Foby - Muda (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 574

  • @eddovanny2553
    @eddovanny2553 2 роки тому +4

    Kila nikiingia UA-cam lazma niangalie hii video 🙌🙌braza umeimba Sana Hapa

  • @janeruge4905
    @janeruge4905 2 роки тому +1

    😷😢😢😢😢😭😭😭 unaondoka sawaaaaa ila roho yangu umeishika wewe kipenzi

  • @masheyn
    @masheyn 2 роки тому +5

    Kilasiku tumsuport huyu msanii foby ni msanii anae jituma sana 😥

  • @abbyvanny
    @abbyvanny 2 роки тому +2

    Mapenzi yanahitaji muda bwana

  • @shailamohammad3619
    @shailamohammad3619 Рік тому +1

    😭😭😭huu wimbo wangu kabisa

  • @Waya_tz
    @Waya_tz 2 роки тому +2

    Foby ni mwanetu mnajuwa

  • @STARBORNHB
    @STARBORNHB 2 місяці тому +2

    NGOMA YANGU PENDWA NIMELUDI TENA 10-10-2024
    UKILUDI GONGA
    LIKE TUJUANE

  • @paulonjozi1638
    @paulonjozi1638 2 роки тому +3

    Adileo ma director wabongo hawawez tengeneza ajali

  • @irenebayo8860
    @irenebayo8860 Рік тому +4

    ❣️❣️❣️🥰🥰🥰 interesting 🤔 keep it up

  • @kazoumareeeyuusuph3919
    @kazoumareeeyuusuph3919 2 роки тому

    Wadau sjuw wanafel wap kuwasappt wasanii kama akna fobby hii ndo bongo flouver

  • @danchibohassandanchibo1550
    @danchibohassandanchibo1550 2 роки тому

    Akukubal Sana kak angu japo kuwa saiz umetukataa wanatunduru tuliokusarport

  • @Johmadinitz
    @Johmadinitz 2 роки тому +2

    😭😭😭Duh aisee foby unajua sema kama nyimbo nzuri watu hawaongei wanajifanya kama hawaoni vile

  • @isayakayombo3717
    @isayakayombo3717 2 роки тому +1

    Kazi nzuri wakunyumba

  • @sharkboymusictz8972
    @sharkboymusictz8972 2 роки тому +8

    Official foby nyota wa tanzania 🇹🇿na nnch zingine wew ni mkali sanaaaaaa brother

  • @kingshira6017
    @kingshira6017 2 роки тому +1

    Ngoma Kari

  • @fedrickritte9549
    @fedrickritte9549 2 роки тому +3

    Mmebaki wachache sana wanamuziki wa hivi. Kaz nzuri

  • @marboycmg2542
    @marboycmg2542 2 роки тому +8

    Muda utaongea japo hamna saa yenye mdomo..This song made my weekend🔥🔥🔥

  • @michaelduke1631
    @michaelduke1631 2 роки тому +15

    This song deserves to be number 1 on trending 💥💥💥💥💥💥🗺🗺

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 2 роки тому +2

    unatisha kinomanoma nimeset reminder on eeh bhana ee ikifka hyo saa4 ni shdaaa

  • @balanciaga6004
    @balanciaga6004 2 роки тому +1

    Foby nimsanii mkubwa namkubali

  • @footballtanzania2860
    @footballtanzania2860 2 роки тому +8

    Never give up foby you are talented 🎧

  • @HatiMoTown
    @HatiMoTown 2 роки тому +2

    haha mzee baba embu ngoja kwanza nikilizie ita ifunika ode

  • @madpusher2036
    @madpusher2036 2 роки тому +10

    The father of song writers in Africa 🎵🎵🔞

  • @janinehundt9236
    @janinehundt9236 2 роки тому +18

    ⭐🇨🇭Superstar🇩🇪⭐ Einer der besten Musiker aus Tansania, wenn nicht aus ganz Afrika! Ich liebe seine Musik und bin mir sicher das ihn eines Tages die ganze Welt kennen wird👍🏼🌍 mach weiter so mein Foby!

  • @lavixkenny5089
    @lavixkenny5089 2 роки тому +2

    goma la kwenda.....added a subscription
    let's make it to trending

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +1

    Dahhh foby umenyonga kwa kuimba uhalisia

  • @bahatimadembwe3923
    @bahatimadembwe3923 2 роки тому +1

    Manyimbo matamu kama haya sijui kwanini hayapenyi ⚠

  • @serramonteregalo110k
    @serramonteregalo110k 2 роки тому +29

    Man I swear to God this song deserve more than 10k for sure !!! It's very nice ,God help this guy to hit more and more thousands views to the M beyond

  • @saidiamiriy7498
    @saidiamiriy7498 2 роки тому

    Kaka unaweza

  • @fadhilikangusi
    @fadhilikangusi 2 роки тому +12

    Good music is alive within.

