Mimi pia naamini hakuna mfumo rasmi wa kuufuata Ili uwe tariji mkubwa duniani. Ukiwauliza waliofanikiwa na kuwa wa kipekee duniani Kila mmoja atakwambia njia yake na hii naifananisha na hesabu ndogo tu inayoleta jibu Moja Mf: 5+5=10. Tuchukulie 10 ndio mafanikio ambayo Kila mmoja anatamani kuwanayo ila haimaanishi njia iwe ileile ya 5+5. Yupo atakayetumia 1+9, mwingine 3+4+1+2, mwingine 7-1+4,etc lakini jibu ni lile lile 10. So Kila mtu a play part yake, cha msingi mtangulize Mungu Kwa Kila unachokifanya, milango itafunguka. Much respect Millard, Frida & Vido 🙌🙌🔥
Kabisa, lakini njia moja kubwa ambayo naifananisha na the plus sign in your calculations ni HABITS, hizi bdo zinamfanya mtu awe au asiwe billionare haijalishi anaingiza kiasi gani
In this world of today, one CANNOT become a billionaire without the SEAL OF APPROVAL from the POWERS THAT BE! You are gonna have to do UNSPEAKABLE things to be let into the BILI club! There are STEPS to this process! You’ve got to realise how the world is set up & a BILLI comes with too much POWER and NO ONE is willing to hand it to you without a FIGHT, ask DANGOTE!!
Tajiri si a Rich person ( mtu mwenye mzunguko kubwa wa pesa) Tajiri ni wealthy ( mmiliki wa assets thenye thamani kubwa au vitu vyeny hadhi). Akuna njia ya kuwa Tajiri. Ila ukubwa wa ndoto ya mtu na juhudi anayo iwekea. Sio juhudi 2 inahitaji nidhamu ya juu sana na upambanuzi mkubwa hasa kujua hatua unazo chukua kila siku mzunguko wako wa pesa ukoje na unavyo fanya kazi yako kipaji chako. Namna unavyo fanya biashara yako. Inshort utajiri ni namna navyo ji meneji kabla ujamanajiwa.
Kila mtu anataka kufanikiwa lakini tunachotofautiana ni burning desire yaani unataka kwa % ngapi yani sawa unaweza ukawa unataka kufanikiwa kwa 10% lakini mwingine anataka kufanikiwa 100% hapo lazma mtofautie kwenye kupush succes
Kipindi kizuri sana hiki na kinaelimisha. Hongera sana Bw Milard na timu yako. Hii research ni muhimu sana. Ila Fridah anauma vidole hapo akimsikiliza Vidox😀
Inafika Siku Kujua Ukitaka Mafanikio Acha Kuwaangalia Walio Mbele Yako Yaweke Mawazo Mbele Yao Wao Wakuangalie Wewe Imani Kwanza Moyoni Daimond Amewafungua Wengi Masikio Sema Mimi Natamani Nije Kioo Kwa Kila Mtu Kwenye Mafanikio Yangu Acha Kumuangalia Mtu Hata Imani Yako Moyoni Ni Utajili Pia
🤔Kwanza kuwa na nia, pili kazi, tatu uwajibikaji, plani na positivity. Kujikataa ni hali ya kuukubali umaskini. Mimi nakubaliana na Diamond anaweza kuwa bilionea wa dunia, kwani nani hawezi. Positivity builds negativity destroys fikiria hivi
Huwezi kuwa billionea kama hauna ndoto, must kuwa na ndoto na kuanza kuifanyia kazi, ieleweke kuwa hio ndoto hapo sio ya kuota umelala yaaani uwe na maono na kuyafanyia kazi 100%
Sasa Tatizo liko wapi mtu kuwaa na ndoto za kimafanikio zaidi? Tanzania bana ina kilaa mtu wa ajabu, ilaa Mzungu angesema anatamani kumiliki Africa ingekuwa kitu cha kawaida.
