NI KUFURU YA PESA FAMILIA MBILI ZAONESHANA UBABE / DIAMOND NI BALAAA ZAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #wasafi

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @hbh3436
    @hbh3436 4 роки тому +111

    Allah anampa mja mali vile anataka yeye mwenyewe Mungu. Mashallah, nasisi Allah atujalie tupate pesä. Aameen

    • @nafisaabdalla2599
      @nafisaabdalla2599 4 роки тому +2

      amin ss wengine twazipata kwa shida izo lkni wenzetu wanazipata vizuri tu ndio maana kuzitumia hawazionei uchungu

    • @khamishabas2402
      @khamishabas2402 4 роки тому +1

      @@nafisaabdalla2599 una muomb mungu akup pesa kaziufny unazan utaziokt

    • @salmaseif8755
      @salmaseif8755 4 роки тому

      Amiiin

    • @amneynuhu7462
      @amneynuhu7462 4 роки тому

      Ameen inshaallah

    • @agukagospel
      @agukagospel 4 роки тому

      ebony what >? ua-cam.com/video/u6NHRW13bN4/v-deo.html

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 роки тому +104

    Naomba sanaaaa Nasib ubaki na hizo nywele unakua sawa sana

  • @rachelmbeyu4385
    @rachelmbeyu4385 4 роки тому +102

    Diamond style ya nywele imekutoa vizuri sana umependeza

  • @nuraabdi1379
    @nuraabdi1379 4 роки тому +139

    Nasibu ukiwa na nywele hizo unapendeza zaidi mashallah

  • @minzageorge1417
    @minzageorge1417 4 роки тому +5

    Mung nisamehe mm nimasikin baado naweka baando kila siku kuangalia ujinga namafanikio ya wenzang nakuzid kujitia umaskn zaid bola niwe natowa sadak ela yang Wenda nami mung ataniinuwa inshallah

  • @thomaschristian769
    @thomaschristian769 4 роки тому +8

    Dah eeh Mungu nione na mimi baba walau nipate tu hata kodi tu na pesa ya kuendesha maisha 😭😭😭
    Nisingependa niwe na utajiri mwingi kama wa Nasibu mimi nipate tu zile za kuendeshea maisha

    • @prossonassoro525
      @prossonassoro525 Рік тому

      Uhakika

    • @monicapeter9065
      @monicapeter9065 9 місяців тому

      Achana nao tuu hapo ni kufuru tuu maana Kuna maskin hawana hata ya kununua unganwa uji wenyew wanatamba nazo ujinga tuuu

  • @ramadhanmbalamulah6787
    @ramadhanmbalamulah6787 4 роки тому +11

    Jamani punguzeni sifaa mm natafta hata elfu 5 nyi mnachezea yaan duh: Inshahalah

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому +2

    Diamond Brother mzuri sana,ajua kuchangisha pesa za harus zirudi kimpango.. good Job Diamond

  • @maestrojayysule5660
    @maestrojayysule5660 4 роки тому +125

    Jana mm hapa tunagombana na Bos wangu kwa elfu tano .angalau nipate kula .wenzetu pesa wanazifanya kama karata

  • @tabikanini2920
    @tabikanini2920 4 роки тому +62

    Waaa bibi harusi anapenda pesa waaa ona anavyotabasamu hadi anashika pesa

  • @zaitunikweka979
    @zaitunikweka979 4 роки тому +44

    Daimond nyoa ivyo ivyo u akuwa smat vizur good🤝

  • @barrysulty1756
    @barrysulty1756 4 роки тому +2

    Mashallah mungu awape zaidi na maelewano pia ndio muhimu awape na watoto wenye hekima na kufuata njia zilizonyoka, nangaalia nikiwa udachini!

  • @nunniznurcky9724
    @nunniznurcky9724 3 роки тому +18

    Kama umerudi kusebu zile pesa zilitajwa kwenye enteviw ya zamaradi gonga like😂🤣🤣👊

  • @Mammymuhamed
    @Mammymuhamed Місяць тому

    Ukiwa na pesa ni mtihani usipokuwa nazo pia ni mtihani. Allah atupe kila.lenye kheri na sisi.

