🔴LIVE: HAJI MANARA ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MCHELE YEYE NDIO ALINIANZA KUNICHOKOZA NA AKANIFUKUZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Share, Support, Subscribe!!!
    Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
    UA-cam: / hzbtv
    Twitter: / harakatizabongo
    Facebook: / harakatizabongo
    Instagram: / harakatizabongo
    Google Plus: plus.google.co...

КОМЕНТАРІ • 225

  • @mailonitz4901
    @mailonitz4901 2 роки тому +13

    Ila. Huyu talented kwenye speech kama unampa hajielezee umfungi ata kama ameua

  • @bonifassimon7909
    @bonifassimon7909 2 роки тому +6

    Karia ana wivu mnoo

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 роки тому

      Tena ana wivu na chuki hafai

    • @janejoel2465
      @janejoel2465 2 місяці тому

      Halafu hajifichi anajionyesha tu, ila MUNGU yupo kila kitu kinamwisho

  • @devotharobert5420
    @devotharobert5420 Рік тому +2

    Kwangu Mimi manala nili kupenda sana ukiwa Simba ulikua una hama sisha mashabiki wana itikia

  • @makambokisawani
    @makambokisawani 2 місяці тому

    Siku ya wananchi naomba nikuone live

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 місяці тому

    Uongozi wa kalia mpira wetu umekuwa sana

  • @MwapololoMc
    @MwapololoMc Місяць тому

    Gombea ulaisi wa tff chaguzi ijayo

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 2 роки тому +1

    Jinga tu tu linajikweza jeuri

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 роки тому +2

    Haji ni muongo sana tena sana

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 роки тому

      Haji hawezi kua muongo uongo inaeleweka mtu anapoongea na ukweli inaeleweka mtu anapoongea,izo ni chuki kwny kazi viongozi wengi wanakuaga nazo uyo rais ana chuki na haji na ameona haji anakubalika na uyo rais hajui maana ya icho cheo ni kikubwa anafoka foka nn Kama rais eti rais!kwaio karia kwanza mda mrefu na ujue mtu akikufata data xn na kukukera ikifikia mwsho wa uvumilivu unaamua acha iwe mby unamropokea tu ndio kilichotokea kwa haji!uvumilivu umemshinda haji nae akamropokea

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 Місяць тому

      Hebu twambie wewe ukweli wako

  • @salehhemed9388
    @salehhemed9388 2 роки тому +2

    Always anajihisi anaonewa gere
    Who are you bana😆😆

    • @J4UPro
      @J4UPro 2 роки тому

      Mind your business

  • @abdallahselemanimnaukemnau8417
    @abdallahselemanimnaukemnau8417 2 роки тому

    Wananchi iiiiiiiiiiii

  • @abdulkabirabdul2636
    @abdulkabirabdul2636 2 роки тому

    SEMA ULICHO MWAMBIA AU SEMA ULICHO ANZIA

  • @zakarialusambo4299
    @zakarialusambo4299 2 роки тому

    Acha kudanganya watu muongo wwe unatuhuma sana

  • @tansisoliambingu9307
    @tansisoliambingu9307 2 роки тому

    Wewe msemaji wa timu moja nchin Karia ni rais wa mpira nchini unamdharau kwasababu uliambiwa na hayati useme kidogo ikulu

  • @karmalyshaft9742
    @karmalyshaft9742 2 роки тому

    Una maneno mengi sana wewe kiasi cha kua sasa unaelekea kuiharibu hata sifa ya yanga hiyo miaka miwili naona haikutoshi unatakankuingezewa adhabu kwa dharau zako

  • @MartinMlaponi-c3n
    @MartinMlaponi-c3n Місяць тому +3

    Huyu karia anamaliza muda wake,juhudi zake za kuibeba Simba zimeshafeli,ndio maana alikufungia pasipo na sababu ,kumbe siku moja utakuwa juu yake.Mungu akuzidishe mazuri.Thanks.

