Mimi ukiua ndugu yangu nikakujua....nikawajua mmoja mmoja nitawapa zawad nzuri kila mmoja kwa wakat wake kimya kimya. Nitawapa zawad mmoja mmoja mpaka wamalizike
Kwa kweli offisi zote kuanzia mitaa ingawa zinaitwa za Mitaa, Kata, Wilaya, Mikoa na vyombo vyake vyote ni mali ya CCM wanafanya wanavyo agizwa kufanya.
watu tunao toka kigoma wale wenye akili timamu tusiichaguwe ccm kabisa wanatuonea sana kunawa makondo wana ndugu musumbiji hawa dhalilishwi kunawa chaga wana ndugu kenya hawadhalilishwi wamasai hivyo hiyvo wakudya hivyo hivyo wahaya hivyo hinyo watu tunduma hivyo hinyo kwani nini watu wakigoma tu ndio wanao nyanyasika kuna watu waziwa nyasa hawa dhalilishwi zito nimekuelewa vile vile kuna wahindi hawa wana ndugu india hawadhalilishwi kunawa somali wana ndugu somaria hawa dhalilishwi piakunawalabu wanadugu ualabuni hawadhalilishwi kwanini sisi kigoma sasa tuwakatae ccm kama wabunge wa ccm kutoka kigoma yani yapo kama mazuzu mpaka na wenyewe yatakuja kuambiwa siyo raia SASA ushauli wangu sisi tunao zaliwa mkoa wa kigoma tuhakikishe tunawashawishi ndugu zetu hamna kuwapa kula.ccm 2025 tutumie ngunvu zetu kuhakikisha ccm haishindi mkowa.wa.kigoma hivyo katika hili bwana zito tuko pamoja wewe nimegunduwa unajitambuwa uangalie tu wasikununuwe akatuacha solemba wapo wengi.walianza kama.wewe walisha tiwa kapuni wamebaki wapiga debe wa ccm mpaka unashangaa
😢😢😢 imeniuma mnoo story ni nyingi mtaani , hao askari wauhamiaji Mungu awasaidie , na hao polisi MUNGU awasaidie , nahisi kuna kitu alikuwa nacho kijana mpaka kumuua kwake si bure , kibaya zaidi kwani mrundi ndo anapaswa kuuwawa ? au nikuchukuliwa muongozo na kuchukuliwa sheria sitahiki wala siyo kumuua kama walivyofanya wao , kingine hao uhamiaji wafutwe kazi .
Muheshimiwa Zitto Kabwe wanahangaishwa Watanzania wengi sio wa Kigoma tu. Fanya research utagundua mengi mazito. Raia wengi wanatendewa mambo mabaya na wananyanyaswa.
Labuda alimpenda Magufuli chunguza hilo ukamzike pembeni mwa Magufuli ndio uje ufuatilie hilo baada ya kutimiza ulilolisema kwanza unampigia kelele mzee wa watu yeye ni msaidizi tu.
Hili❤notatizokubwa kwakweli lazima Serikali zote za mipakani zikae na kuweka utaratibu mzuri. Hapa pa kulipwa hapana kitu kitacholipwa kufidia roho ua mtu maumivu yatabski pale pale. Wakibainika wameuwa na wso wauliwe tu
Watu wa kigoma mtazidi kuwa watumwa katika inchi hiyo ya tanzania kwasababu amjitambuwi,kwanza ninyi kwa ninyi mnachukiana,pia mambo yakuchongeana ndo kawahida yenu,yawezekana mkonyuma sana kielimu,ndo maana mkoa wenu migration hiko kila sehemu,hinakamata hatawatu wasiyo nahatia
Akuna kukubali mthamaah wawo wazazi na ndugu nawaomba kuliacha swala ilo mikononi mwa MUNGU tu maan viongozi wetu awaamini wananchi tunaposemaga tunaonewa na kutendewa mabaya
Jamani siyo Kigoma tu wanainchi wanateseka lakini wakiona Watawala wa CCM wapoga vigelegele na kushangilia kama kazi. Wanainchi tunatendewa unyama kila sehemu. Huko Tarime ndiyo zaidi wala hakuna anayethubutu kuongea. Zaidi ya wanaccm kuimba nambalione
