Kizaazaa mjini Nakuru baada ya maiti kupelekwa kwenye duka ya mtu aliye na deni la marehemu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лют 2023
  • Kizaazaa kimezuka katika kijiji cha Bondeni kaunti ya Nakuru ambapo familia ya jamaa mmoja mwenye umri wa miaka sitini imepeleka mwili wa marehemu hadi kwenye duka moja la jamaa anayedaiwa shilingi laki nne na marehemu.

КОМЕНТАРІ • 240