Yanayoendelea sasa hayakubaliki hata kwa Katiba iliyopo tatizo ni kuheshimiwa na kutekelezwa. Je ikiwa yanayoendelea sio kosa la katiba iliyopo hiyo mpya ina uhakika gani?
This guy is never serious, he told us years back he will name all vigogo with foreign bank accounts - we are still waiting 10 years on! Zitto please how can we trust you, no difference with uozo wa ccm
Viumbe wazito loo kupenda kulaumu na kuwaona wenzao hawana la maana hawaoni thamani yake Allaah amzidishie kheri na nguvu sie tunaokupenda na mapenzi ya Allah juu yako
Zitto hapo sidhani kama Kuna marekebisho ya maana yamefanyika, tatizo kubwa katika uchaguzi ni wakurugenzi kusimamia uchaguzi na Rais kuteua Mwenyekiti na makamo Mwenyekiti wa tume, wangerekebisba hayo hata haya unayosema wasingerekebisha hayana athari kubwa, vinginevyo hamuwezi kutoboa
Mm siongeli juu ya zuura unis ktk manegment yao ktk bbc Swahili mm naongelea juu ya bbc Swahili language lakoni tunaitaji luga mbili ktk duble standard on lntanationol midia tutumie luga mbili badala yake luga ambayo nchi nyingi hazifahamu alafu tunadanganyana kiswahili ni duniani kote wakati hapo Zambia tuu boda kivumbi kinaanza kwa wasijua kingereza tusidanganye lazima tuongee ukweli ktk taifa letu
Je lami kutoka Nyakanazi hadi Kigoma imeshakamilika.Kama bado kuna vumbi sitapenda kusikia lolote kutoka kwa nyama vyote.Ni upuuzi tu.Miaka nenda rudi baada ya uhuru vumbi tu hadi leo😢😢
Zito kabwe mbona umekuwa mbunge muda mrefu lakini hujaleta utofauti wowote.momi mtizamo wangu ni huu watanzania wengi wanajua mini kibaya na nini kizuri ccm imefanya.waacheni wataamua katika sanduku la kura.naamini in mengi mazuri yamefanywa na ccm kukiko mabaya machache.wapinzani was nchi yetu kila mmoja anavuta kwake ndo maana hata kwenye maandamano chadema walikuwa peke yao na mzee hashimu rungwe tu.
HEKO MZALENDO. MAWAZO YAKO NI SAHIHI. YANAWAUMIZA KWA WAO KUNDILOTE HILO HAWANA HATA NUSU YA UWEZO WAKO WA KUWAZA NA KUTENDA MAMBO YA NCHI. UNAJUWA KUWA ASIYE NA UELEWA HAITAKIWI KUMWAMBIA KUWA HAJUI.
Tunataka katiba mpya, are you serious, do you know what is in the current one, big NO.. nyinyi mnatuona sisi wajinga sana! NeXT elections 2 years to, why all these campaigns, let people go to work. Stop these unproductive meetings.
Nisahihi kabisaa kasulu kuna uzalishaji mkubwa sana kwenye sekta ya kilimo sema serikali ina wabana wakulima wake vikwazo vingi sana ila wakiachana na hiyo kasumba kuna vyakula vingi sana ardhi ya kasulu ina rutuba sana maana sio jambo dogo kulima bila kuweka mbolea na ukawa na uhakika wa kuvuna mazao 👏👏😃
Zitto piga kazi tu hata kipofu unatambua unachapa kazi ndiyo maana mifumo ya vyama vingi inasaidia kuikosoa serkal ,piga kazi tuko pamoja hao wanaocoment ujinga wapo kwenye kundi la matrinial system
Mungu tusaidie watanzania chaguzi zinazokuja tuchague viongozi wanaojali haki za wananchi
Mungu mwenyewe anatajja ujisaidiye bayete akusaidiye
Mungu azidi kukupa maisha malefu na mungu tusaidie
Zito silazima wakupende waoo sisi tunakupenda
Ukweli daima mh Zitto
Iam fed up.Wabunge 19 wap
o hadi leo
Kwa kifupi tukae kimya tu.😮
Act Wazalendo hamfai kabisa 2015 mliaminiwa Kigoma-Ujiji mkatanguliza maslahi binafsi mkafutika
john vyama vya upinzani ni wasaka tonge na wabalamba asali sanaaaa hamna kitu hapo
Zito wapi unapotea? Bila katiba mpya hatutoboi. Hivi huoni hili?
Yanayoendelea sasa hayakubaliki hata kwa Katiba iliyopo tatizo ni kuheshimiwa na kutekelezwa. Je ikiwa yanayoendelea sio kosa la katiba iliyopo hiyo mpya ina uhakika gani?