Kuna njia nne kuwa mtu mwenye bahati kujikita kwenye jambo moja kwa mda mrefu na expirience ndo hufanya bahati ukujie pia pesa ambazo huja kwa bahati hupotea hata iwe trilioni is just matter of time kwa sababu ni pesa ambazo hujawahi kuzifikilia
Akili yako imejawa na umasikini, huyo tajiri namba moja duniani Elon Mask alizaliwa South Africa na alikuwa fukara tu ila leo ni tajiri namba moja,kina Aliko Dangote story ni hizo hizo, ila wewe na akili zako za kimasikini unaona hawezekani kwako basi unadhani na wengine hawapaswi kuwa na ndoto hizo za kuwa mabilioni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TheBastarrrd sasa mimi na wewe nani delusional!? Diamond kasema ndoto yake kuwa tajiri namba moja duniani, wewe unapinga dondo ya mwenzio kisha unaniona mimi delusional kwa sababu nimekwambia jamaa anaweza kutimiza ndoto yake kwani hata hao kina Elon Musk walizaliwa south Africa na hawakuwa na maisha mazuri. Diamond anaweza kuwa tajiri namba moja especially kwenye hii duniani ya technology sio big deal mtu kuwa tajiri, kunakuwekeza kwemye start up za tech company, kunakuwekeza kwenye block chain technology, pia anaweza kuwekeza kwenye start up za Ai technology n.k. Wewe unaakili ya kimasikini, hivyo kwa kuwa mawazo yako ya kupata laki 5 kwa mwezi hivyo unaona kila mtu hana uwezo wa kupata pesa zaidi. Endelea na akili zako mgando kuona watu hawawezi kufikia level fulani za maisha kwa sababu tu wewe uwezi kufikia.
@@TheBastarrrd😂😂😂 eti tajiri namba 1 duniani kwakuimba komasava😂😂 ,wajiulize huyo elon musk utajiri wake ni wa vitu gani na akili yake ikoje ,hata utajiri wa kijiji unawashinda wanaota utajiri wa dunia😂😂
Shambani sana ukitaka kuwa bilionea halafu zile product za shambani uzifanyie process sio kuuza hivyo Ina maana kwamba uwe nakiwanda Cha process hizo utatoboa shambani tumia utaalam wa kutosha sisi watz tuna utajiri mkubwa wa ardhi
KWANZA ACHA CHUKI BINAFSI USIPENDE KWENDA PEKEYAKO,,CHUKUA WANAO NENDA NAO MANA NDO UMESHIKA KIJITI,,,NA NDOTO YAKO NAWEZEKANA LAKINI NI NGUMU ,,,NI UKWELI KWAMBA ULITAKIWA KUWAZA UTRILIONEA KWANZA,,,KABLA YA KUFIKA UKO UNAPOPATAKA
Mimi pia naamini hakuna mfumo rasmi wa kuufuata Ili uwe tariji mkubwa duniani. Ukiwauliza waliofanikiwa na kuwa wa kipekee duniani Kila mmoja atakwambia njia yake na hii naifananisha na hesabu ndogo tu inayoleta jibu Moja
Mf: 5+5=10. Tuchukulie 10 ndio mafanikio ambayo Kila mmoja anatamani kuwanayo ila haimaanishi njia iwe ileile ya 5+5. Yupo atakayetumia 1+9, mwingine 3+4+1+2, mwingine 7-1+4,etc lakini jibu ni lile lile 10. So Kila mtu a play part yake, cha msingi mtangulize Mungu Kwa Kila unachokifanya, milango itafunguka.
