Asma Jamida hakuwaacha watu salama kwa vicheko - CHEKA Plus TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 94

  • @JAMESPAULO-o5z
    @JAMESPAULO-o5z 4 місяці тому

    Huyu dada mbali na sanaa pia ni msafi sana nyumbani
    Niliobahatika kwenda kwake ubungo duuu
    Ni mke bora sana
    Mwenyezi Mungu amsaidie mrembo huyo ❤

  • @EricMdute
    @EricMdute Місяць тому

    Wewe ni zaidi ya comedian mungu akubariki sana

  • @TatuMabula
    @TatuMabula Місяць тому

    Unaweza sana dada❤❤❤

  • @Dorambembela
    @Dorambembela Місяць тому

    huyu dada ana chekesha sana
    monyewe yuko siriazi👨‍👨‍👧‍👦😂😂

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 8 місяців тому +8

    Jitahidi kutafuta content nzuri zaidi mamiii

    • @elizabethmakaranga218
      @elizabethmakaranga218 7 місяців тому

      Je ?unaweza kuwa mwalimu labda wa kufundidha coment nzuri ?mm niliona huyo anaesema hajacheka basi huwa si wakucheka huwenda ww ni wa upande wa pili ,kulia ,kama coment zake za kudharau alichofanya mwenzake ,wakati yule wameona kipaji kwako ,yy kaona hamna ,

  • @Ramlatshabani
    @Ramlatshabani 7 місяців тому +4

    Hivi watu mnazani kufany mtu acheke ni kazi rahisii eeh mumpe heshima yake anajitahid 🙌

  • @ReylaMalambo-qy6ei
    @ReylaMalambo-qy6ei 7 місяців тому +5

    Watu wengi hawamuelewagi huyu dada tuta mmis sana martha dah😢

  • @HassanAbasi-q9o
    @HassanAbasi-q9o 8 місяців тому +3

    Ujui

  • @tullymgogo6167
    @tullymgogo6167 8 місяців тому +6

    Jaman huyu si mchekeshaji hamna kitu hapa

  • @MgoelaShoka
    @MgoelaShoka 8 місяців тому +2

    Hivi uyu dada yupo single mm nampenda

  • @DorineLukas-c2l
    @DorineLukas-c2l 5 місяців тому

    Penda shana❤❤ asm

  • @HassanSadiki-l5c
    @HassanSadiki-l5c 8 місяців тому +3

    Yaani uliyo ongea sio vichekesho bali umeonyesha tofauti ya wanawake wa zaman na wanawake nyny....
    Jiulizeni zaman na sasa ubora wenu upo wap

  • @AishaGor
    @AishaGor 4 місяці тому +1

    Yan kwa wadad wanao chekesha namkubali neira yukovizur🎉

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 8 місяців тому +2

    😊pensi la Arsenal

  • @abdallanassor4866
    @abdallanassor4866 8 місяців тому +1

    she is learning

  • @雄太-f1j
    @雄太-f1j 8 місяців тому +2

    Unajuw dada pambana bila sisi hainog dunia

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 8 місяців тому +13

    Kama hakuchekeshi inakuwaje kwa mfano ,jitekenye mwenyewe halafu utacheka ,acha kudharau kazi za watu ,labda ww huwa si mchekaji labda ww ni wa kulia tuu ,atakusaidiaje?ushauri usiangalie wala kufika walipo na kuchekesha tulia home

    • @imeldanziku9804
      @imeldanziku9804 7 місяців тому

      Mmmm labda kama ndugu yako ila ukweli aambiwe sasa hapo kachekesha nin jamani aaa kuwa serious dada anapo ambiwa ni vizuri ajifunze zaidi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @elizabethmakaranga218
      @elizabethmakaranga218 7 місяців тому

      Ww ushariwa na ndugu zako tu?nionavyo mm kama sina point basi unaacha wengine wacoment ,siyo kuanza kumuelezea huwa hachekeshe but wengine wamecheka ?acha uswahili

