Hello Pastor, it's my first time to comment though I listen all your sermons. This one here I can say'The chains has been broken' by the Grace of God and help of the Holy spirit I will go back to my roots and do good to glorify God. I feel free from Kenya.
Hakika nimemuona Mungu kupitia wewe, unanibarik Sana tangu nianze kukusikiiliza umebadiri kabisa mfumo wa maisha yangu. Mungu wa mbinguni aendelee kukulinda nakukupa afya njema uendelee kumfunua kristo kwa watu wote Amina
Ufunuo wa Yohana 14:13 [13]Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. And I heard a voice from heaven saying unto me, Write, Blessed are the dead which die in the Lord from henceforth: Yea, saith the Spirit, that they may rest from their labours; and their works do follow them.
Asante Yesu, pastor mbaga unafudisha mambo yaliyofichika na kanuni wasizozijua wengi hakika mimi nabarikiwa sana Mungu Akubariki tena na tena.
Hello Pastor, it's my first time to comment though I listen all your sermons. This one here I can say'The chains has been broken' by the Grace of God and help of the Holy spirit I will go back to my roots and do good to glorify God. I feel free from Kenya.
Amen God bless you
Mungu akubari.amen
Na barikiwa sana mtumishi
Hakika nimemuona Mungu kupitia wewe, unanibarik Sana tangu nianze kukusikiiliza umebadiri kabisa mfumo wa maisha yangu. Mungu wa mbinguni aendelee kukulinda nakukupa afya njema uendelee kumfunua kristo kwa watu wote Amina
Mungu amisaidie kubomoa ngome ya adui wanao halibut biashara ,kazi na mahusiano yangu .
Mimi siwezi lala mpk nisikilize mahubiri ya Pastor mmbaga😊 yananibariki sana..
Hakika nabarikiwa sana namuhubirii yakoo ubarikiwe past
Nimebarikiwa sana kupitia mafundisho Yako ,,, Mungu hakusidii hakupee nguvu hueneze injili yake jesu kristo
Unatubarik sana mtumishi kwa Neno, Mungu akubariki sana
Asate kwa mahubiri masuri mungu akubariki amen.
Mimi hata nisikize mahubiri yako 24hrs siwezi choka kabsa sababu najua nimungu anakutumia kuongea na mimi be blessed pastor
Same here ❤❤❤
Mimi hata mahubiri yake ya myaka 6 iliyo pita nabarikiwa nayo.❤❤😊
Sholom mtumishi wa Mungu.
PR.Mungu akubariki San
Mimwenyewe. Ninaugomvi na baba. Ila nilipo kuskiza mchungaji nikarudisha moyo ilinimpndea. Babayangu. Not liamua kwenda kwake skumkuta nika mpgia cmu alipo sikia jina langutu. Akasema hanijui naananiona takatakatu. Kwake. Ugomvi niyeye na mama. Ilanawatoto katujumuisha. Nashindwa kumwelewa Sana mzee. Sis timejikuta tupo namama. Manaliachwa na baba Mimi naumri miaka3. Naturikua wato7mama katulea adileo namiaka36
BWANA apewe sifa ,...sielewi Kuna error, following from Saudi Arabia.
Nimebarikiwa sana na nimesoma mengi.
Nimejifunza mengi mazuri kupitia mahubiri yako Mwenyezi Mungu azidi kukupatia afya njema ili niendelee kujifunza na kuimalika.
Tafadhali naombeni no ya pr mbaga please
Ufunuo wa Yohana 14:13
[13]Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
And I heard a voice from heaven saying unto me, Write, Blessed are the dead which die in the Lord from henceforth: Yea, saith the Spirit, that they may rest from their labours; and their works do follow them.
Amina
Naombeni namba za Mtumishi mbaga nipo USA tafadhal