Kisa changu mimi mwaka jana nkakutana na mtumishi nkamwambia kuna kijana yuanpenda lakin hajajenga ata kazi yeny aliajiriwa mshahara ni wake tu wakujisaidia Basi mtumishi akutuita kanisani kwake baada ya miezi 2 nkafkiri tuu maybe ataamuliza maswali ivi wampenda huyu dada utamlaza wapi kwao utapeleka mahari lini maybe Lakin izo swali ata moja skuskia akimuuliza alituuliza kama tulipendana tuliposema ndio japo me skua radhi na hilo swali ila nlishindwa kujinasua Alikua ametwambia tununue leso mpya akachkua hyo leso akatandika kwa madhabahu akachkua mafuta akatupaka akatuombea then akasema hawa wamekua wamoja😅 Guy najiuliza kijana sjampeleka nyumban hajulikan kazi hana alafu tumeunganishwa waaah ukiwa mvivu kuomba haki utakutana na mazingaombwe tena yameenza umo makanisani
Amen
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki 🙏 BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏
Mtumishi ubarikiwe sana ila naitaji mawasiliano
Jambo Habari na hitaji ni pate Namba yako ya simu na itaji uombee uzao wangu nyumba yangu Asante ubarikiwe
A5
Ameeen ameeen
Mda mrefu sijakuwa pamoja nanyi, Bwana Yesu asifiwe Sana, watu wa mwongozo wa roho mtakatifu
Shalom Shalom, Mtume Asante umenifunulia kitabu cha Hosea vizuri
Amen 🙏🙏 amen 🙏
Ameeeeen Hallelujah
Amina Amina
Amen 🙏
Amen
Amen amen barikiwa sana mtumishi kwa mafunzo mazuri Mungu azidi kukuinua
Mungu awabariki sana Watumishi kwa huduma yenu njema
Amen Amen
Barikiwa Mtumishi wa Bwana.
Shalom Shalom, Mtume enyewe hili somo limenipata na mapungufu na umeniongezea maarifu Asante ubarikiwe
Amen, mtumishi najaribu kuwasiliana na nyie ila siwapati
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Somo limenijenga. Hallelujah
Amen MUNGU awabariki sana
Amen
Amen
AMENAMEN!!
tuombee Tanzania huduma yangu niliopata kwenu inapigwa na mwovu.
Aondowe mafundisho
Nyoa nywele hizo ndugu yakupasa uwe kielelezo kwa wengine, kwa mwenendo na kwa usafi pia jitofautishe na watu wa mataifa 😮
Kisa changu mimi mwaka jana nkakutana na mtumishi nkamwambia kuna kijana yuanpenda lakin hajajenga ata kazi yeny aliajiriwa mshahara ni wake tu wakujisaidia
Basi mtumishi akutuita kanisani kwake baada ya miezi 2 nkafkiri tuu maybe ataamuliza maswali ivi wampenda huyu dada utamlaza wapi kwao utapeleka mahari lini maybe
Lakin izo swali ata moja skuskia akimuuliza alituuliza kama tulipendana tuliposema ndio japo me skua radhi na hilo swali ila nlishindwa kujinasua
Alikua ametwambia tununue leso mpya akachkua hyo leso akatandika kwa madhabahu akachkua mafuta akatupaka akatuombea then akasema hawa wamekua wamoja😅
Guy najiuliza kijana sjampeleka nyumban hajulikan kazi hana alafu tumeunganishwa waaah ukiwa mvivu kuomba haki utakutana na mazingaombwe tena yameenza umo makanisani
Amen .naomba siku moja uongelelee kuhusu kutoa TITHE ni lazma au si lazma Kutoa Kenya mahubiri tofauti eti mpaka toa mpaka ikuume😢
Tithe ni sheria so ni lazima
Amen
Amen Amen Amen
Amen
Amen Amen
Amina