An-Nisaa 65. “La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa”
An-Nisaa 65. “La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa.” Suratul Baqarah 42. “Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua.”

Mzuwanda umesema kweli kuhusu wanazuoni/mashekhe wanapokosea haitakiwi kufata makosa yao, sasa mbona nyie mnafata makosa yaleyale ya mashekhe waliopita maana huyo Mtume swalallahu alayhi salaam mnayempenda na kumsifu sunnah yake kubwa ilikua ni kupambana na shirki/upagani na ndio mila ya Ibrahim alayhi salaam na leo hii shirki au upagani upo wazi ktk hizi siasa na serikali za demokrasia? Mnajua hizi siasa za kipagani zisizofata Kitabu wala sunnah zimetoka wapi na shekhe gani aliyejuzisha au mnabaki kupambania maulid tu? Mnajua kwamba kuhukumu kinyume na Kitabu cha Allah ni ukafiri, uasi na udhalimu na nyie ni mmekuwa watetezi wa hao makafiri, waasi na madhalimu badala ya kuwalingania waache? Mnajua kwamba kufata matamanio na kuacha muongozo wa Allah ni shirki na hivyo nyie mnasaidia watu hao wanaojiabudu wenyewe ktk shirki hiyo na hapo unahimiza watu wagombee nafasi/fursa ktk vyama vya kipagani ambavyo vinatumia katiba kufanya shirki? Mnapata wapi ujasiri wa kujifanya mnampenda Mtume ikiwa miongozo na sunnah zake hamzifati? Lini watu wataaishi Qur'an ikiwa nyie mnatetea ukabila badala ya kutetea dini kama ilivyo ktk Aya za Qur'an ( Rejea Surat Nisai: 65,80,85,105,109,116,135, Surat Maidah: 44,45&47, Surat Furqan:43,Surat Jathiyah: 23). Kimsingi mnachokifanya kumtetea uyo mama ni ukafiri,uasi na udhalimu na kumsaliti Allah na Mtume huku mnajua kwa sababu ya tamaa ya dunia ndogo tu. Hakuna anayemchukia mama bali watu wanachukuia uasi, ukafiri na udhalimu dhidi ya Allah na Mtume wake wa hizi siasa za demokrasia za shirki ambazo kesho zinaweza kutuletea Rais Shoga au Msagaji na nyie itabidi mumtee na Allah Aepushe mbali aamin. Jitambueni, Badilikeni na Acheni Mazoea nyie kwanza'
Cdhan km uko sahh fatilia utawala toka kpnd cha mtume Muhammad s a w kuna tawala nyingi hazkuwa za kidini au unawaona maahkh wa tz n wapotof vp kule kwenu Saudi j wajua Saudi n jna la mtu ndoo hao wanasiasa @@thegreenkhidhir3705
Bid'aa ndio dalili ya kukataza maulid?lete nassi ya Qur'an au hadith km huna unajidhulumu bure akili yko kuisfrisha na kuigandisha akili yko ktk ubshi bla kuifnyisha kz akili
Km namna msivyotumia vizuri nafasi ya kufundisha mafunzo sahihi ya Mtume Saw mmekazana kuwasomesha wafuasi wenu barzanji pilau biriani nyama ndio elimu sahihi na jambo la muhim sana ktk uislam
Allah akupe umrli mrlefu irli tuzidi kupata faida na akukinge dhidi ya maadui zako
Huyu jamaa Ana Elim mashaALLAH
❤❤❤❤❤ mziwnda
Mashaallal
Al Baqarah 42. “Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua.”
wewe mwenye ukweeli tuambieeh
MASHA ALLAH 💚💚💚
HAYA MAMBO HAMYATAKI ILA NDIO MNAYAFATILIA SANA KUNA HAJA GANI MBONA MSIFATILIE WANA MUZIKI UKO
Mwalimu na bingwa wa elimu
An-Nisaa 65. “La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa”
An-Nisaa 65. “La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa.”
Suratul Baqarah 42. “Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua.”
An-Nisaa 65. “La! Naapa kwa Mola wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi katika yale wanayo khitalifiana, kisha wasione uzito katika nyoyo zao juu ya hukumu utayo toa, na wanyenykee kabisa.”
Suratul Baqarah 42. “Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua.”
Mzuwanda umesema kweli kuhusu wanazuoni/mashekhe wanapokosea haitakiwi kufata makosa yao, sasa mbona nyie mnafata makosa yaleyale ya mashekhe waliopita maana huyo Mtume swalallahu alayhi salaam mnayempenda na kumsifu sunnah yake kubwa ilikua ni kupambana na shirki/upagani na ndio mila ya Ibrahim alayhi salaam na leo hii shirki au upagani upo wazi ktk hizi siasa na serikali za demokrasia? Mnajua hizi siasa za kipagani zisizofata Kitabu wala sunnah zimetoka wapi na shekhe gani aliyejuzisha au mnabaki kupambania maulid tu? Mnajua kwamba kuhukumu kinyume na Kitabu cha Allah ni ukafiri, uasi na udhalimu na nyie ni mmekuwa watetezi wa hao makafiri, waasi na madhalimu badala ya kuwalingania waache? Mnajua kwamba kufata matamanio na kuacha muongozo wa Allah ni shirki na hivyo nyie mnasaidia watu hao wanaojiabudu wenyewe ktk shirki hiyo na hapo unahimiza watu wagombee nafasi/fursa ktk vyama vya kipagani ambavyo vinatumia katiba kufanya shirki? Mnapata wapi ujasiri wa kujifanya mnampenda Mtume ikiwa miongozo na sunnah zake hamzifati? Lini watu wataaishi Qur'an ikiwa nyie mnatetea ukabila badala ya kutetea dini kama ilivyo ktk Aya za Qur'an ( Rejea Surat Nisai: 65,80,85,105,109,116,135, Surat Maidah: 44,45&47, Surat Furqan:43,Surat Jathiyah: 23). Kimsingi mnachokifanya kumtetea uyo mama ni ukafiri,uasi na udhalimu na kumsaliti Allah na Mtume huku mnajua kwa sababu ya tamaa ya dunia ndogo tu. Hakuna anayemchukia mama bali watu wanachukuia uasi, ukafiri na udhalimu dhidi ya Allah na Mtume wake wa hizi siasa za demokrasia za shirki ambazo kesho zinaweza kutuletea Rais Shoga au Msagaji na nyie itabidi mumtee na Allah Aepushe mbali aamin. Jitambueni, Badilikeni na Acheni Mazoea nyie kwanza'
Cdhan km uko sahh fatilia utawala toka kpnd cha mtume Muhammad s a w kuna tawala nyingi hazkuwa za kidini au unawaona maahkh wa tz n wapotof vp kule kwenu Saudi j wajua Saudi n jna la mtu ndoo hao wanasiasa @@thegreenkhidhir3705
@@thegreenkhidhir3705unachakisema tofauti na alivyosema mziwanda
100%✅✅✅
Bidaa
Nn maan yak
Bid'aa ndio dalili ya kukataza maulid?lete nassi ya Qur'an au hadith km huna unajidhulumu bure akili yko kuisfrisha na kuigandisha akili yko ktk ubshi bla kuifnyisha kz akili
Km namna msivyotumia vizuri nafasi ya kufundisha mafunzo sahihi ya Mtume Saw mmekazana kuwasomesha wafuasi wenu barzanji pilau biriani nyama ndio elimu sahihi na jambo la muhim sana ktk uislam
Umetoa shilingi kumi yako?????
Nn maan yake