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 роки тому +6

    Mi nakuelewa xanaa haji izo chuki nazielewa!huyo rais hafai!haji ameongea Mambo ambayo kila mahali kwny kazi watu km uyo rais wenye vyeo kunyanyasa watu wa chini!adi haji anaamua kumropokea ujue amevumilia mengi Kama Ayo na atimae yamemfika kibinadaam lazma moyo uchoke rais mbayaaa

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO Місяць тому +1

    Mimi nakushauri Usiendelee Kumzihaki Mo Dewej Huna Hadhi nae Yule ni Mtu anaiongizia Taifa fedha Nyingi Kimsema Mo Unatukosea Simba wote wew Umemsema Mo ametambulisha familia yake Wewe huna Adabu

  • @IbrahimBode
    @IbrahimBode 27 днів тому +1

    Una adabu ww karia levo nyingine tafuta kaz nyingine za kufanya

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 роки тому +6

    Kwaiyo inaeleweka haji nimekusoma uyo rais ana chuki ya mda mrefu na wewe kimya kimya!lakn iko wazi iyo

    • @MgangaMasudi
      @MgangaMasudi 11 місяців тому

      Acha ungo na wewe msenge nini

  • @allymavunyila8549
    @allymavunyila8549 2 роки тому +2

    bwwege huyo hajui kuomba radhi. kila anapokosea anaanza kutaka kuongea povu. yanga kueni makini siku akikosea atakuja tena kwenye midia kuyamwaga. hilo box tu

  • @amulikemwaweza5370
    @amulikemwaweza5370 2 роки тому +5

    Kumbe amewahi kukukemea mara nyingi siyo kwa sababu upo yanga bali ata ulipokuwa Simba,hivyo geuza ruga ya kusema kwa sababu ya wiki ya mwananchi

    • @aminaally8475
      @aminaally8475 2 роки тому

      Hyo week ina nni cha mno hpo kakacrik 2 kuwa atafanyia wapi Tambo zake

  • @carolinemasaki2020
    @carolinemasaki2020 2 роки тому +5

    Tunakuelewa sana kaka yetu haji manara sisi wana udsm hakika si kila mtu anapenda mafanikio yako

  • @eddysimba6829
    @eddysimba6829 2 роки тому +3

    Kwenye rizki kuna majungu sana mwacheni mwenzenu mungu kampa kipaji. Hizi chuki binafsi zinaboa.

  • @allysalumu8240
    @allysalumu8240 2 роки тому +5

    Mwisho wa ubaya ni aibu Manara! Bado unazidi kuchafua sio safi kaka.

    • @karmalyshaft9742
      @karmalyshaft9742 2 роки тому

      Anachafua kweli na hawa yanga wasipo angalia wataingizwa cha kike

  • @ramadhanipadon3577
    @ramadhanipadon3577 2 роки тому +2

    Daah viongozi wa tff wanatakiw wajiangalie wasitumie vyeo vyao kuathirin Waliochini.

  • @khamisikhatibu-f1r
    @khamisikhatibu-f1r 21 день тому

    Kakaliziki popote mimi nakukubali sana kaka mungu atakupiganiya kaka

  • @enockboidy4458
    @enockboidy4458 2 роки тому +2

    Shida nikwamba unaweza ukawa kalibu na viongozi wakubw lakin ukataka kujikweza ndio shida we nimgonjwa wa akili

  • @khamisikhatibu-f1r
    @khamisikhatibu-f1r 21 день тому

    Kaliya simba huyo ndiomaana hapendi maendeleo yako ilakaka upo ok sana kwenye kazi pambana kaka

  • @JohanesAviva
    @JohanesAviva 2 місяці тому

    Manara apo umekosea kumzungumzia rais wa TFF ungenyamaza tu huoni kama unaanzisha mambo mengine kaka?

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 2 роки тому +6

    Pole sana papa from France 🇨🇱

  • @adamsonsimon189
    @adamsonsimon189 2 роки тому

    Lakini karia ndo alikusamehe alivyopata urahis pili kipindi unatoka simba press zako unadai kisa umaarufu je ni kweli mo unamzidi umaarufu leo karia akuchukie kisa umaarufu wako kweli wakati crip inaonesha wew ndo ulikuwa mkali kwa picha tu

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 місяці тому +1

    Yes Hana eshima anataka aeshimiwe

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 2 роки тому +2

    Kwa sababu ni fundi wa kuzungumza wasipo kujibu huwa inaonekana kweli..