    • @rogersmsafiri9887
      @rogersmsafiri9887 7 місяців тому

      Kbsa kbsa

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 місяців тому +1

    Et pensi ya Arsenal!😊😅😂😂😂😂🎉

  • @KhalidNa-bn4gp
    @KhalidNa-bn4gp 8 місяців тому +1

    Mie huyu huwa smueleww 😂😂 utadhan yupo kwesemina

  • @SuzanaJames-v3y
    @SuzanaJames-v3y 2 місяці тому

    Hachekeshi bwana 😂😂

  • @Mtaalam_stan
    @Mtaalam_stan 2 місяці тому +2

    Hakuna mchekeshaji hapo n kuuza sura tu

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 місяців тому

    😂😂esma bhana 😂

  • @dripboymedia6032
    @dripboymedia6032 5 місяців тому +1

    Hakuna kitu.

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 8 місяців тому +1

    😂😂😂pensi ya Arsenal

  • @sarahmambali2554
    @sarahmambali2554 8 місяців тому +1

    Hahhaha wanajiaminiiii sana anapambana
    😂😂
    Rangi ya nguo tumboni imefanana na Ngozi.
    Ila yote kwa yote anapambana

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 4 місяці тому +2

    huyu anapiga stori lakini hachekeshi hajui kuchekesha

  • @rockysanga6990
    @rockysanga6990 7 місяців тому +3

    hata nyiny hamtoboi . tutaish kwa kutegemeana hvohvo hata mama awape madaraka gan

  • @yoshuapaul8300
    @yoshuapaul8300 8 місяців тому

    Wewe🎉🎉🎉🎉🎉

  • @officialrashrayz4140
    @officialrashrayz4140 8 місяців тому +2

    Huyu hajui kitu kelele mingi tu

  • @LovenessDivai
    @LovenessDivai 7 місяців тому +1

    Why arsenal

  • @eunho9529
    @eunho9529 7 місяців тому +2

    HAKUNA KITU HAPO

  • @graceedasalemba8962
    @graceedasalemba8962 Місяць тому

    Hata wakuponde usiwatizame.matahira haooo

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 7 місяців тому

    Anachekesha kwa kutoa ujumbe yuko vizur atafika mbal.. hapo kwenye wanawake wa zaman na wasasa amenibariki😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 8 місяців тому

    Tina yuko wapi jaman huyu simwelewi😢

  • @chicharito4201
    @chicharito4201 8 місяців тому +5

    KAONGEA PUMBA

    • @mapheneino
      @mapheneino 8 місяців тому

      Hii situation ngumu sana.. unaongea halafu mtu anakatisha mbele yako

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 місяців тому +1

    Utakula ndo ule au ule ndo utakula

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂 da

  • @sabatoager
    @sabatoager Місяць тому

    hawa wa 21century ni balaa

  • @AmirHk-mh1xc
    @AmirHk-mh1xc 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 8 місяців тому +25

    Huyu dada hata huwa hanichekeshi ovyooo

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 8 місяців тому +6

      Mimi pia nikama ana force jmn sio talent yake😊😊😊Ana mapozi kama yote

    • @emmylizzo8220
      @emmylizzo8220 8 місяців тому +2

      Umeona eeeh nikajua peke yangu

    • @shadracknyese3307
      @shadracknyese3307 8 місяців тому +1

      hata mimi sielewi elewi

    • @nekiboychannel678
      @nekiboychannel678 8 місяців тому +10

      Acheni ujinga asingefika hapo Kama hachekesh Kama unafikili nijambo rahisi kuchekesha vichwa vyenye stress namaisha nirahisii kajaribu hata kwa familia yako😁😁😁

