Foby Kutamu ( Official Music Video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 470

  • @emanuelmbaga689
    @emanuelmbaga689 3 роки тому +1

    Music wa wakubwa

  • @yustinamartiny3224
    @yustinamartiny3224 2 роки тому +3

    Huuu wimbo niliuskia Katika Club mojo iviii nikawa cjui unaitwaje alie imba Nan nikawa cjuii aisee nimeutafutaa miezi 4 hatimae leo nimeupata🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️👍

    • @JaxonDoxa
      @JaxonDoxa 7 місяців тому +1

      Noma kwer foby

  • @HEISJITU
    @HEISJITU 3 роки тому +2

    Hakuna kubisha fundii sanaa

  • @dekayoadrinizer9173
    @dekayoadrinizer9173 3 роки тому +2

    Nakubali blaza unatuwakilisha songeatz

  • @derrikdesertman4564
    @derrikdesertman4564 3 роки тому +1

    Wadauu eeh hii trakii nimeiangalia mara 50..
    Trakiii kaliii sana...
    True story man..

  • @eliassimon3637
    @eliassimon3637 3 роки тому

    Mkn sana

  • @rogertmshana9226
    @rogertmshana9226 3 роки тому +1

    😂😂🙈🙈 Club siopoa aisee

  • @wadmusicafrica
    @wadmusicafrica 3 роки тому +5

    Kwa Uandishi Huu Watasubiri Sana....Salute FOBY.....SALUTE KWA INTERNATIONAL BEATS....BONGE LA BEAT.

  • @Pandumasoftware
    @Pandumasoftware 3 роки тому +15

    Jaymond kaua umu ndani hatari tupo, Big up Foby ngoma kali melody kali na Beat safi

  • @juhudjabir3336
    @juhudjabir3336 3 роки тому +1

    Mmamamamaa

  • @juhudjabir3336
    @juhudjabir3336 3 роки тому +2

    Foby mtu mbadiii

  • @geehleven
    @geehleven 3 роки тому +22

    nilichogundua tunaojua sana muziki njia inakuwa ngumu but okei mwendo uendeleee

  • @ramadhanchausa3438
    @ramadhanchausa3438 3 роки тому

    #MTOTO wa makuyuni KOROGWE. ......kwel kutam mazeeee

  • @petermshighati6112
    @petermshighati6112 3 роки тому +1

    Mzee tupo pamoja

  • @petronjaldu
    @petronjaldu 3 роки тому +3

    Iyo ndinga kama yake vileee...😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @ramonimunisi1281
    @ramonimunisi1281 3 роки тому +2

    Yooo foby

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 роки тому +4

    Msanii wangu katoa ngoma

  • @juhudjabir3336
    @juhudjabir3336 3 роки тому +1

    Motooo

  • @iddysilumba2807
    @iddysilumba2807 3 роки тому +2

    Kutamuu sanaaa kk

  • @nancynancy2197
    @nancynancy2197 4 місяці тому

    MY FOBY ❤❤❤ Miami ❤’s you!!! Your Mjaluo❤❤❤

  • @bajeeford10
    @bajeeford10 3 роки тому +1

    My gee waonyeshee mpaka mwisho

  • @ALLYSAIDI-g2m
    @ALLYSAIDI-g2m 4 місяці тому

    Nimeikubar ii Ngoma imetisha😅😅🎉

  • @paulcharles2028
    @paulcharles2028 3 роки тому +4

    Huyu jamaa binge la msanii anaju mzki🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

    • @michujahid4627
      @michujahid4627 3 роки тому

      💥💥

    • @willykaovela5485
      @willykaovela5485 3 роки тому

      hii ingekua kama Msanii mwingine kesha gonga 1M
      ila ngoma nzur inaitaji promo itrends

  • @DurahRich
    @DurahRich 3 роки тому +10

    Foby ni international level artist🙌🙌🙌🙌

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 3 роки тому +1

    Bro unajua mziki bigup sana 😀😀😀😀😀😀😀

  • @mdyoung5163
    @mdyoung5163 3 роки тому +1

    Shika key endesha sijui hata njia ...I love this line🤪🔥😊

  • @mariabasily115
    @mariabasily115 3 роки тому

    Unajua san sem sapot aun nice yaan bongo ukitak utreding ukae uchi😪💥💥🥰🧡🙏🥰🥰🥰

  • @nadianady877
    @nadianady877 3 роки тому +1

    Weeeeeee foby

  • @raindoro5201
    @raindoro5201 4 місяці тому

    Bonge la idea..foby umefikiri sana mwana

  • @DurahRich
    @DurahRich 3 роки тому

    Fobbbbbbbbbbyyyyyyy

  • @bestmalya325
    @bestmalya325 3 роки тому +1

    Ngoma Kali video Kali pia nyimbo Ina uhalisia wa maisha ya kina ss wengi tumekuja kuwa magwiji uko kwenye ma club

