UTAWA NA UTAUWA NI NENO AMBALO LINA MAANA MOJA. UTAUWA MAANA YAKE NI UUNGU (AU GODLINESS.) UTAWA NI MAISHA YA KUJITENGA NA DHAMBI. HAUWEZI UKAJITENGA NA DHAMBI BILA KUWA NA UUNGU NDANI YAKO (YAANI KUWA NA ROHO MTAKATIFU,) KWA HIYO MANENO HAYA YANA MAANA MOJA KWA MKRISTO. ILA KWA DINI NYINGINE NI MAANA TOFAUTI. MTU HAWEZI KUSEMA NINAISHI MAISHA YA UTAUWA WAKATI HAANA ROHO MTAKATIFU, KWA HIYO WAKATOLIKI WANAKOSEA, KWA KUWA HEO WANAPINGA KAZI YA ROHO MTAKATIFU.

Amen ubarikiwe kwa somo nzuri
Hallelujah.
Mtumishi umepitia elimu ya bible school?
Nauliza kwa amani kabisa
Haya masomo ni zaidi ya mtu aliyekwenda Bible school, Hapa anayehusika ni ROHO MTAKATIFU Mwenyewe, MUNGU ambariki Mtumishi wake MALI YA BWANA
Asante San mtumishi wamungu sifa nizabwan
Asante sana kwa mafundisho na kutuelewesha
Amen 🙏
Aki nashukuru kwamawaidha kuna Vitu nimejifunza MUNGU akubariki
Haleluyaaa haleluyaaa..Glory to God kwa chakula hiki kitamu
Jamani this is beautiful akuna kitu kizuri Kama neno, hallelujah amen
Amen amen barikiwa sana kwa kutuelewesha mtume Maliyabwana
Amen Amen Amen 🙏 🙌
Hallelujah Asante kwa mafundisho ya Mungu amen
AMEN AND AMEN
Ameeeeen
Ameen
Asante Baba
Amen
Asante
Kwani mtu wamungu utawa inakujavipi nimungu mwennye to hanauma kwa mtu
Tafadhali badilisha title, umeandika UTAUWA badala ya UTAWA!
2Timotheo 3:12 RSUVDC
Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa.