Pastor Ndacha Uso Kwa Uso Na Dr Sulle Wakutana Tena Na Haya ndio Mazungumzo Yao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 71

  • @victoriamtangi3287
    @victoriamtangi3287 7 місяців тому +1

    Nyie 😂😂😂ndacha na sule mnatuzuga tu Ila anafurah sana Tanzania 🇹🇿 yetu napenda mno tunapendana tuna Amani ya dini zetu doctor sule mtata sana Ila kumbe nimegundua mpole sana mchana Mungu w kweli. Asante Sana pastor mh ndacha. Hongereni sana hakika vitu nyenu vipo mbinguni. Mbarikiwe sana

  • @FunnyHermitCrab-gh4sw
    @FunnyHermitCrab-gh4sw 7 місяців тому

    Ndacha mungu akup maisha marefu

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 7 місяців тому +1

    ❤❤shikamo ndacha ww ni kamanda wa Bwana.

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 7 місяців тому

    Angekuwa ostadh kinyogoli na kina ostadh shafii ingekuwa nzuri sana 🙏🤲

    • @umdtv2749
      @umdtv2749 7 місяців тому

      Waliahidi kufanya mdahalo ila siku walio haid waigoma kuja

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 2 місяці тому

    Nampenda sule kwasababu anaikubali sana biblia na kuwasomea waislam habari za wayahudi, Ibrahim na muumbaji wa Mungu kupitia biblia takatifu

  • @silveriusfungilwa5995
    @silveriusfungilwa5995 7 місяців тому

    Nimewapenda sana wote nyie ni roll modo wangu kwenye imani

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 7 місяців тому

    Mungu atubariki tushinde

  • @HamzaMussa-hu3nz
    @HamzaMussa-hu3nz 7 місяців тому +1

    ALLAH AKBAR

  • @victoriamtangi3287
    @victoriamtangi3287 7 місяців тому

    Shika Imani yako wala asije mtu akaichukuwa wala kuitingisha.

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 7 місяців тому

      kuwa mtumwa wa Muhammad Kisa waarabu ni dhambi kubwa

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 7 місяців тому +1

    Hamna lolote Ndacha hawezi kukubali na Wewe Sule siku hizi umeiegemea dunia zaidi hakutakua na amaajabu yoyote tangazeni biashara zenu tu lakini hakuna wakuelemisha mtu hapo

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому +2

    Na hiyo siku yaweko maji kabisa kwenye kisima ya kuwabatizia makafiri waislamu maana najua Mwalimu Ndacha atawagalagaza tena kama alivyo wagalagaza mwezi wa 12 mwaka 2023

    • @RahyanaJehaad
      @RahyanaJehaad 7 місяців тому

      Wew ni kafiri kwa waislamu na mim nikafir kwako lkn swali linakuja je ukafir wangu mim ni ukafiri kwa mwwnyezimungu?

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому

      @@RahyanaJehaad ndio wewe na waislamu wenzio ni kafiri kwa mwenyez Mungu unapinga dini ya kweli ya mwenyezi Mungu ya ukiristo unang'ang'ana na dini iliyo letwa na mpotoshaji wa kiarabu mhammad ambae siku ya khiama atahukumiwa kwa kupotosha umma hivyo yeye mhammad na wafuasi wake wote watatupwa kwenye moto wa jehannam siku ya khiama

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 7 місяців тому

    Naomba kwenye huu mjadala Kinyogoli awepo

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws 7 місяців тому

    Hatimae pete imemleta ndacha kw mara nyingine yangu macho tu iyo siku ndacha anasema kumekuchu 😂😂😂 cijui ni kweli🙄

  • @halimazubeir
    @halimazubeir 7 місяців тому +1

    Professa mazinge asikose tafadhali dr.sule

  • @MarthaMasha-e6q
    @MarthaMasha-e6q 7 місяців тому +1

    Kumbe midahalo nimizuri sana
    Mmemsikia sule akisema Torati, injili na zaburi ziko kwa kitabu kinaitwa biblia? Kumbe alielewa. Hongera sana sule

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 7 місяців тому

      Sio kwamba kakufurahisha bali katumia hekima hapo kawastiri kiana labda nikueleze kwamba katika dunia ya leo hakuna vitabu hivyo hasilia na hata kama vingekuwapo visingekuwa na nafasi ya kutumika kwa sababu Umma wake ulisha pita kwa Wana wa Israel na hivi sasa ni Ummati Al Quran hizo habari za Injili zilikuwa kwa ajili ya Wana wa Israel kipindi cha Yesu karne ya sita,Zaburi nayo hivyo ilikuwa ni kwa ajili ya hao hao Wana wa Israel na Taurati hivyo hivyo,Sasa Wewe na Wenzako kuanzia karne ya 7 mpaka kihama Kitabu chetu sote ni Quran haijalishi unaikubari au unaikataa na Mtume wa watu wote ni Mtume Mohammad (S.A.W) haijalishi munajifanya hamsikii lakini kila munapoingizwa ndani ya makaburi yenu hizi habari munakumbana nazo na kibano juu,Kwahiyo mtu yeyote anaye ifuata Injili,Taurati na Zaburi hivi leo maana yake hao watu wamepotea kiimani kwa sababu havikuwa ni Vitabu vya ulimwengu mzima.Someni vitabu ili mukae katika njia iliyonyooka ya Uislamu na Mwenyezi Mungu anasema kwamba mtu anayetaka dini kinyume na Uislamu matendo yake hayatakubarika siku ya mwisho,Quran 3:83 ukifa kwa njia ya Msalana utakuwa umekula hasara kwa Mola wako kwa sababu hiyo ni njia ya laana,WAGALATIA 3:13 soma ili uache ushabiki wa dini bila kuelewa na pale munapojidanganya heti Yesu aliwabebea mizigo ya madhambi yenu;huo ni uzushi,WAGALATIA 6:5 kama mtu ni malaya atabeba mwenyewe mzigo wake,mchawi abebe kago lake,Yesu hayumo kwenye uchafu wenu.YESU ALIKUWA NI MUISLAMU ALIKUWA AKIINGIA KWENYE MISKITI YA WAYAHUDI,MARKO3:1-19 Nyie leo munaingia Kanisani;Je munamfuata nani Kanisani?Soma Bibilia zote hakuna andiko hata moja lisemalo kwamba Yesu alikuwa akisoma misa kanisani hakuna ,LUKA6:6

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 7 місяців тому

      Waislam wanajua ukweli wote ila wao n undongo wa kipinga tu.

  • @saniairadukunda4400
    @saniairadukunda4400 7 місяців тому

    Hiyo ni sehem ya profes mazingi yani kutanoga zaidi ..

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому

      Mazinge hawezi kasha choka mzee wa watu hawezi kushindana na mw /Ndacha

  • @abujole3992
    @abujole3992 7 місяців тому

    Wote wawili ni wiizi kila mwaka watowa maneno tu hakuna moja anasilimu

  • @Austinemarko
    @Austinemarko 7 місяців тому

    Yan ndacha hata majubu unayo mjibu sull hapa yanamtishia sulle.

  • @StephineOlale
    @StephineOlale 7 місяців тому

    Bro jetayarishe kuwa mkristo I now dacha

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому

    Mwalimu Ndacha wapige spaner hao makafiri wa kiarabu

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 7 місяців тому

      ila tuwaombee wamjue yesu wamepotea hawa wut.

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 7 місяців тому

    Ndacha mkali kama umeme

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 7 місяців тому +1

    Mkurugenzi mchawi c wakiislamu

  • @victoriamtangi3287
    @victoriamtangi3287 7 місяців тому

    Kwani mh sule atakuja na jini moja😂😂

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 7 місяців тому

    Lakini huyu Ndacha anazungumza kiswahili kama mtanzania

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 7 місяців тому

    Mchawi vs jini wake.

  • @AyubuRamadhani-wz4gk
    @AyubuRamadhani-wz4gk 7 місяців тому

    😢😢😢

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany 7 місяців тому

    Allah amesema kua tusiwafanye vipenzi wale ambao kua wanaipiga vita Dini ya Allah, ila wewe doctor sule unasema uyo nikipenzi chako, umepotea kifikra baba.