  • @benytv7538
    @benytv7538 2 роки тому +17

    That's a meaning of bongo flavor,,,,fobby on 🔝

  • @Waya_tz
    @Waya_tz 2 роки тому +3

    TEAM KIBA MKO WAAAPIII

  • @ogissa8320
    @ogissa8320 2 роки тому +3

    Aiseee kweny ile EP hii ndio ngma yngu inayonigusa salute foby

  • @masheyn
    @masheyn 2 роки тому +1

    Foby mtu mkubwa sana aise bado kidogo kaka dunia ina simama

  • @lanistertz2275
    @lanistertz2275 2 роки тому +6

    This song means alot,most of us we busy 24>7 and end up losing the people we luv most 👍

  • @ngoshazedon4085
    @ngoshazedon4085 2 роки тому +2

    Yes hujawahi kukosea fundi wa muziki🔥🔥

  • @ZpLastborn
    @ZpLastborn 2 місяці тому

    Sema ndo hakuna ma dokta wa upendo wapime ujue

  • @HatiMoTown
    @HatiMoTown 2 роки тому +1

    kwelii nimekubali mzee baba yana itaji muda Fobyyyyyyy

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому

    Foby and b2k should do collaboration

  • @nadianady877
    @nadianady877 2 роки тому +2

    😭😭😭😭 This song makes me crying 😢😭

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 2 роки тому +3

    Daaaaah super song blood❤❤

  • @BillHunter-Musician
    @BillHunter-Musician 7 днів тому

    Ngoma ya kusikiliza kabisa hii yan

  • @matipasyaname874
    @matipasyaname874 2 роки тому +1

    Om boy💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @fatumaoabubakar25
    @fatumaoabubakar25 2 роки тому +3

    brother weeee nazidi kuzama kwenye bongo fleva dah upo on🔥🔥🔥

  • @diavondvond_boy1495
    @diavondvond_boy1495 2 роки тому +1

    💣💣💣

  • @cindymuller4386
    @cindymuller4386 2 роки тому +5

    Foby Superstar 👑 great Video!

  • @vosetoleswaggy523
    @vosetoleswaggy523 2 роки тому +4

    Uzima upo fobby;umeondoka sawaaa

  • @kashindijohn5145
    @kashindijohn5145 2 роки тому +2

    Absolutely this song is full of messages, a salute the artist, you really deserve millions of views man, HONGERA SANA KAKA HII NI KAZI NZURI SANA KABISA BROTHER.🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @jastinimushi5992
    @jastinimushi5992 2 роки тому

    Ngoma kalii jamani sio zile za wenztu wabongo vitu vya kutoa sappot ndio hv

  • @michaelduke1631
    @michaelduke1631 2 роки тому +4

    This man is so talented

  • @shadrackmwanakatwe5983
    @shadrackmwanakatwe5983 2 роки тому +4

    Foby your the best artist in our country, keep it up brother

  • @ruhagajohn2312
    @ruhagajohn2312 2 роки тому +1

    kali san iyo broo

  • @saidihaibe2375
    @saidihaibe2375 2 роки тому

    Vizur foby ila kunajamaaa anaitwa saphire yuko apo tunduru umefanananae sanaaaaaa ongerakk duuuuuh duniani wawili wawili

  • @faithaction2505
    @faithaction2505 2 роки тому

    Uyu Jamaa anajua sema kwa saiv kama ameingiwa na dharau flan Iv ila anajua tena sana yan sana

  • @nicokimario3791
    @nicokimario3791 2 роки тому

    Kinachonisikitisha ni kuwa wabongo hawaskilizi muziki mzuri, Dulla anasemaga bongo ukiimba sana watu wanakupishaa. Hongera broo wapo wachache wanaojua muziki mzuri

  • @Vanosfilm
    @Vanosfilm 2 роки тому +3

    Foooooooooby

  • @hezronhaule297
    @hezronhaule297 2 роки тому +8

    Duuuuuh..... Feelingz On Point Foby... U Kill It Ma G✅✅✅

  • @elisharaphael7529
    @elisharaphael7529 2 роки тому

    Ila huyu jamaa ni mwandishi mzuri sana,nyimbo zake zote nazickilizaga kuna uandishi uliotukuka ndani

  • @blackboe6436
    @blackboe6436 2 роки тому +5

    SUPER STAR

  • @kingshira6017
    @kingshira6017 2 роки тому +1

    Kariiii

  • @fadybeatz
    @fadybeatz 2 роки тому +2

    foby wewe ni 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shishichocolate140
    @shishichocolate140 2 роки тому

    foby hii ngoma kali sana,huwez ilinganisha na mwaka wang ya harmonize....