Hakika zito uwezi kusikia hawa wabunge wetu wanao tokana ccm hawawezi kusema hivyo kidogo kwambali niliwahi kumsikia ngenda kwambali sana hasa baada ya kukamatwa kwa mke askofu wake ndo alingusa kidogo sana
Tatizo ni kwamba mkoa ws kigoma na ulikua chini ya inchi ya Burundi wakoloni wakanda uchaguzi, ikaonekana walio wengi wame amua kujiunga na Tanzania so Burundi ikapoteza kigoma kivile, ndio maana viongozi watanzania kutoka kwa raisi na wengineo wana ichukulia kigoma kama bado ni Burundi,, so nihatari sana,
Kigoma ni tofauti na maeneo mengine ya mipakani. Zitto anaelewa vizuri kwamba Kigoma kuna wimbi kubwa la wakimbizi kutoka Burundi na DRC. Leo hii Dar imezagaa raia wa Burundi wanauza kahawa, madafu, wanakopesha vyombo, nk. Hao wote wanajificha nyuma ya pazia la watu wa Kigoma. Vyombo vya ulinzi na usalama si vyombo vya kisiasa hivyo wasikatishwe tamaa na maneno ya kisiasa kutoka kwa wanasiasa kama Zitto
Mimi nilikamatwa 2017 Kibondo kwetu nikiwa naenda Kasulu ilikuwa saa 2 asubuhi nilizungushwa nikapelekwa kibondo uhamiaji wakisema Mimi ni mrundi hadi ndugu zangu wa Kibondo mjini walipokuja na kusema mbona huyu ni mzaliwa wa hapa kibondo kisha wakaomba msamaha kwa usumbufu, lakini Mimi nilijieleza hawakunielewa wakaniambia nitoe hela elfu sabini waniachie, hata leo tena hayo nimeyaona wakimfanyia ivo abiria mmoja.
watendaji wa serikali wanaangalia mkuu wa nchi alivyo,wamepewa uhuru sana mwisho wanafanya wanavyotaka,Dr Samia anapaswa jua uhuru na upendo ikizidi huwa hakuna performance ndo haya,wanaona raisi anawapenda wako too loose
Zitto kabwe komaa kuitetea kigoma yetu na Taifa letu kiujumla Maana tunateseka Sana CCM wamezidi kutawala kidictator huko tumeshatoka nchi hii yaTanzania nidhali Kila mtu Aishi Kwa uhuru na sio kupiga bunduki,nakuuwawa bila hatia
Mm naona nyinyi mnajisumbua hivi ilivyo kombolewa hiii nchi na afro shiraz na tanu mlikuepo mpaka ccm kuingia madarakani na bendera ya afroshiraz na tanu kushushwa amani na kupandishwa ya ccm mbn hapakuana chama labda tufe sote ccm ndio mtatawala tafteni maisha mengine sio siasa ya kuiondoa madarakani ccm hatuondoki ng ooooooooo
WANANCHI WOTE MKOA WA KIGOMA IKATAENI CCM....HII NI SERIKALI YA CCM IMEKUWA INAWANYANYASA SANA WANANCHI WA KIGOMA NA KUWABAMBIKIZIA KESI ZA URAIA NA UJAMBAZI.
Kwa kweli ni huzuni,uonevu wa hali ya juu sana.mbona tunafanyiana unyama wa hali hii.Ina maana hakuna utaratibu wa utendaji ktk serekali hii jamani??? Hii dhambi itubiwe.mnamwaga damu ya watu wasio na hatia?????
Hali ya usalama wa Burundi Rwanda Kongo ipo chini raia wavukao mpaka siyo wote wema,huja hadi na silaha ndio maana inabid hatua za ziada zichukuliwe juu ya mpaka wa magharib na kule kusin mtwara.Kongo kuna kundi Adf,M23 yote yaliingia kutoka jiran mpaka sasa amani hawana
kwa haya unaipenda ccm nakuwapa kura ya ndio utakua una zambi kabisa mungu iyondoee ccm amina
Mungu.atusaidie.kabisa.mana.turipo.sasa.sijui.huko.mbere.sijui.
Tunaomba Zitto Agombee Huu Pressident
wametajwa uhamiaji na polisi lkn commet zote zimenda kwa polisi
Mungu akulinde kiongozi wangu
Ee mwenyenzi mungu utusaidie
Ni shida hii. Mungu mkuu atusaidie sote. Amen.
