Yani shehe mungu akupe maisha marefu wallah.yani kuna watu wanakufa kwq vipigo ukimwambia toka iyo sio ndo utasikia jamii itanichukuliaje mtiani wallahi .natamani ao wanaume wangesoma ndoa kbda ya kuowa naisi vipigo visingekuwepo kwenye ndoa .na ndoa zingekuwa zina amani kila siku
Aslm alkm wtw....Ma sha Allah!!!! Lau wanaume wote wangekua kama wewe Sheikh wetu, tungekua na pepo hapa hapa kabla kwenda kupata firdaus. Wanawake wengi tumejionea. Tunaambiwa stahmili pepo iko kwa mmeo. Mume nae akikosea mkewe hataki mke amuulize, anasema mimi ni mumeo usiniulize kitu. Swadakta Sheikh wetu, ikiwa utamridhisha mkeo kimapenzi na kumjali, hawezi aslan abadan kukufanyia maovu. Akiomba chochote kwingine, ni kwamba umemnyima mkeo.wanaume hawaeleweki Sheikh wetu. Wamezidi. Ndoa za sikuhizi zimekosa mawadata wa rahman. Allah akulipe pepo firdaus Sheikh wetu.
Mashallah Ustadh napenda mawaidha zako
Yani shehe mungu akupe maisha marefu wallah.yani kuna watu wanakufa kwq vipigo ukimwambia toka iyo sio ndo utasikia jamii itanichukuliaje mtiani wallahi .natamani ao wanaume wangesoma ndoa kbda ya kuowa naisi vipigo visingekuwepo kwenye ndoa .na ndoa zingekuwa zina amani kila siku
Subhana Allah, natamani wanaume wange jibu hilo swali, Allah atuongoze, Amin.
I love you Sheikh Izzudin becouse of ALLAH(SWA)
Masha Allah Allah akuhifadhi shekh wetu
Aslm alkm wtw....Ma sha Allah!!!! Lau wanaume wote wangekua kama wewe Sheikh wetu, tungekua na pepo hapa hapa kabla kwenda kupata firdaus. Wanawake wengi tumejionea. Tunaambiwa stahmili pepo iko kwa mmeo. Mume nae akikosea mkewe hataki mke amuulize, anasema mimi ni mumeo usiniulize kitu. Swadakta Sheikh wetu, ikiwa utamridhisha mkeo kimapenzi na kumjali, hawezi aslan abadan kukufanyia maovu. Akiomba chochote kwingine, ni kwamba umemnyima mkeo.wanaume hawaeleweki Sheikh wetu. Wamezidi. Ndoa za sikuhizi zimekosa mawadata wa rahman. Allah akulipe pepo firdaus Sheikh wetu.
Wlkm slm wrhmtlh wbrkth....
Kweli maneno yko....
Mungu azinusuru ndoa zetu
MASHA ALLAH ALEIK
Allah akujaze khery shekh wetu
Lau wanaume wangekuelewa basi kila ndoa ingekuwa na furaha daima
Masha-allha
Mashallah 🙏
Asalam alaykum sheikh mm nauliza kuna mwenzangu alimpa mumue mahari akamuoa sasa wanataka kuachana mume anadai apewe mahari ndio atoe talaka jee inafaa uyo mwanamke kutoa iyo mahari
Mashaallah
Aaww mbona hua unakataa watu kupeana mahari kwa qitma ya quraani iweje leo waruhusu
Sijakataa nasema iwe nikweli wanaithamini quraan sio kuonesha watu tuu
MASHA ALLAH ALEIK