  • @luqmanminja1220
    @luqmanminja1220 2 роки тому +1

    ila wa,tz sis tuna unafiki mwingi ngoma kali kam hii till now hata 1M bado🤔!!tuache roho mbaya

  • @ProsTarimo
    @ProsTarimo 3 місяці тому

    Jaymond ......mbwa ww utatumaliza bongoooi🤣🤣🤣🤣

  • @raffajr7678
    @raffajr7678 3 роки тому

    Weee club kutamu #kutamu 😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜 Kalisanaaaa tena zaidi ya sanaaaa

  • @bestmalya325
    @bestmalya325 3 роки тому +1

    Ngoni to the world

  • @gerymusic_official
    @gerymusic_official 3 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥mzalendo Kama magufuli hongera unchangeable foby#kutamu#

  • @jonathanmatamwe6961
    @jonathanmatamwe6961 3 роки тому

    Bonge la song hata video iko gud

  • @Sammoy842
    @Sammoy842 Рік тому

    Leo hii nimekuwa gwij

  • @masheyn
    @masheyn 3 роки тому

    Fundi foby

  • @smktv9659
    @smktv9659 3 роки тому

    kali sana alaf cjui hata kwann ndo naiona leo na ina miez

  • @deodatusantony9483
    @deodatusantony9483 3 роки тому

    Yaan hi video umempata chiz imekuwa Kali Sana

  • @bestmalya325
    @bestmalya325 3 роки тому +1

    Foby mwanetu unajuwa sanaaaaa

  • @josephmeshack3147
    @josephmeshack3147 3 роки тому

    Huyo jamaa aloigiza ni hatari amechachua mbaya..bonge la goma

  • @saumuramadhani148
    @saumuramadhani148 3 роки тому +1

    N lsubri hlo Goma kwa hamu Sana......

  • @verossatz8754
    @verossatz8754 3 роки тому

    Mziki nimtamu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kuna vitoto vikaliiiiiiii

  • @macelochogolo4707
    @macelochogolo4707 3 роки тому

    😃😃
    Nikwel ukikaandan sn ukitoka bhaac ujue km kuku kafunguliwa bandani

  • @gasparmpangaa8329
    @gasparmpangaa8329 3 роки тому

    Sema wewe jamaa ipo siku yako mungu atakufugulia 2

  • @amoneyamoney
    @amoneyamoney 2 роки тому

    Umetisha saana na hii ngoma yani da najifunza daily kuiimba Ila nashindwa da hii ni 🔥🔥🔥

  • @stevenalphonce7516
    @stevenalphonce7516 3 роки тому +1

    Nakubar foby

  • @mashakayoa7583
    @mashakayoa7583 3 роки тому

    mwamba unajua sana kitoto cha mama samia

  • @tonybestsenior8874
    @tonybestsenior8874 3 роки тому +1

    Noma Sana, wakenya tunaipenda hii na ni kutamu kweli!

  • @jacksonimwasoni2520
    @jacksonimwasoni2520 3 роки тому

    Ngoma kali twenden trending basii

  • @masheyn
    @masheyn 3 роки тому

    Mnyama foby fundi💥💥💥💥

  • @madirishacomedian
    @madirishacomedian 3 роки тому

    Ya mootooo hii 🔥🔥

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 2 роки тому

    Foby ni mnoma sana, I think tu watanzania hawajamzingatia ifaavyo

  • @yustamateyi3446
    @yustamateyi3446 2 роки тому

    Dah ngoma hii naiskillizaga kila day ni kali baraa #millardgalaxy

  • @biddii1972
    @biddii1972 2 роки тому

    Uyu jamaa angepata meneja kama wa mondi sijui kama angeshikika

  • @hassanirashidi1906
    @hassanirashidi1906 3 роки тому

    Kuna wasanii wanajua sana .kinachosumbua tz ni utim tu

  • @mikegifted6036
    @mikegifted6036 Рік тому

    Noka sana bro

  • @moh2806
    @moh2806 3 роки тому

    Nomasana leo nikutamu kabisa

  • @ashajuma1563
    @ashajuma1563 3 роки тому

    We mkalii

  • @taslynekeofficial8700
    @taslynekeofficial8700 3 роки тому

    Mkali sana uyu Mwamba @Foby unaniwezesha

  • @jumarenatus6536
    @jumarenatus6536 3 роки тому

    Umetisha songea 1

  • @Richard-qr1uj
    @Richard-qr1uj 3 роки тому +8

    Classified music 🥰🎼🎼

  • @ismailhanya2327
    @ismailhanya2327 5 місяців тому

    Jaman club kunanoga!!!😂😂😂

  • @adamumsimamo5620
    @adamumsimamo5620 3 роки тому

    Foby kaz inaendelea

  • @hopemusictz9353
    @hopemusictz9353 3 роки тому

    Ni nomaaaa

  • @michujahid4627
    @michujahid4627 3 роки тому

    Msanii namba moja Africa

  • @officialbevanne2692
    @officialbevanne2692 3 роки тому +1

    😱💥💥💥💥💥lit kutamu.....