Kwasababu Burundi wanauana sana hawaminiki warundi tofauti na Zambia Kenya Uganda malawi
🎉🎉
Njoo tukupe urais mwakani zito
TAWALA MBOVU ZA AFRIKA,MAGUFULI ULIKUFA,ILA KWA IMANI IMUHUSUYO MUNGU,ROHO YAKO YA UKOMBOZI ITUKOMBOE KUTOKA HUKO ULIKO.
Pole tanzania 🇹🇿
Mimi ukiua ndugu yangu nikakujua....nikawajua mmoja mmoja nitawapa zawad nzuri kila mmoja kwa wakat wake kimya kimya. Nitawapa zawad mmoja mmoja mpaka wamalizike
Utaweza kweli Kwa serikiali hii imeshajipanga
Poleni xna ndg zangu wa kigoma
mnafikiii
Mtu akiongea ukweli ndio mnafiki?nenda kgm ndio utajua
Roho mbaya mungu hapendi hata kama alikosea kwani chedema hawawezi kosea sngalia point acha chuki
Uko sawa manyanyaso ni mengi, ila warudi wameingia sana tanzania.
Kama Warundi wameingia ndo wa kuuawa? hapana hata wa Tz ukienda Burundi na Rwanda utawaona
Akilii kubwaaa zitoo wahaa tunalijua hilooo na dunia inashuhudiaa
Zitto nakukubali wewe ni mwana siyasa wa kuigwa. Mungu akubatiki sana.
Kweli mwami luyagwa
Ila kwenye kuoiga kura CCM wanawanunuwa hata eakimbizi makambini na wananunuliwa kadi za CCM na za mpiga kura iki wapate ushindi
Kuna jamaa Angu WA kigoma alinyimwa passport kisa eti huenda ni mrundi,Kiukweli kigoma wanapitia changamoto Sana!
Kwa kweli offisi zote kuanzia mitaa ingawa zinaitwa za Mitaa, Kata, Wilaya, Mikoa na vyombo vyake vyote ni mali ya CCM wanafanya wanavyo agizwa kufanya.
💔😒 inasikitisha sana kuona WaTanzania tuna ubaguzi. Poleni sana ndugu zangu Kigoma.
Ubaguzi upi?
ni kweli au uongo?
Inasikitisha saana, hata angekuwa mrundi hakustahili kuuliwa, hao maaskari niwa shenzi
watu tunao toka kigoma wale wenye akili timamu tusiichaguwe ccm kabisa wanatuonea sana kunawa makondo wana ndugu musumbiji hawa dhalilishwi kunawa chaga wana ndugu kenya hawadhalilishwi wamasai hivyo hiyvo wakudya hivyo hivyo wahaya hivyo hinyo watu tunduma hivyo hinyo kwani nini watu wakigoma tu ndio wanao nyanyasika kuna watu waziwa nyasa hawa dhalilishwi zito nimekuelewa vile vile kuna wahindi hawa wana ndugu india hawadhalilishwi kunawa somali wana ndugu somaria hawa dhalilishwi piakunawalabu wanadugu ualabuni hawadhalilishwi kwanini sisi kigoma sasa tuwakatae ccm kama wabunge wa ccm kutoka kigoma yani yapo kama mazuzu mpaka na wenyewe yatakuja kuambiwa siyo raia SASA ushauli wangu sisi tunao zaliwa mkoa wa kigoma tuhakikishe tunawashawishi ndugu zetu hamna kuwapa kula.ccm 2025 tutumie ngunvu zetu kuhakikisha ccm haishindi mkowa.wa.kigoma hivyo katika hili bwana zito tuko pamoja wewe nimegunduwa unajitambuwa uangalie tu wasikununuwe akatuacha solemba wapo wengi.walianza kama.wewe walisha tiwa kapuni wamebaki wapiga debe wa ccm mpaka unashangaa
Na wanajisahau kama na wao watakufa tena watalipwa vibaya vibaya
😢😢😢 imeniuma mnoo story ni nyingi mtaani , hao askari wauhamiaji Mungu awasaidie , na hao polisi MUNGU awasaidie , nahisi kuna kitu alikuwa nacho kijana mpaka kumuua kwake si bure , kibaya zaidi kwani mrundi ndo anapaswa kuuwawa ? au nikuchukuliwa muongozo na kuchukuliwa sheria sitahiki wala siyo kumuua kama walivyofanya wao , kingine hao uhamiaji wafutwe kazi .