  • @hamidumpiga6283
    @hamidumpiga6283 11 місяців тому

    Uyo kidau mshamba tu najopo lake watatoka tu tff sio yao wala yababa zao

  • @khamisihussein8777
    @khamisihussein8777 2 роки тому +1

    Uyo presda Tff anachuki na yanga yetu eeh sawa baba lababa utajua hujui alah

  • @HashimKibalua
    @HashimKibalua 5 днів тому

    Haji manala tuludu simba kumenoga

  • @angelinakuwoko8724
    @angelinakuwoko8724 2 роки тому

    Kichwa kibovu hiki cfa za nn mropokaji TU wewe

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому +2

    Huyu jamaa ukimfutilia mambo yake unaweza kufa mapema. Alitutukana Sana wanayanga kuwa wote hatuna akili isipokuwa Baba yake na Kikwete tu. Na alisema hawezi kuwa Yanga labda akiwa Amaiti. Simba wamelifukuza likaletwa na GSM leo ndio haya linashida linatukana watu. Walifunfie maisha mrudisheni NUGAZI wetu.

    • @kijanisaini5688
      @kijanisaini5688 2 роки тому

      Makolo mnwa wewe kadanganye makolo wenzio c anakukera halafu una act ka litoto wakat watu tunaelew we likolo zilipendwa Kuma ww

    • @danielnyangasi8808
      @danielnyangasi8808 2 роки тому

      Bro huyu jamaa ni msakatonge

    • @Userog254
      @Userog254 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Userog254
    @Userog254 2 роки тому +2

    Ulivyokosa busara ilibidi ufate hatua za sheria na mkalizungumze panapohusika, na co kuongea uongo mbele za watu, huruma za watu hazipunguzi hukumu yako boys ww

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 2 роки тому +1

    Dah jamaa yani afanya wa Tanzania mazumbumbu kweli mpaka spitl ya mchongo dah

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 місяці тому

    Huna eshima lazima ufokewe

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 24 дні тому

    Haji msema ukweli mnoo

  • @mariamissah9926
    @mariamissah9926 Місяць тому

    Pole haji uyo kalia uwa anachuki sana na Yanga na Leo naamin Mungu yupo nasi tunayafunga😢

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 3 місяці тому

    Mdomo wako unakuponza unatumia vibaya ,kuwa na kiasi sio lazima uongee

    • @AlexMbagata
      @AlexMbagata 2 місяці тому

      Mm nafikiria kuwa mkweli ni Jambo zuri huyu jamaa ni mkweli

  • @bulunjumjuli9572
    @bulunjumjuli9572 2 роки тому +1

    Jamani viongozi wa mpira tendeni haki msituharibie mpira kama mmeshindwa pisheni

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 роки тому

      Na uyo rais hataamini jnc atakavyoporomoa huo mpira bila haji ata mi mwnyw sitaangaika na mpira nilihama na haji yn nampenda

  • @RashidiAwami-f4n
    @RashidiAwami-f4n 2 місяці тому

    Bro manara mungu yupo nawe ,hiyo karia tff siyo yake Iko siku muda wake utapita ,aje atune uku mitaani mwema Sana hiyo kwanza anaichukia Sana yanga hatufai ,hafai kuwa kiongozi wa nje hata ndani ya familia anaubaguzi mkubwa saaana ,siku ambayo yanga inacheza akiwa yeye uwanjani anataka yanga ifungwe ,na hata Kama tutashinda mechi inakuwa ngumu Sana ,mtoheni apo hafai , mpira hauhendeshwi hivi ,

  • @hajjmohamedlingindo6188
    @hajjmohamedlingindo6188 3 місяці тому

    Manala wewe ni ZAIDI ya Kalia katika Nchi hii, awezi kuishi milele TFF, Atamaliza mda wake na hao Wasaidizi wake, wewe uko juu ya Mpira wa Tanzania.