    • @ayubutwalbu6594
      @ayubutwalbu6594 7 місяців тому

      Wewe bado maandko huyajui jitahidi usome sule yupo sahihi na anajitihada katka dini wewe unajitihada gani mbona mnapenda kubeza tu

  • @mwanaidisimoni79
    @mwanaidisimoni79 7 місяців тому

    Tunasubiria

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 7 місяців тому

    Ata kama unajua kujiandaaa ni muhimu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 7 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣 masha'allah

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin6878 7 місяців тому

    Abubakar zidi kufundishwa na majini

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany 7 місяців тому

    Mh!

  • @yussradady5010
    @yussradady5010 7 місяців тому

    Chanal gani itaoneshwa

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 7 місяців тому

      BND TV.biblia nuru ya dunia.

  • @Nuruyasunnah.official_tv
    @Nuruyasunnah.official_tv 7 місяців тому

    pete😢

  • @MarthaMasha-e6q
    @MarthaMasha-e6q 7 місяців тому

    Sule, ni Mwana wa Mungu ndiye aliyekufa wala sio Mungu Baba. Mungu Baba hajawahi kuonekana wala hapatikani na mauti
    Hivo yeye hajafa ila mwanawe ndiye kafa kishe Mungu Baba kamfufua
    Mwana wa Mungu ni Mungu wewe sule, hiyo hujui? Mwana wa mbuzi si ni mbuzi, Mwana wa simba sini simba
    Vivo hivo Mwana wa Mungu ni Mungu
    Simple. Bt polepole utafundishwa na utaelewa tu

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 7 місяців тому

      mbuzi akizaa mbuzi wanakua mbuzi wangapi? Kwa hoja hii Mungu Kazaa mungu hivyo mnaabudu mungu wa ngapi ? kwa imani yenu mungu wa ngapi?

    • @MarthaMasha-e6q
      @MarthaMasha-e6q 7 місяців тому

      Soma hiyo, mithali 8:22_30
      Yesu kazaliwa na Mungu Baba kabla dunia kuumbwa, upo?

    • @MarthaMasha-e6q
      @MarthaMasha-e6q 7 місяців тому

      1wakorintho 8_6 soma hiyo

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 7 місяців тому

      @@MarthaMasha-e6q mungu Kazaa mungu kwa hiyo mungu wa ngapi?

    • @MarthaMasha-e6q
      @MarthaMasha-e6q 7 місяців тому

      ​@@MohamedMohamed-u3t1nsoma andiko la pili utajua. Usibishe utaelewa tu maana nyie waislam hamna hii elimu

  • @halimazubeir
    @halimazubeir 7 місяців тому

    Abuubakar acha ujinga mshirikina umemuona?

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 7 місяців тому

    Dokta sule waislam tunakukubali nyie ndio wanachuoni wetu ila ubinaadamtu

    • @user13375
      @user13375 7 місяців тому

      Majini nayo ni ndugu zenu ?

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 7 місяців тому +1

    Tunaomba channel zitakazokuwa hewani

  • @RajaaRajaa-id5wx
    @RajaaRajaa-id5wx 7 місяців тому

    Shekhe nilikua nakukubal sn lkn ulivyo ongea ujing wako mshirkin

    • @Austinemarko
      @Austinemarko 7 місяців тому

      Cio mjinga nakama amekosea bc Quran yenyewe inamakosa sababu sulle alicho zungumza alitoa ndani ya Qurani.

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 7 місяців тому

    Sure mshirikina Na ndacha kafiri wote wanamkufuru Allah waislamu musiende kwenye mdahalo wao huo

  • @AminaHasan-n6l
    @AminaHasan-n6l 7 місяців тому

    Abubakari ww usiende acja kushawishi ujinga wako kichwa kimekushuka kafiri ww

  • @saniairadukunda4400
    @saniairadukunda4400 7 місяців тому

    Hiyo ni sehem ya profes mazingi yani kutanoga zaidi ..

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 місяців тому

      Mazinge kasha zeeka saiv hana jipya kasha fanya debate nyingi na Mwalimu ndacha kagalagazwa hivyo Ndacha sio level ya mazinge tena ndomana anatafuta wahadhili wengine wakubwa zaidi ya mazinge