Kiongozi tupo nyuma yako ingawa tunayo kazi kubwa
Muheshimiwa Zitto Kabwe wanahangaishwa Watanzania wengi sio wa Kigoma tu. Fanya research utagundua mengi mazito. Raia wengi wanatendewa mambo mabaya na wananyanyaswa.
Labuda alimpenda Magufuli chunguza hilo ukamzike pembeni mwa Magufuli ndio uje ufuatilie hilo baada ya kutimiza ulilolisema kwanza unampigia kelele mzee wa watu yeye ni msaidizi tu.
Watu wa Kigoma waandamane wote kudai mkoa wao uwe ni nchi rasmi
Ndo nini sasa
Tuko pamoja tufunge mipaka tujitenge tujiite nchi ya Kigoma huru
Kuanzia Sasa ni nchi ya kigoma
Ndio maana kuna kambi ya wakimbizi Hiro ndio tatizo Hakuna nyingine tena sawa kigoma jamani chonde msizae na wakimbizi mtapata yaani saana
Wewe zito hio geresha tu. Ccm no2
Ila mh makamu hatumuelewi kabisa huku kigoma hata akija hakutani na wananchi zaidi ya watu wa kijijini kwao buhigwe na Kasulu
make them responsible sir,
huhu. kenge atamsema na kumkosoa kila mtu , lakini samia kibaraka mwenziwe hamsemi wala
Hili❤notatizokubwa kwakweli lazima Serikali zote za mipakani zikae na kuweka utaratibu mzuri. Hapa pa kulipwa hapana kitu kitacholipwa kufidia roho ua mtu maumivu yatabski pale pale. Wakibainika wameuwa na wso wauliwe tu
Serikali ya Tanzania imejipangaje kuhusu dawa samimea
😮 3:04
Mmmh mbona Tanzania mna2changanya
Kigoma. Tunaonewa.
Mpango yuko wapi kwa sasa?
Kwa matukio kama haya.. Siwezi kuliamini Jeshi la Polisi hata siku moja, mpaka litakapovunjwa na kuundwa upya.
haliwez kuvunja jeshi ww
Mmoja yawatu wabaya kwenye nchi yetu huyu jamaaaa anaeongea siasa masilah. Mnafiki muongo fitina chukiii
Hali hii inatisha na haivumiliki kama Kigoma siyo Tanzania iondolewe kuwa mkoa wa Tanzania uwe mkoa wa Burundi.
Watu wa kigoma mtazidi kuwa watumwa katika inchi hiyo ya tanzania kwasababu amjitambuwi,kwanza ninyi kwa ninyi mnachukiana,pia mambo yakuchongeana ndo kawahida yenu,yawezekana mkonyuma sana kielimu,ndo maana mkoa wenu migration hiko kila sehemu,hinakamata hatawatu wasiyo nahatia
Mlisema hamwatambui wakuu wa na kwamba ni makada wa CCM leo inakuwaje kusema ni walinzi wa amani
Polisi hawawezi kujichunguza,indwelling tume huru ya kiraia
Economists wa ki Bongo bhana!
😊😊
Fidia ya haraka wahusika wawajibishwe Ili iwefundisho Kwa watu wenye mawazo ya kuondoa maisha ya wenzao
Sheria.gani.yakua.mkibizi.hatakama.kama.nikweri.wangemrudisha.burudi.kama.warikuwa.nakizibiti.arikuwa.nahaki.yakuishi.kama.wao.mungu.anawaona.dam.yamutu.haipotei.bure.auaye.kwapanga.naye.atakufa.kwaupanga
😢khe... Sasa fuvu linatambulikaje?
Tutaandamana kwa nguvu zote safari hii tumechoka kuonewa !!!
ndui alikuwa Hana make walundi hawana ndui
Huna jipya we malizia wakati wako bora hata ya Bakari Nondo
Akuna kukubali mthamaah wawo wazazi na ndugu nawaomba kuliacha swala ilo mikononi mwa MUNGU tu maan viongozi wetu awaamini wananchi tunaposemaga tunaonewa na kutendewa mabaya
TUMECHOKA KWELI ....TENA WAJE TARATIBU KUNA SIKU WATASHANGAAA
Unaongea ukweli mbona wanabagua wacha wa kigoma
Hii nchi inawatu washenzi kabisa unamuuwa mtu kama mnyama askari gani watanzania wamekuwa hawa utu watasema nini mbele za mungu washenzi kabisa
Jamani siyo Kigoma tu wanainchi wanateseka lakini wakiona Watawala wa CCM wapoga vigelegele na kushangilia kama kazi. Wanainchi tunatendewa unyama kila sehemu. Huko Tarime ndiyo zaidi wala hakuna anayethubutu kuongea. Zaidi ya wanaccm kuimba nambalione
Hii ndio amani ya tanxania?
