#CHADEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2024
  • #CHADEMA , MBOWE AVUKA MIPAKA ATOA KAURI CHAFU KWA RAIS SAMIA PAMOJA NA KINANA

КОМЕНТАРІ • 80

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 19 днів тому +1

    Peeeepozz pawa.. hapo sawa. Mheshimiwa mbowe karibu mwanza tutakuunga mkono. Mwamba wa Chadema yupo hapa

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 23 дні тому +5

    Mbowe anawaza vizuri

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 23 дні тому +4

    Hivi wew mpiga picha huyu mbowe katukana wapi? acheni uchawa.

  • @LamsonMalenga
    @LamsonMalenga 22 дні тому +2

    Uyu ndo mwenyekiti bwanaa

  • @KharidyYusuph
    @KharidyYusuph 23 дні тому +2

    Mwenyekti

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 23 дні тому +2

    Mbowe unayasema hayo ili uweze kupata dolla. Tafuta agenda ya kuwaunganisha wTz sio hayo unayotueleza.

    • @nabimanyafesto5014
      @nabimanyafesto5014 23 дні тому

      Hata Mungu mlimushinda kuunganika leo ndo unataka mbowe aunganishe wtzania??

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 23 дні тому +8

    Kweli kabisa kwa sababu hakuna kazi huku chini. Serikali imejenga mashule lakini watoto hawana walimu. Hapa mjini tunaambiwa tukachangie walimu ili waweze kuongenza vinginevyo watoto wanacheza tu bila kufundisha.

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 19 днів тому

    nawa penda sana chadema mungu fanya miujiza yako kipe mada laka chadema ccm wa na tuonea sana mungu pokea dua zetu

  • @mashakakwembe7482
    @mashakakwembe7482 23 дні тому +9

    Wenye akili wanakuelewa sana kamanda endelea kutoa elimu ya uraia

  • @saidimasudi6450
    @saidimasudi6450 21 день тому +1

    Wakenya raia aslimia 90 hawana Aridh imechukuliwa na Wacha he na magavana

  • @user-tz8wq1dj7j
    @user-tz8wq1dj7j 21 день тому

    Safi kabisa akili hiyo

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 23 дні тому +2

    Maneno anayosema ni kweli inatakiwa mwenye akili ndio utaelewa hamnazo na mwandawazimu kuelewa kazi nchi yako especially Sisi wagonjwa wa kuelewa utindio wa akili hafanyi kazi lakini Mie naomba Kwa mungu tuwe maskini wa kutupwa kama Malawi, na Kongo kila sehemu ya manufaa kuuzwe tubaki Sisi kama Sisi nchi yetu lakini wananchi tusiwe na kitu ndio watu watajua nchi ikoje viongozi wako wapi?

  • @StellaNjau-zd5kn
    @StellaNjau-zd5kn 22 дні тому +1

    Enyi watanzania mshukuru mungu unaenda shambani kulima unavuna unapata ugali waulizeni majirani zetu kongo somalia, burundi tunatakiwa tumshukuru mungu siku zote tusikubali kushawishiwa ujinga. Ukuona hivyo hata huyo kiongozi naye ni chawa ma mama. Tuweni makini sisi watu wa chini mungu atusaidie watanzania. Hata marekani walikuwa matajiri baada ya miongo sembuse sisi. Mtoto hakui haraka kama unavyodhani huuu ni ushawishi kwani siasa ni mchezo mchafu. Waandamane wao na familia zao kwanza baada ya mwezi nasisi tutaandamana tuwaone watoto wao, wake zao, ndugu zao. Baada ya hapo tutaandamana

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 21 день тому

    Kweli kabisa mh Mbowe ndo maana viongozi wa kuteuliwa wananguvu kuliko waliochaguliwa na wananchi

  • @sadicksingogo260
    @sadicksingogo260 20 днів тому

    Ingependeza sana,lakini katiba

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 22 дні тому

    Ni kweli kabisa Mh, Mbowe serikali imekuwa dalali mkubwa sana wanazuya Makapuni kuja kununua mazao yetu

