Awwww 💜💜💜 Thanks for Watching WIVU Video 🌍 💦🔥 Nawapenda sana, Enjoy Good Music #Wivu #MauaSama #Aslay Keep on Streaming/Download smartklix.com/smartlink/?id=e28d168b&c=y
Kazi nzuri sauti zenye kusisimua na nikazi inayogusa maisha yetu hasa katika mahusiano na ndoa pia hai hoshi kusikiliza na waweza sikiliza hata nawazee watoto kwasababu haikupotosha kimaadili ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kuna ufundi mwingi sana kwenye hii ngoma. Too much classy. Itakuwa ngoma yangu bora 2021. Cha kushangaza ni Hao watu wenye wivu wanaiblock sijui kwanini yani mpaka sahvi video Ina views 70k which is not real and unfair
Every time I play this song I have to replay at least two or three times.. amazing raw and real talent from two of my favourite artists.. love you guys.. and thank you.. this song just makes me smile with joy all the time.. keep it up 👊🏿👊🏿❤❤🇰🇪🇰🇪👍🏾👍🏾👌🏾👌🏾
I Love Aslays songs ..why?: his voice is fantastic ...professional reason : He chose his words carefully . How ?: all his songs make sense. In which ways?: his songs speaks the presents and the past relationship. finally his songs brings hopes for a broken heart. Big up my brother ASLEY YOU ARE THE YOUNG LEGENDARY...shouts out all the way from Kenya. I salute you.
Wanajua tunavyopendana,mi nawe wanaona wivu,, tunavyopendana 😭😭😭😭😭 This song got me in my feelings,,it's so therapeutic,,their beautiful voices,,the music style just takes you to a different universe...l can't get enough of it
Yaan miaka yote toka hii nyimbo itoke leo ndo najua wale wakaka wote wanaopiga vyombo nyuma apo ni aslay mwenyewe😩😩 Ila when you’re high unakuwa unaangalia kitu in details
Nakukubal sn aslay mwaaaaaaah
Awwww 💜💜💜 Thanks for Watching WIVU Video 🌍 💦🔥 Nawapenda sana, Enjoy Good Music
#Wivu #MauaSama #Aslay Keep on Streaming/Download smartklix.com/smartlink/?id=e28d168b&c=y
Love you too baby M.A.U.A SAMA❣️❣️
You kill it $ama
OK ok sama pamoja
Good vibes sama
Nice
Jamani toka mwezi wapili sijapata like 🙈🙈🙈 like za kibabu hapa Dingi mtoto🤣🤣🤣💥
😂😂😂
😂😂😂🎉
Team mauwa sama tujuane kwa like hapa.💥💥
Piga mzigo asry
Ioooò⁹⁰uuhj2uiioolp
Ļķĺþŕ²½²⁴⁴¾⁴⁵⁶⁷⁵⁶⁷⁸⁹⁰hhhhjjjjjkmkkm
Ikjjjhyy and łjķ
Wale tunaoanglia 2024 tujuane Kwa like
Yaan me ndo naiskia leo 😅
Miss you
From UGANDA 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
I Love maua music
Mnipe ulike kidogo hapa
Nze Aslay
@@halimahalima8785
Hy doing today
@@ramarkayug8534 I'm greatly
@@halimahalima8785
Natoka Mta gani
Tujuane ama vip
I can't get enough of this song. It should win some music award already!!! Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naipenda huu winbo sana
Tulio rudia tena na tena tujuane
Wengi sana yani
@@mariecelestin3757 this one is 🔥
@@juliuskamau117 yeah dear I like 🥰
Tupo
Hili ligoma sijui natamani naeza kulike mara 100❤️aslay mungu amuongoze sana na sana jmni
Nice
Mbna hamuoneshi love kwa team aslay n maua 1month bado views 150k nvepee
Nyimbo nzur sana wamekutana wasanii wanaoimba sauti ya moyoni ,,,inachimba hisia za moyo waoooo what song is this? Congratulations
Wivu
Wimbo mzuri
@@asyamgeni9819 wivu ua-cam.com/video/AtUbtKzREsQ/v-deo.html
Inasikika kwa moyo
Nice sana naipenda sana
Kazi nzuri sauti zenye kusisimua na nikazi inayogusa maisha yetu hasa katika mahusiano na ndoa pia hai hoshi kusikiliza na waweza sikiliza hata nawazee watoto kwasababu haikupotosha kimaadili ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaani maua kafanya kama mimi.... Cjui napataga wapi ujasir wa kucheka mtu akinitishia kunipiga
