MANGUNGU| SINA NAFASI YA KUMZUNGUMZIA MO| MCHAKATO UWEKEZAJI UNAHITAJI UVUMILIVU| BILIONI 20 ZIPO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 20

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 27 днів тому +1

    Mangungu toookaaa mae

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t Місяць тому

    Mangungu safi

  • @NajasonMagava
    @NajasonMagava Місяць тому

    Tuachie. Tim mangungu 2:03

  • @alfamgayatv872
    @alfamgayatv872 Рік тому

    Sema bos si yule bwana

  • @HasaniKitumba
    @HasaniKitumba 2 місяці тому

    pamoja na hayo ww uodoke hapo kwenye kinti

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 27 днів тому

    Huyo sio kiongozi wa simba bali huyo ni kiongozi wa kuizamisha simba katumwa na upande wa pili hicho ni kirus hatar ndan ya simba

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 2 місяці тому

    Mbona amesema aliwapa b20mlipeleka wapi maana mkataba haujakamilika?

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 26 днів тому

    ww mangungu hatukutakii Ondoka simbaaa tunakuombaa huto iyoneaa Raha hii team mpaka Utoke kwenye hiyo club yetu

  • @anangisyejoseph925
    @anangisyejoseph925 Рік тому

    Wewe unazingua mzee unazunguk zunguk kujib hoj

  • @mugetabwire7738
    @mugetabwire7738 27 днів тому

    Ndo wameanza kuongea akati walizingua kitaambo

  • @user-iz9nw6vy5w
    @user-iz9nw6vy5w Рік тому

    Acheni Ilo beat ni ushamba tu

  • @user-ek7tp2fg8t
    @user-ek7tp2fg8t 2 місяці тому

    Uyo niumbwa atoke tu

  • @user-hs7um1rf8s
    @user-hs7um1rf8s Місяць тому

    kaja simba huyo kuiba na kuisaliti hatumtaki kenge huyo

  • @RamadhaniRajabu-wm2cb
    @RamadhaniRajabu-wm2cb Місяць тому

    usajil smba

  • @RyanElias1
    @RyanElias1 Рік тому

    Yaan mnategemea kumshindanisha Hersi na huyu mzee

    • @macknonkibona2401
      @macknonkibona2401 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂
      Ni ardh na Mbingu

    • @leobusungu1230
      @leobusungu1230 Рік тому

      Hersi!!na yule Mzee acheni bana.

    • @nickclaver7195
      @nickclaver7195 Рік тому

      Rais ni mmoja tu na ni tajiri namba Tisa Afrika mo dewji wengine walio Baki ni mbwa wanabweka tu

  • @nickclaver7195
    @nickclaver7195 Рік тому +1

    Rais wa klabu ni mmoja tu Tanzania mo dewji nyie wengine ni mamonita tu wewe huna pesa wewe sio tajiri Afrika hujulikani sasa wewe unataka kutulazimisha kuwa wewe ni rais wawapi

    • @user-qo2nf6vm7k
      @user-qo2nf6vm7k Рік тому

      Mo rais wa mitandaoni, rais wa club Engineer Heris, the only one.