Mbosso you will always be great nlichopenda zaid ni upendo kwa wazaz wako nashukuru saana kwa niyaba ya wazazi umewainua saana hongera saana mbosso khan
Mara nyingi ukimtanguliza Mungu na kuwa mwenye nidhamu mambo yako hunyooka. Nakuombea Mwenyezi Mungu akuzidishie, akuneemeshee na akulinde kwenye hii safari yako ya mziki... Mbosso much love from +254😘😘😘
Aisee! Mungu hujibu kwa wakati! Uvumilivu ktk maisha ndio nguzo kuu! Uwezo wako wa kuimba ulionekana toka ukiwa Yamoto to be honestly mm nilikuona kuwa sauti yako iliwazidi wote! Pamoja na kutengana kwenu hukukata tamaa ! Big up! Yaani am speechless 😶! You nailed it!
Mbosso has been my crash ...I silently admire him generally ,his music , he's my number one bongo artist ,all that he has done or achieve is by the grace of Allah,Na Baraka sizidi kumfuata kwa kutosahau nyumbani kwao.baraka ya mzazi Ni Jambo la muhimu...he be my role model..I just like everything about Him simple personality humbled always and forcused may your intelligence yield more🙏🙏💕🌹
I like the way he explains about singing a Corona song. We need to continue with life though not fully normal but at least we need to feel like we're not so lost into the Corona pandemic menace.
@@shoshdehblessedtv2841 ni kweli, wewe ni sheitwan ndio maana unapenda mziki. Si unaona faida ya mziki, mbosso ana watoto wa nje ya ndoa na anajisifu, kwa hio kama hakutubia atafute jawabu la kwenda mjibu alietuumba na akatuekea taratiibu za kuishi. Nakuomba tena radhi kama nimekuudhi ila vumilia, ukweli lazima usemwe
Kazi kujifanya tu eti waislamu,na ishirikina ndio mama yenu,you will all rot in hell walking demonds,show me one upright islam i will change to islam,all these wcb ni waislamu waliopotoka they dont know what they know🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@shoshdehblessedtv2841 usome tu utaujua ni dini ambayo Allah (Mwenyezi Mungu) alowapa Mitume na Manabii, tangu Baba yetu Adam mpaka Nabii na Mtume wa mwisho Muhammad Swalla Allahu Alayhi Wasallam. Na kati ya hao pia yumo Issa ambae nyinyi mnamwita Yessu, sisi pia tunamuamini kwa yote aloteremshiwa kutoka kwa muumba ni haki, na tu naamini Mitume na Manabii wote waliharamisha ushirikina. Sasa sijui huo ushirikina uusemao wewe umeukuta kwenye kitabu gani?
Kijana mbosso si mtu wa kustarehe saaaana na mabinti kama vijana wengine. Ni kijana mwenye tabia ya utulivu. Heshima. Hekima na anajitambua anapoelekea. Anaipa heshima sana wasafi media kwa tabia hiyo.Mungu amsaidie aendelee na busara hiyo. Amenifurahisha sana nikuwa mzazi tena mama.
Mbosso one of my favorites in WCB as well as Bongo flavour at large. Mungu aibariki kazi yako. Kongole Diamond kwa kukuza vipaji, huku Kenya twathamini WCB sana.❤🔥🔥🔥
Huyo mtangazaji ayejifunika sio level za wasaf anazngua interview nying..anakuwa hayuko systematic na Hana skills za kumsoma MTU coz watu wana mood swing IPO siku atapigwa
Mungu akuzidishie.umeanza kuwafikiria wazazi wako kwanza na nyumba na usafiri.Mungu atakufikisha mbali sana kimaendeleo kama kaka yako au bosi wako Diamond.wasafi juu.
