MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 годин тому +20

    Mimi niko UK mwaka wa 22 lakini naungana nae huyu Sheikh hawa waumbaji wasije kuimba Zanzibar sisi tuna mila zetu za kiislam sawa,thanks

  • @Hussein-qq2uy
    @Hussein-qq2uy 3 години тому +13

    Wallaahi sheikh wangu Allah akulipe kheyr umeshafikisha ujumbe huna dimma mbele ya Allah watu wa serikali wanajulikana wanauogopa mfumo Kristo ulioshika hatamu Tanzania nzima mimi naamini kama Rais atatoa tamko la kuzuia uchafu huu kwa nafasi yake hakuna atakaethubutu lakini ni mtihani tuwaachie mizigo yao

  • @MchaFakih-ij8kh
    @MchaFakih-ij8kh 5 годин тому +13

    Well said may Allah bless you and Grant highest level of jannah

  • @JumbNovis
    @JumbNovis 5 годин тому +11

    Allah akubariki, Allah ailinde zanzibar yetu ,

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 4 години тому +9

    Sheikh huna hoja mbele ya Allah umefikisha na Sisi mashuhuda na tunakuunga mkono Kwa Hilo hawakutekeleza watakwenda jibu shukran sheikh

  • @abuusalum928
    @abuusalum928 2 години тому +4

    Allah akuzidishie mzee wangu , umefikisha na Allah ni shahid!!

  • @ghalibelghanim1151
    @ghalibelghanim1151 Годину тому +4

    Asante Sheikh. Zanzibar imeharibika.

  • @FathiaHassan-g7t
    @FathiaHassan-g7t Годину тому +4

    mashallwah allwah atakulipa kila khiri

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 5 годин тому +5

    Mashaalah muungu akulipe kwa ujasiri wako

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 51 хвилина тому +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤ Shukran Mh Rais Dr Hussein mwinyi umejibu vizuri sanaaa safiiii kabisaaaaa sahihiiiiiiiiiiiii.media mitandao etc zote na wazee na kila mtu ktk jamiiiii wanawajibu wa kuongozana na kuelewesha jamiiiii ❤❤❤❤ sio serikali peke yake .

    • @NaglaSaid-jn1xo
      @NaglaSaid-jn1xo 6 хвилин тому

      Subhanallah , hakuna anaepinga hilo kwamba kila mmoja anao wajibu wa kukumbusha, lakini mtume SAW amesema kuna njia tatu za kuzuwia uovu isitendeke ,
      Njia ya kwanza kuzuwia kwa mkono wako,
      Njia ya pili kukemea kama uwezo wa kuzuwia huna kama mzee wangu alivyofanya hapo .
      Na njia ya tatu ni ys kuchukia ingawa huko kuchukia ni udhaifu wa imani.
      Hivyo rais kama kiongozi mkuu wa nchi hana njia ya kukwepa sababu yeye leo akitamka tu kuanzia leo marufuku muziki Zanzibar akimaliza kutamka tu tayari Zanzibar itaanza kupiga hatua maana amri itakuaimetoka kinachofata ni utekelezaji , ukituletea mziki ni kichapo tu kila mmoja atakaa kwa heshima na adabu,

    • @NaglaSaid-jn1xo
      @NaglaSaid-jn1xo 3 хвилини тому

      Lakini je ana ubavu huo,? mfumo utamuacha salama?
      Ulwa hautaki tena?

