sana kwani hiyo nyimbo yake iliyomtoa imemlipa mamilion mangapi 😏 sasa ngoja akabebe kijiji cha ifakara chote alete kwenye show
@@innocentboykid244 wabongo chuki na wivu ndo vinatutesa 😂😂😂mtu kamsikia tu ni muimbaji hajui kuna endorsments anapewa na pia ana reality show dstv hatujui ana miradi au brands zipi zinamlipa 😂😂😂 bora umemjibu maana watu wengine kwa wivu na watu wasiowajua

Kasome biblia vizuri
Kwa taharifa chino kawajengea wazazi wake
Chino is a good guy ukimfatilia vizuri utagundua he's also a good comedian
Mungu Hutenda Hakika 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ipo siku kukata tamaa mwiko🙋🏾♂️
Watoto wa ifakara tunafujo Sana 😂😂
Nice
Wasanii wengi hawa oneshi walipo tokea😂
💥💥💥💥
Good story
Waifakara mwenzangu
😂
Kumbe ni mpogoro mwenzangu haya mwakashina mwenga
Kumbe wa home boy ifoza
Daah kumbe homeboy kabisa
Awajengee wazee nyumba hao
Ndo.ufanye ujenge uwache matumizi na wanawake wanawake ni mashetani,uache matumizi mabaya ya pesa
Kumbe na wewe ni shetani
@@kabwelasutiviraka4765 huyu dada hucomment sana negativity😂😂😂 aisee nimekushtukia kwakweli yeye ni shetani as ni mwanamke pia 😂😂😂
ifoza boy#
Ok
Kwel bwana chino
Daah kumbe chino amesha toboa😂
Muda wa kubadili hm
😅😅😅
Angerenovate hiyo nyumba.
Kaka sky ifakara Sio kijijini......................hap ni mjini (ifakara TC)
Mwambie uyo 😂😂😂
WHT did he do at shortest time like this to town 3 cars,success in a blink of an eye.anyway,lucky man
Mnampa mi Kiki mikubwa mnoo alafu bado mapema sana kwani hiyo nyimbo yake iliyomtoa imemlipa mamilion mangapi 😏 sasa ngoja akabebe kijiji cha ifakara chote alete kwenye show
Unajuwa ninyi wanadam mmeumbwa tu mkaumbwa eeh mkaumbika mjuavyo, unahesab mamilion ya chinno we unajuwa yeye analipwaje? Mtu anadance anaimba
@@innocentboykid244 wabongo chuki na wivu ndo vinatutesa 😂😂😂mtu kamsikia tu ni muimbaji hajui kuna endorsments anapewa na pia ana reality show dstv hatujui ana miradi au brands zipi zinamlipa 😂😂😂 bora umemjibu maana watu wengine kwa wivu na watu wasiowajua
Haya tumeona
Mbona chino katukana mbele ya wakubwa
MUNGU HANA CHUKI NI MUDA TU..
Kweli kabisa na ukiwa unahutaji anakupa
Halafu hizo rasta uzitowe kwani mtu mpaka Aitwe msanii nilazima marasta na matattoo?????
Na san
Aliyojenga mpya ipo wap sasa?
Nikweli unawezakukiwachakibanda kama kumbukumbu Ila unatakiwakujenga nyumba yauhakikaa
Nyumba ya sasa ipo wapi 🙄🤔