Much respect Millard, Frida & Vido 🙌🙌🔥
Saf🎉
Kabisa jibu ni moja lakin njia ya kufikia hilo jibu ni ipi? 1+9=10 8+2=10 6+4=10 njia ni yingi cha muhimu ni jibu lipatikane
Kabisa, lakini njia moja kubwa ambayo naifananisha na the plus sign in your calculations ni HABITS, hizi bdo zinamfanya mtu awe au asiwe billionare haijalishi anaingiza kiasi gani
In this world of today, one CANNOT become a billionaire without the SEAL OF APPROVAL from the POWERS THAT BE! You are gonna have to do UNSPEAKABLE things to be let into the BILI club! There are STEPS to this process! You’ve got to realise how the world is set up & a BILLI comes with too much POWER and NO ONE is willing to hand it to you without a FIGHT, ask DANGOTE!!
Asante kwa pointi yako brother
Tajiri si a Rich person ( mtu mwenye mzunguko kubwa wa pesa) Tajiri ni wealthy ( mmiliki wa assets thenye thamani kubwa au vitu vyeny hadhi). Akuna njia ya kuwa Tajiri. Ila ukubwa wa ndoto ya mtu na juhudi anayo iwekea. Sio juhudi 2 inahitaji nidhamu ya juu sana na upambanuzi mkubwa hasa kujua hatua unazo chukua kila siku mzunguko wako wa pesa ukoje na unavyo fanya kazi yako kipaji chako. Namna unavyo fanya biashara yako. Inshort utajiri ni namna navyo ji meneji kabla ujamanajiwa.
Kila mtu anataka kufanikiwa lakini tunachotofautiana ni burning desire yaani unataka kwa % ngapi yani sawa unaweza ukawa unataka kufanikiwa kwa 10% lakini mwingine anataka kufanikiwa 100% hapo lazma mtofautie kwenye kupush succes
Mm ni rais wa tz 2050💪💪💪
@@deogratiusyudatadei5658 Lol bangi kali siku hizi 😝
Ukitaka kuwa tajiri mkubwa unatakiwa uwe na adabu fanya kazi kwa bidii Omba sana mungu ongeza na kauchawi kidogo kama kifungashio
😜😜😜😜 kama kigungashi cyo??
Kazi nadawa mzeee
Nakupata mkuu wa kambi😂😂😂
@@scopy0428 just don’t harm any albinos whilst adhering to your belief system, please & thank you!
Kipindi kizuri sana hiki na kinaelimisha. Hongera sana Bw Milard na timu yako. Hii research ni muhimu sana. Ila Fridah anauma vidole hapo akimsikiliza Vidox😀
Inafika Siku Kujua Ukitaka Mafanikio Acha Kuwaangalia Walio Mbele Yako Yaweke Mawazo Mbele Yao Wao Wakuangalie Wewe Imani Kwanza Moyoni Daimond Amewafungua Wengi Masikio Sema Mimi Natamani Nije Kioo Kwa Kila Mtu Kwenye Mafanikio Yangu Acha Kumuangalia Mtu Hata Imani Yako Moyoni Ni Utajili Pia
🤔Kwanza kuwa na nia, pili kazi, tatu uwajibikaji, plani na positivity. Kujikataa ni hali ya kuukubali umaskini. Mimi nakubaliana na Diamond anaweza kuwa bilionea wa dunia, kwani nani hawezi. Positivity builds negativity destroys fikiria hivi
Amplifier kipind changu pendwa kabisa.... Nawakubali sana mnaupiga mwingi 🔥🔥🔥🔥🔥
mina taka kua bilionea namba moja kwa familia ya yangu kabla ya kuwa fikia walio nitangulia
Mimi ni
Mfanya biashala mkubwa wa furniture's Tanzania na afrca 2035 frank furniture tz
Mafanikio kama ingekuwa ni juhudi tu wengi wangekuwa wamefanikiwa!!!!
Sio kila ndoto unayotaka inakuwa hivyo hivyo tu ,,,,sio rahisi kabisaa mafanikio yanakuja na mambo mengi sanaaa na bahati pia uwe nayo
Huwezi kuwa billionea kama hauna ndoto, must kuwa na ndoto na kuanza kuifanyia kazi, ieleweke kuwa hio ndoto hapo sio ya kuota umelala yaaani uwe na maono na kuyafanyia kazi 100%
Sasa Tatizo liko wapi mtu kuwaa na ndoto za kimafanikio zaidi?