    • @marefuclassic8911
      @marefuclassic8911 8 місяців тому +1

      Cjui mimate imemjaa kinywani

  • @abdulswamadfakih7327
    @abdulswamadfakih7327 8 місяців тому +1

    Ndio maana hata ww hujistri

  • @ashrafadam4629
    @ashrafadam4629 8 місяців тому

    Yani ww ulichukua nafas za wàchekeshaj waliopigwa chin na hauna kipaj cha uchekeshajjjj

  • @Xuxu-f7j
    @Xuxu-f7j 8 місяців тому +3

    Mbona Azam mnazingua nikiweka earpords hua zinapiga upande moja tu sauti mnaweka vibaya hizo mnaweka left tu

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 8 місяців тому +1

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @nahimanaqueen6340
    @nahimanaqueen6340 7 місяців тому

    Huh, I br

  • @zaynaothman6505
    @zaynaothman6505 8 місяців тому +2

    Sasa nd uvae uchi ,nd hao wanawak wa leo hawana hayaa

    • @ashurajuma4837
      @ashurajuma4837 8 місяців тому +1

      Mwenzetu una jicho gani haya huo uchi uko wapi hapo😅

    • @khadijatirionaire2510
      @khadijatirionaire2510 8 місяців тому

      Ahahaaa jmn hajavaa Uchi lol

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 8 місяців тому +1

      Hajava uchi ni kitamba Changuo kina fanana na mwili

    • @Ramlatshabani
      @Ramlatshabani 7 місяців тому

      Uchi 😂😂😂 mbna me sijauona

  • @VailethRobert-xb8jt
    @VailethRobert-xb8jt 6 місяців тому

    Ongera

  • @nuhumhagama2132
    @nuhumhagama2132 8 місяців тому +1

    Sasa hapo kachekesha nini sasa kavamia tasnia ya uchekeshaji

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 8 місяців тому +4

    Anatafuta bwana

  • @SakinaMasindi-r1c
    @SakinaMasindi-r1c 2 місяці тому

    Walikuwa wanajisitiri miili yao wameficha mbona wewe uko uchi?

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx 8 місяців тому +1

    Saiv unyama

    • @HassanSadiki-l5c
      @HassanSadiki-l5c 8 місяців тому

      Dunia bila wanawake au wamama ni kwl wanaume tupo kwenye changamoto...
      Lkn kw wanawake nyinyi umnavyo Kosa haya twaweza ishi bila nyiny

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 8 місяців тому

      ​@@HassanSadiki-l5caaaaaaah thubutu huwezi br

  • @KibibiRajabuu
    @KibibiRajabuu 6 місяців тому +1

    Tuombeanen her jmn tuach ubinafs na wivu

  • @ElishaLupimo-jd4mf
    @ElishaLupimo-jd4mf 7 місяців тому +2

    Utopolo2 hapo hamna mtu

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 8 місяців тому +2

    Hana maana huyo dada kama yuko uchi hivyo

  • @OmaryAlly-ku5le
    @OmaryAlly-ku5le 8 місяців тому

    Uko poa

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 8 місяців тому +1

    Mbona mavazi ya kutamanisha ss unavuna magunia ya zambi shauriyoo!!!!!

    • @whatif..6961
      @whatif..6961 8 місяців тому

      ACHA TAMAA

    • @OkwSunz
      @OkwSunz 8 місяців тому +5

      Jamani watz acheni ushamba hiyo nguo kitambaa chake ni rangi ya mwili hapo mnadhani ni tumbo lake

    • @hildachiboti6080
      @hildachiboti6080 8 місяців тому +2

      Kweli binadamu ni shida SI ameeka kitambaa kinachoendana na rangi yake hapo tumboni

    • @rehemajoseph-ng9gv
      @rehemajoseph-ng9gv 7 місяців тому

      Hayupo uchi jaman uwii🙌🙌

  • @MgoelaShoka
    @MgoelaShoka 8 місяців тому +3

    Hivi uyu dada yupo single mm nampenda