DR.MO AMCHAMBUA YUSUPH KAGOMA/TUWAPOKONYA YANGA/KAGOMA KAICHAGUA SIMBA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 9

  • @markmangaya4947
    @markmangaya4947 13 днів тому +3

    Wabongo mnatia aibu kwe kutaja majina ya nchi nyingine mfano ,Barbara Gonzalez, inatamkwa Babra, GonzalezJose Luis,inatamkwa Ozee Luis

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 12 днів тому

      Acha ushamba na kujitia mjuaji umesooomaa kumbe kichwani hamna kitu, majina yanamatamshi mengi sana so achana na habari za kukosoa watu

    • @AGNESSVERONIKA-y7w
      @AGNESSVERONIKA-y7w 12 днів тому

      Sawa we mchina😂

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 13 днів тому

    Debora mshaleta tayari hebu aje kapumbu sasa 😅

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 12 днів тому

    Huyu si amefungiwa?

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 13 днів тому

    Hapo ukiondoa wachezaji ambao wamecheza ligi ya ndani hajui mchezaji hata mmoja na wala hajawahi kuwaona lakini anakuambia usajiri mzuri sana😅 Matokeo yakienda ndivyo sivyo lawama usiku na mchana kwa viongozi. Baadae mtasema viongozi waliwadanganya kusajiri watoto wadogo😅😅😅 Mchezaji eti anaweza kukimbia 2000km kwa saa moja mkiambiwa na Rage nyie ni majuha au mbumbumbu mnakataa😂😂😂😂😂😂

    • @Gisakijamaduda
      @Gisakijamaduda 13 днів тому

      Ngogwe huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc hauna la kusema la maana😅😅😅😊😊😊😊😊😊

    • @user-mg1yl2rl8s
      @user-mg1yl2rl8s 13 днів тому +1

      Umeona eeh!? yaani utopolo wa mo dewji mna laana siyo bure. Rage alivyowaita majuha anawajua kama kawazaa. Mtu unashangilia kiutopolotopolo sijuwi vyuma vimeshuka hata hujui mchezaji katoka wapi na huna uhakika kama ataclickafu badae mnaanza kupiga makelele na mimate yenu ya kilevi@@Gisakijamaduda

    • @user-mg1yl2rl8s
      @user-mg1yl2rl8s 13 днів тому

      Bora hata wewe umegundua mawazo yenu utopolo wa mo dewji ni kama majuha vile@@Gisakijamaduda