Polisi wadaiwa kuwatesa watu watatu waliokamatwa Lamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лют 2020
  • Watatu hao walikamatwa na kuhusishwa na mauaji ya Chifu

КОМЕНТАРІ • 150

  • @abduswamadmohamed6172
    @abduswamadmohamed6172 4 роки тому +23

    These kind of acts are always done on innocent people without following the right laws..

    • @worldnews686
      @worldnews686 4 роки тому

      Ndugu yangu sunipige subscribe

  • @farhiaenow7035
    @farhiaenow7035 4 роки тому +4

    Walikupea elfu saba awa ni wazuri sanaa ,shukuru Allah uko salama

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 роки тому +9

    Poleni Ila ni bora munge wafunika sura Kwa usalama wao cause hujuwi the next movie it will be....

  • @simansheikh7670
    @simansheikh7670 4 роки тому +2

    Washukuru.mungu.kama.wamee.wa.cilewa.huru

  • @kimkim8808
    @kimkim8808 4 роки тому +7

    Nafikiria walipelekwa nyayo house, wanakula wanajipaka manukato pesa wanapewa kuteswa AMA holiday🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AhmedAli-jm5yu
    @AhmedAli-jm5yu 4 роки тому +2

    Aaha at least nimesikia vizuri the police were very good and decent

  • @mohamedabdalla1836
    @mohamedabdalla1836 4 роки тому +2

    And why is it done on only Muslims ..... Kenya haina haki na usawa

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому

    Poleni sana mungu awape subra amiin

  • @ryjalimohaa5386
    @ryjalimohaa5386 4 роки тому +3

    Serekali waseme ukweli kuna na wengine watatu mpaka leo hawajajulikana walipo

  • @jacklinenatasha9207
    @jacklinenatasha9207 Рік тому

    Nauliza hio n kuteswa huyu jama ako confused kama mm

  • @aminakassim7149
    @aminakassim7149 4 роки тому +5

    Anyway basi hukuteswa wewe...shukuru mungu wapewa kula nguo walala wajipaka manukato na ukapewa na pesa zakwenda home shukuru sana

    • @worldnews686
      @worldnews686 4 роки тому +1

      Amina nisaidie na subscribe

    • @lmashua
      @lmashua 4 роки тому

      Amina Kassim Nakubaliana nawe

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +1

    Jamani enyi polisi chunguzeni uhalifu ufanywao kwa kina sio kuchukua watu wasio na hatia na nitehemeo la familia mkawaeke tu jamaa zao zikiwa na mitaharumi Tuweni na IMANI kwani hata hiyo Imani imezungumziwa katika vita vya dini 😭😭😭😭😭

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 роки тому +8

    MAPOLISI WAMESHINDWA NA ALSHABAB WANASHIKA WAKENYA AMBAO HAWANA HATIA WAJINGA WAO

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 Рік тому

    Labdamlikuwashakahola

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 Рік тому

    Mbona hao polic washikwe kama makenzi

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 4 роки тому +1

    Unapaka manukato mmmhh ndiomateso hayo bwege weee

  • @stevmwanamilongo5375
    @stevmwanamilongo5375 Рік тому

    Hao sio polisi

  • @janewangaringoiya5704
    @janewangaringoiya5704 4 роки тому

    Glory b to god coz walirudi wazima.penda hawa police.

  • @johnluck1610
    @johnluck1610 4 роки тому +1

    LAMU siyo kenya twafa kuji gawa tutoka wa washenzi kenya.

  • @aishaabdulrahman6995
    @aishaabdulrahman6995 4 роки тому +1

    Nani ameskia alikua hana freeee dome 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ericmonax5666
    @ericmonax5666 4 роки тому

    Noma

  • @murimikaburu1376
    @murimikaburu1376 2 роки тому

    hakuna mateso hapa!!!