  • @DignaEdger
    @DignaEdger 2 місяці тому

    Nyie msikie tu. Kumuomba radhi mtu ambaye yeye anayetaka aombwe radhi ndio kakuko 11:25 ea. Ee Mwenyezi Mungu naomba mwisho Mwema.😢

  • @WilbrodNducha-wu4bg
    @WilbrodNducha-wu4bg Місяць тому

    Acheni unafiki hamkuona kilichofanyika watu msipendezewe na ushabiki😂😂😂

  • @dullahnyoni8021
    @dullahnyoni8021 2 роки тому +3

    Kumbe hata ulivyo kua simba alikukanya nilijua kwavile upo yanga mzee badili tabia yako

  • @ramadhaniomary7083
    @ramadhaniomary7083 4 місяці тому

    Manara wewe muongo

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 місяці тому

    Viongozi wapo ndiyo maana wametufikisha apa tulipo Kwa Sasa timu zetu zinafanya vizuri,tatizo mnaleta ushabiki kwenye ukweli

  • @NdakamaPeter-i8b
    @NdakamaPeter-i8b 2 місяці тому

    Bakiza maneno

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 місяці тому

    Hapo manara anamsingizia Raisi wa Tff. Mimi nilikuwepo sijasikia hayo maneno machafu akiyatamka Raisi wa Tff. Huyu anatafuta kuwachonganisha yanga na Karia. Na hii ndiyo tabia ya manara.

  • @kawembasaady2934
    @kawembasaady2934 2 роки тому +1

    Pole kaka hayonimaisha muombe mungu atakusimamiya yeye ndie muweza kaka

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 2 місяці тому

    Wewe huna hekima ndo maana uliwai kumsema vikali mwandishi wa habari upandacho ndicho utacho kivuana

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 11 місяців тому

    Acheni kumpa fulsa huyu zeruzeru, tumechoka naye! Ni kichaa siyo mwenzetu Huyu mbwa koko.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Рік тому

    Tatizo lako ni kimbelembele chako. Ulipomwomba Kangi Lugora kuwa mgeni rasmi hukuwa na kibari cha Tff. Yule ni Waziri hawezi kualikwa na mtu baki bila kuishirikisha Tff. Uliyatafuta mwenyewe.

  • @MketekeMnyamani
    @MketekeMnyamani Місяць тому

    Acheni majungu huyo ni kiongozi Watford siyo simba

  • @azizially6114
    @azizially6114 2 роки тому

    Acha uongo ulisha tuambia hujawahi kuwa simba sasa simba gani hiyo unayo izungumzia ww zeruzeru ufungiwe tu maisha

  • @edwinmhema3191
    @edwinmhema3191 2 роки тому

    ivi kwa maelezo ya manara ugovi ulianza mwaka gani au Kuna nyuma ya pasia wanatuficha............. Mtu akushauti tu sijuwi Kama ni kweli

  • @mrajani786
    @mrajani786 4 місяці тому

    Haji unakumbuka rais stafu kikwete katika harusi yako alikusi kutulia
    Na mimi nakuomba uende kwa mama samia akusaidia

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 2 роки тому +4

    Maisha ndivyo yalivyooooooo

  • @PendoKweka-cg8cd
    @PendoKweka-cg8cd 3 місяці тому

    Wanaotoa mawazo yao kwa kutoa hukumu dhidi ya manara, nadhani hatuhitaji mawazo yao.mpo wengi sana ambao hamumpedi manara .

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 2 роки тому

    Mbona unaongea wewe tuu acha kutengeza fitna ...we kila mmoja ni mkorofi kwako .umepishana na babra umepishana na mo.. uzuri kila kitu huwa unaongea wewe hawakujibu

    • @matataoneproduction5355
      @matataoneproduction5355 2 роки тому

      Wanasema mjinga mmpe cheo na wote hao washamjibu kwa vitendo babra kamfukuza kazi, Mo kamkatia laini na Karia kashampiga nyundo 2 na milioni 20 atoe na hayo ndio majibu sahihi kuliko kelele zake

  • @hassanmasoud5602
    @hassanmasoud5602 2 роки тому

    WW ulimdhalilisha barbara kushaenda kumuomba radhi?? Haji bobo umekwisha tusalmie kazi yako iliyobaki nikufitińisha watu haji goyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @ChristianNchimbi-u3l
    @ChristianNchimbi-u3l 11 місяців тому