  • @keyzbowy4852
    @keyzbowy4852 2 роки тому +1

    big up my brother

  • @martinclassic7595
    @martinclassic7595 2 роки тому +1

    Duh my brother ngoma hii inagusa moyo 🙏🙏🙏💔💔💔💔💔💔💔

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 2 роки тому

    Ntashangaa sana huu wimbo UsipoTrend Coz nimesikiliza zaid ya mara 20 Song Original

  • @lawidaleche9662
    @lawidaleche9662 2 роки тому +1

    Unakipaji sana bro zidisha bidii

  • @bashirmhando5070
    @bashirmhando5070 2 роки тому +2

    noma san foby kazi nzur 🎻🎺❤️☝️💪✈️🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kabundakasambi3903
    @kabundakasambi3903 2 роки тому

    Muda ni ngoma Kali zana kaka Ila media zinakubania we unajua ata wabane vp mashabiki zako tunazitambua Kaz Yako

  • @moudrickmouh3569
    @moudrickmouh3569 2 роки тому

    Let me be ur fan..from today
    Umeandika✌️

  • @Vanosfilm
    @Vanosfilm 2 роки тому +1

    Foooooooooby kazi Kaz kali

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 2 роки тому

    That's song I can't talk any more😥😪

  • @gtunewaves2867
    @gtunewaves2867 2 роки тому

    nyimbo kali sana wimbo mzuri beat kali sana ina maadhi ya nyumbani kabisa

  • @samuelhokororo2690
    @samuelhokororo2690 Рік тому

    Southern finest❤

  • @ZpLastborn
    @ZpLastborn 2 місяці тому

    Imenitoa machozi hii nyimbo so emotional broh

  • @hermanmtunguja7902
    @hermanmtunguja7902 2 роки тому +1

    Big up

  • @iddysamag1547
    @iddysamag1547 2 роки тому

    Ngoma Kali Sana Dah Imenigusa Hadi Kwenye Moyo

  • @ezrathedj
    @ezrathedj 2 роки тому +1

    First one to watch

  • @2boyzkenya
    @2boyzkenya 2 роки тому

    Kenya is watching 🔥

  • @kingshira6017
    @kingshira6017 2 роки тому +1

    Tuondokeeee

  • @princeali8584
    @princeali8584 2 роки тому +1

    classic song bro

  • @emmanuelsagire9961
    @emmanuelsagire9961 2 роки тому +3

    U got potential man ,u r supposed to b in the mainstream

  • @marefuclassic8911
    @marefuclassic8911 2 роки тому

    Duuh fundi hatar....

  • @MwashaMkumba
    @MwashaMkumba Рік тому

    Jamani wimbo huu hamjui unenigusa vipi

  • @realpupanene
    @realpupanene 2 роки тому +2

    Kweli yanahitaji #Muda 🙌🏽 Picha inahuzunisha 😥

  • @emmanuelbanda9964
    @emmanuelbanda9964 2 роки тому

    I like this song from Zambia

  • @arafatsanj1287
    @arafatsanj1287 2 роки тому

    Sikutegemea kabisa tangu ile ya mimi ni star nikajua ndo umemaliza maana ulikuwa kimya ila huu mshindo ni mkuu sana bro

  • @TheAcidRay
    @TheAcidRay 2 роки тому +2

    Bro good music confirmed from 254,The song is 🔥🔥🔥

  • @kabundakasambi3903
    @kabundakasambi3903 2 роки тому

    Hii ngoma Kali sana imeteka hisia za watu weng I sana... Foby unatuliaza

  • @madopluttv5373
    @madopluttv5373 Рік тому +1

    Unyama

  • @abdallahmussa2676
    @abdallahmussa2676 2 роки тому

    Hee hiyo kwel bonge LA ajali hadi kiatu kuvulika

  • @jumaamwavuguto5819
    @jumaamwavuguto5819 2 роки тому +1

    Nice song

  • @kingmadev
    @kingmadev 2 роки тому

    Really good , many relation separate because kila mmoja hana time na mwenzake

  • @eddykingkaka
    @eddykingkaka 4 місяці тому

    Iii nyimbo ilinitoa machoz dh watisha sana

  • @youngbeeofficial4474
    @youngbeeofficial4474 2 роки тому +4

    Here in Kenya we love you

  • @agathaluka3509
    @agathaluka3509 2 роки тому

    Kila mara naingalia asee dah💥💥✌

  • @HatiMoTown
    @HatiMoTown 2 роки тому

    Foby ingoma Taratibu wana zid elewa

  • @ommyblessed6609
    @ommyblessed6609 2 роки тому

    Mwamba anaimba sanaaaaaaaaaaaaa🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨🧨

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 роки тому +1

    Talented

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 2 роки тому +2

    Kazi nzuri my mate big up ur self seed from Ruhuwiko high school songea town 👏👏👏💃

  • @tonybyser7961
    @tonybyser7961 2 роки тому +2

    FOOOBY 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