Hakuna kinacho shindikana chini ya jua ukiweka bidii ukiwa na subra na ukipambana kila kitu kinawezakana just Don't give up shukurn za peke kwa MWENYZI MUNGU kwasababu ninaamini yeye Ndo anayejua kesho yako my best actress in W_-C_-B=_-🔥🔥🔥
Mbosso you will always be great nlichopenda zaid ni upendo kwa wazaz wako nashukuru saana kwa niyaba ya wazazi umewainua saana hongera saana mbosso khan
Mjumbe mdogo wangu mbosso Khan
Big up sana wazazi wamekuja baraka zote
WCB Label kubwa Hongera Mbosso zidi kutusua 💪
Mwenye ako na heshima na busura mboso keep going bro
Kinacho mfanya mbosso afike mbal na atazidi kufika mbal ni nidhamu,hekima,busara na uweledi ktk kazi yake...Mungu mzidishie inshallah
Kabisa, inshalah
Suma thedony, kweli!
True
True
Suma thedony Amina
I admire his personality he never gets offended. God bless you sana bro.
Nakupenda mnoooo
Mashambiki wa Mbosso Kenya twagonga like hapa ! Hongera! Hongera ! Hongera ! Mbosso 🇰🇪
Hongera platnumz kwa kuwakuza vijana am proud of you.
Hongera dogo kwa kuwambuka wazazi wako mana ni vijaba wachache wenye akili hiyo
Wale wote wa mbosso Khan mshede tujuane gonga like twende sawa
Wenye wivu wajiuee
Umeoa eeeh watapa tabu sn sio ngoja tuinjoy na muindi wa kibiti
Ila kuna jamaa amefanana nae uyoo
Jamaa gn uyo?
Kwel discipline ndo kila kitu
Mara nyingi ukimtanguliza Mungu na kuwa mwenye nidhamu mambo yako hunyooka. Nakuombea Mwenyezi Mungu akuzidishie, akuneemeshee na akulinde kwenye hii safari yako ya mziki... Mbosso much love from +254😘😘😘
Gari fire Moto 🔥
Hongera Mbosso kwakutimiza Ndoto..
Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aisee! Mungu hujibu kwa wakati! Uvumilivu ktk maisha ndio nguzo kuu! Uwezo wako wa kuimba ulionekana toka ukiwa Yamoto to be honestly mm nilikuona kuwa sauti yako iliwazidi wote! Pamoja na kutengana kwenu hukukata tamaa ! Big up! Yaani am speechless 😶! You nailed it!
Wngp wameona WCB ndo lable yakuingia sa kwengine wap tena gonga like twende sawa
Mbosso mimi hapa Kenya nakupongeza bro it's all your efforts. .continue keeping your flag high .
Hongera sana kaka mboso mungu azidi kukuinua kila unacho fanya
Wanao mkubali mboso naomba like zenu jaman😘
Hata wakati mgumu unapo msikiza mboso uko saww
Stella Tobiasi akika amepiga hatua kubwa mungu amujalie
Stella Tobiasi akika amepiga hatua kubwa mungu amujalie
Tupoooo
Mbosso kipenzi cha wengi..mob love from Kenya.. I like your personality.. Usichange
julius murimi 👌👌
Mbosso kuhusu corona umeongea vya muhimu sana kuliko mkuuu wa mkoa wa Dar,welldone brother keep it up
Mmh hatar
Good Kijana umejitahidi big up
Veto
madimakis
Vero aradini
Mbosso has been my crash ...I silently admire him generally ,his music , he's my number one bongo artist ,all that he has done or achieve is by the grace of Allah,Na Baraka sizidi kumfuata kwa kutosahau nyumbani kwao.baraka ya mzazi Ni Jambo la muhimu...he be my role model..I just like everything about Him simple personality humbled always and forcused may your intelligence yield more🙏🙏💕🌹
Mbosso Khan💪💪💪 nipo Zambia ila wasafi media naifatilia sana @WCB4LIFE
from kenya....the guy is very humble na mwenye heshima na upolee..zidi kuenda mbali mr mbosso...
I like the way he explains about singing a Corona song. We need to continue with life though not fully normal but at least we need to feel like we're not so lost into the Corona pandemic menace.