    Huyu ndio alikuwa msemaji na muhamasishaji hakuwahi kushika kispika na uwanja uliokuwa unakaa sio huyo Kuma anaebana sauti muimba tarabu

  • @elishasarakikya1091
    @elishasarakikya1091 2 роки тому

    Kwendaa kafe mbele kwaNza wewe liongo njoo Morogoro tukupe mashamba ulime acha domo zege

  • @iddymbogowogo7317
    @iddymbogowogo7317 2 роки тому

    Maelezo yako yanaonekana siyakweli wewe unaingilia mkubwa kwanza unaonyesha hunanidham kumuigizia rais wa tff sauti yahivyo hukoni kukosa nidhamu huna adabu manala wazazi wako walikudekeza wakati ukiwa mdogo

  • @DignaEdger
    @DignaEdger 2 місяці тому

    Ndio tutambue uonevu upo sana hasa mwenye madaraka kumuonea asiye na madaraka. Mungu tusaidie😢

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 2 місяці тому

    Tff wanaakili sana awawezi kumjibu chizi anayetafuta umarufu Kwa lazima

  • @patrickmkunda3666
    @patrickmkunda3666 2 роки тому +3

    Ana sanaa ya Ulumbi

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 4 місяці тому

    Kuna Haji Sunday manara na stive Nyerere Hawa watu wanakitu kikubwa xana ndani Yao washabarikiwa na mwenyezi mungu chuki mnazowachukia zitawafikia pabaya xana 😢 Hawa ni talented

  • @imamurashid512
    @imamurashid512 2 роки тому +1

    We kalia kumbe wew kumas tu

  • @edwinmhema3191
    @edwinmhema3191 2 роки тому

    Kichwa gani muwongo mkubwa kwani hapo huoni aibu kuyasema hayo wewe Kiki ,inakutesa

  • @elishanziku8725
    @elishanziku8725 2 роки тому +2

    Viongozi wa Simba walishakushitukia, viongozi wa TFF walishakushitukia, bado UTOPOLO nao watakuchoka mie nipo paleeeee

  • @abedileite4725
    @abedileite4725 2 роки тому

    Huyo rais wa Tff si mtutsi lkn! kwaiyo arudi kwao Rwanda!! Sijuwi somalia!!

  • @dravioanjelomgulunde6332
    @dravioanjelomgulunde6332 2 роки тому +2

    Ise hongera unapambana hatar unaweza kuja kuwa rais

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 роки тому

      Na icho ndio karia anachokiona kwa haji na Sasa anapanga kumshusha kabisa haji km haji anafaa anafaa tu ataaibika cku moja uyo karia akae akijua cheo ni zamana

  • @hassanmasoud5602
    @hassanmasoud5602 2 роки тому

    Ukimya wako ingekua dawa lkn kwa vile unaweza kuongea kuliko kila mtu ww nimuongo Kwa nn hukuyaongea napema haya?

  • @hassanmasoud5602
    @hassanmasoud5602 2 роки тому

    Wkt uliwadhalilisha waliokupa heshma aaaahhhhh bwana haji huna lako jambo tena utaharibu kila pahala ww

  • @tansisoliambingu9307
    @tansisoliambingu9307 2 роки тому

    Tuheshimu mamlaka hata sasa unazi kukosea rais akutafutie wewe kadi hizo dharau jifunze kuheshimu mamlaka

  • @dominikishilali4645
    @dominikishilali4645 2 роки тому +2

    una taka watu wakuone huluma sasaivi kila m2 ana ana pambna mwenyewe

  • @sophiasaidy3914
    @sophiasaidy3914 2 роки тому

    Huyu jamaa Kama unataka kumfunga usimpe nafasi ya kujitetea no talent mbaya Yani ni Makini na hasahau neno la mwanzo Ila haimaanixhi hajafanya kosa

  • @ramaameir3035
    @ramaameir3035 2 роки тому

    Nimependa sana uliposema japo kamchango wako kidogo ktk soka,nikweli uliitwa nani vile kipindi uganda wanatuachia ndugu zao?

