SSB FAHARI YETU - EPISODE 19

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Episode 19: Fahari Yetu - Ni kipindi maalumu kinachoangazia mambo mengi kuhusu kampuni za Bakhresa Group ndani na nje ya nchi.
    Usikose kutazama #FahariYetu ndani ya #UTV chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV #BakhresaGroup

КОМЕНТАРІ • 13

  • @BakhresaGroup
    @BakhresaGroup  Місяць тому

    Je, ume SUBSCRIBE? 😆 Jiunge nasi kwa usipitwe na mambo mazuri katika channel yetu ya UA-cam. Like, Comment and Share.

  • @JuniorKaliwo-i3y
    @JuniorKaliwo-i3y Місяць тому +6

    Wakwanza nawomba like zenu

  • @awadhjamal3430
    @awadhjamal3430 Місяць тому +1

    Ni quality sio quarity

  • @SamweliKitalula
    @SamweliKitalula Місяць тому +1

    Tunawashukuluni sana kwa hiki kipindi

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Місяць тому

    Big up sana kwa uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Chakula na Michezo. Watanzania naomba tujifunze Ujasiriamali ili turithishe vizazi vijavyo kama wenzetu waarabu na wahindi na sio kuetegemea kuajiriwa pekee

  • @afyayangozinanywele165
    @afyayangozinanywele165 Місяць тому +2

    Matajiri wa baadaye ,ngoja tujiwahi

  • @JEREMIAJOSEPH-gg8tn
    @JEREMIAJOSEPH-gg8tn Місяць тому

    See yu at the top SSB

  • @asnanikassimu8037
    @asnanikassimu8037 Місяць тому

    🎉

  • @mudathirbaalawy813
    @mudathirbaalawy813 Місяць тому

    Halafu unambie mo dewji ni tajiri kuliko Bakhressa nitakuamini wap

    • @kelvincharles7263
      @kelvincharles7263 Місяць тому

      Bakhresa hafiki hata nusu kwa MO na METL ni ya kwanza kuanzishwa 1970 ndyo Bakhresa group nayo ikaanzishwa 1975

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому

      Huna akili ww tofautisha kati ya bilionea na milionea.