Ira zto Apo umeongea kweli mungu akubalik sana
Hivi kuondolewa kifungu cha kupita bila kupingwa kwako ni issue kubwa sana sio!! Wanasiasa wa TANZANIA hawa kweli hamnazo
Zito kapumzike huna jipya
This guy is never serious, he told us years back he will name all vigogo with foreign bank accounts - we are still waiting 10 years on! Zitto please how can we trust you, no difference with uozo wa ccm
He is corrupt to the core,he makes some noises but the sooner they give him a pay check he shuts up
njaaa
Viumbe wazito loo kupenda kulaumu na kuwaona wenzao hawana la maana hawaoni thamani yake Allaah amzidishie kheri na nguvu sie tunaokupenda na mapenzi ya Allah juu yako
Ni kweli hapo bado kuna tatzo
Zito hajawshi kuwa Mpinzani,uws analiga Kelele arushiwe Tonge tuu akila tu kimyaaaa
Utalishawishi bunge la CCM,,? This is devide and rural
Nikweli
Ni kweli kabisa wakurugenzi ni makada wa maccm
nakukubali kaka zito akili nyingi sana umeongea point sana🔥🔥
Poleni sana Tanzania 🇹🇿.
Nice
❤❤❤❤❤
CCM tu
Zitto hapo sidhani kama Kuna marekebisho ya maana yamefanyika, tatizo kubwa katika uchaguzi ni wakurugenzi kusimamia uchaguzi na Rais kuteua Mwenyekiti na makamo Mwenyekiti wa tume, wangerekebisba hayo hata haya unayosema wasingerekebisha hayana athari kubwa, vinginevyo hamuwezi kutoboa
zito tumekuchoka, huna jipya
Leo ndo unazungumza hayo akati ulikuwa upande wao 😂😂😂😂
Zitto has noticed the rules of the game too earlier as he was Coached by Genius Deo Filikunjombe..The Politics we want for 🇹🇿🇹🇿
Hata mpige kelele vipi kuishinda Ccm siyo rahisi mtapata ubunge tu
Mimi ndio maana nikasema sipigii kura chama chochote wote ndio wale wale
Kwahiyo zito uchaguzi mbovu ulikuwa 2019 na 2020 tu?
Ilikuwa too much ndugu!
Zito hongelaaaa
Zitto sawa kabisa mkuu
Duhh
Zitto Wewe?Lini Uliwapigania Wananchi Kama Sio Udangajifu Wa Kisiasa.
Hujitambui
Zito kukaa kimya sana kumekushushia makali yako sana umeonyesha uzaifu sana nyuma hopo ulikiwa unatisha sana henzi zako
Katika mtu mpuuzi na hafai kuaminiwa kuwa mbeba maono,..
Nguvu hiyo angeitumia kushinikiza KATIBA angeeleweka zaidi
Wanaojibu vibaya nakumpinga niviccm na hawatashika Dora tena ACT tutashika tu dora
Ngoja tuwapeleke sisi tunajenga hoja hatutukani sis tunataka Taifa la wote tu
Hamjasema.
Mm siongeli juu ya zuura unis ktk manegment yao ktk bbc Swahili mm naongelea juu ya bbc Swahili language lakoni tunaitaji luga mbili ktk duble standard on lntanationol midia tutumie luga mbili badala yake luga ambayo nchi nyingi hazifahamu alafu tunadanganyana kiswahili ni duniani kote wakati hapo Zambia tuu boda kivumbi kinaanza kwa wasijua kingereza tusidanganye lazima tuongee ukweli ktk taifa letu
Hatimie zito aibua kifo chaenos
I C T wazalendo na chadema ni kitu kimoja ndio maana chadema tumeamua kuungana
Je lami kutoka Nyakanazi hadi Kigoma imeshakamilika.Kama bado kuna vumbi sitapenda kusikia lolote kutoka kwa nyama vyote.Ni upuuzi tu.Miaka nenda rudi baada ya uhuru vumbi tu hadi leo😢😢
Walaumu wanaokusanya kodi yako,zito hakusanyi kodi,vinginevyo endelea kuimba iyena iyena
Anpridictuble zito kabwe maybe
Zitto ni makini sana
Zito kabwe mbona umekuwa mbunge muda mrefu lakini hujaleta utofauti wowote.momi mtizamo wangu ni huu watanzania wengi wanajua mini kibaya na nini kizuri ccm imefanya.waacheni wataamua katika sanduku la kura.naamini in mengi mazuri yamefanywa na ccm kukiko mabaya machache.wapinzani was nchi yetu kila mmoja anavuta kwake ndo maana hata kwenye maandamano chadema walikuwa peke yao na mzee hashimu rungwe tu.
Halima mdee nawenzake
Ghorofa limekushinda kulimaliza kule Dodoma tangu utemwe kwenye ubunge.Hapo unashupaza shingo tu ili upewe kitengo
kichenje umempa live ndiyo maana kelele nyingiiiiii kumbe kafulia
@@margarethpolepole7438 yeah,tunamjua vzr huyo mpuuzi,Hana lolote.
