Bwana akubariki zaidi Mchungaji Amen Bwana aturejeshee upendo wa kwanza Hakika Neno ili ni moto Bwana atuwezeshe Ee Bwana nitejeshee upendo wa kwanza na kiu ya kukutumikia bila kurudi nyuma Baba
Bwana Yesu Kristo asifiwe! sauti zenu ni nzuri kuliko hata vyombo, Mungu anaitaji sauti zenu zaidi ya vyombo, jueni kwamba Bwana wetu Yesu Kristo anaitaji sauti zenu bila kutumia vyombo, sauti zenu ni muhimu mbele za Bwana, ndio maana Mungu haja ruhusu vijana wajifunze kupiga vyombo hapo kanisani. Nyimbo zenu za kuhabudu zinamfuraisha sana Bwana wetu Yesu Kristo Amen!
Hapana ndugu. Biblia haisemi hivyo. Inasema msifuni Mungu kwa kila kitu. Iwe ni sauti, vyombo, nk. Mungu hajipingi. Yamkini nyimbo unazo sikiliza hata wewe asili mia kubwa zimepigwa na vyombo. Mungu ndo mwanzilishi wa vyote hivyo. Hatujaambiwa na mwanadamu kujifunza vyombo bali tuliambiwa na Mungu mwenyew. Kusema Mungu hajaruhusu hapo tutakuwa tumesema uongo. Bali ni uvivu wa watu. Tuache kumuongopea Mungu. Na sio swala la sauti nzuri au la. Vyombo havitumiki tu kanisani, vyombo vinatumika pia hata studio. Tunalipa dollar 40 kupata solo guitar na bass. Ndo eti iwe mapenzi ya Mungu watu kulipia vyombo kupigiwa kwenye beat? No my friend.

AMINA
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU awadhidishie na awabariki ,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏
Amen amen ubarikiwe sana
BWANA YESU KRISTO,,,naomba kiu ya kutafuta na kukutumikia BILA kuchoka na BILA masababusababu
Bwana Yesu Kristo unisaidie nirudi katika ule upendo wako wa kwanza, ongeza kiu na shauku nakufatuta bila kuchoka
Amen 🙏
Mariam musa AMEN AMEN
May God help me to keep keeping on than go backwards
Amen Amen
Amen
Bwana Yesu Kristo asifiwe! sauti zenu ni nzuri kuliko hata vyombo, Mungu anaitaji sauti zenu zaidi ya vyombo, jueni kwamba Bwana wetu Yesu Kristo anaitaji sauti zenu bila kutumia vyombo, sauti zenu ni muhimu mbele za Bwana, ndio maana Mungu haja ruhusu vijana wajifunze kupiga vyombo hapo kanisani. Nyimbo zenu za kuhabudu zinamfuraisha sana Bwana wetu Yesu Kristo Amen!
Hapana ndugu. Biblia haisemi hivyo. Inasema msifuni Mungu kwa kila kitu. Iwe ni sauti, vyombo, nk. Mungu hajipingi. Yamkini nyimbo unazo sikiliza hata wewe asili mia kubwa zimepigwa na vyombo. Mungu ndo mwanzilishi wa vyote hivyo. Hatujaambiwa na mwanadamu kujifunza vyombo bali tuliambiwa na Mungu mwenyew. Kusema Mungu hajaruhusu hapo tutakuwa tumesema uongo. Bali ni uvivu wa watu. Tuache kumuongopea Mungu. Na sio swala la sauti nzuri au la. Vyombo havitumiki tu kanisani, vyombo vinatumika pia hata studio. Tunalipa dollar 40 kupata solo guitar na bass. Ndo eti iwe mapenzi ya Mungu watu kulipia vyombo kupigiwa kwenye beat? No my friend.
Amen MUNGU awabariki sana ukweli ministry
Ameeen
Amen Amen