  • @chulitolove6648
    @chulitolove6648 4 роки тому +3

    Bando lenyewe ninalo tumia kuangalia aya mamilioni yanayomwagwa apa shida... Nikalale tu.... Congratulations esma😍

  • @japhetalex971
    @japhetalex971 4 роки тому +2

    Mwenyez mungu n mwema hakika ipo sku tulio chini tutainuliwa kama hawa alivyo kwisha wainua inshallah

  • @stellambeca5913
    @stellambeca5913 4 роки тому +11

    Wow it's so colorful,,, D..... ana look fyn with those outfit,, classy 😍😍

  • @charleskimanzi3818
    @charleskimanzi3818 4 роки тому +2

    Hairstyle ya mondi imeweza.,anakaa fiti sana na hiyo hair cut......

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 4 роки тому +17

    Daah bibi harusi yuko kwenye pesa tuu anachunga pesa

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 4 роки тому +43

    I always like diamond for one thing his original smiley 😃 always showing truly happiness face

    • @hahmadhabibu2076
      @hahmadhabibu2076 4 роки тому +2

      This man is rich rich...that's why..see how they are battling with money

    • @franksichula2662
      @franksichula2662 4 роки тому

      P

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 4 роки тому

      Kwanza hii siyo sahihi tambueni kwamba kuna watu wana wtt hawajui kesho watakula nini??mambo ya kutunza pesa kwa style hiyo ipigwe marufuku watafute njia nyingine ya kutunzana angalieni nchi jirani za kiafrika hakuna mambo hayo, kama unayo hela au huna maisha yanaenda kuliko hivi kuonyesha mashindano badala ya kuomba uje uishi vema kwenye ndoa

    • @margarethsaramaki3966
      @margarethsaramaki3966 4 роки тому

      Ni nani asiyejua kuwa Diamond ana hela na anasaidia watu wengi na Mungu ampe zaidi na zaidi

    • @nelsonkalengamulunda1891
      @nelsonkalengamulunda1891 3 роки тому

      @@hahmadhabibu2076 BYE

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 4 роки тому +11

    Kumependeza sana na mmependeza sana pia. Wenye wivu wajinyongeeeee

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 роки тому +7

    Esmaa una kiherehere Kama vilee wachagua mitumba soko kuu tulia bibii utachokwa pesa sio kituu utajiri sio kituu ulizaliwa ukavikuta na utaviacha muombee munguu akufanyie wepes wa ndoa na usiende kutixhia wake wenzaa na izo malii wahexhimu na uwe mwanamkee wa mfanoo

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому

      Hee kumbe kuna wake wenzie waliotangulia wala hatakaa huyo kaenda kuwa kivuruge

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 3 роки тому +11

    Jaman mm narudia baada ndoa kuvunjika ngonga like Kama na wewe mbea Kama mimi

  • @khazinak9083
    @khazinak9083 3 роки тому

    Amjengee babaake nyumba nzuri pesa mwisho zitayayuka km moto kuwa na mapenzi na watu wote unawasaidia maskini msaidie baba yko m.mungu atakupa kher zsidi

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 4 роки тому +25

    Nashauri wasiwasahau pia YATIMA na WAJANE pamoja na WAGONJWA wasiojiweza
    MUNGU ATAWABARIKI ZAIDI

  • @naomimabula2660
    @naomimabula2660 4 роки тому +73

    Rizika na chako ulichonacho, uctamani vya watu, cz hujui asili yake.

  • @sailatobias4343
    @sailatobias4343 4 роки тому +6

    Kama mungu angekua anagombaniwa hivi ingekuwa laha sana 💞🙏🤲🤲

  • @user-xh7vw4kk7o
    @user-xh7vw4kk7o 3 роки тому

    Nice sherehe japo jini mkata kamba alingiya kati from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦❤️❤️❤️❤️

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 роки тому +6

    Kufuru Kwa wenye nazo, wengine walala njaaa, mungu jamaniii 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @allyhussein5192
      @allyhussein5192 3 роки тому

      Naomba kuuliza hivi hili sebene linalopigwa hapa mwanzo ni la msanii gani

  • @zainathcuwimigishazchelsea2113
    @zainathcuwimigishazchelsea2113 4 роки тому +2

    MashaAllah M MUNGU awazidishie, nasi ALLAH aturuzuku pia

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 роки тому +18

    Akili kichwani,Mungu rohoni, pesa mfukoni alafu makaratasi.

    • @monicapeter9065
      @monicapeter9065 9 місяців тому

      Kikubwa napata ya kula na kunywa zngne hzo ztaishia kutuzwa bank tuu
      Afu yang hata iwe ndog inanitosha na inanifarij maana naitafuta kwa njia sahihi ya KUMPENDEZA mungu

  • @popoweumambo8057
    @popoweumambo8057 4 роки тому +32

    Kindly put some English Subtitles pliz we love u bt language is a barrier !!I still watched to the end bt cant understand wat u saying to yo sis and inlaw

    • @NiraSaire
      @NiraSaire 4 роки тому +5

      Its a money battle, Simba started by putting on some foreign money, The pound, the USD, the Indian Rupia, and he was complaining that the opponent is only putting Randi which is not as valuable.. at last they agreed that when Simba puts they should provide Randi of the same amount! At last they gave up! But the last guy came and say he is ready for Tanzanian shillings battle

    • @gracegenadio8291
      @gracegenadio8291 4 роки тому

      Very sorry dear

    • @tasianaantoni6477
      @tasianaantoni6477 4 роки тому

      Unatisha simba

    • @mtimkavu6062
      @mtimkavu6062 4 роки тому

      Bora ulivyokosa kuelewa maana ungeingiwa na Tamaa bure

  • @shancyskitchen3044
    @shancyskitchen3044 4 роки тому +108

    Diamond Ni Mjanja Sana😁Anamtafutia Dada Yake Mtaji Wa Kwa Shemeji

  • @standfortherefugeeafrica
    @standfortherefugeeafrica 4 роки тому

    Mr. Simba Diamond naomba kabisa uweze kiimarisha my talents please kwakuwa wewe ndie BABA LAO Tanzania and beyond.

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 роки тому +33

    Kula pesa mama kaka unae ila respect mmeo napunguza macho kwenye pesa😂😂😂🔥😘

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 роки тому +12

    Isipoingia on trending hii ki2 utube wachawi👌
    Trust me

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 4 роки тому +10

    Jaman tafuteni hela, ooh saidia watto yatima Kwan amesaidia wangp ad leo???? Acha wafanye Kama wamepewa hela jmn,Shda zk wew n familia yk, Omba Mungu akupe hekima n pumzi yote tutayaacha apa duniani.......

    • @iyanivan5457
      @iyanivan5457 4 роки тому +1

      Jamni naomben namba za Diamond....

  • @standfortherefugeeafrica
    @standfortherefugeeafrica 4 роки тому +1

    Watali Tanzania Mr. Simba Mungu aweze kukurefushia misha ndugu yangu, kweli wewe huwa unani kuna kwa kweli Maisha yako kwako Mungu kwisha kupasulia njia kabisa. CEO and Film Producer Alex Bucunga Mr. Inzi Fly.

  • @josephinejoseph9702
    @josephinejoseph9702 4 роки тому +11

    Diamond nibalaa kiukweli nimependa pia umetokelezea sana gonga like kama unaona katokelezeaa

  • @issangyabertha5741
    @issangyabertha5741 4 роки тому +15

    Mwanamke anatamaa yapesa sanaaaaa

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 роки тому +3

    Huyu jamaa hakua fala kumbe Alisha wasoma namba kitambo. Mwanamke alitaka mipesa apite hivi. Nani mwingine ana angalia baada ya Esma kuachwa. Kamati roho chafu tujuane 😂