Wa TANZANIA nyimbo nzuri kama hamuzioni hii nyimbo ina hadhi ya kuwa no 1 on trending factable aslay we sio poa na maua
Aslay in on another level
Kuna ufundi mwingi sana kwenye hii ngoma. Too much classy. Itakuwa ngoma yangu bora 2021. Cha kushangaza ni Hao watu wenye wivu wanaiblock sijui kwanini yani mpaka sahvi video Ina views 70k which is not real and unfair
How is it blocked
Mh
Aslay nakupenda sana
Every time I play this song I have to replay at least two or three times.. amazing raw and real talent from two of my favourite artists.. love you guys.. and thank you.. this song just makes me smile with joy all the time.. keep it up 👊🏿👊🏿❤❤🇰🇪🇰🇪👍🏾👍🏾👌🏾👌🏾
Eee bwana ee bonge moja LA nyimbo salut kwenu naomba like hapo chini
Yani sauti ya mausama mbona tamu kushinda ya Zuchu💞💞💞💞
nakubali hilo
Nyie konde boy hajui kitu kwa aslay
Kama unakubaliana na mim weka like za mausama na aslay
Nandi atasubur kidogo👏👏👏
Khadija kimanu manu🤣🤣🤣🤣🤣🤣au nimesikia vby mimi jamn
I Love Aslays songs ..why?: his voice is fantastic ...professional reason : He chose his words carefully . How ?: all his songs make sense. In which ways?: his songs speaks the presents and the past relationship. finally his songs brings hopes for a broken heart. Big up my brother ASLEY YOU ARE THE YOUNG LEGENDARY...shouts out all the way from Kenya. I salute you.
🤣🤣🤣
Wow man umetisha 👏🏼🙌
@@fatumamalimau7343 ua-cam.com/video/AtUbtKzREsQ/v-deo.html
Very true dear he has a voice of gold n he can make a live band at the same time
Aaawww...Aslay's voice ....the best collaboration....
Nyimbo Zur,
Kwawimbo huu jamani naombeni like zenu
Hii nyimbo nikali sana
singers
MAUA SAMA X ASLAY
mtu wa drum
ASLAY
piano
MAUA SAMA
back vocalists
MAUA SAMA X ASLAY
🔥🔥🔥🔥
Every time I hear this song it`s like it`s the first time. The chemistry between them is electric.
Mungu awjaalie watoto wangu wote mmeimba vyema.
Mafundi wawili kwenye track moja
Aslay nice 1
👌👌🇧🇮🇧🇮🇧🇮From Burundi love you ❤️❤️Aslay
katoto
My bby ma Annie💔💔💔💔💔💔💔 naskia mara elfu ndo ujue tu wanatuonea wivu
Wanajua tunavyopendana,mi nawe wanaona wivu,, tunavyopendana 😭😭😭😭😭
This song got me in my feelings,,it's so therapeutic,,their beautiful voices,,the music style just takes you to a different universe...l can't get enough of it
🎼🎼
Aslay is highly underrated, pure talent.
Kichupa hichi bhana
Instrumental 🎶 on another level.
Mistari sauti laini
🇰🇪🇰🇪iko 💓
Best song I've had so far, since longtime Why lie.
ua-cam.com/video/AtUbtKzREsQ/v-deo.html
Aslay
Dammm kaliii my favorite
this song supposed to get millions viewers
Aslay ..feel loved from Kenya ..nyimbo zako dawa kwangu 💞💞💞💞
Wale wa funga mwaka 2024 weka like ❤
Niliipenda hii Aslay ,,
mafundi mnajua alafu manajua sana🔥..hii ngoma na Nusu 🙌 Good Music mpaka WIVU ❤
Nice
Ngoma tamuuuuuuuuu
Mko vizur
Песня огонь.🔥 Исполнение супер. 🌷🌹🌷Огромное спасибо.❤ Однозначно лайк.👍
Tikirinya
Wivu ni mbaya
@@jerryjoseph9695 Amesifia
Anasema moto wa wimbo ni mzuri utendaji Bora Sanaa
Asante Sanaa hakika like
Kwahiyo umemuelewa vibaya ila Amesifia 🙏
This song deserves millions of views 🥺 it's my favorite. Love from 254🇰🇪
Nikingal nasubir nion kam kuna ngoma itakuj kuangush hiy song katik huy mwaka #Voice100%,Lyrics100%,video100%,beat100%
Fundiiiii! Kila Baby Piga Kelele eee
Woyoooooooooooo!