  • @NassorrajabJuma
    @NassorrajabJuma Годину тому +4

    Allah akulipe shekhe wetu na wanaovaa uchi pia nao waambiwe

  • @SuolFat
    @SuolFat 37 хвилин тому +1

    Hongera sana shekhe umeongea ukweli mtupu

  • @alimsellem6103
    @alimsellem6103 Годину тому +5

    Diamond asije zanzibar

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 4 хвилини тому

      Ungeanza na Mauzinde kumkataza aache usenge ungefanya Jambo jema sana

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e 4 години тому +3

    Mashallah Zanzibar waislam cc mambo hayo kharam kwetu tusaidien viongoz kuondoa uchaf huu

  • @saidbakar-x1m
    @saidbakar-x1m Годину тому +3

    Umesema kweli shekhe wangu

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg 2 години тому +3

    Naam huu ndio ukweli Mzee wetu Allah akulipe

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 21 хвилина тому +1

    Upo sawa kabisa sheikh wetu ..hongera kwa ukweli uliowapa hao waheshimiwa .mmaana nao wanjitoa fahamu kabisa

  • @faudhiaabdallah4361
    @faudhiaabdallah4361 3 години тому +3

    Well said❤mashaallah

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw 2 години тому +3

    Ndugu yangu katika upo sahihi allah akuifadhi

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 3 години тому +3

    Asanteni hii mada nimeipenda kwakweli

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 4 години тому +3

    Usiogope sema haki halafu hata wanamziki wasikaribishwe ikulu inakuaje wanamziki wanakwenda ikulu namuomba rais wanamziki niwatu wabaya wstaiharibu jsmii

  • @AminasalimKhamis
    @AminasalimKhamis 15 хвилин тому

    Shukrn sheikh Allah akulipe khery mkono kwa mkono hadi peponi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Годину тому +2

    Na wanaovaa uchu ni wale watalii wa kiafrika kutoka Nigeria. ghana.kenya. Na south africa.na wabongo pia

  • @KizaSelepa
    @KizaSelepa 10 хвилин тому

    Allah akipe afya njema mzee wng❤❤

  • @AliAbdullah-oy6yo
    @AliAbdullah-oy6yo 5 годин тому +6

    Ikiwa mnaweka sharia ktk nchi lazima Raia awe na kitambulisho ataweza kupata huduma za serika halafu raia ananyimwa kwa makusudi hamumpi. Halafu mnategemea hao wataweza kusimamia maadili ya Zanzibar? Wakati vitambulisho vya Mzanzibari wanapewa machangudoa wanaokuja kujiuza .

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 4 години тому +1

      Ndio hapo

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff Годину тому +1

      @@nailamohd-wn6sb Nisawa wakati wa Rais Karume Airport ya znz kulikuwa na vitenge maalum akishuka ndege 2 mtalii anapewa kitenge maalum ajistiri!

    • @saiddgsmg
      @saiddgsmg Годину тому

      umeongea haki

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb Годину тому +1

      @@TunauzaSimu-fn2ff ndio nikasema hawezi kusimamia km alivosema brodher hapo juu mana vitu simple tuu ni kurudisha yale ya zamani na mrejeshaji ni serikali na msimamiaji ni serikali sheikh na jamii kazi yao kutoa taarifa tuu laa sio hivo basi tutakauka mate kwa kusema na hawezi kusimamia hilo chezea Muungano ww

    • @RashidiAlly-cl7fo
      @RashidiAlly-cl7fo 52 хвилини тому

      Serikali inakwepa jukumu lake,wao ndio waliokula kiapo kuilinda katiba ya Znz,tumuulize Mh.Rais kwa mujibu wa katiba ya Znz hapo Unguja bar zilitakiwa zisidi ngap?jee! Sasa hivi zipo ngapi?,jee! Mwinyi huyajui yanayoendelea CCM mkoa pale Amani?,kuna kila aina ya uchafu unaofanyika pale,jee sio wewe mwenye mamlaka ya Zanzibar kwa sasa?nani wa kuyazuia hayo kama sio wewe!!,leo unashindwa hata kuitetea katiba ulioiapia!!