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 4 роки тому

    Kwelikabisa jama Kenya hii watu wataonga kuja kenya hata wa tali duh😳😳🤲🤲🤲

  • @gideonmoisari2117
    @gideonmoisari2117 2 роки тому

    Kuhusu kitambaa hii watu wanaongea uongo tupu

  • @mohatito830
    @mohatito830 4 роки тому +1

    Mateso Gani Haya 😂

  • @abdulkadirnagib9639
    @abdulkadirnagib9639 4 роки тому +1

    Haki africa thank you

  • @oppsinlyf
    @oppsinlyf 4 роки тому +5

    Citizen ushenzi itawaua. Walioshikwa hawajasema waliteswa kwa njia yoyote. Labda walikuwa wamesetiwa lakini walipochunguzwa ikawa hawana hatia yoyote

  • @daprince7545
    @daprince7545 4 роки тому +1

    Ndio sirudi Kenya

  • @peninahruth2870
    @peninahruth2870 4 роки тому

    Mateso nikula tu ....poleni lnki ...kpsaa nikitu yakuogovya ukishikwa nahujui umefanya nini wala nini wanakutakia

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 роки тому

    Sasawalifanyajee kwani mpaka wakafungwa matambara nakupelekwa hukoo jamanii

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 роки тому +2

    Sasa hayo ni mateso jamani mm nilikuwa naona ulikuwa wala kichapo kumbe ulikuwa wala ukilala😅😅😅😅sema kweli

  • @farxanwadani.2433
    @farxanwadani.2433 4 роки тому

    Hongera walinda usalama kwa kazi nzuri.

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 4 роки тому

      Mm naona mko pamoja nao namtakuja kujuta mtajuwa ajui mnapenda pesa Sana mtajuwa amjui yiyi

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda2357 2 роки тому

    Manukato ulitoa wapi

  • @wallacemunywa2507
    @wallacemunywa2507 4 роки тому +5

    Manukato ni nini🤣

  • @aysnbashir1654
    @aysnbashir1654 4 роки тому +1

    i hat them walaahi

  • @boniface3710
    @boniface3710 4 роки тому +1

    Hawa walikua holidsy

  • @joramkimario2666
    @joramkimario2666 4 роки тому

    Unazingua imeteswa wap.yaan had pesa mlipewa na manukato tena.waambie waje kwang tz wanikamate

  • @suheilyakub7667
    @suheilyakub7667 4 роки тому

    Sasa huyu aliteswa ama anawapromote.....huyu jamaa wa HAKI hakutarajia hili gunya litaropoka hivyo 🤣🤣

  • @clarionphilips2556
    @clarionphilips2556 4 роки тому

    Hahahahah kama unakunywa na kukula na kuoga, hio ni.mateso kweli???

  • @ezemothesurgeon.4873
    @ezemothesurgeon.4873 4 роки тому +1

    Anajua SAA mbili na SAA saba unusu kivipi?

  • @mwambaowapwanichannel8572
    @mwambaowapwanichannel8572 4 роки тому

    Wacheni kuropoka ropoka yafaa mujue haya ni maisha ya watu wanaeleza kulingana na masharti walopewa wakati wakiachwa

  • @AaAa-kr9nb
    @AaAa-kr9nb 4 роки тому

    wallah shukuruni sana sana mungu amewaokoa sana sisi juzi kuna watu walitekwa na wakapatikana waliuwawa wallah mungu awalaani kenya imearibika sana

  • @mufush
    @mufush 4 роки тому +2

    Fridom ni nini?huuu ni uwongo mtuuuuuupuuu at naoga hadi kueka manukato? Ambieni watoto mateja Hii Story sio sisi? Pumpavu

  • @marykalei8139
    @marykalei8139 4 роки тому

    Sasa mlikua mumefungwa macho kwanini. Kuna vile mumetuchanganya

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому

      Bora na wewe waje wakufunge macho ndio utajuwa nini

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому

    Uhuru na jeshi lake limenunuliwa na Trump

  • @viviantenai4599
    @viviantenai4599 4 роки тому +1

    Wacheni ujinga tangu lini polisi katoa pesa ampe mfungwa? Hawa ni wenzenyu tu namsipo jihadhari mtabebwa kule Somalia mkijifanya ati polisi amewashika

  • @zanazui
    @zanazui 4 роки тому +1

    Why does someone always try to grab the mic 🤣🤣🤣

    • @companions.610
      @companions.610 4 роки тому

      Yaani that's all you could say about the whole story?

  • @vonstanley
    @vonstanley 4 роки тому +2

    LET THE GOVERNMENT DO ITS WORK....... KAMA MLIKULA MKO SAWA .... WE MUST SUPPORT THE GOVERNMENT SO THAT THEY ARE ABLE TO PROTECT US.

