MO KUJIMILIKISHA SIMBA! | ANAWAKOPESHA FEDHA | SIMBA HAITOKALIKA | KUHUSU KUCHANGISHA UWANJA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 27

  • @Ybrandytz
    @Ybrandytz 23 дні тому +1

    Ukweli kabisa

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 26 днів тому +4

    LEO JEMEDARI MPAKA USEME,NA BADO HUJASEMA

  • @marrykashaga538
    @marrykashaga538 25 днів тому +3

    Maestro huna hoja . Unavuruga tu. Cpa masoudi pamoja na usomi wake, katuonesha madhaifu yake, hakujipanga, kuanzia kuitisha mkutano bar, na yote aliyo ongea hayana mashiko. Inaonekana hata yeye hajui nini kinaendelea Simba sc. Maana yeye mwenyewe cpa masoudi ashawai kusema 20bilion imewekwa Simba sc bdae juzi anasema pesa haijawekwa! Kwakweli amezingua sana

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 25 днів тому +1

    Hivi hawa wameajiriwa hapa au wamejiajir hapa,maana sijui kama wanaelewa wanachokisema,yaan hoja zao hazifiki mwisho,

  • @asifznz
    @asifznz 25 днів тому

    Zungumzeni TRANSFORMATION, HAWA NDIO WATU WA MO

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 25 днів тому +1

    Wanajadili HEAR SAY!

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 25 днів тому +1

    Mo katoa fedha yake, haijalishi imetumika vipi, achaneni lawama na visingizio. Hakun cha ku "rescue situation" wala Mo kuongea na trustee. Mwekezaji anatoa fedha, wajanja wanazichapa halfu watu wanaleta visingizio..!

  • @255kessy5
    @255kessy5 25 днів тому +2

    Mo alifanya makusudi kuizuia Simba isiingie kwenye mikataba ya kibiashara Kama Yanga wanavyofanya ili Simba wazidi kumtegemea

  • @BakariHamisi-ke6zv
    @BakariHamisi-ke6zv 25 днів тому

    jamani tajiri anatoa pesa sana hila uwongozi wanapija pesa kwahiyo kinacho onekana kwasasa wanamtupia matatizo tajiri wetu hili walete mtu wao sisi tutabaki na tajiri wao sisi atuwataki Tena watuwachie timu yetu

  • @RichardAmosi-hz3nm
    @RichardAmosi-hz3nm 25 днів тому

    Yani hii radio wote nyie ni mazwazwa sasa hapo mnapiga stori au mmeturetea taarifa hovyo

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 25 днів тому +1

    KWELI KABISA HATUTAWEZA KUMKABIZI TIMU MOJA KWA MOJA

  • @MjMohammed-nt6fq
    @MjMohammed-nt6fq 24 дні тому

    Mnaota huyo tajiri wenu anaangalia maslqhi zaidi kuliko maendeleo ya timu

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 25 днів тому

    Maestro acha kumuingilia mtu akiwa anaongea...una haribu

  • @hamidjuma2178
    @hamidjuma2178 22 дні тому

    Hawa waandishi wengi no yanga na wanatumwa kuharibu

  • @MichaelMagawa-xn2ht
    @MichaelMagawa-xn2ht 25 днів тому

    Toweni ushaur wafanyaje nyie mnachambue gaps za watu tu

  • @meshacksamwel2335
    @meshacksamwel2335 25 днів тому

    Ishu siyo kusajiliwa na mo au wajumbe kumkataa.. ishu ni huo usajili umefata utaratibu wa club waliojiwekea au katika katiba yao-?. Mbna mnazunguka zunguka asee..

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 19 днів тому

    Washabiki wa simba sisi wanafiki tumekuwa kamati ya ufundi makocha Sisi

  • @icesue6613
    @icesue6613 25 днів тому

    Mo alikabidhi hundi ya 21b,mbele ya waziri, kumbe ilikuwa uongo ? Simba wakienda mahakamani Mo Hana kitu. Ktk Simba, msanii tu.

    • @revocatuscharles934
      @revocatuscharles934 23 дні тому

      Uelewe kuwa mchakato haujakamilika unaenda mahakamani kwa msingi upi?

  • @user-tl6zt6dv3c
    @user-tl6zt6dv3c 25 днів тому +1

    S wepend simba yaani waondoke kabisa watuachie miaka iliyobaki duniani

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 25 днів тому

    WAMEKAA MIAKA 4 HAWAJAONGEA.WAMEAMBIWA WAONDKE.WAMEONA WANAKOSA NOTI.WAMEANZA KELELE

    • @jumas.sendekwa2788
      @jumas.sendekwa2788 25 днів тому +1

      Kamani kuwaambia waondoke? Mo hawezi kuwatoa wajumbe ambao hakuwaweka

  • @ProudNative
    @ProudNative 24 дні тому

    Pesa za muhindi zina masimango sana mamae😂😂😂😂

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 25 днів тому

    Mjitahid kuacha mmoja haonge huu ni upuhuz mnafanya mtazania mpo kwy genge la kushabikia term fulan

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 25 днів тому

    WANDANGANYENI WAJINGA PEKE YAO..... NANI ASIUEJUA KAMA YANGA INAMILIKIWA NA MTU MMOJA aliyeJuficha nyuma ya makapuni ya familia (TWENDENI PWANI TUKAULIZE, Baba wa inJinia yuko wapi!!😅😅😅 TANZANIA matapeli kila sehemu