Ilo tu ndio nilisubri useme ili nikupe 98% natumaini taifa litakuwa safi kwa mwende huu lazma tuwe wakwel ss
Tatizo lake huyu jamaa ni moja tu,sio mkweli.Yani haaminiki,akipewa pesa au kitengo cha kuibia (kupiga pesa za wizi)ananyamaza kimyaaaa.
Zitto nakukubali saaaana
Asante kwa kutowa taalifa bloo!
Tunahitaji lami siyo maneno.Enough is enough😮😢
Wewe ni muongo
Tatizo ni katiba yetu tunataka katiba mpya .
Ila wewe zito una kandokando za upigaji mkubwa, so usijitoe povu sana tunakujuwa.
Zito njoo dodoma wiseme sirikali maji ya shida nitabu
Hahahahha Ila Siasa Acha tu tukae kimya, Eti Zitto Mpinzani dah haya
Zito acha kumchafua unatafuta kick kwa zuhura yunus?!!!
Ndumi la kuwili.
HEKO MZALENDO.
MAWAZO YAKO NI SAHIHI.
YANAWAUMIZA KWA WAO KUNDILOTE HILO HAWANA HATA NUSU YA UWEZO WAKO WA KUWAZA NA KUTENDA MAMBO YA NCHI.
UNAJUWA KUWA ASIYE NA UELEWA HAITAKIWI KUMWAMBIA KUWA HAJUI.
Tunaitaji tume huru ya uchaguzi
Kakazito muungane nakupenda Sana
Tunataka katiba mpya, are you serious, do you know what is in the current one, big NO.. nyinyi mnatuona sisi wajinga sana! NeXT elections 2 years to, why all these campaigns, let people go to work. Stop these unproductive meetings.
Hapo.napo.kiukweri.unajua
Hamjui kutoa habari zuhura hapo sio habari
Rudi chadema ulikuwa unaheshimika sana
Eti kasuru italisha tanzania 😂😂😂😂😂
Nisahihi kabisaa kasulu kuna uzalishaji mkubwa sana kwenye sekta ya kilimo sema serikali ina wabana wakulima wake vikwazo vingi sana ila wakiachana na hiyo kasumba kuna vyakula vingi sana ardhi ya kasulu ina rutuba sana maana sio jambo dogo kulima bila kuweka mbolea na ukawa na uhakika wa kuvuna mazao 👏👏😃
Kibalaka wa ccm huyo
Zito, ni mjinga tu atakuamini
Ujinga wake ni nini? Wewe ñdiyo mjinga kabisa.
TOKEN HAPO YAN NYIE MNAWAZA TUME YA UCHAGUZ MNANJAA NA MADALAKA NA SIO SHIDA ZA WANANCHI
Wacha usenge ww
Toka Niko skuli namsikia zito kabwe. Ni lini utawaacha vijana nao wagombee wewe kaa pembeni use mshauri tu.
Kwangu zitto ndio mwanasiasa pekee ninaemuona anatumia HOJA ZA NGUVU ktk kutetea chochote kle
Ndio maana wabunge waengi ni vilaza kazi yao ndiooo
Uvu za
Ndio den hua hawakatai unachukua unaendelea kudai
Huna jipya
Ulipo kuwa chadema ilikuwa Raha Sana zitto kabwe
Zito wewe na Obasanjo mbona hamjaenda kuwapa pole Palestine au hao siyo binadamu?
Kwahiyo 2025 utapatawawakilishiwengi bungeni...
Zitto piga kazi tu hata kipofu unatambua unachapa kazi ndiyo maana mifumo ya vyama vingi inasaidia kuikosoa serkal ,piga kazi tuko pamoja hao wanaocoment ujinga wapo kwenye kundi la matrinial system
Huna issues ndugu wee ni fatani mkubwa kupita maelezo kwakweli
Mheshimiwa Zito tunakuomba utusaidie tupate madai yetu sisi tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel ya 77 iliyoko Arusha tunateseka jameni
Kajambe zizini wa nguruwe
Ww njinga hueleweki unaongea nini
I don’t trust this puppet at all sorry but not sorry
Safi Sana
Rais haruhusiwi kuchafua mwandamizi Wala jaji kwa Sababu atakuwa wafisiemu haruhusiwi hatutaki patachimbika kwa ujumla rais akae pembeni MITA 8500
Haaa
Wakurugenzi hawafai watoke ni makada wa CCM.
Uraia wako inabidi tuukague
Nenda wewe chawa tu
kibaraka wewe, wewe na samia ni wamoja
Mwongo zito
Mawaziri wagumba hatuwataki
Shida mnaongeka hamna msimamo
Kuwa makini sn na huyu jamaa, huu ni upande mmoja w shilling D.S
Wapinzani tatizo lenu bahadhi yenu amueleweki kabisa. Nani anaweza ongoza taifa hili kati yenu?. Tafakarini.
Kumbe kampeni zimeshaanza..
Hivi ungebaki chadema ungepungukiea nini zitto