Kweli
Kaka mbooso naomba kazi
Hio ndio sifa y mond n kuzid kua juu kw kuwasogeza n wengne km hawa smart mboso big up simba kw kuwawezesha vijna
Alaf kuna fara anaitwa h baba akilewa anasemaga mondi anajipenda yeye tuu na hajali wengine... Inashtua
.
Hafidh Choi
Baraka za sheitwan, sio za M/Mungu. Allah kaharamisha mziki, kwa hio hawezi kubariki. Samahanini mashabiki wa mbosso. Twakumbushana tu
Kamati ya roho chafu,islam is just hypocrates,nachukia waislamu ni wanyama🤣🤣🤣🤣🤣
@@shoshdehblessedtv2841 ni kweli, wewe ni sheitwan ndio maana unapenda mziki. Si unaona faida ya mziki, mbosso ana watoto wa nje ya ndoa na anajisifu, kwa hio kama hakutubia atafute jawabu la kwenda mjibu alietuumba na akatuekea taratiibu za kuishi. Nakuomba tena radhi kama nimekuudhi ila vumilia, ukweli lazima usemwe
Kazi kujifanya tu eti waislamu,na ishirikina ndio mama yenu,you will all rot in hell walking demonds,show me one upright islam i will change to islam,all these wcb ni waislamu waliopotoka they dont know what they know🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@shoshdehblessedtv2841 usome tu utaujua ni dini ambayo Allah (Mwenyezi Mungu) alowapa Mitume na Manabii, tangu Baba yetu Adam mpaka Nabii na Mtume wa mwisho Muhammad Swalla Allahu Alayhi Wasallam. Na kati ya hao pia yumo Issa ambae nyinyi mnamwita Yessu, sisi pia tunamuamini kwa yote aloteremshiwa kutoka kwa muumba ni haki, na tu naamini Mitume na Manabii wote waliharamisha ushirikina. Sasa sijui huo ushirikina uusemao wewe umeukuta kwenye kitabu gani?
@@saeedabunajash6235 do islam practice nir respect other religions ooh nooo!they think they own the world,pride will take them down!
Kijana mbosso si mtu wa kustarehe saaaana na mabinti kama vijana wengine. Ni kijana mwenye tabia ya utulivu. Heshima. Hekima na anajitambua anapoelekea. Anaipa heshima sana wasafi media kwa tabia hiyo.Mungu amsaidie aendelee na busara hiyo. Amenifurahisha sana nikuwa mzazi tena mama.
Ilove mbosso he is so humble...
Mbosso one of my favorites in WCB as well as Bongo flavour at large. Mungu aibariki kazi yako. Kongole Diamond kwa kukuza vipaji, huku Kenya twathamini WCB sana.❤🔥🔥🔥
Pongezi bosso mziki wako naupenda ata naskiza sai♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Yaani mbosso ako very simple sio wa kujionyesha aishe! From kenya
Hongera sana kaka inapendeza kijana ukipambana ufanyee mambo mazurii
Khadija
Omari
Gang!!!! Eeeh bhana mboso respect saaana umeonyesha hatua kubwa sana ya kimaisha
You're such a humble human being more blessings my brother from another mother🙏
Nakupenda sana mbosso khan mafanikio yako sistaajabu juhudi unayo penda sana mziki mzur👏👏👏
Nakusikia tuu lakini ,welldone brother,l salute you God bless you mbosso
Hongera sana mboso bidii yako, upole na tabia nzuri ndo nawezasema imekufikisha hapa. Uzidi kuenuliwa
MASHA ALLAH...HONGERA..WAJALII WAZAZI WAKO..WAKIWA HAI
Big up Sana mboso mwanzo wa mateso mwisho ni furaha mungu akuzidishie. Umewafanyia wazazi jambo zuri mungu akubarikie
MUNGU AKUBARIKI NASIBU Unainua vijana na mafanikio tunayaonaa...Hongera mshedede!!!