Tanzania bana ina kilaa mtu wa ajabu, ilaa Mzungu angesema anatamani kumiliki Africa ingekuwa kitu cha kawaida.
nampend saan frida, Millard naomb unipatie namb yake
Kuna njia nne kuwa mtu mwenye bahati kujikita kwenye jambo moja kwa mda mrefu na expirience ndo hufanya bahati ukujie pia pesa ambazo huja kwa bahati hupotea hata iwe trilioni is just matter of time kwa sababu ni pesa ambazo hujawahi kuzifikilia
Bilionea 1 duniani😂😂, aise hawa wasanii waache bangi😂😂 hizo ni ndoto za bangi
Akili yako imejawa na umasikini, huyo tajiri namba moja duniani Elon Mask alizaliwa South Africa na alikuwa fukara tu ila leo ni tajiri namba moja,kina Aliko Dangote story ni hizo hizo, ila wewe na akili zako za kimasikini unaona hawezekani kwako basi unadhani na wengine hawapaswi kuwa na ndoto hizo za kuwa mabilioni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@amohamed4969 akili yako imejawa na ujinga kijana....😂😂 Kitalaam tunaita delusional 😅
Amka asee uko dunia ya ngapi wewe?
@TheBastarrrd sasa mimi na wewe nani delusional!? Diamond kasema ndoto yake kuwa tajiri namba moja duniani, wewe unapinga dondo ya mwenzio kisha unaniona mimi delusional kwa sababu nimekwambia jamaa anaweza kutimiza ndoto yake kwani hata hao kina Elon Musk walizaliwa south Africa na hawakuwa na maisha mazuri.
Diamond anaweza kuwa tajiri namba moja especially kwenye hii duniani ya technology sio big deal mtu kuwa tajiri, kunakuwekeza kwemye start up za tech company, kunakuwekeza kwenye block chain technology, pia anaweza kuwekeza kwenye start up za Ai technology n.k.
Wewe unaakili ya kimasikini, hivyo kwa kuwa mawazo yako ya kupata laki 5 kwa mwezi hivyo unaona kila mtu hana uwezo wa kupata pesa zaidi.
Endelea na akili zako mgando kuona watu hawawezi kufikia level fulani za maisha kwa sababu tu wewe uwezi kufikia.
@@TheBastarrrd😂😂😂 eti tajiri namba 1 duniani kwakuimba komasava😂😂 ,wajiulize huyo elon musk utajiri wake ni wa vitu gani na akili yake ikoje ,hata utajiri wa kijiji unawashinda wanaota utajiri wa dunia😂😂
Nikweli kabisa miladi mafanikiyo yanaitaji juudi sna napia mafanikiyo yaja kwa polepole san
Udugunization in the house 🏠 au m nafikiri tofauti 🤷
Milard na ww eanza kwenda na upepe😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ukitaka kuwa tajiri lazima uwe na nidhamu ya fedha kuwa na bajeti kudhibiti matumizi na kuweka akiba.
Wewe umesha jaribu haya uliyoyasema? Sasa hivi status yako ni ipi? Ni bilionea, milioneq, au uko kwenye unanionea
😂😂😂😂😂😂😂
Tajiri haweki akiba ,anazungusha hela
@mukutricks5997 nilisubiria mtu mwenye akili hii sijawahi mpata....Big up fam hizi ni mindset adimu hata some of billionaires hawawezi elewa
Frida sster angu huwezi ukawa unataka tu lazma kuwe na mipango ya kukufikisha uko kutaka tu is just a wish 0%
Eti Dude hilo.. Dudee.. 😅😅
Kua tajiri ni ujanja lazima upemde kujifunza kila kitu na ku focus na lengo
Ata mm nia yangu nikua tirionea....kupitia biashara ya kuwekeza viwanda.
