UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MIFUKO YA UTT Na Daudi Mbaga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @barakayusuph5190
    @barakayusuph5190 10 місяців тому +3

    Hongera sana mr daudi mbaga natamana sana hii elimu ifike kwa watu wengi hasa Sisi tuliopo huku pembezoni mwa nchi kama katavi,kigoma ,sumbawanga ,songea,mtwara.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому +1

    Tumuombeeni sana Mama Samia wetu na serikali yake ya uongozi then our country will grow which will impact our investments for the Glory of our God! thanks much Mbaga for your time and presentation..superb!

  • @veronicalemalali6361
    @veronicalemalali6361 Рік тому +2

    Asante sana nimejifunza vitu vingi. Taenda kufungua yangu and my kids also. Be bless my brother

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому +2

    Somo ni zuri sanaaaa!
    Thank you Daudi.
    Nahavache mno nimeelewa!

  • @renicokinemo4808
    @renicokinemo4808 2 місяці тому +1

    Very powerful presentation

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому +4

    Napenda utt japo nimechelewa kuingia huko lkn walipo utte nipo.
    Asanteni Utt.

    • @Elikiyosaki_
      @Elikiyosaki_ 2 місяці тому

      Habari, hujachelewa rafiki doors are still open for us , fursa hii sii ya kuacha

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому +3

    background music ipunguze volume jmni

  • @joycemalunda1748
    @joycemalunda1748 2 місяці тому +2

    Background music is very disturbing 😢

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 2 роки тому +4

    The background music is so high!

  • @julioineza6052
    @julioineza6052 2 місяці тому

    This sound so 👌 interesting and straightforward ,anyone here who has tried the past 3 years constantly??

  • @nickmpanzi
    @nickmpanzi Рік тому

    Kudos Daud, very robust preparation 👏 🎉

  • @mlalidaycare814
    @mlalidaycare814 2 роки тому

    Nice presentation Mr mbaga..by the way I got a wonderful lesson about shares investment . very satisfied to me

  • @mikaayo10
    @mikaayo10 Рік тому +1

    Asante sana Mr Mbaga ingawa mimi ni mwekezaji UTT Kuna kitu kipya nimejifunza

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому

    Aaah Dr nimekuelewa nitajilipa myself first kuanzia mwezi huu mwishoni.
    Sasa,sasa,sasa nitajilipa.kwanza nimechezea fedha kumbe.

  • @daudimkuki8018
    @daudimkuki8018 Рік тому

    Dah i learn a lot...

  • @mkwejonathan361
    @mkwejonathan361 Рік тому

    Safi sana bro, be blessed

  • @depaalissuofficial
    @depaalissuofficial 4 місяці тому

    Dear Mr. @edmundmunyagi, naweza kupata kitabu kinachoelezea juu ya uwekezaji wa UTT AMIS hasa mifuko ya Ukwasi na Hatifungani?
    Kindly, reply me back when you find this quest message!

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому

    Daudi una madini ya uwekezaji, Mungu akubariki sana.

  • @khalfantambwe5980
    @khalfantambwe5980 2 роки тому

    Good job big brother

  • @RainpeterKimario
    @RainpeterKimario 6 місяців тому

    Upo vizuri kaka

  • @RojaMiho
    @RojaMiho 2 дні тому

    Namba zenu napataje nipate maelezo zaidi

  • @jerryjac4323
    @jerryjac4323 2 роки тому +3

    music ina kwaza kusikiliza

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Рік тому

    hiyo ubanani sijui kasema uber 8 ST namba D ndo nini akisema it gives 150 per week 15:31 naomba jamni kuwlezewa jmni tafadhali

  • @olephilemon1773
    @olephilemon1773 6 днів тому

    Life time inflation

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому

    Wsnalamba kweli yaani kazi hipo

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 11 місяців тому

    Kweli kabisa jitambuwe

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому

    Nitauza nyumba 1 nilete utt.

  • @deokarithomas1243
    @deokarithomas1243 2 роки тому

    Naomba slide hizo za wekeza maisha.

  • @catherinekawa8078
    @catherinekawa8078 Рік тому

    Mimi nahitaji kujiunga UTT lakini nawapata wapi?

    • @catherinekawa8078
      @catherinekawa8078 Рік тому

      Ama nawezapata no za simu niongee nanyi ana kwa ana?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  Рік тому

      Wapo Sukari House, Dar es Salaam. Wana branches, Dodoma, Arusha nadhani na Mwanza lakini unaweza kufika kwenye Branch yoyote ya CRDB kupata huduma za UTT. Pia unaweza kutembelea tovuti yao www.uttamis.co.tz

  • @Devothakimei
    @Devothakimei 2 роки тому +1

    Back ground ya mziki jaman

  • @joniajohn4716
    @joniajohn4716 2 роки тому

    👏🏽

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 2 роки тому

    Naitaji kujua zaid utt niwekeze nafanyaje nipo njee

    • @barakayusuph5190
      @barakayusuph5190 10 місяців тому

      Tembelea Tawi lolote la crdb karibu yako utajua kuhusu UTT AMIS

  • @lucyjosephat6316
    @lucyjosephat6316 2 роки тому +1

    Nauliza mwanza huduma ya UTT inaweza kupatikana

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 роки тому

      Fika kwenye tawi la benki ya CRDB lililopo karibu yako.

    • @daudimbaga3204
      @daudimbaga3204 2 роки тому

      nssf bldg mezanine

    • @georgenazi9325
      @georgenazi9325 2 роки тому

      @edmund munyagi kwa nini watu hawaamini kuhusu utt wanaona ni kuibiwa

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 роки тому

      @@georgenazi9325 wakina nani hawaamini?

    • @georgenazi9325
      @georgenazi9325 2 роки тому

      @@EdmundMunyagi ni watz wenzangu wananikatisha tamaa natapeliwa

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 2 роки тому +1

    Tunapataje broker anausikana na utt

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  2 роки тому

      Hauhitaji Broker kuwekeza UTT. Bofya *150*82# halafu fuata maelekezo. Utaweza kufungua account na hata kuanza kuweka pesa. Lakini utahitaji kujaza na fomu ya mfujo husika ambazo unaweza kuzipata kutoka kwenye website yao www.uttamis.co.tz halfu ukazirudisha ofisini kwao au ukazituma kwa email.

    • @daudimbaga3204
      @daudimbaga3204 2 роки тому

      Tembelea tawi lolote la CRDB

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому

    Daudi sasa kumbe nisingewekeza kwenye nyumba kwanza.Lkn nitafika Dar nipate hii hii eliminate,lkn Daudi usinywe pombe.

    • @filorammbaga5710
      @filorammbaga5710 Рік тому

      Daudi wewe ni mpare Bwana ndugu yangu,proud for your tribe .Mpare ni best user wa scarce resource I proud to be mpare. We go with budget na hii ndio kauli mbiu yetu.
      Laminitis naipenda utt.

    • @hendrylema5640
      @hendrylema5640 Рік тому

      ahahaha amestaafu