  • @yohanaantony5774
    @yohanaantony5774 21 день тому +1

    Hata namna chadema mnavyoendsha chaguz zenu bado hakuna usawa hvyo toa kwnz kibanzi jichon mwako ndpo utoe Cha mwenzko umekuwa mwenyekiti wa chama mda mrf nawe watakiwa kuwapisha wenzko hyo ndio demokrasia

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 23 дні тому +1

    Mzeee wa Saccos

  • @GoodluckMichael-hb1bv
    @GoodluckMichael-hb1bv 23 дні тому +1

    We mbona utoki kwenye uenyekiti

    • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
      @AlphaxardMRusweka-jr1wi 23 дні тому +1

      Mbona CCM,wakina Fulani tu ndo wao tu wanakula ,na hata wewe hujawi kukumbukwa.angalia familia ya Mzee Fulani wa CCM,yeye,mtoto,mama ndo wanaokula tu,Kwa nini hujawahi kuwaambia na wewe uwe waziri,mama Yako awe mbunge,

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 21 день тому

    ❤💪✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️👌👌✌️✌️✌️

  • @StellaNjau-zd5kn
    @StellaNjau-zd5kn 23 дні тому +1

    Hao ndio walimsapoti samia leo hawa ndio wanamsaliti tena wapendwa tuombe mungu atulinde watanzania hawa wote wanakutana jioni wanakula pamoja watanzania tusikubali kushawishiwa kumwaga damu waulizeni watoto wao wanasoma wapi kama wao pia sio hao hao?

    • @user-vd8hs6ue2n
      @user-vd8hs6ue2n 22 дні тому

      Hapo kuna kumwaga damu wap Acha uchochezi

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 21 день тому

      Natamani kujua elimu yako coz naona vision yako ni ndogo sana

  • @user-ss6gy4yy8v
    @user-ss6gy4yy8v 22 дні тому

    Kweli kabisa mwamba

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 18 днів тому

    vijana amkeni jamaniiii. Nchi na kizazi chake kijacho inaaangamiaaa

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 22 дні тому

    Kweli kabisa

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 23 дні тому +2

    Anza na wewe lini cheo chako kitagombania na wengine DJ Mbowe"

  • @user-sg4vj4ky4y
    @user-sg4vj4ky4y 22 дні тому

    Sijui Kama yupo sahihi au anatafuta dona

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 21 день тому

    Umeona mwaba mungu awape ulinzi aende navnyinyi polite tupo nyuma yenu tunawapendabsana msikate tamaa

  • @user-dj7mw5rx5h
    @user-dj7mw5rx5h 22 дні тому +1

    Mh mmh huyu wakumuogopa kama ukoma maana huyu anataka kuchafua taifa

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 20 днів тому

    Huo. Mpangomzuri lakini kamaunagawa nchi vipandevipande .......",

  • @JeremiaholendikaMakeseni
    @JeremiaholendikaMakeseni 21 день тому

    Baba tupo pamoja sana

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 22 дні тому

    Hapo kila mkoa utakua na uchumi wake

  • @user-yx5lv4pn4v
    @user-yx5lv4pn4v 23 дні тому +1

    Ukosawa

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 23 дні тому

    Naona machawa ya mm kilemba mnatepeta kwa jinsi anavyo wakanyaga kwa taarifa yenu mbowe hatoki uenyekiti mbowe mitano tena ya uenyekiti chadema wala chadema msilogwe mkawasikiliza manyang'au na machawa wa chama cha majambazi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 23 дні тому +5

    Ningetamani vijana waweze kukusikilizz na kuondoa uchawa.

  • @phillipmasungwa7365
    @phillipmasungwa7365 23 дні тому +7

    SAFI SANA KAMANDA MBOWE TUPO PAMOJA.

  • @saidimohamed4357
    @saidimohamed4357 20 днів тому

    Katiba mpya ndio kilakitu

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 21 день тому

    Sawa mheshimiwa Mbowe, tulitegemea viongozi watakua waadilfu kama mwalimu Julius K Nyerere, kumbe tumepata Curuta curuta !!