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 4 місяці тому

    Mungu nitumiku na mm walau niwe na uhakika tu a kula hata chakula Cha kawaida

  • @nassorsada213
    @nassorsada213 4 роки тому +34

    Mwenzio akipat muombee kwa mung
    Chuk haz saidii chochot

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 4 роки тому +1

    Mond nakukubali lakini hichokitendo Alla akipendez jifunze kabra mwenyezimungu aja zaririsha. Take care

  • @sarahmawby9224
    @sarahmawby9224 4 роки тому +11

    Leo family imependeza Sana yaani kuvaa dangote family Leo mmevaa vizuri hadi queen Darleen mtaalam wa kuchapia mavazi Leo katoboa. .mama D umependeeee saana na wanao wote... Sijamuona Mzee Abdul jamani

  • @T5Gold
    @T5Gold 4 роки тому +11

    this is the original diamond we used to see in ''mbagala'' and ''kamwambie''

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 роки тому +16

    Jmn diamond ana sifa hd anatia hasira kha!!!🤦🤦🤦🙆🙄. Hela hz mweh

    • @zabronadamsony870
      @zabronadamsony870 4 роки тому

      umeona we anaona anajifananishaa na wezake

    • @shabanjuma3145
      @shabanjuma3145 3 роки тому

      Here yaan mpako nimechoka cc kupata laki ni kaz jaman hasa wanaume tutafutane pesa

  • @sadickrajabu297
    @sadickrajabu297 4 роки тому

    Naungana na nei kweli mungu yupo na nikweli watu wote no sawa ,dini ni zaukweli au nazo uongo nashindwa pata jibu mungu gawa liziki sawa kunawatu wanalala nje wanateseka kwa kukosa pesa ila kunawatu unawabariki mpaka watu wanashindwa kuamini km mungu yupo kweli

  • @ummoislam4832
    @ummoislam4832 4 роки тому +146

    Bi harusi nae anapenda pesa kama mcheza kamare

    • @aminamarie2387
      @aminamarie2387 4 роки тому

      🙆😂😂😂😂

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 роки тому +4

      @@aminamarie2387 Hahhah ata mimi pesa nazipenda kwa kweli

    • @aishatanzania1194
      @aishatanzania1194 4 роки тому

      @@brobabuu3973 😋😋😋🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 роки тому

      @@aishatanzania1194 ww hupendi naona 😂

    • @janemusumba820
      @janemusumba820 4 роки тому +1

      Kabisa na kiherehere

  • @francisruambothetechnician
    @francisruambothetechnician 4 роки тому +9

    Tatizo wabongo wengi humu kwenye comment mna wivu, kila mtu anafuraahi kwa alichonacho ww kama huna uwezo kama wao usihumie roho acha maneno mabaya, acha hisia mbaya, waache wafanye walichojaariwa, wengine wanasema wanakufuru mara kuna masikini sasa yy ashindwe kuishi maisha yake sababu ya maisha ya watu wengine. Acheni ushamba wabongo.

  • @hasheemabby2583
    @hasheemabby2583 4 роки тому +16

    😄😄😄 coment zetu maskini utazijua tu hoo mungu atawa onyesha hoo kasaidie wasio jiweza hoo hana heshima acheni hayo mambo tutafute pesa acheni mawazo mafupi

  • @nuraabdi1379
    @nuraabdi1379 4 роки тому +136

    Diamond naomba unifundishie mwanangu shule ameanza fom1 uwezo sina fungu lako utalikuta Kwa Allah anania ya kusoma sana naomba msg hii ikufikie ulipo inshaallah

    • @D-Man.B-Free
      @D-Man.B-Free 4 роки тому +10

      Mtafute in DM Instagram au upige simu kwenye the switch show...

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 4 роки тому +14

      Mfuate insta pia dada yangu. Mpaka Tiktok utume ujumbe huu kila siku. Naamini atauona dada yangu. Ata shule ya mil 1 kwa mwaka anaweza msaidia. Mwenyezi Mungu akuongoze na ufanikiwe na afanikiwe mwanao pia

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 4 роки тому +5

      Safi!

