LIVE 🛑 WANACHAMA SIMBA WASEMA MO DEWJI SIO MWEKEZAJI!! WAJA JUU MCHAKATO UWEKEZAJI KUTOKUKAMILIKA!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @ladislausmakarious2023
    @ladislausmakarious2023 3 місяці тому +4

    Naomba uongozi na wanachama miaka 3 wote tulilegea kuwajibika hivyo wote tusameheane tusifungie wanachama wenzetu tutapata mikosi tuanze upya kwa baraka!

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 3 місяці тому +2

    Tuacheni na simba yetu,, yaani bila kuitaja simba, radio zenu hazina soko

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 3 місяці тому

    Anae kwamisha michakato mtizameni broo mmoja anae mkandia. Mo. Sana mtizameni huyu jamaa

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 3 місяці тому +1

    Washabiki wasimba Daah kazi sana

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 3 місяці тому +2

    Hao wote wanataka kiki lkn shida ni mo

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 3 місяці тому +1

    Moooo sio mwekezaji huyu ni bepari kabaila mnyonyaji tu makolo hawajui wanapenda cha dezo

    • @saimonntani6831
      @saimonntani6831 3 місяці тому

      Yanni wewe hunautofauti napumbu za binadamu.sasa moo nikabaila kivipi ikiwa viongozi waupande wawanachama hawanaakili?

    • @faustinemsanguli1055
      @faustinemsanguli1055 3 місяці тому

      Mkundu unakuwasha mwite manara akukune Mo anakuhusu nin

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 3 місяці тому +2

    Hapa shidi ni urasimu wa kiutendaji na ubaguzi wa kiusimba na uyanga kwenye mifumo.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому

      Kwenye songombingo za Ubuntu cc wananchiii tumeshajivua huko bhana 😂 ....

  • @abdundimbo5170
    @abdundimbo5170 3 місяці тому

    Haosimba hawana maneno wamefer

  • @boscomalangalila
    @boscomalangalila 3 місяці тому

    Simba washabiki wote ni wasemaji was timu njaa inawasumbua

  • @rashidsimba3680
    @rashidsimba3680 3 місяці тому

    Kwa hoja hizi hivi hiko cheo cha uwakili ni kweli au, Jina tu la kimechezo

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 3 місяці тому

    Mnaohoji na mnahojiwa wote vilaza au wanafiki semeni ni vipengere gan serikali waliwaambia simba ..cyo funika kombe mwanaharamu apite matatizo yatajirudia..

  • @GiliardMbonea-qn4vu
    @GiliardMbonea-qn4vu 3 місяці тому

    Katika mtu anae ongea pumba ni huyu yanga bingwa Hadi 2028 hakuna Cha bosi hapo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA 3 місяці тому

    Ukitukana mtu Yatakukuta ya MWIJAKU NA KIPANYA

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 3 місяці тому

    Hisa za wanachama wamekasiwa baraza ia wadhamini la simba ni asilimia 10 tu ..40 zitauzwa kwa wanachama kwa hiyo mwenye asilimia 49 ni mo na ndiyo mwenye hisa nyingi

  • @pauljobmasue6562
    @pauljobmasue6562 3 місяці тому

    Huyu wakili ndio haohao ndio wanaipoteza Simba Hana lolote LA maana analiongea

  • @GiliardMbonea-qn4vu
    @GiliardMbonea-qn4vu 3 місяці тому

    Katika mtu anae ongea pumba ni huyu yanga bingwa Hadi 2028 hakuna Cha bosi hapo

  • @pontianjohnkahwa
    @pontianjohnkahwa 3 місяці тому

    Angalia jezi aliyovaa GB64, matangazo yote kwenye vazi hilo ni MO hivyo hatoi pesa kwa mapenzi yake bali anafanyabiashara na Simba.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 місяці тому

