Barikiwa mchungaji tangu nilianza kufuatialia mafundisho yenu from 2019 hakika maisha yangu yali badilika na kupokea nguvu ya roho mtakatifu mm ni mkenya nakuzikiliza kutoka Qatar injili lasima ifike pande zote dhuniani
Pastor David Mbagga, Mimi ni Muislamu, Nakukubali Pastor, Mafundisho Yako Nayafuatilia, Yamenijenga Sana Kimwili, Kiakili, Na Kiroho. Asante Sana Sana, Mungu Akupe Nguvu (Power) Ili uweze Kutufungua Mpaka Tuwe Huru, Na Ili Tuweze Kuutafuta Na Kuupata Ufalme Wa Mungu Kwanza NDANI Yetu Ili Na Mengine Yote Mtaongezewa. Ameen, Mungu Akubariki Sana Pastor.
Barikiwa sana pasta mmbaga wew vkiwa na pasta peter nimebarikiwa sana kwa mahubiri yenu mungu azidi kuwapa nguvu sana mim no bahati baraka kutoka mkoan Kilimanjaro wilaya ya same mwembe
Muchugaji mungu hawe wewe na akuogezee Sababu nilikuwa nasema beleni sitaweza .lakini umenitoa bali nasikiza nikiwa Saudi kutoka kenya.injilii iede mbele 2023 ameni.
Nafurahia mahubiri yako yaani mch mmbaga mimi ni mpendekoster ila nampenda mch mmbaga mafundisho yake habagui mtu wala dini natamani nionane na huyu mch nimepe pongezi
Mchungaji naomba unisaidie pale BWANA YESU alipo sema msipo wazidi haki ao mafarisayo hamta ulithi ufalme wa mbinguni alikua ana maana gani? Naomba kufahamu tafadhali

Somo zuli.

Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi Mbaga
Amina pr Mungu akubariki Sana unatubariki sana
Amina. ZIDI KUBARIKIWA PASTOR.
Asante kwa mahubiri mutandaoni,nashukuru hapo congo
Ameen ubarikiwe sana pastor
❤❤aki mafundisho tamu kupita halua zeeka pole pole pr 🙏🙏♥️♥️🎇🎆
Barikiwa sana pasta mmbaga wew vkiwa na pasta peter nimebarikiwa sana kwa mahubiri yenu mungu azidi kuwapa nguvu sana mim no bahati baraka kutoka mkoan Kilimanjaro wilaya ya same mwembe
Amin Amin Amin
Amen
barikiwa pr kwa masomo yako mazuri yanatubariki sana
Nimebadilika na ninaendelea kubadilika mbaka atakaporudi yesu.
God i need your presence!!
Pastor ubarikiwa cna
Amina mchungaji Mungu akubariki. Hadithi ya Mchungaji mtini imenitia moyo kweli kweli.
Muchugaji mungu hawe wewe na akuogezee Sababu nilikuwa nasema beleni sitaweza .lakini umenitoa bali nasikiza nikiwa Saudi kutoka kenya.injilii iede mbele 2023 ameni.
Mungu akutunze pastor, asantee kwa mwendelezo wa somo makini, nazidi kubarikiwa sana.
God bless you pastor mahubiri yako yamenijenga kiimani
Mungu atukuzwe kwa kila jambo asnte pr Mungu akubariki uingiapo na utokapo
Asante sana pastor,
you are good pastor and teacher
Amina PR Mungu kubariki na azidi kukupa nguvu🙏🙏
My GOD blessed you
Kweli postor anaokowa kwa mda wake na hata asipo fanya atabaki kua Mungu.
Ameni MUNGU awabariki
May God bless pastor ❣♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen mungu ndio kila kitu
Pr unanibariki sana....barikiwa san
AMENI AMENI NAPENDA SANA MAHUBIRI YAKO
Amen 🙏🏾
Mchungaji Mungu azidi kukutunza maana kupitia ww ujumbe wake nimeupata na nimebadilishwa
Amen amen
Ubarikiwe Sana Pastor ninajengwa mno Mungu akubariki zaidi
Nikweli kabisa pastor anatubariki sana Samahani mtumishi wa MUNGU nipo nakuuliza uko wapi
AMEN🙏...NAFWATILIA NIPATE KUBARIKIWA.
Yaan upo sahihi huku oman tunamwaga hadi nyama kuku samaki hawali chakula kilicholala watu Wana kifuru sana Mungu atusamee
Amen 🙏🙏🙏
Thanks pst
Ameen mchungajii
Kufwatilia mahubiri haya imenifanye kusogea mbele za mungu kila wakati
Mchungaji naomba uniombee
Nafurahia mahubiri yako yaani mch mmbaga mimi ni mpendekoster ila nampenda mch mmbaga mafundisho yake habagui mtu wala dini natamani nionane na huyu mch nimepe pongezi
Nmekupata sana pasta kutoka geita Kila ninapoweka bando naanza na mahubir anayokutumia yes krsto ameee nmebarikiwa mno
Unatuelimisha sana mchumgaji🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
papa Past barikiwasana
Bwana Yesu aendeleye kukunza kwa hekima alyoikupa upendo wa aman furaha
Barikiwa sana pastor nimebarikiwa hata mimi nikiwa Saudi
Saudi tuko wengi sana
Pastor kitabu cha silaha zakiroho nitapataje?Niko Kilimanjaro moshi
Mchungaji naomba unisaidie pale BWANA YESU alipo sema msipo wazidi haki ao mafarisayo hamta ulithi ufalme wa mbinguni alikua ana maana gani? Naomba kufahamu tafadhali
PR pls nisaidiwe hili swali kuwasha UDI ukiwa una sali unaruhusiwe kwa imani yetu SDA
Sijaona andiko lolote linalosema tuwashe udi wakati wa maombi! Udi ni manukato kama mengine tu
Sisi tuamue kupona au kuangamia
Amen
Amen
Amen
Amen