Chicharito Ronaldo wanapanga hao wanajifanya zao
Kweli my nasebu amewabeba nag waliobebwa wamejikaza
Mshedede umenyoosha mzee
@@jacoanania6358 daaah we bwege una wivu kama una mimba changa,panga na wewe basi🥴🥴🥴🏃🏃🏃
@@jacoanania6358 mashoga mpo wengi kumbe
😮😮😮wow mungu akupa sawa na unachotaka ila utuombee na sisi.🤝🤝
Huyo mtangazaji ayejifunika sio level za wasaf anazngua interview nying..anakuwa hayuko systematic na Hana skills za kumsoma MTU coz watu wana mood swing IPO siku atapigwa
Level za clouds sio😂😂😂
@@iammusic3404 hahahaha
Kweli kbsa
Ni mjing auliza udaku tuu
Asingefaa wasingemtoa EATV, dulla ni talented
Moja ya mafanikio makubwa ni kuwapa wazazi maisha tafauti MashaAllah 🥰
U know brother mbosso I really like ur word means unapenda kushauri watu kwakupiga kazi na video I like that
Here from kenya...I really like mboso coz hana mringo
WCB label ya mafanyikiyo
Congratulations sn kwake Diamond platnumz kwakuwafanya vijana watimize ndoto zao
HIV meneja huwa ni mmoja kwa fundi zima la wcb au kila mtu nawake🙈
@@beatricetenywa4367 kila mtu na wake,mondi salam sk,lava lava Ricardo momo,mbosso sjui nani
@@Jitu_Lisilofikirika. babu tale ni wa nani aisee
@@Mwaikwasi najuaga ni moja ya kiongozi tuuu, though sinaga undani kabiiiisa
@@Jitu_Lisilofikirika. wa Rayvanny Ni makame juma lakini. Alafu Kaka subscribe kwenye channel yangu
Mungu akuzidishie.umeanza kuwafikiria wazazi wako kwanza na nyumba na usafiri.Mungu atakufikisha mbali sana kimaendeleo kama kaka yako au bosi wako Diamond.wasafi juu.
Mashaallah kkngu nakuombea baraka za mwenyezi mungu ziendelee kuwa nyingi namaisha marefu pia innshaallah
Na na Mungu akubariki kaka Mbosso uwe mtu wa hekima hivyo hivyo, maisha yako yote. Blessings
Mbosso bna etiii ...unamuuliza UNAFURAHI EEEEEE
😂😂😂😂😂😂.....mo move✌
Obama kabisa
Daaamn mbosso kwani una mama watoto wangapi wewe🤣🤣anyway love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera saana bro. Umefanya jambo lamaana saana kwa wazazi wako. Allah azidi kukubariki kwenye kazi zako.
Hongella Mbosso mwenyezi Mungu akuzidishe hapo inshaallaah
Wakwanza kukoment kutoka 🇺🇬 like zenu 🇹🇿 ziko wap
Nice job 👍
Mbosso u a the hero of bongo actually you have made it & still u will be blessed mentor
Hongera zake sana😊
Na kupa pongezi kwa kucomment kila video
KAMA wasafi ikinichukua ntafanya kazi nzuri nawao
Congrats Mbosso Khan Mshedede 🔥🔥🔥
Mbosso kisebeho kweli 🎉
Agosti 2024
Mbosso he's so humble big up mbosso
I really like this humble boy! He will go along way. May God bless him.
Mbosso is such a being. Great guy
kaka unajua
Nakumbuka mbosso alipokwa aki taka kuwenda mjini babake akuipenda...lakini mziki ndio hio unamsadia....Mungu akuwonekanie.kila mara
Mwambie mbosso atutolee behind the scenes ya tamba
Mbosso my best singer and writer..... Ila mtangazaji wa kiume hapo mzee naona haujakaa kitaaluma zaidi.