  • @nicholasmbusya6555
    @nicholasmbusya6555 4 роки тому +2

    Nyinyi hamjui kuteswa ni nini,kaa hamkufinywa makende hamstahili kusema mlipitia mateso

  • @clarionphilips2556
    @clarionphilips2556 4 роки тому

    Hao ni polisi wazuri

  • @hamza89945
    @hamza89945 4 роки тому

    Serikali inanyanyasa watu

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 роки тому +4

    Kumbe polisi wanagawa PesA pia, uliangukia wewe

  • @mwambaowapwanichannel8572
    @mwambaowapwanichannel8572 4 роки тому

    Haki Africa kongole tunawapongeza

  • @AhmedAli-jm5yu
    @AhmedAli-jm5yu 4 роки тому

    Msecheze na wanawake zetu hii italeta vita this is wat makes people into TERRORISTs to pay back

  • @Princeofpraise
    @Princeofpraise 4 роки тому +2

    Kwani polisi wa pwani wako na adabu aje? Wah! Nyinyi inaonekana mko Marekani na bado mncomplain? Huku bara polisi hutupaka mafuta kwa mgongo wakitumia bakora na kisha they take every last coin in our pockets. Kuoga wanatwambia tunaweza tumia sweat.

    • @worldnews686
      @worldnews686 4 роки тому

      Joseph sunweke subscribe

    • @kimkim8808
      @kimkim8808 4 роки тому

      Nashangaa hata mimi hata anaoga, anapewa pesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @christinabarasa5515
    @christinabarasa5515 4 роки тому

    For my behalf I thank God because this fellow Kenyans they were brought back while alife without any damage....wacha wawasaidie kwa sababu hayo yalifanywa kinyume na polisi.

    • @missttruth1334
      @missttruth1334 4 роки тому

      Christina Barasa ...ikiwa wamerudi sawa na wazima,basi hapo walikuwa na wapelelezi sio polisi

  • @sophiamacdonald2711
    @sophiamacdonald2711 4 роки тому

    Machachu aki nyinyi

  • @priscakadzo7323
    @priscakadzo7323 4 роки тому +5

    Friridom 🤣🤣

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 4 роки тому +1

    Wameteswa😳😳😳😳

  • @AhmedAli-jm5yu
    @AhmedAli-jm5yu 4 роки тому +1

    At least they didnt beat them up

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 4 роки тому

    This ist crazy😫😫😫

  • @kingpharaoh6981
    @kingpharaoh6981 4 роки тому

    Hilo Jima sumbua u look like suspect

  • @mohammadsalim7879
    @mohammadsalim7879 4 роки тому +1

    Sasa hiyo ndo ume teswa

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 роки тому

      Wewe hajakufika, kwani police gani anaruhusiwa kumfunga raiya kitambaa cha macho? Hao ni watekaji na sio police, hau ulitaka wakatwe vidole?

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому

    Kama ni wanaume kweli waende kuwasumbhua al shabaab na sio mashoga wa Lamu

  • @petermwambito2339
    @petermwambito2339 4 роки тому

    Elfu saba zaree hyo kazi ya kuhojiwa na Polisi na unapata mshahara. Mm sioni shida kulingana na vile wanaeleza watekaji hawana ubaya na mtu mzuri ila kwa waghaini. Hatuko salama kama serikali haitaachwa huru kufanya kazi yao jinsi wajuavyo. Sie hoja yetu ni usalama kwa wote.

  • @bobbiegatimu7124
    @bobbiegatimu7124 4 роки тому +1

    Waliteswa hawa kweli????

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 4 роки тому

      Ulikua wataka uone nn ndio wawe wameteswa ?

    • @bobbiegatimu7124
      @bobbiegatimu7124 4 роки тому

      @@andallaathman3856 maskio ulipewa.... Wenyewe wame sema hawakuteswa...

    • @AaAa-kr9nb
      @AaAa-kr9nb 4 роки тому +1

      we nawe awakuteswa kwani walikua kwao nyumbani mungu tu aliwasaidia

    • @bobbiegatimu7124
      @bobbiegatimu7124 4 роки тому +1

      @@AaAa-kr9nb hatukatai ni Mwenyezi Mungu.....shida ni title ya mwenyewe amepost....alas

    • @elnorahmjomba1311
      @elnorahmjomba1311 4 роки тому +1

      Aah hii story ikianza nilikua nimewaka hasira iweje polisi watese wenzetu kumbe ata walikua wakila wanaoga vizuri na kujipaka manukato kwani holiday?tushukuru wako hai tu ile mbaya ni kutesa na kuua watu,lakini wangewaambia wamewashikia nini hapo walikosa

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 4 роки тому +1

    Mnataka makafiri wafate sheria? Apo msahau

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому

    Wakenya tukiunghana mikono pamoja na kujitolea kwa nguvu kama hawa wanao hojiwa basi ndipo tuta maliza uhalifu wa mapolisi wakoloni na ikiwa hawa mashoga hawaogopi wewe mwanaume unaogopa nini?