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 4 години тому +2

    Kiufupi wasiingie ikulu wasikaribishwe wanamziki hata kuwenda kutoa pole wanapofiwa msiwaruhusu

  • @nurdinimzimbiri
    @nurdinimzimbiri 42 хвилини тому

    Sheikhe Allah akulipe ujumbe ushafika serkali ya Zanzibar inalakijibu mbele ya Allah

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 4 години тому +2

    Mzee ujumbe umefikisha

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 37 хвилин тому

    Mashaa Allah shehe wetu ushafikisha Allah akulipe heri zako

  • @MohdJumaa-q3l
    @MohdJumaa-q3l 5 хвилин тому

    Asalama aleykum warhamatu Allah wabarakatu. Bora kukatika viuno wanawake hata ktk ngoma za vikosi ni marufuku. Kidini bora Allah kuliko Sanaa.

  • @khaledsuleiman9819
    @khaledsuleiman9819 3 години тому +2

    Jazaka Allah khair

  • @AslihanKhamis
    @AslihanKhamis Годину тому +1

    Anachokizungumza mzee ni sahihi utamskia rais anawaagiza masheikh suala la kukemea maadili wakati anajua kwamba yeye anayo nguvu kubwa ya kuondosha uovu kwa mikono yake na kwa mdomo wke.

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 3 години тому

    Safi kabisa sheikh wetu Mheshimiwa amekuelewa vema

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 3 години тому +1

    Ujumbe ushawafika fungu lako lisha malizia sasa kwazi kwao

  • @abubakarkassim4161
    @abubakarkassim4161 2 години тому +1

    Nawizara ya elimu inachangia kuharibika kwa kiswahili cha zanziba imepitosha maadili

  • @fahadabdalla8194
    @fahadabdalla8194 4 години тому +3

    Serikali

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 4 години тому +1

    Zanzibar kichaka na kigenge cha wahun tu.Maana mtu anacheza uchi wa mnyama na inapigwa television ya taifa.

  • @nassorntandu4513
    @nassorntandu4513 Годину тому

    Sanaa hiyo unayosema ndiyo viongozi wanategemea wasanii ili kuwashawishi wananchi kukusanyika kwenye mikutano yao, " vigumu sana kwao sasa" kuwakataza! 😂

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz 2 хвилини тому

    ilo baraza la sanaa lihamiye baraa sisi waislamu zanzibar uchafuu uwoo hatutaki

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 4 години тому +1

    Kweli hilo lishughulikiwe kiingozi asimame imara kwakweli wanaume zama hizi ndio wanajistiri mno ila wanawake wao ndio matangazi yakila kitu ipigwe marfuk tusiwasikilize wazungu wasemavyo ety haki za binaadam hizo ni njama zao tu za kupotosha watu

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 48 хвилин тому

    Hekoo Barakaallah

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis Годину тому

    Nyinyi mashekhe mauzinde ana Dukani katika mitandao yule ndio anavunja maadili

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 36 хвилин тому

    Hussen umelichomowa sheria za znz mnazikataa mnasingizia jamiii

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 3 години тому +1

    Nilisema na mimi km serikali haingilii kati mashekhe mate yataganda na serikali hii ya mapinduzi hakuna litakalokua 😅 naona majibu ya Rais yy kishajitoa anakwambia tiktok hawezi kuchukua khatua mambo yataendelea km kawa

  • @nurdinimzimbiri
    @nurdinimzimbiri 47 хвилин тому

    Sheikhe Allah akulipe jumble ushafika

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 4 години тому +1

    Wamesema serekali haimadini ila mambo ya sanaa ni ya dunia

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 години тому

    😄 Atakae aje ndio hayo. Na wakati tumeungana na Watanganyika kamwe hayoondoka. Sababu hayo mambo yapo kiserikali.

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 Годину тому +2

    Mim mwenyewe kwangu sina tv kwa sababu ya hayo hayo

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 18 хвилин тому

    Huwo Niukweli Yule Zuchu Kaja Kaimba Hapo Rais Wa Tanzania Alikuwepo Na Hakufanya Chochote

  • @SazafKiba
    @SazafKiba 3 години тому

    Mashallah serekal inachangia sana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 години тому

    DR MWINYI NDIE WA KWANZA KULAUMIWA, NA NDIE ANAYEIFANYA ZANZIBAR KUA DANGURO. MIJITU YA KILA NCHI LIMEJAA ZANZIBAR NA AMEIRUHUSU KUFANYA KILA BAYA, HALAFU ANAWAITA WAWEKEZAJI!