  • @MichaelNgisirei
    @MichaelNgisirei 23 дні тому

    Tundu lissu hupo wapi?

  • @user-sn3py9yz8j
    @user-sn3py9yz8j 21 день тому

    Umeongea ukweli tunataka magavana

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 23 дні тому +1

    Mnataka shari? Toka kwanza wewe kwenye uenyekiti wa milele ndipo na ccm uwaambie watoke.

  • @user-cu6ol4zb8e
    @user-cu6ol4zb8e 23 дні тому +4

    huna jipya wa huni tuu nyinyi

    • @user-bx3ko9ft5t
      @user-bx3ko9ft5t 23 дні тому +2

      Bora wahuni kuliko ccm

    • @godfreymkinga
      @godfreymkinga 22 дні тому

      Tena vihuni afu mboe una kasauti kazuri ukiigiza kama gashi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 23 дні тому

    Vyama viwili vya upinzani au vya siasa ---- chadema ni Chama cha upinzani,wakati ccm ni Chama tawala -- kosa hilo umekuwa ukilirudia Mara kwa Mara " rekebisha "

  • @user-tb8zb4rv6h
    @user-tb8zb4rv6h 23 дні тому

    Hunampango

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 23 дні тому +3

    Kwahiyo CCM hakuna wanacho fanya ila kujaza matumbo yao tu.

  • @annamnanka-qk1bx
    @annamnanka-qk1bx 20 днів тому

    Mbona wewe utakikuachia uwenyekiti ili wengine wachaguliwe acha porojo mabadiliko yaazie kwako kwanza

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 22 дні тому

    Vijana waajiriwe

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 23 дні тому +4

    subiri serikali yako ya ukoo uje ufanye hivyo

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 21 день тому

      Ukiwa mjinga na elimu ya std 7 au form 4 f au d;.huwezi kumwelewa Mbowe

    • @hamudshabani7801
      @hamudshabani7801 20 днів тому

      Critical thinkers hawaropoki na kubwabwaja UKimsikiliza kwa fikra za ndani yupo sahihi

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 21 день тому

    Magavana peleka boma ng'ombe huko ,,,waachie vijana wapambane utakuja kudondoka stejini umri imeenda huo

  • @LaurenceSanga-ft7ou
    @LaurenceSanga-ft7ou 23 дні тому +1

    Naomba mungu aendelee kuwa mwenyekit mpaka 2o3o

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 23 дні тому

    Alishamla mama ako? Bas ni baba ako

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 23 дні тому +2

    Katiba kweli ibadilishwe kila Raisi aliyefanya makosa na kuhaki serikali washtakiwe wote ndio wanagombania katiba isibadilishwe kutokana maovu wanayofanya ni mengi mbaya dhuluma wanayajua hayo

    • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
      @AlphaxardMRusweka-jr1wi 23 дні тому

      Wasiishie tu kushitakiwa,bali watahifishwe mali walizojilimbikizia bila kuzitolea jasho.

  • @Jal210
    @Jal210 23 дні тому

    Hiyu muhuni tu

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 23 дні тому

    User muhuni ni wewe, na humuelew🎉i mbowe

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 20 днів тому

    muhim watanzania fanyeni kazi huyu keshashiba siku nyingi anatafuta kick! wewe umepoteza muda unaacha kazi unalala njaa ukitegemea siasa utaumia!

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 23 дні тому +1

    HATA MSIGWA ALIKUWA ANAONGEA HIV HIV SAS KIKUWAP LEO😢😢😢

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 23 дні тому +4

    Hongera sana Mwenyekiti

  • @StellaNjau-zd5kn
    @StellaNjau-zd5kn 23 дні тому +1

    Walimsema marehemu wakamchukia leo hao ndio walimsapoti mama je leo wanataka nini? Tusikubali kushawishiwa kumwaga damu wao wanatuchochea alafu wao wanaenda angani wanatushangaaa tutakapo uwana. Hiii yote na uchu wa madaraka usikibali kushawishika wapendwa jifunzeni kwa walibya leo hawana hata pa kulala yote hayo ni uchu wa madaraka. Tujiangalie tuache kushawishiwa ujinga.