SHEIKH MZIWANDA AELEKEZA BAKORA KWA MAWAHABI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 63

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 3 місяці тому +1

    Maa shaa ALLAH Shekh Mziwanda. MUNGU akuweke uzidi kutupa faida. Wameelewa mawahabi hawataki tu kukubali

  • @ChudiOmi
    @ChudiOmi Місяць тому +1

    Mawahabi hamtaki kusoma.. mnamtumikia shetan.... nasor bachu alirukwa na malaika msikitin ...hakupewa mkono...kwa upotofu wake

  • @darajanida
    @darajanida 4 місяці тому +1

    Masha Allah shekh

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 4 місяці тому

    Naam,, sheikh

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 місяці тому

    MASHA ALLAH 💚💚💚

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 4 місяці тому +1

    Sawa ya Mawahabi ni diwani 😂😂😂

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 місяці тому

    Watu waliopinda katika Manhaj zao. Kazi kweli kweli.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 місяці тому +1

    Kuingia usufi asubui....mpaka jioni mtu anakuwa chizi wa kutosha. Allaah Must'an.

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 місяці тому

    Mzuwanda muogope Allah....senti ndogo unayo ipata na kupindua pindua mambo ya dini na kupoteza ummah wawaislam. Mche allah sheikh wa upotoshaji.

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 місяці тому

      Wewe😂kasome wachq uvivu wa kupanuwa ubongo

    • @anyeresa928
      @anyeresa928 4 місяці тому

      ​@@fauznuhu9981hadith hii imekuja kwa ما ليس منه hadith hii kwa kilma kingine imekuja ما ليس عنه hapo unasemaje sheikh

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 місяці тому +1

    Kwahiyo katika mawahabi wooote huyo kijana ndo anaewaumiza vichwa mpaka saiv mwalazimisha kuchangisha michango msikitini ya maulidi?

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 4 місяці тому

      Ulilazimishwa kama sio bage zinakusumpua

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 4 місяці тому

      Kumbe upo uku pia broo. Unafika uku.?.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

      @@KhalfanMassoud nipo huku akhy nawaangalia ndugu zangu bna

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

      @@YaziduIddy-u7p uzuri nimemwambia imaam atafute vitu vya msingi tuchangie sio tutoe pesa zetu kusaidia wa2 kwenda kupiga kelele.

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 4 місяці тому

      @@Hamis-ks1sy sawa kwa hiyo quran mawaidha kuswalia mtume milele?

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 4 місяці тому

    Acheni kuskiliza watu wa bodaaa

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 4 місяці тому

      Ni akina nani awo?

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 місяці тому

      Wazikize mawa habi wa pinga mtumi?

  • @bagalucha
    @bagalucha 4 місяці тому

    Mziwanda hujawa na elimu ya kulichambua suala la bidaa,wala ufafanuzi wako haujaleta maana yoyote,kikubwa ni kwamba unacheza na dini ya Allah,hilo ni bora ukaliwacha,usiwapumbaze watu,kwamba ufafanuzi uliokosa maana,muogope Allah,usicheze na utukufu wake,jiulize unawaambia nani hayo?,utaweza kuzungumza utumbo huu mbele ya wenye elimu,elimu na ushahidi uliokuwepo Saudi Arabia una uwe za??,au unababaisha tu,kutengeneza maslahi yako??

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 4 місяці тому

      Huyu. Namuona atapatapa. Bila ufahamu Wala hajasema chamana huyu hajielewi

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

    Maneno ya ulamaa kwa kiasi kikubwa yanakuwa na nguvu Al imaam Shafii alisema kwamba mtu anaweza kuingia kwenye usufi mwanzoni mwa mchana haitomfikia adhuhur atakuwa.........??? Tunaanza kuelewa sasa

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 4 місяці тому

      Swadakta machizi tuna waona....Si-mchezo

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 місяці тому

      Kkkkk hiyo
      Ndo huja yako kkkk mawahabi mnatabu

    • @naabilmust6449
      @naabilmust6449 4 місяці тому

      Wapi imamu shafii alisema maneno hayo?

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 4 місяці тому

    Kiarabu kingi hakuna maneno ya Qur'an wala hadith za mitume,ni kiarabu kwenda.

    • @yaqinhamud4658
      @yaqinhamud4658 4 місяці тому

      hadithi za mtume zimetajwa hapo kama hujaskia sikiliza tena au unataka hadithi gani bro

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 місяці тому

      Kkkkk hatifhi hiyo
      Husiki kweli uwahabi tabu

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 4 місяці тому

    Yule swahaba...usi jaribu kumfananisha na wewe. Hapo kati yenu hakuna hata aliyekutana na mtume kwa hiyo...usijaribu kuzua jambo katika dini. Wale walifanya mambo katika dini na mtume Muhammad salawatu alyei wasalaam akayapitisha. Kwa hiyo hiyo sio Adith inayokuruhusu wewe kufanya bidaah.