Nena mwanaharakati CCM ni wauji wao watekaji wao mafisadi wao wajali matumbo yao
Zitto Kwa ilo nakuunga mkono
Poleni sana ila manyanyaso ni mengi sana ila hakuna marefu yasio kuwa na mwisho
Kabisa🙏
Www mbna ulikuw bungen na hukuwah kuuliza hilo?
Labda wewe ulikuwa kiziwi alipokuwa bungeni
Yaarabi tunakuomba umlinde mstaafu Kiongozi wa watu waovu kama hao wanokoment utumbo Hasbunallah Waniimal
Safi kabisa Kiongozi waondolewe na hao watakaoletwa tuna waombea uadilifu wamuogope MMungu na siku ya malipo nyie
Ni kwa sababu vyombo vya serikali ni mali ya CCM. Kwahiyo hata vikifanyia wanainchi vibaya au kuteshwa na hivyo vyombo si tatizo kwa utawala wa CCM
Hakika zito uwezi kusikia hawa wabunge wetu wanao tokana ccm hawawezi kusema hivyo kidogo kwambali niliwahi kumsikia ngenda kwambali sana hasa baada ya kukamatwa kwa mke askofu wake ndo alingusa kidogo sana
Tatizo ni kwamba mkoa ws kigoma na ulikua chini ya inchi ya Burundi wakoloni wakanda uchaguzi, ikaonekana walio wengi wame amua kujiunga na Tanzania so Burundi ikapoteza kigoma kivile, ndio maana viongozi watanzania kutoka kwa raisi na wengineo wana ichukulia kigoma kama bado ni Burundi,, so nihatari sana,
We ni mtafiti wa kigoma
@@petermatabwa2133 ndio home kaka ila naishi south africa, Soma history utapata kujua
Kigoma ni tofauti na maeneo mengine ya mipakani. Zitto anaelewa vizuri kwamba Kigoma kuna wimbi kubwa la wakimbizi kutoka Burundi na DRC. Leo hii Dar imezagaa raia wa Burundi wanauza kahawa, madafu, wanakopesha vyombo, nk. Hao wote wanajificha nyuma ya pazia la watu wa Kigoma.
Vyombo vya ulinzi na usalama si vyombo vya kisiasa hivyo wasikatishwe tamaa na maneno ya kisiasa kutoka kwa wanasiasa kama Zitto
Kwahiyo kwa kuwa ni warundi au wacongo walistahili kuuwawa,?
MAKAMU WA RAIS MHHH MUNGU INGILIA KATI
Nipo mkoa wa IRINGA kwani tishert zinapatikana wapi,,,na sh ngap ya kununua,,
Mimi nilikamatwa 2017 Kibondo kwetu nikiwa naenda Kasulu ilikuwa saa 2 asubuhi nilizungushwa nikapelekwa kibondo uhamiaji wakisema Mimi ni mrundi hadi ndugu zangu wa Kibondo mjini walipokuja na kusema mbona huyu ni mzaliwa wa hapa kibondo kisha wakaomba msamaha kwa usumbufu, lakini Mimi nilijieleza hawakunielewa wakaniambia nitoe hela elfu sabini waniachie, hata leo tena hayo nimeyaona wakimfanyia ivo abiria mmoja.
Hata uwaeleze ukweli wapumbavu hawaelewi.!! Ndivyo polisi waTz walivyo.
TATIZO ASIEKUA MWANA CCM NI UCHAFU WAMDOMONI NAKATIkati ya magegu ,ILANI YA MAPINDUZI IMEJUSISHA HIVYO LAZIMA WAUWAWE LIWALO NALIWE ,RAISI MPANGO OYEEEE CCM OYEEEEE!