    • @aminamarie2387
      @aminamarie2387 4 роки тому +7

      Mwenyezi mungu atakujaaliya umpate akusaidiye Kwa uwezo wa Allhah

    • @augustinomwamasinga2200
      @augustinomwamasinga2200 4 роки тому +11

      Naamin inawezekana mond anajitoa sana

  • @seifsuleiman3866
    @seifsuleiman3866 4 роки тому +10

    wechen jamn achen roho mbay kama ushamb ni wake nyiny yanawausu nin waachen wafurai na familia zao

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 4 роки тому

      Kweli acha wafuraie dada ake wa tumbo 1 ni Esma tu peke yke ❤

  • @mamafloraofficial4315
    @mamafloraofficial4315 4 роки тому +15

    Kodi ya nyumba inanizingua, wengine wanamwaga pesa kama makaratasi

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 4 роки тому +27

    Yaan huyu esma lol..anaangaika kama si biharusi ukituzwa ushiki pesa ajatuliaa

    • @annamwidete2884
      @annamwidete2884 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣ashuhurika atareeee

    • @rehemakassim9342
      @rehemakassim9342 4 роки тому +1

      Yaaani ndobiharus ty Ila duuuuh hana hata haya usoni

  • @youareoneinamilliontv1950
    @youareoneinamilliontv1950 4 роки тому +2

    Simba Kama Simba bip up to Diamond platnumz you are always on point. All the way from Zambia Western province

  • @tubiajuma1542
    @tubiajuma1542 4 роки тому +32

    Like zenu kwa aliemuona msimulizi wa story book jamal april

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 6 місяців тому

    Esma.... pole sana.

  • @imanimussa4076
    @imanimussa4076 4 роки тому +46

    Bi harus acha kuonesha hisia zko ktk pesa

  • @dorisfabian3703
    @dorisfabian3703 4 роки тому +3

    Kwa raha zaooo hadi raha jamaniii na kawivu kamenijia tutafute pesa jamaniiiii

  • @hassanimussa5776
    @hassanimussa5776 4 роки тому +73

    Wanaume wenzangu,tutafute ela

  • @rhodarichard7477
    @rhodarichard7477 4 роки тому +1

    Naomba nisomeshee mwanangu mwanangu akipata kazi tukakulipa inshallah 🙏🙏

  • @witomsafiri
    @witomsafiri 4 роки тому +203

    Kama na wewe umesikia current badala ya currency gonga like.

    • @rizlambajuni
      @rizlambajuni 4 роки тому +5

      😂wengine wamelike bila kujua unaamaanisha nini🙄

    • @rizlambajuni
      @rizlambajuni 4 роки тому +4

      Ila me nimekuelewa😂😂😂

    • @khadijamzee2739
      @khadijamzee2739 4 роки тому +4

      Nilifikiri nimesikia peke yangu

    • @rizlambajuni
      @rizlambajuni 4 роки тому +4

      Khadija Mzee 😂😂😂

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 4 роки тому +3

      Una like bila kujua kama yuko kwenye grammar. English anaijua Mond juuuuu

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 4 роки тому +6

    Nikiskia million nimeshtuka nilidhani ni mita ya hapa kwetu kumbe mita huko ni 46k za hapa home 😂😂😂😂

  • @saumuhassan3796
    @saumuhassan3796 4 роки тому +4

    Izo pesa Daimond ungeli nipa japo kidogo usingeli jutia ningekumwagia madua usiku kucha Mungu akazibarikiwallahi

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому +9

    Mashallah yani leo nacbu umependeza kiukweli na izo nywele wacha mambo ya kusonga

  • @mohamednoti7119
    @mohamednoti7119 4 роки тому +7

    Wanaume wenzangu tutafute pesa aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @merynjau5614
    @merynjau5614 4 роки тому

    Yn mungu ni waaajabu sana kweli akubariki kakubariki kuna wengine kod ya nyumba ikifika tunaanza kukimbizana lkn wao wanachezea km kamari😬😬 mungu nibariki na mm

