KUTOKA AIRPORT AUBIN KRAMO USO KWA USO CHARLES AHOUA VITUKO KAMA VYOTE, AIRPORT HAPATOSHI
Вставка
- Опубліковано 7 лип 2024
- eat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #news #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #jdg #utchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague ##afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimbatg #africanfootballleague
- Спорт
Tuipende Simba yetu Simba nguvu moja ❤❤❤❤Simba🦁🦁🦁 kila la kheri
Hakika❤
Naitakia.safali.njema.timu.yangu.ya.simba.mungu.awafanyie.wepes.mfike.salama
Mungu ibariki simba yetu kwa msimu ujao kuw na matarajio mazuri❤
Wakati unajitesa kwa uwepo wa timu ya simba sport clab mungu anazidi kuibariki na mambo yake yanakwenda vizuri pole sana chura
Mungu walinde wachezaji wetu Kila Dua mbaya zisiwakute ❤ Amen
I love you simba❤❤❤❤❤
Mungu Ibariki Simba yetu Amina
Mungu ibariki Simba sports timu yenye isia ya za kweli za watanza! Ia Africa na Dunia Kwa jumla
Hakika Simba naipenda❤❤❤
Naipenda Sana Simba yangu 3:53
Mungu ibariki simba yetu mwaka huu itupe furaha zaidi
Kila laheri mnyama uko uwendako Mungu awatangulie mrudi salama
Mungu ubaliki simba yet❤
Wewe mpekuzi midian hata sisi hatukupendi kabisa unakera sana na ushindwe na ulegee kabisa kwa jina la Yesu kristo wa Nazareti
Huyo anaeichukia Simba Sc ana lake jambo,ashindwe kwa Jina la Yesu
Mwenyezi Mungu ibariki simba yetu huu ni mwaka wetu wataelewa tu
MUNGU IBARIKI CHAMA LANGU ,SIMBA NGUVU MOJA
Yaaan wewe mp3kuz unaraana namungu atokuacha wewe ni mnafik na kwahili tutakula nawewe san Moja
Mungu ibariki Simba sport club❤ sana.
naipenda simba yangu kazi ienderee
Mungu ibariki simba Mungu ibariki Tanzania
Simba nalpeda sana zaldi ya sana
Jamani kiufupi tunayofuraha sana wanasimba na tujiandae kurejea katika furaha yetu insha'Allah Amiin 🤲..
Nguvu mojaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉❤❤🦁💪
Wewe usiyeipenda Simba ni Mtu waajabu sana Yanga bila Simba sio yanga Pia Simba bila yanga sio Simba Wewe Koro
🎉
Unazngua mtu wangu Simba Ni Simba na yanga Ni yanga
All the best ❤❤Simba sports club
Naitakia safari jema simba
Mungu ibariki Simba sports club katika safari ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi mbalimbali
Mungu barik timu yangu ifanye vizur
Simba kila laeli
Sema hii timu ni tamu Sana ni bahati kubwa mnoooo kuishabikia simba
Namm sipendibyanga nataman hata isingekuwepontanzania sio mpinzan Bora wa Simba niwachaw tu mpira aupo yaan inachafua cv ya Tanzania yaan yanga sio timu nikikundi Cha majin
Mungu ibariki simba
Tunawatakia safar njema wachezaji wetu
Kama Mungu wako humpendi pamoja na jirani Yako, iweje uipende Simba, unaraana
Akiamungu napenda Ii timu kutoka moyoni gudluck simba sport
jaman mi simba imenipa moyo kabra haijacheza
Naipenda sana simba mpaka naogopa
Naitakia safari njema simba mungu awatangulie
Huyo ambaye haipendi Simba amelaàniwa
chama la Wana iloooh kila lakheli mashabiki tupo nyuma yenu
Ninafurahi kuwepo kwa Babra, Simba nguvu moja!
Premium Tears loading 😂😂😂😂
I love simba
Simba ni hatar ogopa yanga bila simba hawawezi
Mungu ibarik Simba SC
Daaàaaaaaaah mungu watie nguvu wachezaji wetu
Mufike salama na maandalizi men's Mwenyezi MUNGU awalinde na kila husda
Kak huwe unaniita nije nikusaidi kweny sehem kama izo nipo banana apaapa Soo niite chap 2
Ni barabara gonzalenzi 😂😂 au masikio yangu
Duh bala bala Honzalez😂Babra
Utopolo msimu huu kazi wa nayo
Ooo chama langu
sio kwa hiki kikosi yanga hatoki
Kila la Kheir Chama letu
Viongozi wa Simba tunawaomba aubin klamo msimuache Kwan amevumilia msimu mzima chapokuwa hajacheza, tunahitaji atuonyeshe uwezo wake uwanjan
Huyu jamaa anaesema yuko tayari kutoa kafara babaake basi inshaallah kwa rehema za mungu litamfika yeye mwenyewe ewe Allah (sw) mpe mtihani wa maradhi yeye na tim yk ya YANGA
Safari njema
Kama huipenda kafe sasa unasubiri nn yeboyebo ndala chura
Sio barabara ni Barbra Gonzalez
Mungu awafikishe salama
Asant😊😊
We_mjinga sana unatumalizia bando. Unajiaribia brand mpuuz. Kramo Hayupo. Alafu bado Babra unamuita Barabara😂😂
Wewe usie ipenda Simba ukapimwe akili haraka iwezekanavyo
Hayo unayoitakia Simba hayataipata yaende utopolo fc
matola anatafuta nn huko c watupishe hao
Mungu watie nguvu wachezaji wetu
Elia mpanzu vip au ndio bac ten
Safari njema na mungu awatangulie. Simba nguvu moja
Kwahyo simba ina kocha wasaidiz wawil mana namuona matola
Ngumu awatangulie ktk safar yenu yenye mafanikio
Mnyamaaaaaa❤❤❤❤
kafie mbele lishuke timu lako
Barabara Gonzalez 😅😅
❤❤
Kama simba huipendi hapa duniani utapenda nini shekhe
Ammin ammin
Mnyama unyamani ❤
Kamela yako haionyeshi vizuli
Barabara ndio Nini 😅😅
kunywa sumu ufe ili usiteseke
Mwandishi haitwi barabara kumbuka Hilo ni jina la kiispaniola inatamkwa Babra
Mnyama
Allah? Walinde wachezaji we2 wote Aaaamina
Utopolo macho yamekuwa mekundu kwa kushangaa simba ikikwea pipa
We muongo kramo mbn cjamuona
rmet bala bala gonzalenz
Wachezaji wengi siwaoni
Km humpendi baba yako eti utoe kafara sababu ya Simba je utaipenda Simba? Hayo unayoiombea Simba Na yaje kwako hukohuko. Na yakukute mabaya yote uayoyaombea Simba
Mo badilisha hilo basi Lina ukungu sn
Analahana ya mama akee kenge mkubwaa
Ameen
Wew ni kachawi nn ,Kwa nn uipendi kwani unawalisha wee
Uko kwenye cku zako cyo
Simuoni kramo
Nguvu moyaa
Wewe nimpuuzi kramo yupo wap
❤❤❤
Kramo ya nyoko
Kilalakheri chama langu