Polisi jijini Nakuru wazuilia washukiwa watatu wa uhalifu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 чер 2023
  • Vita dhidi ya magenge ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiwahangaisha wenyeji wa Nakuru kwa muda sasa huku maafisa wa usalama katika eneo la Kaptembwa wakimkata mshukiwa anayeaminika kuwa kiongozi wa genge moja la uhalifu eneo hilo. Kiongozi huyu akiwa miongoni mwa wengine wawili waliokamatwa katika operesheni ya usalama. Evans Asiba anaungana nasi kutoka kituo cha polisi cha Kaptembwa ambako watatu hao wanazuiliwa

КОМЕНТАРІ • 5

  • @mikedaniels1922
    @mikedaniels1922 11 місяців тому +2

    mwana Habari ajikakamua kwa kiswahili keeping in mind our men and women in uniform normally struggle with English while being interviewed only for the commander to stick in fluent English 😂😂💪

  • @nashonogwari6551
    @nashonogwari6551 10 місяців тому

    Very fluent English Commander,keep it up sir

  • @IamJemoh
    @IamJemoh 11 місяців тому

    This commander has a good command in the Queen's language 🙏🙏💪💪

  • @felixmajay
    @felixmajay 11 місяців тому

    iyoo kizunguu weeee😀😀😀😀polisi ongeatu kiswahili...prolem nincoti...wanaachiliwa na kuna evidence...

  • @stefanogizzler
    @stefanogizzler 11 місяців тому +1

    The biggest problem is arresting them and the courts release them on bond back into the society, Lock Them Up for good and melt the keys.