    • @nusaybahbae8931
      @nusaybahbae8931 4 роки тому

      Mahbub Dawood mbona wawaita mashoga? shame on you

    • @mahbubdawood2909
      @mahbubdawood2909 4 роки тому

      @@nusaybahbae8931 Kwajili ni halali kusimaisha mateso za polisi wa koloni na ata hivi ni kweli na wote wanajua kwambha lamu kuna mashoga wenghi na wenghine wanawachokoza bila ya sababu mbhona haufunghi midomo zao?Hauwezi kwajili wewe ni mmoja wa wale mapolisi wa kibandia

    • @qaasimsaid9877
      @qaasimsaid9877 4 роки тому

      Wee babu ushoga nawapa kwa kigezo gani? (Ushoga unaujua ndo wapupia kuleta porojo zisizo na mbele wala nyuma

    • @mahbubdawood2909
      @mahbubdawood2909 4 роки тому +1

      @@qaasimsaid9877 Mkoloni wacha domo parapanda mwanzo kiswahili sanifu ni ya Tanzanian ambhayo humaanisha maana ya shoga ni rafiki

    • @mahbubdawood2909
      @mahbubdawood2909 4 роки тому

      @@qaasimsaid9877 Shika moo nyanya?

  • @plmm7706
    @plmm7706 4 роки тому +1

    wajinga nyinyi mlipewa chakula na pesa hujafanya kazi ,bure kabisa

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому

      Mjinga wewe fataani mmoja ngoja yakufike siku moja

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 4 роки тому

    Hussein sauti yako kama ya hayati Ahmed Darwesh Innallilahi wainnailehi warajiun

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 4 роки тому

      Ahmed Darwesh alifafiki? Allah amraham hata cjui

    • @mariamhassan1723
      @mariamhassan1723 4 роки тому

      @@sakinat2527 kitambo ana miaka

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 4 роки тому

      @@mariamhassan1723 aaha , Allah amuepushie na adhab za kaburini

  • @just.elhadji__7148
    @just.elhadji__7148 4 роки тому

    Kama umesikia "MANUKATO "weka like twende sawaa😀😂......kwwli haya ni matesooo!!!!!

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому

    Badala yakuwa kamata al shabaab wanatesa mashoga wa Lamu si wanende kuwasumbhua al shabaab?Hawawezi kwajili al shabaab na polisi ni kitu mmoja

  • @viviantenai4599
    @viviantenai4599 4 роки тому

    Mliteswa na alshabab hawa sio askari

  • @mwanashajuma6557
    @mwanashajuma6557 4 роки тому +1

    Kuliza si ujinga uyo jamaa alie hojiwa kwa mara ya kwanza haoni au ndo amevaa glass hili watu wasiwajue?

    • @faridaathman7722
      @faridaathman7722 4 роки тому

      Ata umbea wewe kuma

    • @mwanashajuma6557
      @mwanashajuma6557 4 роки тому +3

      @@faridaathman7722 sasa matusi ni ya nn na nimeuliza umelelewa katika maadili gani lkn kuliza pia ni umtusi mtu siko tayari samahani kwa hilo

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 роки тому +1

      @@mwanashajuma6557 ata mm namshanga mbona atumie matusi katika kila comment nimefatilia sana kwenye comment zake

    • @mwanashajuma6557
      @mwanashajuma6557 4 роки тому +1

      @@alfanm.8221 hana madili uyo ndivyo alivyo funzwa kwako labda

  • @lizkimani9576
    @lizkimani9576 4 роки тому +2

    Umeteswa wapi kama una kula na kuoga...polisi lazima wa investigate terrorists...muongo wewe...

    • @ruuspicyasmr1694
      @ruuspicyasmr1694 4 роки тому

      Wacha kuita watu waongo know how to talk

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 4 роки тому

      Kwani hawali chakula kwao. Kuchukuliwa kiholela bila ya kujuwa wanapokwenda hayo ni mateso tosha .Lakini wewe ni punda wa bara uko na chuki na watu wa pwani mpaka ndani ya mkundu wako. Fala wewe

    • @janenyambura5357
      @janenyambura5357 4 роки тому

      Polisi upi atoa pesa zake awapea yiyi ,yeye polisi navio penda pesa hapa Kenya,😂😂7000 No No mnawajuwa hao watu