Familia Siaya inamtafuta Irene Apondi aliyezama mtoni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 тра 2024
  • Familia moja kaunti ya Siaya bado inamtafuta jamaa yao aliyezama kwenye mto Nzoia siku 17 zilizopita. Familia ya Marehemu irene Apondi imekuwa ikipiga kambi kwenye kingo za mto huo kwa juhudi za kuutafuta maiti ya mama huyo aliyezama mtoni lakini Juhudi hizi zitatizwa na kiwango kikubwa cha maji kwenye mto huo

КОМЕНТАРІ • 4