God bless you for this
Mboss kama mboss akiwa jukwaani haboi asante mboss napenda sana nyimbo zako hasa iye ya katoto hodari hodari hodari wa mapenzi
Congrats tamba baba lao 🔥🔥🔥 WCB 4 lyf💯
Hakuna kinacho shindikana chini ya jua ukiweka bidii ukiwa na subra na ukipambana kila kitu kinawezakana just Don't give up shukurn za peke kwa MWENYZI MUNGU kwasababu ninaamini yeye Ndo anayejua kesho yako my best actress in W_-C_-B=_-🔥🔥🔥
Huyu sio mtangazaji wa level ya wasafi
Kabisaaaaaaaaaaa
Big up sn mbosso khan Mungu aendelee kukupa hekima na busara na ufike mbali sn
Mbosso Khan 🔥 🔥 🔥
Bro Mbosso big up sanaaa kabsa pambana utapata hata ndege
Alakini mboso sungemusaidia enook Bela mulikua pamoja katika yamoto band+250🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Kabisa wamemsahau mwenzao
mwamba patrick wakisaidiwa/ baadae mazarau/ kila mtu afekivyake",siunaona hamo mazarau' kwa mond kibao
Ww umewasaidia wangap ulokuwa nao pa1
@@kenethmtweve3961 watato
Utuye ahagana se mwane wacu weee
😂😂😂 shall up sana mbosso,Mungu mkubwa kikubwa juhudi….ila mwanahabari na maswali khaaa😂😂😂😂😂
Q chila ajifunze SNA kupitia hawa watoto wa wasafi sio kutukanatukana hongeraboso😍
Mariam Ramadan ni kweli yule hana akili anapitwa hata na uyu mboso.
Ni H baba
@@sabrinabakari5908 siunajua alikuwa anatumia dawa za kulevya bado hajakaa sawa
Aiseeee don't talk about legend aiseeee
Marce Marco whose legend you talking about??? Q.chi ow!!! Don't let me down my friend
Hongera yake mboso mungu azidi kukubariki kazi ya mikono yako
Congrats mbosso
Mwachen mungu aitwe mungu mbosso hongera sana mwanangu
Waoyeshe kwamba unaweza
Kwanza hazifanani hata shape ya mbele
Mboso anabidii sana...nafikir maisha aliyoyapita kuanza muziki hapo alivofika safi sana...endelea kukazaaa 👊
Congratulations ndugu yangu mbosso. @mwijaku where are you now
Hahahhahha mwijaku come here now
KINGI Mboso, Liwakere Kweri Wenye Vihelele, Pia Utupige Mabusuu 👍👍😘
Mafanikio ya kwelii yanatokaa kweny nidhamu na uvumilivu ww n msanii mtulivuu xn be blesed
Nice interview
Kweli kabisa halaf Diamond anapenda sana vijana wenye bidii 👌
@@beatricetenywa4367 ukimueshm diamond lzm ufnkiwe
@@beatricetenywa4367 0747700433nichk sap tuwe mrfk
Bro daah fanya kazii nzuri upate vitamu kwa boss
Keep on bro
Muislam lakini una chen shingon na vipul mashkion haifai kama uko nami gonga like
Tuskilezeni Qur'an Kwani ndio inayoleta utulivu katika moyo ya wanadamu. MIZIKI INALETA HUZUNI TNA SANA
Congrats MBOSSO umefanya kitu kikubwa sana ambacho ni baraka tele ambazo zitafungua milango yako
WASAFI 💪💪💪💪💪
From now am your real supporter
Huyo mtangazaji mwanamke si angevua hiyo Top kabisa 😢
Hongera Brother mboso Mungu akutunze ufanikiwe zaidi uwakumbuke na walionyuma yako
Diamond na mm ninunulie gari hata la milion 4 linatosha jamani nioshe nyota hata likuwa na label ya wcb sio mbaya.
😢😢😢
😂😂😂😂😂
😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu akupe maisha maref mshkaj Wang yan
More blessings
Hongera mboss mungu yuponawewe
Mbosso msaidie Enoky bella hata kama yapo mapungufu rudi nyuma mmetoka nae mbali
Rehema Shaban apambane/ wakisaidiwa" baadaye'mazarewu
Good interview . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands
Nyumba nzuri na gari nzuri. Hngr sn
Ongera sana mboso mungu akusaidie uzidi kusonga mbele
Mbosso oyeeeeeeeeee
Nikweli kabisaaaaa WAdau mboso yuko vizuli sana mungu ampe maisha malefu.