  • @jumakassim1112
    @jumakassim1112 4 місяці тому

    hunaufahqmu juu yq hadithi za rasuulullqqh ndio shida kubwa

  • @SugowFarah-up3db
    @SugowFarah-up3db 4 місяці тому

    Sheikh hiyo hadith inatafsiriwa na nyingine fungua macho👇
    من أحدث في أمرنا ھذا ما ليس منه فھو رد
    Tafsiri yake ni hii👇
    من عمل عملا ليس عليه أمرنا فھو رد
    Nafikiri umepata maana ya neno ما ليس منه kwamba ni ليس عليه أمرنا

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

      Akhy utapata shida kwa Masufi hawaelewi hawa.

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 4 місяці тому

      ​@@Hamis-ks1synini maana ya laysa minhu je maulidi ni nini je kinachofanyika kwenye maulidi nikweli havimo kwenye mafundisho hebu niambieni nyie mawahabi kwenye maulidi kunasomwa quran mawaidha kuswalia mtume na kusoma sira ya mtume qaswida kipi kati ya hivi ni laysa minhu?

    • @fareedahmad6857
      @fareedahmad6857 4 місяці тому

      Wewe ndio hufahamu maana ya maneno ya MTUME .s.a.w
      ما ليس منه
      Maana yake
      أي ليس له أصل شرعي أي بمعنى ليس له دليل يشهد له لا من الكتاب ولا من السنة ولا القياس ولا الإجماع

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 місяці тому

      Kkkkk bado uko hapo hapo hakuna kukwepa

    • @fareedahmad6857
      @fareedahmad6857 4 місяці тому

      Wanaoitwa MAWAHABI wana maradhi;
      1-Taassub mamquwt
      2-BATARUL HAQQI
      3-GHAMTU NNASI
      الأمراض التي تفتك بهم
      ١-التعصب الممقوت
      ٢- بطر الحق
      ٣-غمط الناس
      ومن لم يجعل الله له نورا فما له من نور

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 4 місяці тому +1

    Takeni msada kwa subra na swala hio ni quran wewe shk langu unasema swahaba hakua na dalili allah atuongoze

  • @EpcDistributor09
    @EpcDistributor09 4 місяці тому

    Bidaa ni mbaya hata anaefanya moyo wake unajua

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

    Kweli daawa imeingia maana saiv badala ya kusoma maulid yenu mnaaza kuwashawishi kwamba maulidi yanafaa.In shaa Allah baada ya miaka kama mi5 mbeleni maulid yatatoweka kabisaaa.

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 4 місяці тому

      Ebu ni fafa nuliye maana ya jina maulidi ninini??

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 4 місяці тому

      Utatoweka wewe adui mkubwa wa uislam na Mtume wewe

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 4 місяці тому

      @@selemohd9060 kwahiyo maswahaba nao maadui wa Mtume kwakuwa hawakufanya maulid??hahahaha Kweli naamini maneno ya Imaam Shafii usufi ni uwendawazimu

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 4 місяці тому

      @@Hamis-ks1sy utajua wewe ila kila dalili za wazi zipo kundi lenu ni potofu na baya maadui wa Allah maibilisi wakubwa nyinyi kazi kusema musiyo yafanya tu. Allah atukinge na shari zenu maibilisi makubwa nyie

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 4 місяці тому

      ​@@Hamis-ks1syayo maneno yapo kwenye kitabu gani au ndo umekaririshwa na abdulhumed usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho

  • @Mubarak-e6p
    @Mubarak-e6p 4 місяці тому

    Eti. Naam. Nyinyi hamna akili Yani mwatetea uzushi wakijinga tena

  • @KhamisKhamis-w1l
    @KhamisKhamis-w1l 4 місяці тому

    Unajifanya umesoma kumbe huna lolote kazi kupoteza watu tu

    • @suuahmed71
      @suuahmed71 3 місяці тому

      Wee ulosoma wajuwa nguzo za swala? Wajuwa nguzo za udhu? Wajuwa nguzo za dini ngapi?? Wajuwa najisi kuna aina ngapi? Wajuwa hata kufuata jamaa?? Wajuwa nguzo za Imani na Uislamu ni ngapi???. Nakupa homework nenda katefute sasa uilemike