JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
😂😂😂😂nimecheka sana,wacha niwape wazo!!aisee nyie mnaweza kufanya kakomedi ya mtindo flani hivi amazing na mtatengeneza hela,mmetisha sana.Japo mi ndani ya haya maswali ya Lilian naona akimaanisha kwa ndani😅😅nitafuteni tuweke hii idea vizuri ya kakitu kakutengeneza hela
Aiseeee hii ni bonge moja la interview ❤❤❤ love you Mr and Mrs MC Luvanda, jinsi mnavyo act kama sio mke na mme 😂 nimewapenda aisee yaani 👌👌👌, Lilian you are the best 👌👌👌🥰🥰🥰🥰🥰 I LIKE IT ❤❤❤
Ayo mambo yakuzurumiwa ndo pat yangu iyo nina watu wengi wamenikopa wamenizurumu na nimeamua kukaa kmya wanorudisha ok wasio rudisha ok mwisho wa siku wao ndo wanafeli niliwasaidia ok wengine nimewasamee
Nimecheka hapo kwa wahaya😁😁 nilikua na mpangaji wangu muhaya, akichelewesha kodi ukamsisitizia kulipa anakuuliza, ivi mama B, wakiitwa wenye nyumba uta eenda!! 😃 hawa watu ni shida!!😁 halafu wanapenda sifa kuliko😁
Huyo mke wako mpumbavu sana. Ukifa atachagua watu na mazingira.? Mfundushe kwamba dunia ni tairi inazunguka. Huko Kanyigo kulikuwa na Serena? Mwaambie aache ulimbukeni
@@ishe_ngo8926huyu yuko na personal issues,,simple and classic kwa ni uchafu,probably amezoea aoene mtu kavaa viatu inch 6 mikope kama beleshi mikuchwa mithili ya jogoo kwake huo ndo usafi pengine
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
Mungu akutunze mc luvanda na Lilian kuvanda mwasha.amen interview nzur sana huwa narudia kuangalia Mara kwa mara
Nmependa MC LUVANDA avyosema Alhamdulilah na isha Allah wakatu sio muislam Masha Allah inaonekana ana marafiki wengi waislam
Aisee mimi nimejifunza sitaki kusaidia watu adi nitakapofanikiwa nimeishia kuishi maisha magumu kwa ajili ya kuwasaidia watu na kudhulumiwa
Unathawabu yako kwa Mungu mpz usivunjike moyo❤
Htr
Usikate tamaa
Wewe ni mimi kabisaaa ,
Kuna kitu nimejifunza kitu hp mahojiano ya mume na mke MUNGU awabarik🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Imenibariki sana leo
Umeniokoa mc luvanda mungu akubariki, ubahili siyo uchoyo ni nidhamu ya pesa
Mpenzi Lilian,hongera sn darling,uko vizuri mpenzi,endelea mbele darling,I love you so much mpenzi darling😂😂
😂😂 husband and wife interview. Mtu haezi jua
😂😂😂😂nimecheka sana,wacha niwape wazo!!aisee nyie mnaweza kufanya kakomedi ya mtindo flani hivi amazing na mtatengeneza hela,mmetisha sana.Japo mi ndani ya haya maswali ya Lilian naona akimaanisha kwa ndani😅😅nitafuteni tuweke hii idea vizuri ya kakitu kakutengeneza hela
Kumbe unalijuwa hilo ndugu yangu maana wahaya wako vizuri na wanajielewa wanahakikisha kila wanalolifanya ni sahihi
Kama sio Mr and Mrs 😜 nawapenda nyie ❤❤
Hongera Lilian kwa good interview yaan unamhoji kama vile siyo mme wako umetisha xna💪💪🙏
Wanawake wajanja saana.
Asante dada lily nimejifunza vitu vingi sana leo….mr and mrs luvanda mbarikiwe sana
Aiseeee hii ni bonge moja la interview ❤❤❤ love you Mr and Mrs MC Luvanda, jinsi mnavyo act kama sio mke na mme 😂 nimewapenda aisee yaani 👌👌👌, Lilian you are the best 👌👌👌🥰🥰🥰🥰🥰 I LIKE IT ❤❤❤
Matajiri sio mabahili bali ni wachumi,ubahili sio neno zuri sana
Mwenyezi Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini nakumketisha nawakuu juu
Huwa namsikia sikia Mc Luvanda kumbe ndio ana madini hivi Safi sana❤
Nawapenda sana Mr and Mrs nimependa pia Interview nzuri sana ♥️
I love the show of Mr $ Mrs I learn a lot
Nawapenda sana❤
MKINGA NA MUHAYA NEEMA YA MUNGU INAHSIKA SANA.
Lilian Mwasha naomba no cm ya ofisi Kuna jambo ningependa unishauri.plse Lilian
I like you guys!