  • @juliethgervas3194
    @juliethgervas3194 4 роки тому +17

    Bi harusi alikuwa na wengee😂😂😂hatulii

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 роки тому +15

    Mwamke kaolewa ana kiherehere na hela za kaka yake 😂 😂 wanawake wanapenda hela aisee ckuizi nomaa kama huna hela usioe 😂😂😂

  • @Nelly_Kifano..2014
    @Nelly_Kifano..2014 4 роки тому +39

    Esma anaziokota zikianguka 😂😂😂😂😂

    • @mwambafamily
      @mwambafamily 4 роки тому

      ua-cam.com/video/NYNXJGzcF0c/v-deo.html

    • @gloryshimi9644
      @gloryshimi9644 4 роки тому

      Mama Tee 😁😁😁😁😁😁😁

  • @lilianpaulbaganda2971
    @lilianpaulbaganda2971 4 роки тому +2

    Nassibu mwenzio cna hata unga we unachezea hela kama karatas jmn

  • @mgayaatanas9493
    @mgayaatanas9493 4 роки тому +5

    Ume nyowa vizuri sana safi

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 4 роки тому +58

    Bob
    Utafirisika, achana na Mond ni kiwango kingine

    • @msetikebwasi6895
      @msetikebwasi6895 4 роки тому +1

      kwani mond ana pesa nyingi sana.

    • @boazchibudenga7827
      @boazchibudenga7827 4 роки тому

      Cham kubwa

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 4 роки тому

      @@msetikebwasi6895 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 4 роки тому

      Frank umeongea ataka kushndana na Mondi na hyo akilala akiamka hela injaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 4 роки тому

      yes diamond ni tajiri mkubwa sana kwasasa

  • @ramadhanijuma4204
    @ramadhanijuma4204 4 роки тому +23

    Hayakuwa maisha ya dunia ila ni starehe idanganyayo.

    • @hadijasalum6373
      @hadijasalum6373 4 роки тому

      Exactly

    • @nurathissa1422
      @nurathissa1422 4 роки тому

      Naam na maisha ya dunia nimafupi sana

    • @ramadhanikasim7485
      @ramadhanikasim7485 4 роки тому +1

      Unapo patanafac itumie

    • @hasheemabby2583
      @hasheemabby2583 4 роки тому +4

      Ukitafuta pesa ukazipata hauta pata muda hata waku coment kwenye maisha ya wengine wala huwezi jua kama wanamkosea mungu tutafute pesa ndugu yangu

    • @vincentngesa7925
      @vincentngesa7925 4 роки тому +1

      Nani kakudanganya Kuna maisha mengine hehehe ama ni waarabu

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 4 роки тому +9

    Jamani wenye midomo, walizitafuta pesa ili wazitumieee ndio maana ukiwa huna unaona ni kufuru. Jaman ipate pesa ili ujue matumiz yake. Ninyi inawauma nn hata wakizitupa chooni ni za kwao walizitafuta kwa jasho lao msiwapangie matumizi. Tafuten na nyie zakwenu tuje tuwasikie mkiwa nazo.

  • @victorkivuyo6126
    @victorkivuyo6126 4 роки тому

    HELA ZA WASANII HAZINA JASHO NDIYO SABABU WAKAFANYA MCHEZO NA HELA NA BIBI HARUSI ANAONYESHA NI MPENDA HELA SASA BASI MUME KUWA MAKINI USIFILISIKE,. MR BOB SOSY A,K,A, KATIA WA ARUSHA MURIETI KARIBU KABISA NA MHESHIWA GAMBO

  • @obenitejailos7007
    @obenitejailos7007 4 роки тому +5

    Tamaa ya pesa ya mwanamke inajionyesha wazi wazi

  • @lawrencesilas3050
    @lawrencesilas3050 4 роки тому

    Hakuna ndoa hapo...maigizo matupu...ila ndo tujifunze maisha ya anasa hayana baraka kwa Mungu bali ubatili mtupu..ndoa za siku hiz bas tu....