  • @mohamedmkunga3358
    @mohamedmkunga3358 3 роки тому

    Katoto Cha mama samia 🙏

  • @floriankahinga4727
    @floriankahinga4727 3 роки тому

    Duh Mimi baba Samia mzee baba umetsha

  • @juhudjabir3336
    @juhudjabir3336 3 роки тому

    Mtuu mbadii

  • @jewerlyjpemba1203
    @jewerlyjpemba1203 3 роки тому

    Jewerly mm hii ngoma inanshawishi kutinga club🙈

  • @linahkalist4211
    @linahkalist4211 3 роки тому

    Ngoma kali sana foby kaza baba unajua

  • @kebovoice4978
    @kebovoice4978 2 роки тому

    Foby naelewa Sana talent yako kaka💯

  • @jonassalum2247
    @jonassalum2247 3 роки тому

    Bingwaaaa

  • @faxmusic8567
    @faxmusic8567 3 роки тому

    Mwanangu uliyumba... Hela yangu ndo uianzurumu au sio??
    Tutaja kutana mwanangu..
    Dunia duara

  • @jonassalum2247
    @jonassalum2247 3 роки тому

    Hunabaya kaka

  • @emanuelmbaga689
    @emanuelmbaga689 3 роки тому

    We jamaa unaupga mwing sana

  • @kaayakitomary1233
    @kaayakitomary1233 3 роки тому

    Nenda wasafi mkali.

  • @jumajuma5147
    @jumajuma5147 3 роки тому

    Huyu jamaa Ngoma yake ya kwanza nilishamtabiria atakuja kufanya revolution ya game🎉🎉

  • @therealevah7775
    @therealevah7775 3 роки тому

    Safiiiiii

  • @rayvanlimo4928
    @rayvanlimo4928 3 роки тому

    Unyamaa sana kaka.. Fobyyyyyyyy kwanza idea tofaut kabisa mzee wangu KUBWA hii

  • @damianmwaki792
    @damianmwaki792 3 роки тому

    Oooi hili goma sio poa mzeh lamotoooo👏👏👏

  • @alexcharles7599
    @alexcharles7599 3 роки тому

    Ngoma kali blood

  • @masoudbakar3376
    @masoudbakar3376 3 роки тому +1

    Kitu kipo hot

  • @yubumpeta4635
    @yubumpeta4635 3 роки тому

    Ume tisha foby

  • @hassanirashidi1906
    @hassanirashidi1906 3 роки тому

    Noma sana mzee

  • @nadianady877
    @nadianady877 3 роки тому +1

    Japo Mtu wa Kwanya ia club Mara moja moja siyo Mbaya ,Like kama umependa nilipopenda ❣❣💜

  • @FabianBwakila
    @FabianBwakila 3 роки тому

    ngoma kali sanaaaaa

  • @barakaponda3745
    @barakaponda3745 3 роки тому

    Bg shallot my brother ngoni boy

  • @williammasawe1550
    @williammasawe1550 3 роки тому

    Unajua sana ww

  • @masheyn
    @masheyn 3 роки тому

    Foby💥💥💥💥

  • @shaymahnassor5325
    @shaymahnassor5325 2 роки тому +1

    My all time fav musician 🥰 keep moving.....one day yes

  • @neyheartofficial1862
    @neyheartofficial1862 3 роки тому

    Jmnii ngomaa kwnyee bufaa tamuu sanaaa nouma unajua broo keep it up my boo

  • @ashajuma1563
    @ashajuma1563 3 роки тому

    Unajua sana

  • @barakasanga1900
    @barakasanga1900 2 роки тому

    Kaka nakukubali sana unaimba

  • @ashajuma1563
    @ashajuma1563 3 роки тому

    Noma snaaaaa

  • @samkissay4334
    @samkissay4334 3 роки тому

    My favorite big up mzee baba ngom kali

  • @andrewmalekela3577
    @andrewmalekela3577 3 роки тому

    Ngomah Kali mzeeyah