    HAPO MWENYE AKILI KATI YA HAO WANASIMBA NI GB 64 WENGINE WOTE NI VIAZI TU

  • @peterchande957
    @peterchande957 3 місяці тому

    Hawa mashabiki wa simba ni comedian wamekuja kuuza sura tu

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 3 місяці тому

    kweli simba inajifajarisha na yaliyopita ni swsw kusema samia usimuone ni rais kwa sasa nimemsaidia nauli au aliwahi kukaa kwangu,ujinga mtupu

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 3 місяці тому

    Watangazaji wa Efm machawa wa YANGA mnaleta usenge na unaz mbwa nyie

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 місяці тому

    HAPO HAMNA WAKILI NAHISI NI KISHOKA....HANA HOJA BALI NI KAMA MASHABIKI MANDAZI

  • @GiliardMbonea-qn4vu
    @GiliardMbonea-qn4vu 3 місяці тому

    Daaaa mimi nafurahi sana Simba wanapo haribikiwa😂😂😂😂😂😂😂 yanga bingwa tena Hadi 2028

  • @peterchande957
    @peterchande957 3 місяці тому

    Kama mnaficha mapanga mtausikia ubingwa. Hawataiweza Yanga, hapo kuna mashabiki wa hovyo tu

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA 3 місяці тому

    NYINYI FM maandazi why mnawaita. Mashabiki KUIZUNGUMZA ...HALAFU UTOPOLO MNAWAITA VIONGOZI ....TUSHAJUA KUNA FM zinatumika kiibomoa SIMBA

  • @raulencomarkesh5848
    @raulencomarkesh5848 3 місяці тому

    Jamani kama hamna WATU wa kuwahoji basi pigeni miziki tuuu maana mnajishushia adhi zenu KWA KUWA hoji WATU wasiojua kitu

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 місяці тому

    Hawa sasa wanatafuta viewers

  • @abudalaabdumalik9362
    @abudalaabdumalik9362 3 місяці тому

    Alafu uyu jamaaa sjui kama
    Unaweza kuongoza watu wake ndan
    Mwanaume kaza
    Kabla ya kukazwa

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому

    MO DEWJI KAKOPESHWA TIMU KAMA MASUFURIA

  • @omarijuma5007
    @omarijuma5007 3 місяці тому

    hao wote.nimachawa hawawanajipya aka njaa

  • @bensonmbuya-if1fc
    @bensonmbuya-if1fc 3 місяці тому

    Efm muwe mnatafuta watu wa kufanyanao maojiana wenye uelewa sasa kama mtu mnamwita wakili msomi wakati hakuna kitu jichwani mnaizalilisha taasisi yetu ya mawakili!

  • @namtingakassim5529
    @namtingakassim5529 3 місяці тому

    Simba muda wote itaungana na Mtibwa sukari kucheza ndondo.timu inaongozwa na watu wapiga maookoto tu,msimu ujao mupigana tu hatahiyo nafasi ya tatu hamshiki

  • @peterchande957
    @peterchande957 3 місяці тому +1

    Kwani kuna mawakili siyo wasomi? Halafu huyu Wakili hajui kuitumia akili yake anaongea kwa muhemko

    • @mohdyussah825
      @mohdyussah825 3 місяці тому

      Wakili kilaza 😂😂

    • @ladislausmakarious2023
      @ladislausmakarious2023 3 місяці тому

      Naomba tusifungie wanachama wenzetu tutapata mikosi tuanze upya kwa baraka

    • @ladislausmakarious2023
      @ladislausmakarious2023 3 місяці тому

      Kuhubiri amani safi Sana Ila tusameheane tusifungie wanachama wenzetu tutapata mikosi tuanze upya kwa baraka

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 3 місяці тому

    Mangungu Aondoke anatukwamisha huyo

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 3 місяці тому

    Gb 64 Hana kadi ya uwana chama Wala ya ushabik msiwe mnawaleta mijitu studio ambayo Haina hadhi ya kuongelea simba.

  • @YekoniaLivingstone
    @YekoniaLivingstone 3 місяці тому

    Watu wakisema ukweli ni kuunga mkono ,wa Yanga waanza kutetemeka