Aslay the future king of bongo flava
More like current king
I can't get tired of this song,i watch it everyday
Aslay sauuuti jamaaaani 👑🇨🇩🇨🇩 aslay wewe ndo king wa Bongo flava 🇨🇩🇨🇩😘👑👑
Bonge la nyimbo!! Bonge la video!! Maua anajua asee 🔥🔥🔥
Goma la moto 🔥🔥🔥🔥
Woiww I really love it..I wish my bby b....askiee....u left me coz of them😢
Kwa sababu yao hun
....bt I'll always lv u ma annie
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤦🤦🤦😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Yaan miaka yote toka hii nyimbo itoke leo ndo najua wale wakaka wote wanaopiga vyombo nyuma apo ni aslay mwenyewe😩😩
Ila when you’re high unakuwa unaangalia kitu in details
Wow, a challenge maybe to Kassim Mganga. Amazing song bingo Maua and Aslay
I have same views in love kassim mganga my daughter loves aslay
@@habibadula7775 Kassim Mganga though is best transforming love songs. I love that guy is old and good. Your daughter is amazing 😂😂😂😂😂😂😂😂
@@aminnyanjil1470 thanks big
@@habibadula7775 pppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
Aslay ndo msani pekee anaefanya ni fuatilie bongo flavor, big up saana🔥🔥🔥
I feel thus song deep in me, But why are you becoming mean of views, Wah, Ebu watu wenye roho safi wagonge cheers😎
bado cjacelewa ngoma tamm jomoni like Kama unackiza asaiv tuwe tutavyopendana
Mbona hii nyimbo haipati views za kuridhisha ( this is fantastic song
naipenda mbaya
Anaye juwa Aslay ni mkali👌👏🔥
I'm in love with the instrumental, ladha tamuu tupu. Big up wahusika
Director amefanya vizuri sana
Bonge la chupa
Yamoooto🔥🔥🔥
Dada mauwa I wish hata ningepata nafasi nikupe hongera nikiwa nakuona maana nimerudia lakn hauishi radha
wallah mtunzi ni marioo
Daaaaah sio poa nyimb ipo ad leo ap
Kama unasoma comment huku unasikiliza song gonga like kwa ASLAY wakeee
This song gives me goosebumps. Team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good music Maua and new king Aslay tunajivuniwa uwepo wenu na kazi zenu big up 🔥🔥🔥🚀🚀
Hii Ngoma kiboko🔥🔥🔥✍️🥰🥰
Walitaka kuizima ila wambie bado mungu anatupambania ngoma kali sanaaaaaaa
Nani
Mus 💃💃 mus ee kizouk flani ivi 💃💃
Good music from my Tanzania favorite music producer Abydady
Abydaddy blessed this track! He nailed it 👌
Who is here today? One of my favorite song ❤️❤️❤️🔥🔥🔥
Waooo beautiful song 😍😍 beautiful voice # they killed it 🔥🔥🔥🔥
Maua Na Isihaka ni wanamziki wanaoishi kawaida hamna maringo wala nini Big ups sana hili goma linachezeka mgodini hadi kwenye ndege
Poleni mnaoona wivu #wivu ni💥💥💥💥 like zenu hapa kama mmeikubali hi track
Goma Kali sana.
Nimecheka xana😃😃😀😀😀😋
Uwe na mm tu ndani 💜💜💜💜💜
this song deserves more views than this🤩who agrees with me
Nyimbo ya kuchukulia mke hii 🔥🔥🔥WIVU
tafuta😂 utapata❤
Hawa viumbe hawajawahi kuniangusha... Bonge la 🎵 song... Hongereni wakubwa
wakimbize sana dada
Aslay we are back tunawashinda Kwa game zao🔥🔥🔥🔥
aww in l;ove with maua sama and aslay more loooooooooovvvvvveeeeeeeee
Hii nyimbo ni tamu sana❤hakuna makelele km nyimbo zingine
Their voices are soooo amazing 👏 #maua sama & aslay🥰🥰
Haswaaa😘
TOP kali
Hii nyimbo ilifichwa sasaiv tunaiona vizuri sana maua pambana dadangu tunakupenda wewe
Kazi kuntu
Maua Sama 🔥🔥🔥😍
imerudiiiiiiiiiiiiiiiii asante kwa ngoma nzuri
Umeweza aslay umekubalika 001 kisauni big up bro
Wao!!! Muko vzr wote jaman mashaallah nawapend buree jaman❤️❤️❤️
Aslay fundi🙌🙌
Aslayy ❤️❤️❤️
nimecheka hapo mwanzo et maua ntakuzama