SEMAJI AHMED ALLY AELEZA MAZITO"ALIYEONDOKA SIMBA HANA MCHANGO KWETU|MUKWALA JITU LA BOLI |CHAMA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • "Mwamba wa Lusaka @realclatouschama tunamuheshimu na tunampenda" AHMED ALLY
    #simbafans #nbcsports #timuyawananchi
    #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #simbasc
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 30

  • @RaymonTz746
    @RaymonTz746 3 дні тому

    Simba ❤

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 6 днів тому +4

    Speed Speed, aquracy passes... muhimu sana kwenye timu.. mpira wa pasi za taratibu zitawagharimu.. mpira wa taratibu umeshapita timu zinakimbia kwa umakini

  • @HospiaceMata
    @HospiaceMata 4 дні тому

    Simba cyo kinyonge wajiandae sanaaaaa😢

  • @justinmwanyingili8073
    @justinmwanyingili8073 4 дні тому

    🎉🎉🎉🎉🎉
    Tuko pamoja

  • @gerishamgonja1064
    @gerishamgonja1064 3 дні тому

    Umejieleza. Vizuri kuhusu cham

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 5 днів тому

    SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO

  • @kassimkibwe4614
    @kassimkibwe4614 5 днів тому

    Bora chama ameondoka, Tena tumechelewa kumuondoa🎉🎉🎉

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 5 днів тому

    SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y 5 днів тому

    Simba Uongozi uache tamaa waungane waache tofauti zao za maisha wote watembee pamoja hata wachezaji watakaa kwa Amani bila bugza kuwachomolea posho zao Mungu anawaona acheni

  • @ibrahimusagondo5228
    @ibrahimusagondo5228 22 години тому

    Naomba namb yako semaji nikwambie jambo jambo au naomba ushauri viongozi kati ya matukio ya kufanya msiache kuwatembelea watoto yatima mkiwa na viongozi wa dini ili kuwaombea wachezaji na timu yetu kiujumla, safari hii ni lazima tuwalinde wachezaji wetu kwa kumkabidhi Mungu

  • @BarakaDeus-gt8hr
    @BarakaDeus-gt8hr 5 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 5 днів тому

    Bwana waziri anakula huyu binti daaaa!

  • @justinmwanyingili8073
    @justinmwanyingili8073 4 дні тому

    Sana ilitakiwa atoke toka mwaka jana mbona atujaona msada wake apo

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 5 днів тому

    Chama alitugharimu Sana kwenye.5.za hongo alihongwa psmoja na inonga Manila na wengine wengi tinawajua sense mpuuzi huyu.

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla 5 днів тому

    maandaliz ya simba day yameanza ila timu bado haijaenda kwenye maandalizi

  • @user-sx2hv1vz5e
    @user-sx2hv1vz5e 4 дні тому

    Duu MUNGU akusamehe Sana
    Huu Ni mpila na Maisha mengine yanaendelea
    Matusi ya nini ,,,,,,baada ya kutukana umelipwa nini ,,,,,
    Achani matusi kuweni na AMANI na watu wote
    Tanzania hatuji Vita
    MUNGU ibariki Simba
    MUNGU ibariki Tanzania
    Mbarikiwe na usk mwema

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 5 днів тому

    Hata fei akiondoka yanga akaja azizi kii na azizi alikua benchi sembuse uyo mzee Tena chiba

  • @ibrahimusagondo5228
    @ibrahimusagondo5228 22 години тому

    Ila hili la kuwafanyia maombi wachezaji wetu hao ni muhimu jamani msidharau maana hawa wenzetu wanatuzunguka sana chonde chonde chonde mambo ya kiswahili msiyaache vinginevyo hatutaona ubora wao waliokuja nao

  • @SautiYanguJr
    @SautiYanguJr 5 днів тому

    Ila Irene 😂,., tulia sasa😂

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 5 днів тому

    Hapa watu hawaulizani mambo ya mke wa mtu wanaulizana mambo ya wachezaji.
    Hayo ya mke wa nani utajuwa ww

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 5 днів тому

    Chama mali na kama mtabeza sasa mtamwongezea kasi kama kumpiga teke chura

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 6 днів тому

    Huyu mwandishi ni mtoto wa ana kilango mke wa malechela?nauliza jmn

    • @abiaslimadyanse1842
      @abiaslimadyanse1842 6 днів тому

      Hata mm najua hivo unavofikilia

    • @joshuamtagwa347
      @joshuamtagwa347 6 днів тому

      Ndo hivyo

    • @josephatjordan5560
      @josephatjordan5560 5 днів тому

      Sio kweli na hawana undugu!!!ni mtoto wa kilango tofauti!!wazazi wake wapo Mbezi Juu!!!na wadogo zake !!!wakina Kilango ni majina makubwa ya kikabila tu

    • @abiaslimadyanse1842
      @abiaslimadyanse1842 5 днів тому

      @@josephatjordan5560 ok sawa

  • @RokiPeter
    @RokiPeter 5 днів тому

    Matusi yanini kama humpendi siunyamaze tu

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 5 днів тому

    Hahahahaha 😂😂😅🤪 mjinga kweli wewe Ahamad Ally na mdomo wako. Wakina Onana wako wapi? Wakina Lwambangoma wako wapi? Ulikuwa unaongea hivihivi mwisho wa siku nafasi ya tatu . Nyie mafala kweli mikundu wa msimbazi.