LIVE CROWN SPORTS: USAJILI WA ELIA MPANZU VIGOGO WA SIMBA WAFANYA UMAFIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Karibu kwenye habari zenye kina, uchunguzi zikiongozwa michezo

КОМЕНТАРІ • 41

  • @meadaephraim648
    @meadaephraim648 Місяць тому +6

    Hongera sana king kiba,wajanja woote tuko uku.

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Місяць тому +8

    Kwa sasa hiyo inawezekana,timu zote Zina mabasi yanayochukuwa watu 60! Kwa nini washindwe kusafirisha vijana 18 tu, wakasafiri na timu yakubwa?

  • @LEMEYANDREW-nw1pv
    @LEMEYANDREW-nw1pv 15 днів тому

    Hata mimi nakubaliana na Rais Karia, wachezaji wa nje ni muhimu sana kwa sababu wachezaji wa kigeni wanawawezesha wachezaji wetu wa ndani kuiga mambo mengi

  • @user-nl9xe5bu1x
    @user-nl9xe5bu1x Місяць тому +4

    Itatisha sana , Hans huwa nakukubali sana

  • @AlllyUwesu
    @AlllyUwesu Місяць тому +5

    Nawapata vizul crown midia

  • @HassaniNdundu
    @HassaniNdundu Місяць тому +4

    Crown sports nakubali apo mjengon

  • @JanuaryMassawe-fm2hw
    @JanuaryMassawe-fm2hw 7 днів тому

    Naomba nijuze usajili WA usiku buu WA simba

  • @user-nl9xe5bu1x
    @user-nl9xe5bu1x Місяць тому +2

    Jef hapo Kwa Simba hawaishi na wachezaji wao vizuri hapo tu nimekuelewa Hilo ni kwelii kabisa

    • @hemediaznat3491
      @hemediaznat3491 Місяць тому

      LINI USHAWAHI KUSIKIA MCHEZAJI WA SIMBA AMELALAMIKA UKIACHA YANGA ZAIDI YA MARA 5 MPKA WANAFUNGIWA FIFA

  • @MazikuJackobo
    @MazikuJackobo Місяць тому +3

    sana crown

  • @Ngimba-t6w
    @Ngimba-t6w 22 дні тому

    Elie mpanzu vp simba wamempata kweli au tunazenguliwa tu

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 Місяць тому +2

    Napendekeza Wachezaji wa kigeni waongezeke wawe 15 kwa timu zenye uwezo wa kufanya hivyo. Tatizo watu wanaangalia Simba, yanga na Azam tu. Hizo timu zimewekeza kwenye timu za Vijana ambao ndiyo wamekuwa wakiisaidia Taifa Stars. Isitoshe hizo timu zina wachezaji wazawa 18 kila moja. Hao wanajifunza kwa wachezaji wakigeni waliopo na wanatosha kuichezea timu ya Taifa na siyo mpaka tupunguze wageni waliopo. Acha wawepo ili Wazawa wapambanie namba.

  • @user-bt7er9uk5v
    @user-bt7er9uk5v Місяць тому

    Hansi ebu tuambie mzee wa vyanzo vya ndani vip mpanzu atatua simba mwaka huu kunawatu maji wataita mmaaaaaaaaaaa hivi mo dewij alikuwa wapi mungu amuweke maisha malefu sio kwa usajili huuuuuuuu

  • @bakarimajaliwa247
    @bakarimajaliwa247 Місяць тому +4

    Home😊

  • @Zuberihaji-h3d
    @Zuberihaji-h3d Місяць тому

    Nakubali sana inshaalah simba itafanya makubwa

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh Місяць тому +2

    We genz tuachiee clouds fm yetu

  • @drallan6879
    @drallan6879 Місяць тому +3

    we mwandishi umenena

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Місяць тому +3

    Hapa nyumban

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh Місяць тому +3

    Hii radio niyabando tu

  • @MussaMacha
    @MussaMacha 23 дні тому

    Naitwa muxa axumani kutoka kambya chui vp kuxu elia mpanzu nimwana mximbazi

  • @cosmaskapinga8943
    @cosmaskapinga8943 Місяць тому

    Tatizo lenu mnatumia perception katika kujenga hoja kwenye vitu vinavyohitaji facts

  • @EdwardTaus-tc8st
    @EdwardTaus-tc8st Місяць тому

    KAMEMAN MR MCHAFUZI WA CHIUNGUTWA MASASI. NDUGU WAANDISHI TUNAOMBA MKANUSHE KUA MPANZU TAYARI AMESAINI SIMBA AMA LAA

  • @DaudiAns
    @DaudiAns Місяць тому

    Tupo pamoja by daudi anangisye Toka ikumbi

  • @jescamariki8498
    @jescamariki8498 Місяць тому

    Nakubali crown media

  • @davidadammssika3374
    @davidadammssika3374 Місяць тому

    Tunawapata hadi hapa Port Sudan! Hongereni

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 Місяць тому +5

    Mchukueni alex lwambano anafaa hapo studio

  • @HAMISISAIDISaidi
    @HAMISISAIDISaidi 23 дні тому

    Vipi kuhusu kibu na mpanzu

  • @AderickAdrian
    @AderickAdrian 20 днів тому

    Tuko pamoja sako kwa bako by adelick adlian wa muleba kager

  • @Juma-z4f
    @Juma-z4f 27 днів тому

    Me balamu juma nikweli mupànzu tayali simba

  • @ObreyMremy
    @ObreyMremy 21 день тому

    👑❤❤❤❤

  • @johnmessi6831
    @johnmessi6831 Місяць тому

    Bon* ni neno la kifaransa lenye maana ya nzuri au good, so bon* good 👍🏿 like bon jour * good day jour ni siku au day

  • @ElenestMhagama
    @ElenestMhagama Місяць тому

    Vp dili la mpanzu

  • @DOTTOMBUSSA-p6n
    @DOTTOMBUSSA-p6n Місяць тому

    Mko vizuri sana

  • @user-ll9iv9gc9c
    @user-ll9iv9gc9c 28 днів тому

    Crown mnaamba sana

  • @mosescalvinnyoha120
    @mosescalvinnyoha120 Місяць тому +3

    🎉🎉🎉

  • @MagehemaGodfrey
    @MagehemaGodfrey Місяць тому

    Shida hatuwekezi kwa wazawa pili mishahara ya wazawa midogo tunawakatisha Tamara au moyo

  • @mosescalvinnyoha120
    @mosescalvinnyoha120 Місяць тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AbelJoseph-h2l
    @AbelJoseph-h2l Місяць тому

    Naitwa abel joseph kutokea pande za shinyanga nilikuwa nauliza tu kwamba mbona cod ya Crown FM shinyanga hatuipati tunaomba mtusaidie km Iko hewan

  • @ZakayoMarcoWilliam
    @ZakayoMarcoWilliam Місяць тому +2

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila Місяць тому

    Ww wachezaji wa ndani wakikaa pekee Yao hakuna kinachoendelea wakibaki pekee Yao wao Wandani wanakuwa wajinga