Unataka makamu aongee ili auawe kmy kmy na hawa waswahili wa pwani
Na huu uchafu tuna ulea sisi wenyewe wana kigoma
Nikweli wazee wetu walipigania Uhuru rakini ujinga wetu ni kujipendekeza kwa watesi wetu tuungane tudai nchi yetu ya Asiri Ya Buha
Mijitu gani hiyo ilochupa mipaka mahasidi mijibwa na Rais wao ndio mchunga wao kimnya kaufyata ikisha aite watu wandawazimu Yeye nani
Hata sale zenu zinapendeza kweli
Hao wana CCM washazowea dhiki shida kuuwawa ovyoo hawataki kubadilika
Tunda labchsdema
Cmde Kabwe, nakubaliana na walio comment kwamba polisi hawahawa wa tz, tuhuma ni yao, hawawezi kujichunguza wenyewe! Labda waitwe Interpol!
watendaji wa serikali wanaangalia mkuu wa nchi alivyo,wamepewa uhuru sana mwisho wanafanya wanavyotaka,Dr Samia anapaswa jua uhuru na upendo ikizidi huwa hakuna performance ndo haya,wanaona raisi anawapenda wako too loose
Hapo ndo zitto haanga namwelewa
6:45
Zitto kabwe komaa kuitetea kigoma yetu na Taifa letu kiujumla Maana tunateseka Sana CCM wamezidi kutawala kidictator huko tumeshatoka nchi hii yaTanzania nidhali Kila mtu Aishi Kwa uhuru na sio kupiga bunduki,nakuuwawa bila hatia
hawawez viongozi wa kigoma ni binfsi sana huwa hawapendani me kigoma nimekaa wilaya zote,kam huyo wa buhigwe ndio duuu hajali kitu kabisa
Kwerikabi Yani idala yawuhamiyaji kutoka kigoma mpakasumbawanga niwezi sana kabisa
Ni
Umechoka nini Chawa mkubwa,
Sizani km kunautawala utaokosa udhalimu wanamna km hizo ,mana tunaisoma Dunia yooote ikohivo ,naulevi wa madaraka nakufanya jambo kw maslahi yao😢
Mm naona nyinyi mnajisumbua hivi ilivyo kombolewa hiii nchi na afro shiraz na tanu mlikuepo mpaka ccm kuingia madarakani na bendera ya afroshiraz na tanu kushushwa amani na kupandishwa ya ccm mbn hapakuana chama labda tufe sote ccm ndio mtatawala tafteni maisha mengine sio siasa ya kuiondoa madarakani ccm hatuondoki ng ooooooooo
Chawa!
WANANCHI WOTE MKOA WA KIGOMA IKATAENI CCM....HII NI SERIKALI YA CCM IMEKUWA INAWANYANYASA SANA WANANCHI WA KIGOMA NA KUWABAMBIKIZIA KESI ZA URAIA NA UJAMBAZI.
Pole kk
Kwa kweli ni huzuni,uonevu wa hali ya juu sana.mbona tunafanyiana unyama wa hali hii.Ina maana hakuna utaratibu wa utendaji ktk serekali hii jamani??? Hii dhambi itubiwe.mnamwaga damu ya watu wasio na hatia?????
Kwani Hawa waliomuua enos wao hawanaga familiyaa dah mungu uwasamehe
Ndio wamuuwe huyo kijana
hata sumbawanga kasesya na wa zambia huwez ona uonezi huo
Watu wa kigoma mmezidi upoleeee muamke
Ha hahahaha
Ila kweli kigoma tunaonewa aise nimbea mtwara Kilimanjaro hata tunduma hakuna ubaguzi kama huu mheshimiwa raisi samia atazame hili swala kabisa
Hali ya usalama wa Burundi Rwanda Kongo ipo chini raia wavukao mpaka siyo wote wema,huja hadi na silaha ndio maana inabid hatua za ziada zichukuliwe juu ya mpaka wa magharib na kule kusin mtwara.Kongo kuna kundi Adf,M23 yote yaliingia kutoka jiran mpaka sasa amani hawana
@@williamkeita1519kabisaa
ZITTO WW HUNA IMPACT USIMCHAFUE MZEE WETU
Wewe Kuma Mimi nipo iringa mhehe lakn wewe Kuma kama zingine
Ukatiri.huo
Kwani nchi ya Burundi ina Tatizo gani na nchi yetu??
Tatizo ukiingia utawala wa pwani ndio Mambo yanaanza tutaidai nchi yetu ya Kigoma
Hapo Zito umeongea point
Wanachagua ccm