Mi napenda mwanya wa frida tu mambo ya ubilione cyataki
Diamond angeomba awe na utajiri wa Ronaldo tuu
Shambani sana ukitaka kuwa bilionea halafu zile product za shambani uzifanyie process sio kuuza hivyo Ina maana kwamba uwe nakiwanda Cha process hizo utatoboa shambani tumia utaalam wa kutosha sisi watz tuna utajiri mkubwa wa ardhi
Anza ww cc tujifunze kwako
KWANZA ACHA CHUKI BINAFSI USIPENDE KWENDA PEKEYAKO,,CHUKUA WANAO NENDA NAO MANA NDO UMESHIKA KIJITI,,,NA NDOTO YAKO NAWEZEKANA LAKINI NI NGUMU ,,,NI UKWELI KWAMBA ULITAKIWA KUWAZA UTRILIONEA KWANZA,,,KABLA YA KUFIKA UKO UNAPOPATAKA
😂😂 Elon musk anamiliki kampun ya tesla 😂😂 diamond hata gari hana😁😁
Frida sijui kama anajua namuelewa
Mimi nataka niwe mchawi namber moja duniani..
Diamond hawezi yy n dot ndogo kwenye kurusa ya kitabu
Watu wauchumi hawana lakutuambia aisee hawana hera sasa wanajua nini sasa
FirdaAman ni mrembo hivyo kumbe dhooo wakubwa wanafaidi
Mimi ndo raisi wa 2025tz kama hamtak siwalazimishi
Kuma yamamayake Tajiri mkubwa Navi yake
Brooo milad juhud naungana na ww
Kwani milad ayo ni belionea
Ndiyo
Asingefaidi kwanza uyu anatumika sio mwandishi
Hizi kelele zote sababu Mond ametangulia kusema, inabidi aendelee kulipwa smbaa
LUCK DOESN’T EXIST, YOU ARE EITHER READY OR NOT!!
It does unfortunately it can’t be quantified
@@chuku25 NOTHING EXISTS!! It’s all in your BRAIN!!
Leo mbona mmeipiga usiku aiseee
VIDO ALIKUA NA BIDII USONGO WA KUWA MKUBWA NA LEO AMEKUWA SIO BAHATI BIDII NIA NA UVUMILIVU SANA🎉
Ifike sasa diamond muwe mnamlipa kila radio contents zote ni yeye, hata akicheka tu radio zote mpaka vionline vyote ni diamond, shame on you guys!
Sasa we hutaki aongelewe wewe kama nani?😃 Wakati hicho ndo kinamfanya aendelee kusikika
Yamezidi kuongea
Ingekuwa ivyo basi Cr7 ndio angeli stahili kulipwa basi, usiwe mvivu wakufikili wewe,
Na wewe umlipe kumuongelea kwasababu umemcoment wa hapo kamlipe pesa na wewe
✍🏼✅
Jay z mwenyewe hajashika namba moja duniani huyo ushuzi ataupata wapi😂
vido emu nisaidie kuniulizia kwa frida kama kaolewa
Hiyo beat hapo ya wimbo gani?!
Don't it by mr smith
Kingine mtaji Mimi nifundi
LOL YOU CAN’T HAVE A BRILLIANT PRODUCT & NOT BEING ABLE TO GET IT TO THE MARKET - KITU KIZURI CHAJIUZAAAAA
ME NACOMMENT TU HIVI MASIKINI AFIRISIKI.
Hii clip mloelezea kuhusu fundi selemara naipataje mana hapo mmenizungumzia Mimi hiyo ndo changamoto nayoipitia
Diamond kawapa chakuzungumza
Katupa maana ata ww umemzungumzia😂
@@Officialkamakawer umeona eehhhh😂😂