  • @nurdinimzimbiri
    @nurdinimzimbiri 49 хвилин тому

    Mzee usimumunyemaneno zuchu MTT mzazibar nimiongoni mwao

  • @Quran-hidayat01
    @Quran-hidayat01 13 хвилин тому

    safi shekh

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 4 години тому +1

    Umeongeo kaka

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 Годину тому

    Huyu sio mzee,hata 50 hajafika

  • @NaglaSaid-jn1xo
    @NaglaSaid-jn1xo 19 хвилин тому

    Shekhe usitafune maneno wambie ukweli hao viongozi katika uislamu hakuna sanaa ya muziki, ni kharamu na viongozi wanatakiwakujua kwamba kuna maisha baada ya kufa huko hakuna Rais ,makamo wala waziri kila mmoja ni mchunga na atakwenda kuulizwa juu ya alichokichunga , lakini jibu lao hao litakua rakhisi wao wamejitahidi muziki kuuundia wizara ili utambulike uwe halali, kiufupi hao mabwana wakubwa wamehalisha kile ambacho Allah amekikharamisha.

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 41 хвилина тому

    Maneno thabit haya Zanzibar maadili yameporomoka sana sana na SMZ haichukui hatua zozote kudhibiti uchafu unaozidi kila kukicha...

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 Годину тому

    Hakuna kitakocho kua kama serekali haijakataza.hilo beni ndio balaa mtihani mkubwa sana.usiombe kukutana na beni ukiwa na Mzee wako

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 години тому +1

    Good

  • @salmaghalib5474
    @salmaghalib5474 Годину тому

    Yemen mwenyewe mwinyi anavunja sheria ya dini kafanya harusi ya mwanae mbali na maadili ya dini

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 3 години тому

    nikweli znz imeisha watu watembea uchi mashoga wengi wasakaji wengi sana ww huna jukumu lolote lile

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 50 хвилин тому

    Wao wanafuata maokoto tu halafu eti ni waislam

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 39 хвилин тому

    Nikweli wapigwe marufuku wapiga mziki wote wasije Znbr ndio wanatuchafualia Znbr inaonekana chafu pia wasenge wanalindwa sana na Hawa wataliiii nao

  • @thamani5842
    @thamani5842 Годину тому

    Na wanaovaa viguo vya nusu uchi waache, hawawezi kujistiri warudi walikotoka

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 4 години тому

    Wasenge wengi na mnawajua hakuna kinacho endelea

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v 2 години тому

    Viongozi wa Zanzibar wanahimiza maadili kwaajili ya kubaki madarakani na ccm yao tu

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 18 хвилин тому

    Huo ndio ukweel

  • @SazafKiba
    @SazafKiba 3 години тому

    Mashallah

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 3 години тому

    sahihi maneno yako

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka Годину тому

    Naam shkhe

  • @AbdallahFaki-h9g
    @AbdallahFaki-h9g 2 години тому

    Sasa ilo ndiyo jibu au

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 28 хвилин тому

    Waloskia wamesikia

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis Годину тому

    Ilo haliwezekan

  • @abdullhamaidsalum1511
    @abdullhamaidsalum1511 2 години тому

    Shekhe yupo sahihi ikiwezekana ata iyo tiktok ifungiwe kabisa

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 3 години тому

    Pia kuna kipindi hata hizi madrasa ziliamrishwa wasize madufu kwa kukatika mauno ila haya yameishia wapi ?mbona muendelezo haupo wa maadili ya dini yetu pia tuaona aibu huku mitaani wasi ha na wakina mama wanavyoadhirika huku mitaani maduf haya yano hezwa hivi maadili yetu yanaharibika mno

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 2 години тому

    Kataeni bara bakin zanzbar

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 2 години тому

    Wachabeee