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 роки тому +4

    Diamond umenyoa vzur safi kabisa👌👌👌

  • @valeriachipeta774
    @valeriachipeta774 4 роки тому +2

    😂😂😂😂😂 yuda kwa ela balaa anachekelea hadi mwisho. Umejua kunifurahisha

  • @annthecook9427
    @annthecook9427 3 роки тому +7

    Am here after Esma interview

  • @daughterofziontv530
    @daughterofziontv530 4 роки тому +1

    I love this family nasib baba Lao 😍😍😍😍

  • @leonardpeter9827
    @leonardpeter9827 3 роки тому +13

    Walikuja kurudia kuangalia baada ya kusikia maji yamezidi unga

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому +1

    SubhanahAllah, yani venye mnafanya hii Nasseb na ww ni kijana wakiislam kweli dini inaruhusu mnafanya mmbo mengi mno baada ya miezi watengane japo mna hela hii ni Husda tu Allah hapendi

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 4 роки тому +10

    Simbaaaa tumia pesa baba lao umetafuta kwa shidaaaaaa kabisa mzee baba

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 роки тому

    Onesmo anabeba begi la pesa la kichwani ana mawazo anawaza kodi ya baba mwenye nyumba anailipaje mitihani hiii begi la bossi lina mapesa mimi mshahara mdogo

  • @happymushi8197
    @happymushi8197 4 роки тому +3

    Diamond umenyoa nywele umependeza sana

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 роки тому

    Mmmhhh jaman . Munguu nibarikii na Mimi nmiliki pesa za nchi zoote ameee

  • @happymarco2525
    @happymarco2525 4 роки тому +5

    Diamond nywel nzur so smart

  • @sundayharris8549
    @sundayharris8549 4 роки тому +3

    huo ni ushamba wa pesa... sytle za kizamani zama hizi watu hawatembei na cash... kuna vitu vyenye thamani zaidi tena vya maana... hapo hakuna ishu

  • @whatif..6961
    @whatif..6961 4 роки тому +16

    Mi nimemuona Aristote tu hapo😂😂😂😂

  • @ZZz-np4ry
    @ZZz-np4ry 2 роки тому

    Utulivu wa diamond jamani roho safi wasafi

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 4 роки тому +91

    Comments nyingi za chuki wengi maskini unataka maisha yashida watu wote wayaishi 🤣🤣tutafute pesa tuache maneno jamani na kupangia watu waishi je

  • @magretpeter9924
    @magretpeter9924 4 роки тому

    Mnapo fanya haya mkumbuke kuna yatima,wajane,na watu wenye mahitaji mbalimbali ambao wengine hata mlo mmoja ni shida muwakumbuke na hao kwani ktk hao ndio tunamuona mungu,na hao ndio watakao tufungulia mlango wa mbingu mungu tusaidie kila mtu afanye kwa uwezo wake kwa hawa watu.

  • @noelamilambo9595
    @noelamilambo9595 4 роки тому +11

    Wanaume tafuteni pesa Jmn ohooo😂😂🤸🤸🤸🤸

  • @AlexAlex-vp8yf
    @AlexAlex-vp8yf 4 роки тому

    IKO SIKU ZITAKWISHA NAMTAJUTA HAKIKA; Amen

  • @banoramachannel1371
    @banoramachannel1371 4 роки тому +3

    Waaw Diamond

  • @faithmsangi9333
    @faithmsangi9333 4 роки тому +1

    Mi naomba milion tatu tuu Diamond, Wasafi

  • @mwanamisikibumi42
    @mwanamisikibumi42 4 роки тому +7

    Hapa ndo tujue queendarleen hajulikani katika hela ya chibu ukimueka ESMA na mama dangote

    • @salmaseif8755
      @salmaseif8755 4 роки тому

      Inauma sanaa lkn queen anajikaza tyuuuu

    • @florabaruti8032
      @florabaruti8032 4 роки тому +1

      Undungu wa kalibu ni wa tumbo moja tu

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 4 роки тому

      Kwani darini ndo wa baba mmoja au sio ausiki mama ni mama

    • @mwanamisikibumi42
      @mwanamisikibumi42 4 роки тому +1

      @@julihanjosephyjs6361 yeah dorini n kwa baba kisha esma kwa mama