Hongera mc luvanda pale unapojua ukweli na huo utakuweka huru 👍
This is the best show..I love the energy between the host and the guest. Be blessed..Glory to Glory❤
There Mr and Mrs mpaka raha
Nimejifunza mengi kwakweli.....real hardtolk🔥🔥😘
Fav people right here❤
Nimejifunza kitu.kipind kizuri.Nawapenda ❤
Nawapenda
Nawapenda aisee
Ayo mambo yakuzurumiwa ndo pat yangu iyo nina watu wengi wamenikopa wamenizurumu na nimeamua kukaa kmya wanorudisha ok wasio rudisha ok mwisho wa siku wao ndo wanafeli niliwasaidia ok wengine nimewasamee
Asante Kaka unauelewa mikubwa, Mungu akuwekee mkono
Dada Lilian Mwasha Love You so much always na mumeo
Oh watu hao katika mahojiano ni mtu na mkewe ?
Ndio 😅@@Mpakauseme
Duuuu hongera😅😅😅😅
Oh ndio kwanza nifahamu kuwa hawa ni mke na mume. Maneno yao mazima. Binafsi ninahusika kuwa serious. Kuwa mwema sana ni hatari
Yani so lovely interview mengi nimejifunza
Apo kidooogoo amuite mmewangu akazuga ,,,,, I like dis couple
❤❤❤❤❤ Yesu awatunze
Nimenyaka kitu apa dah hongera sanaa
Nimejifunza kitu asante sana
Congratulation interview nzuri sana!
BIG THANKS TO YOU ALL,THIS BIG 🙏, BE BLESSED, NIMEJIFUNZA KITU KIKUBWA MNOOOO,MMEGUSA MAISHA YA WATU KWAKWELI
Jaman mkitaja M roho inaniuma mwaka watatu nadai jaman😢
Luvanda ni kichwa sana
Asante sana
Nimecheka hapo kwa wahaya😁😁 nilikua na mpangaji wangu muhaya, akichelewesha kodi ukamsisitizia kulipa anakuuliza, ivi mama B, wakiitwa wenye nyumba uta eenda!! 😃 hawa watu ni shida!!😁 halafu wanapenda sifa kuliko😁
😂😂😂😂😂😂😂😂
umenichekesha sana..wangeitwa wenyenyumba unaona ungeenda?
😂😂😂
Nice couple love you sanaa
Extremely educative and also entertaining.. thanks for the great show…!!!!God bless
Indeed
Watu wanacho kizungumza juu yako juwa ya kwamba " huwa haikuhusu"
😂 hamna chill dah🎉 nimependa hii...
Huko sahihi kabisa
"Wacha watu wakaushwe damu kwa sababu hawalipi" 😂😂😂😂😂
Ongereeni kwakweli mimi mme wangu atuwezi kuwa kama nyie,ịla mnachekesha,
Nimekuhurumia maskini. Mungu ni mwema dear mnaweza kuwa vyovyote mtakavyo mkimtanguliza
Kkkkk, hawa ni wasanii. Kama hawajuani!??
Nimecheka sana leo😂😂😂😂😂😂😂😂 23:35
Lily na luvanda
35 black
Mashaa Allah kumbe Mr and Mrs Allah awabariki saanaa
Yaani nimewapinda na ukiwanyima utasikia anajisikia ! lol Watu
👏👏👏✍️📌
Sasa kingereza ya nini 😅😅😅?
Sorry mcluvanda kama lilian angekuwa single ningetafuta utajiri nimuoe!
❤️
Mtu na mkewe
LILY KAMA VILE AMZABUE BAO MAMBO YA KUNYIMWA LAKI 5
❤❤❤🤣🤣🤣🤣😂
Mc luvanda nahitaji mawasiliano yako
You mixing miser and economizer ubahili ni upumbavu
Mke na Mume wakiswalikana maswali
huyu si mme wake au? its like wanavyoongea km c mmewe
Nmejifunza kitu kikubwa
maswali yalikua too personal😂😂😂
huyu ni mimi kabisa jamanii yani mimi ni mtu wa kutoa sana kwa watu yani mtu akilia tuu namsaidia ila mimi jaman sipatagi hata wakunipa mia mojaaa
Mmmh
Nimejifunza kitu, kuhusu nidham ya pesa Asante MC
Kipind kizuri
Hahahaha 😆 😂
😂😂😂
Hawa ni mume na mke,wanatuzingua tu
Wajanja, na Maisha yanaenda kama kawaida.
Unaongea vitu ambavyo nimekutana navyo
Kama mmekunywa RUBISI,
Huyo mke wako mpumbavu sana. Ukifa atachagua watu na mazingira.? Mfundushe kwamba dunia ni tairi inazunguka. Huko Kanyigo kulikuwa na Serena? Mwaambie aache ulimbukeni
Huyu dada Lilian mchafu jaman anavaa Kama house girl 😂😂😂😂
Mtu mchafu unamjua au umeongea tu kujifurahisha? Anaweza akavaa nguo isikupendeze au isimpendeze lakini siyo uchafu.
@@ishe_ngo8926huyu yuko na personal issues,,simple and classic kwa ni uchafu,probably amezoea aoene mtu kavaa viatu inch 6 mikope kama beleshi mikuchwa mithili ya jogoo kwake huo ndo usafi pengine
Sasa hapo uchafu wake ukowap?heri Yako msafi
Mungu tufunze kushikiria vinywa vyetu
@@ishe_ngo8926👏👏👏👏💯
❤