  • @gubabumatege6904
    @gubabumatege6904 Рік тому +1

    tunakumisi sana haji

  • @Userog254
    @Userog254 2 роки тому

    Hiyo press yako haipunguzi hukumu yako, nyundo 2 na milioni 20 ziko palepaleee🤣🤣🤣

  • @azizaally3839
    @azizaally3839 11 місяців тому

    We Haji Manara tulia na maneno yako ihache Simba yetu😂

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +3

    Mti wenye matunda ndo sikuzote hupigwa mawe

  • @adaniathumani3382
    @adaniathumani3382 2 роки тому +1

    Ukweli usemwe karia hafai kuwa raisi wampira hapa tanzania

    • @deusiyusuph8931
      @deusiyusuph8931 2 роки тому

      kwasababu kamfungia manala

    • @nahanakadiri3969
      @nahanakadiri3969 2 роки тому

      Adani umeonaee afai ana Roho mbayaaaa

    • @adaniathumani3382
      @adaniathumani3382 2 роки тому

      @@nahanakadiri3969 kiongozi huwezi kuonyesha Kuw Ww unatiimu aangaliee mfano waraisi wajamhuri yatanzania hayati magufuli kwaweli bora hata oscaosca anafaa kuwa raisi wampira mana mpka Leo sijamuelewa yupo timu gani huyo ndoanafaa kuwa raisi wampira mana hana timu

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 2 роки тому

    Wewe umapotea soon anza kuandaa kutengeza mgahawa kama Shishi maana kinavhofwata wote wanaekudanganya watakuwacha.

  • @stevenmwanisawa5611
    @stevenmwanisawa5611 2 роки тому +1

    Manara wewe ni kundi maarumu la wahitaji na wakusaidiwa kwa hiyo usijiulize ni kwanini magufuri alikwita

  • @DjumaEvariste
    @DjumaEvariste 3 місяці тому

    Rasmi siyo tetesi usajili yanga n'a Simba

  • @NelsonMatambo-ob5zm
    @NelsonMatambo-ob5zm 3 місяці тому

    Achana nao simba wachawi ndomana lana inawavaa sasaiv

  • @alfredjoseph1015
    @alfredjoseph1015 Рік тому

    Wewe sasa unataka kusema unakata rufaa au mimi hadi sasa sikuelewi

  • @rahimkomba3149
    @rahimkomba3149 2 роки тому

    Shirikisho la mpira wa miguu Tff mbele kwa mbele na mkimfunguria haji Manara basi na wale wariotenda makosa na mkawafungia na faini pesa juu nao muwafungurie sawa jmn haki kwa wote

  • @jumamataro4870
    @jumamataro4870 2 роки тому

    Kama Laila amekuwa lais tunakuombea uwe rais wa tff manara

  • @mujosmujobigwa5269
    @mujosmujobigwa5269 2 роки тому

    Mpira wa Tz hauna viongozi , Bali una washsbiki wa timu zao

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 роки тому

    2 Samweli 22:
    6 Kamba za kuzimu zilinizunguka; Mitego ya mauti ikanikabili.
    7 Katika shida yangu nalimwita BWANA, Naam, nikamlalamikia Mungu wangu;
    Naye akaisikia sauti yangu hekaluni mwake,
    Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
    *MATESO, AIBU, WASIWASI, HOFU NA TAABU VIKITUSHIKILIA, TUMTAFUTE BWANA, TUMLILIE, TUMLALAMIKIE NAYE ATASIKIA NA KUTUOKOA!!!*

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 2 роки тому

    Nyinyi waandishi wa habari kila anapotaka kupiga porojo huyu jamaa mnakeenda sasa siku mtakayotukanwa nyinyi kwa ujumla ndio mtamuona huyu jamaa hana adabu maana alipokua simba alimtukana yule dada muandishi wa habari hamkuchukua hatua ila ngojeni awape mitusi siku ndio mtamjua kama haji hamnazo

  • @azizially6114
    @azizially6114 2 роки тому

    Hatuwezi kukuamini ww ni muongo hata kwa brbrb uliwahi kumshutumu